- Видео 264
- Просмотров 508 515
madinidotcom
Добавлен 22 май 2023
Radio magazine ya #TaarifaNaMaarifa kwa lugha ya kishkaji. Kila wiki Eastafrica radio 📻 .Sat 3:00pm-4:00pm
DONALD TRUMP VS 'DEEP STATE', ATATOBOA SALAMA ? (Part 5)
#PichaLinaanza ni scene(Segment) namba 3 ya madinidotcom.
MADINIDOTCOM : Is by youth for the youth' insightful docu-drama radio show that uses people life- experiences,motivational quotes,compelling history and music to deliver lessons and provide information and knowledge (Taarifa na Maarifa) of things, situations that surround us .Every Saturday from 3pm - 4pm on eastafrica radio.
Instagram : madinidotcom
X - x.com/madinidotcom?t=HtwmeZL-...
youtube www.youtube.com/@madinidotcom

Просмотров: 496
Видео
UREMBO NI MWILI AU HAIBA (PERSONALITY)? MWANAMKE ANATAKA NINI? |MISS AFRICA INTERNATIONAL
Просмотров 16812 часов назад
#Twendetour ni scene(segment) namba 4 ya madinidotcom inayohusu nature na utalii wa ndani kiujumla. MADINIDOTCOM : Is by youth for the youth' insightful docu-drama radio show that uses people life- experiences,motivational quotes,compelling history and music to deliver lessons and provide information and knowledge (Taarifa na Maarifa) of things, situations that surround us .Every Saturday from ...
HIFADHI YA PILI KWA UKUBWA AFRICA | NAMNA NZURI YA KUFUNGA MWAKA .
Просмотров 17012 часов назад
#Twendetour ni scene(segment) namba 4 ya madinidotcom inayohusu nature na utalii wa ndani kiujumla. MADINIDOTCOM : Is by youth for the youth' insightful docu-drama radio show that uses people life- experiences,motivational quotes,compelling history and music to deliver lessons and provide information and knowledge (Taarifa na Maarifa) of things, situations that surround us .Every Saturday from ...
RUSSIA vs MAREKANI KWENYE VITA YA TAARIFA (INFORMATION WAR) - FULL EPISODE
Просмотров 1,5 тыс.День назад
#PichaLinaanza ni scene(Segment) namba 3 ya madinidotcom. MADINIDOTCOM : Is by youth for the youth' insightful docu-drama radio show that uses people life- experiences,motivational quotes,compelling history and music to deliver lessons and provide information and knowledge (Taarifa na Maarifa) of things, situations that surround us .Every Saturday from 3pm - 4pm on eastafrica radio. Instagram :...
DONALD TRUMP VS 'DEEP STATE', ATATOBOA SALAMA ? (Part 4)
Просмотров 892День назад
#PichaLinaanza ni scene(Segment) namba 3 ya madinidotcom. MADINIDOTCOM : Is by youth for the youth' insightful docu-drama radio show that uses people life- experiences,motivational quotes,compelling history and music to deliver lessons and provide information and knowledge (Taarifa na Maarifa) of things, situations that surround us .Every Saturday from 3pm - 4pm on eastafrica radio. Instagram :...
KATUNI ZA SANI "MADENGE, KIPEPE, KIFIMBO CHEZA KWENYE TV | VAA UVAE
Просмотров 1,2 тыс.День назад
#Livenagee radio magazine, TAARIFA na MAARIFA kwa lugha 'simpo' 🌍 every Saturday 3:00pm - 4:00pm on Eastafrica radio. Instagram : madinidotcom X - x.com/madinidotcom?t=HtwmeZL-... youtube : www.youtube.com/@madinidotcom
MC WILLEHARD: MSITUFANANISHE WATU WA KASKAZINI NA KANDA YA ZIWA| ROMBO POMBE YA 200 HUTEMBEI.
