Mr Madulu binafsi naomba nikufananishe na Aristotle wa taifa letu na natumaini walio wengi wanafaidika kupitia wewe bila gharama Mungu akujaalie uhai na afya njema tuzidi kuvuna madini muhimu na maalifa muhimu katika maisha yetu na nchi yetu.
Kuna mbina ya Self talk. Hii mbinu n nzur sana inawafanya watu watoke katika mateso na kujiona wanathaman katika Jamii. Kila ukiamka asubuh unajiangalia ktk kioo na kujisema yale yote unayoyataka nakuwa huru kifikra hakika unakuwa vile utakavyo
Sidhani kama ni kweli, kwamba dada yako akiachika na wadogo zake wanafanya hivyo hivyo, nadhani hiyo ni akili ya mtu, mwingine anajifunza hataki kurudia makosa ya Dada am a kaka yake nimekutana nao wengi, halafu kitu kingine maadili yameshuka kwenye jamii, kwa muoaji namuolewaji
Duuuuh huyu jamaaa ana faa awe raisi wa nchi bila kuwa na watu vichaa wa kuthubutu kufanya mambo makubwa sio kila mwaka tunazungumzia madawati na madarasa wakati wenzetu wameshafika sayari tofauti na hii ya KWETU
Asante kwa kufuatilia madinidotcom.Ukiipenda hii session share na wengine pia hii link.
unda podcast yaku deal na watu kama hao tu atlst iwe na muendelezo iwe ndefu
Brother anajua sana huy kuimbaaa hatar sana. Na mtaalam wang wa mambo ya ku elimisha jamii yupo vzr sana mungu awabarik wote
broh madulu appreciate since day one
Huyu brother cosmas inabidi mumuandalie segment kwenye madinidotcom tuwe tunamsikiliz kila jmosi hakika ana madini
Oooonho right hi ndio maana halisi ya taarifa na maarifa. I appreciate it thank so much brother cosmas
brother G,mshikilieni huyu mwanasaikolojia.Huyu ni zaidi ya wachungaji.
Nashukuru sana mungu amenisaidia nimelifahamu mapema nimejitofautisha nafamilia nzima mungu nimushindi
shukran Jaman kwa elim kama nimechelewa kuwaelewa iviiii
Its greatest ideas
Mr Madulu binafsi naomba nikufananishe na Aristotle wa taifa letu na natumaini walio wengi wanafaidika kupitia wewe bila gharama Mungu akujaalie uhai na afya njema tuzidi kuvuna madini muhimu na maalifa muhimu katika maisha yetu na nchi yetu.
Huyu brother mtumien ahse ana kitu mtumieni anatusaidia vitu vingi mnoooo hongera bro gideon keep going
🙏🙌🙌🙌🙌🙌
Asante sana
Huyu jamaa uimbaji wake unaingia moyoni kabisa ama kweli vipaji vipo
Kuna mbina ya Self talk.
Hii mbinu n nzur sana inawafanya watu watoke katika mateso na kujiona wanathaman katika Jamii.
Kila ukiamka asubuh unajiangalia ktk kioo na kujisema yale yote unayoyataka nakuwa huru kifikra hakika unakuwa vile utakavyo
Huyu mwalimu sio wakaida
Sijutii kabisaa
You deserve my brother!
wangekuwa clouds media wangeshamuajili huyu uncle madulo.IPP muajilini basi,ana potential sana
Dah nimependa sana hii collaboration ya madini na mziki mzuri
Hapa tunaingia katika Sheria ya Kivutio.Tunavutia vile vyote tunavyoviwaza na kuvinena kilasiku
Mashine ya kazi hiiii watanzania wote mlio ulaya tisini home tujenge africa baada ya kupata elimu huko ulaya
🙏✍️
Mungu azidi kuwabaliki tunajifunza San kupita ninyi 😂😂😂
One six yoooooooooo😂😂😂😂💐
Kipindi cha maana kabisa, watu wa maana kabisa
Huyu jamaa ana uwezo mkubwa sana wa kufikiri ni zaidi ya madini kama una pakupokea nashindwa nimtafsirije!
Sidhani kama ni kweli, kwamba dada yako akiachika na wadogo zake wanafanya hivyo hivyo, nadhani hiyo ni akili ya mtu, mwingine anajifunza hataki kurudia makosa ya Dada am a kaka yake nimekutana nao wengi, halafu kitu kingine maadili yameshuka kwenye jamii, kwa muoaji namuolewaji
One six yaani mmoja kama watu sita
G tupostie kipindi chote cha leo
Hio nyimbo ya pili inaitwaje
Huyu bro kila neno lake point yaani akihojiwa unaona kama muda hautoshi
hii elimu hupat shuleni

😂😂😂