Host: kipindi kizuri,ila niongezee kitu,penda kuuliza zaidi fursa zinazopatikana,ili watu wajue kuna nn huko nje,sio kubaki na maswali binafsi ya muhusika,hii itafanya kipindi kivutie zaidi,pia kitakuwa na watazamaji wengi,kama umeipenda hii comment unijuze
Asante kwa maoni yako. Kila somo lina kipindi chake, sio wakati wote tutajifunza aina Moja ya Maarifa.Fuatilia sessions zetu nyingine zina Maarifa hayo unayopendelea ya Fursa za nje ya nchi. Karibu sana Madinidotcom.
🎉🎉🎉🎉🎉
Oooooh wao😅😅😅, Nimeipenda hiyo kuishi kwa usawa❤
Kweli kabisa
Safi sana Grayson
Nimejifunza kitu
Naomba spelling za hiyo yantalove
JANTELOVEN AU JANTE LAW
Ulaya depression is real sema tu ukweli dada..alafu vp kuhusu kunyonga mna nyonga sana due to luck of Sex 😅😅or?
Host: kipindi kizuri,ila niongezee kitu,penda kuuliza zaidi fursa zinazopatikana,ili watu wajue kuna nn huko nje,sio kubaki na maswali binafsi ya muhusika,hii itafanya kipindi kivutie zaidi,pia kitakuwa na watazamaji wengi,kama umeipenda hii comment unijuze
Asante kwa maoni yako. Kila somo lina kipindi chake, sio wakati wote tutajifunza aina Moja ya Maarifa.Fuatilia sessions zetu nyingine zina Maarifa hayo unayopendelea ya Fursa za nje ya nchi. Karibu sana Madinidotcom.
@@madinidotcom mzee madini usipojali tafadhari nipate simu yako,iko jambo laaboresho personal