Просмотров 538День назад
#Twendetour ni scene(segment) namba 4 ya madinidotcom inayohusu nature na utalii wa ndani kiujumla. MADINIDOTCOM : Is by youth for the youth' insightful docu-drama radio show that uses people life- experiences,motivational quotes,compelling history and music to deliver lessons and provide information and knowledge (Taarifa na Maarifa) of things, situations that surround us .Every Saturday from ...
DONALD TRUMP VS 'DEEP STATE', ATATOBOA SALAMA ? (Part 3)
Просмотров 1,1 тыс.14 дней назад
#PichaLinaanza ni scene(Segment) namba 3 ya madinidotcom. MADINIDOTCOM : Is by youth for the youth' insightful docu-drama radio show that uses people life- experiences,motivational quotes,compelling history and music to deliver lessons and provide information and knowledge (Taarifa na Maarifa) of things, situations that surround us .Every Saturday from 3pm - 4pm on eastafrica radio. Instagram :...
DALADALA NI BAISKELI , KARIBU GEITA .
Просмотров 18414 дней назад
#Twendetour ni scene(segment) namba 4 ya madinidotcom inayohusu nature na utalii wa ndani kiujumla. MADINIDOTCOM : Is by youth for the youth' insightful docu-drama radio show that uses people life- experiences,motivational quotes,compelling history and music to deliver lessons and provide information and knowledge (Taarifa na Maarifa) of things, situations that surround us .Every Saturday from ...
UKIFIKA URUSI NI TOFAUTI NA UNAVYOISIKIA KWENYE MEDIA
Просмотров 12 тыс.14 дней назад
#Livenagee radio magazine, TAARIFA na MAARIFA kwa lugha 'simpo' 🌍 every Saturday 3:00pm - 4:00pm on Eastafrica radio. Instagram : madinidotcom X - x.com/madinidotcom?t=HtwmeZL-... youtube : www.youtube.com/@madinidotcom
MAISHA YA ULAYA , HURUHUSIWI KUWA TOFAUTI.
Просмотров 1,2 тыс.14 дней назад
#Livenagee radio magazine, TAARIFA na MAARIFA kwa lugha 'simpo' 🌍 every Saturday 3:00pm - 4:00pm on Eastafrica radio. Instagram : madinidotcom X - x.com/madinidotcom?t=HtwmeZL-... youtube : www.youtube.com/@madinidotcom
MFAHAMU ELON MUSK,VITUKO NA UTAJRI WAKE (PART 2 - MWISHO )
Просмотров 1,3 тыс.21 день назад

DONALD TRUMP VS 'DEEP STATE', ATATOBOA SALAMA ? (Part 2)

DONALD TRUMP VS 'DEEP STATE', ATATOBOA SALAMA ? (Part 1)
Просмотров 1,6 тыс.21 день назад
DONALD TRUMP VS 'DEEP STATE', ATATOBOA SALAMA ? (Part 1)
Kutana na Dereva/Muongoza wa Talii Mwanamke, Wawekezaji Mnakaribishwa!
Просмотров 6221 день назад
Kutana na Dereva/Muongoza wa Talii Mwanamke, Wawekezaji Mnakaribishwa!
MFAHAMU ELON MUSK, VITUKO NA UTAJIRI WAKE ( PART 1)
Просмотров 4,2 тыс.Месяц назад
MFAHAMU ELON MUSK, VITUKO NA UTAJIRI WAKE ( PART 1)
UNAWEZA KUUVUNJA MFUMO ILA KWA GHARAMA KUBWA SANA
Просмотров 213Месяц назад
UNAWEZA KUUVUNJA MFUMO ILA KWA GHARAMA KUBWA SANA
NI NGUMU SANA KWA AFRIKA KUUNGANA, HATUNA AGENDA MOJA
Просмотров 206Месяц назад
NI NGUMU SANA KWA AFRIKA KUUNGANA, HATUNA AGENDA MOJA
INAWEZEKANAJE KUZUNGUKA DUNIA NZIMA KWA KUPANDA KILIMANJARO?
