Huyu Ndugu Madulu, nashauri aandike vitabu kuwasaidia hata wale ambao hawana sim za smart waweze kunufaika na maarifa anayoyatoa. The man is exceptional..
Aiseeee hongera saaaana mwalimu.COSMAS Mimi mwanafunzi wako umenifundisha primary Montessory miaka ya 2003 katikati humo iliopo mwanza hadi leo bado nakuona mwalimu mpya kabisa.navyosikiliza interviews zako nakumbuka mbali na nakuona mbali sana huwa sisahau safar vya motisha ulopewa na sister Denis mattle [mzungu sister] kwenda ulaya na ukakaahuko mwaka mzima kamasjasahau kwa sababu ya utendaji mzuri shuleni. Daaaaah big up saaaanaticha Cosma mwalimu wangu japo saivi ndio msaikolojia wamoto nchini
Nitashangaa ikiwa unangalia haya na huna sehemu ya kuandika. Pili wazo kubwa analokuwa nalo mtu humfanya kuonekana taahira mbele ya wasioona pazia zito la ndoto za mafanikio ya mwenye wazo. Nina shuhuda za kuwa na jambo kwa muda mrefu na likitokea ndio watu wanakuunga mkono. Kweli masikini wa fikira bado wako wengi.
Nimeasikiliza wanasaikolojia wengi sana especially wa tz,Ila huyu ana kitu tofauti sana pia nimegundua hasomi sana vitabu kama wenzie I need to know, nini kimemfanya awe hivi.
Huyu Ndugu Madulu, nashauri aandike vitabu kuwasaidia hata wale ambao hawana sim za smart waweze kunufaika na maarifa anayoyatoa. The man is exceptional..
Tabia ya kusoma vitabu hatuna still watanufaika wachache mno hata ukiuza 3,000 wanunuaji hamna
Sahihi
God bless you
Tutnunua bhnaa
Aiseeee hongera saaaana mwalimu.COSMAS
Mimi mwanafunzi wako umenifundisha primary Montessory miaka ya 2003 katikati humo iliopo mwanza hadi leo bado nakuona mwalimu mpya kabisa.navyosikiliza interviews zako nakumbuka mbali na nakuona mbali sana huwa sisahau safar vya motisha ulopewa na sister Denis mattle [mzungu sister] kwenda ulaya na ukakaahuko mwaka mzima kamasjasahau kwa sababu ya utendaji mzuri shuleni. Daaaaah big up saaaanaticha Cosma mwalimu wangu japo saivi ndio msaikolojia wamoto nchini
Madulu ni mtu na nusu.Ahsante Mungu kwa hii hadhina❤
Sio Siri hii ni hazina,madini ni mengi mno.ahsante sana.
Hii show ya taarifa na maarifa nilikuwa nayo mwanzo hadi mwisho; kwakweli nimejifunza jambo kubwa sana sana
Apa ndo nawaerewa Waaachookoonoooziiiiiii👏
Madulu Tafadhari weka namba ya malipo nahitaji niwe natoa sadaka Umebadiri maisha yangu 🎉
Jamaa ni best sana 💪🏿
Nmepata maarifa naenda kuyatumia ,,👏my brother gee
Jamaaa anajua sana tena::: huyu jamaa allah kampa kitu sio cha kawaida❤
Mashaallah kaka madulu❤
Aiseeee
huyu mzee ni mtu hatarii
Nitashangaa ikiwa unangalia haya na huna sehemu ya kuandika. Pili wazo kubwa analokuwa nalo mtu humfanya kuonekana taahira mbele ya wasioona pazia zito la ndoto za mafanikio ya mwenye wazo. Nina shuhuda za kuwa na jambo kwa muda mrefu na likitokea ndio watu wanakuunga mkono. Kweli masikini wa fikira bado wako wengi.
King madulu,mwamba toka kanda ya ziwa ❤
Aisee huyu mwalim ni zaidi ya ualimu ni mtu na nusu, kwa hiyo elimu ya bongo ni hatari mhasibu nae anashindwa kuzimiliki pesa
Jamani Asanteni sana
Mwenyezi Mungu akutunze Gee na team yako yote 🙏
Mwambie uyo mwarimu atoe namba ya Simu nimtumie kias Cha pesa kidogo maana nimekuelewa mpaka bac yaan uyo ni noma
dah kweli haya ni madini pamoja..
Safiiii sanaaaaaa
🙏 🙏 🙏 🙏
Nimeasikiliza wanasaikolojia wengi sana especially wa tz,Ila huyu ana kitu tofauti sana pia nimegundua hasomi sana vitabu kama wenzie I need to know, nini kimemfanya awe hivi.
Nawafuatilia sana
Show iko poa san madin kama yote
Lakn audiomark mzigo mbona upandi
Nataka niiponye familia yangu(watoto)maana hakuna hata mwenye baskel ktk famia
Kuna wakati nawaza sana kuusu mawazo kama haya juu yamtu aliyonayo huwa naisi labda sio mtu😮
Respect
NAWAKUBALI SANA
🙏
Hakika muda hautoshi kwa madini haya.
🧠+🙌🙌
Bro Gidion anko cosmas awe anataja ata whasapp namba yake ili tuwe tunamcheki kwa ushauri zaidi kak
Aisee akili kubwa
Haswaaaaaa
Natamani siku moja kukutana na bwana madulu kwa kuzungumza nae japo machache tu