Просмотров 111Месяц назад
INAWEZEKANAJE KUZUNGUKA DUNIA NZIMA KWA KUPANDA KILIMANJARO?
CHINA NA MAREKANI NDIO BUSNESS PARTINER WAKUBWA ZAIDI DUNIANI,NI VIGUMU SANA KWA AFRIKA KUUNGANA.
Просмотров 2,3 тыс.Месяц назад
CHINA NA MAREKANI NDIO BUSNESS PARTINER WAKUBWA ZAIDI DUNIANI,NI VIGUMU SANA KWA AFRIKA KUUNGANA.
SAFARI YA UDZUNGWA : Hatua kwa Hatua Kupanda Milima ya Ajabu Tanzania!
Просмотров 161Месяц назад
SAFARI YA UDZUNGWA : Hatua kwa Hatua Kupanda Milima ya Ajabu Tanzania!
BONGO FLAVA NI MUZIKI WA KUDANDIA TRENDING, DULLY SYKES NDIYE ALIUBADILISHA
Просмотров 316Месяц назад
BONGO FLAVA NI MUZIKI WA KUDANDIA TRENDING, DULLY SYKES NDIYE ALIUBADILISHA
MENGI USIYOYAJUA KUHUSU ALPHA WA TUSKER PROJECT FAME, AWACHANA WASANII AFRIKA MASHARIKI.
Просмотров 221Месяц назад
MENGI USIYOYAJUA KUHUSU ALPHA WA TUSKER PROJECT FAME, AWACHANA WASANII AFRIKA MASHARIKI.
MJOMBA WA DULLY SYKES AFUNGUKA | "CINDERELLA" YA ALIKIBA MIMI NDIO NILIICHAGUA -DUSCO DALLA
Просмотров 343Месяц назад
MJOMBA WA DULLY SYKES AFUNGUKA | "CINDERELLA" YA ALIKIBA MIMI NDIO NILIICHAGUA -DUSCO DALLA
HII YA AINA YAKE, WANAWAKE WAMEAMUA SIKU 3 ZA SAFARI NA BATA .
Просмотров 124Месяц назад
HII YA AINA YAKE, WANAWAKE WAMEAMUA SIKU 3 ZA SAFARI NA BATA .
HUITAJI KWENDA SHULE ILI UWE NA WAZO - TIMOTH CONRAD (TIMAMU COMEDY)
Просмотров 313Месяц назад
HUITAJI KWENDA SHULE ILI UWE NA WAZO - TIMOTH CONRAD (TIMAMU COMEDY)
ISRAEL ILIVYOMUUA MOHSEN FAKHRIZADEH MWANASAYANSI WA NYUKLIA IRAN. (YA 2020)
Просмотров 14 тыс.Месяц назад
ISRAEL ILIVYOMUUA MOHSEN FAKHRIZADEH MWANASAYANSI WA NYUKLIA IRAN. (YA 2020)
BALANCE FAMILIA UNAYOTOKA VS FAMILIA UNAYOITENGENEZA - COSMASS MADULU
Просмотров 2,2 тыс.Месяц назад
BALANCE FAMILIA UNAYOTOKA VS FAMILIA UNAYOITENGENEZA - COSMASS MADULU
nawakubali sanaaa
good job
Thanks
✌️👍👊.
Big up
Jitahidi kufanya mapema mnachelewesha sana
Sawa.Hilo linafanyiwa kazi.Kaa nasi
@@madinidotcom daima nipo nanyi kupata maarifa mengi
Nimeasikiliza wanasaikolojia wengi sana especially wa tz,Ila huyu ana kitu tofauti sana pia nimegundua hasomi sana vitabu kama wenzie I need to know, nini kimemfanya awe hivi.
Sio Siri hii ni hazina,madini ni mengi mno.ahsante sana.
Amazing 🎉🎉🎉
katerero inachafua magodoro
Huyu ndio anaiwakilisha tz😂😂wazee tusibet huu mkeka umesha chanika mapema🏃all the best dula makabila’s dada😂
Tunashukuru sana. Mkiweza punguzeni tangazo/jingos. Pia unganisheni episodes zote kuhusu suala hili.
Jiombee, Tunakuombea ushinde. Kuhusu Mama sawa but, tambua h mama aliteuliwa na Magu, hakugombea na kuchaguliwa na wananchi na ata sasa atapewa kura coz yupo top so kuwa Msomi Muelewa, sio kukurupuka. Hongera mama kwa kushikilia kijiti taifa linakutegemea❤
Wow Sharon 1st runner ups for miss Africa International
Tujifunze lugha zaidi na siyo kiingereza tu😮
Wtz hatujali lugha yetu😢😢Tumekazania kiingereza😢 kwa sababu ya kasumba na uingereza hupati kazi.
Do you speak Russian😮
Hello.Moscow wana underground trains metro and the best in Europe.For years
Metro🎉
Kwanini umeenda.huko kikazi au kusoma😊
😊
Iko hivii. hizo sio propaganda wewe uko Moscow . Mji Mkuu wa Russia. Moscow ni kama kama dar ani Dar es salaam ya Russia. Kiuhalisia kila sehemu kuna maisha magumu,mabaya na mazuri. nenda Crimea kulee uone. Russia mbali mfano mzuri ni Kongo tu hapo. Ukienda Kinshasha au Lubumbashi unaweza kudhani uko Bruises au Paris france kumbe ni kongo. hakuna vita,hakuna mabomu,hakuna waasi ila vipi kuhusu Kongo Mashariki kulee Kivu,goma na beni..? Kuona sehemu nzuri ya Nchi na kutokuona yalee ulio kuwa unayafikiria haya ondoi uhalisia. Sometimes sio Propaganda za Magharibi ni uhalisia wa Maisha. kila Nchi kuna Mazuri na mabaya/ sehemu nzuri na sehemu mbaya that is reality of the life in the world
natamani kujua jina la hicho kitabu cha maria montesory kuhusu akili/tabia
Mambo ya urais ndo nimejua miaka ya karibuni hawa jamaa wana roho kubwa sana.. kama Syria
Ila wenzetu kwenye figisu wako vizuri wanatumia hesabu Kari kwenye maisha mfano Trump Ni mfano wa kuigwa kapitia vikwazo vingi
Ibarsheshe Matuma Mhoko Kibungara Masambu Mshisha
Busa
informative
Lazima ujue hali ya hewa dubai kaelezea vibaya unapandaje ndege
Muongo huyo
Cosmas huyu ni mtu kweli kweli
Story nzuri sana nimeipenda
Nomaa razimtamadun brad. Ni 🔥 sana
kazi nzuri
kazi nzuri
Njo kuwafuatilia Kweli Putin kibokoyao 😂😂
Hongeln wachg
Safi kaka 👍
Kaskazini wachaga tusifananishwee kbsa
mnajua sana hiki kipindi ni miongoni mwa vinavyo ipandisha ea radio na akuifanya isikilizwe sana nawakubali sana
Hujawahi kufeli jambo mc willehard ❤❤❤❤❤nakukubali sanaaaaaa
Uhakika
Wachaga n taifa kubwaa!!!
Enheee Ndo wakat wenyewe
Hii imeenda wachaga tusifananishwe na mkabila mengine saafiiiiiiii,
Nakubar
Yan marekani cjui hat iko vip maaan Isreal ikitowa pesa kw Marekani ni saw ila nchi nyengine ikitowa pesa wanasem wanahonga watu
Sababu kubwa ya musk kununua Twitter ni kiinterejensia zaid hapa inakuja CIA na lengo kubwa ni kuendelea kuchunguza watumiaji woote wa mitandao haswa twitter dunian kote
Sasa Ivi madinidotcom Hamna habari mpa niliwafatilia zamani hâta hii taarifa ni ya zamani mumeileta tena
Kabisa kaka waambie waelewe
👍👊✌️.