#LiveNaGee

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 дек 2024

Комментарии • 19

  • @EdwardSamson-uf1ee
    @EdwardSamson-uf1ee 12 часов назад

    Cosmac Maduru anajua sanaaa mnoooo

  • @samuelsimwawa7493
    @samuelsimwawa7493 8 часов назад

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @peterstewart9935
    @peterstewart9935 3 дня назад +5

    Hapo kwenye uchawa napingana na wewe mwalimu,kinapingana na ukwel ambao wewe umeuhubiri mara zote namna bora na njema yakuishi,fedha siyo mafanikio ila namna unavyoishi kila siku bila kutweza utu wako nakujidhalilisha ndio mafanikio,tunahitaji jamii yenye watu wanaofanya kazi bila kujidhalilisha wala kutukuza watu ili wapate fedha...jamii ya machawa ndio inazalisha taifa hovyo la watu ambao hawafikiri sawa sawa.

    • @mwalimulee2493
      @mwalimulee2493 2 дня назад +1

      Kila kitu kina negativity na positivity.. Mwanzo alizungumzia in Positivity way

  • @zakazakazi-fn6zy
    @zakazakazi-fn6zy 2 дня назад

    Duu huyu jamaa anamadini adhim sanaa big upp mkuuu 🎉🎉🎉🎉

  • @ibrahimKimati
    @ibrahimKimati 2 дня назад

    Hii tv ya maarifa vijana fungukeni kifikikra hakuna maisha ya kubeti mungu awabariki wakuu asanteni kwa kutupa elimu.

  • @PATRICKKITANO-c3l
    @PATRICKKITANO-c3l День назад

    Mbarkiwe sana tumewasubiri sana jndugu zetu, ila uwe una mleta kila week kaka maana huwa tunamsubiri sana🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @ayoubluizpizzaro8735
    @ayoubluizpizzaro8735 2 дня назад

    Mitano Tena kwako mwalimu👍👏

  • @Venance-o4e
    @Venance-o4e 2 дня назад

    Safi sana mwalim madulu

  • @ramansitv3292
    @ramansitv3292 3 дня назад

    Safi sana, huyu ni mwalimu walimu wangekua ivo taifa linge lingine kabisa

  • @pumarice2710
    @pumarice2710 2 дня назад

    Nakuelewa sana bwana madulu vipi vitabu tutavipataje.

  • @qualiamaxwell6305
    @qualiamaxwell6305 2 дня назад

    jama ni JORDANPETERSON wa Tanzania

  • @DamianAndrew-i7c
    @DamianAndrew-i7c 2 дня назад

    Naitaji no yake nimpe watito wangu wawili awafundishe shuleni kwake Niko kahama

    • @madinidotcom
      @madinidotcom  2 дня назад

      Namba yake ya kikazi mpigie +255713 542908 (Haipo whats app) .

  • @MuraniSalim
    @MuraniSalim 2 дня назад

    Duuh mnatisha hatari

  • @shijandobehe4953
    @shijandobehe4953 2 дня назад

    Naomba msaada Kwa hili Kuna mtoto wa dada angu yupo darasa la 6 amekuwa hapendi shule lakin huyu bwana mdogo ana kipaji Cha ufundi wa vitu vya ki electronic lakin shulen ni mtolo ata akipata nafas ya mwisho darasani hajutii anacheka tu na anasema yeye kazi yake ni ufundi na anatamani aache Kabsa shule

    • @mwalimulee2493
      @mwalimulee2493 2 дня назад +1

      Usitucheleweshee Engineer Wetu.. Peleka Vetaaaa😅

    • @shijandobehe4953
      @shijandobehe4953 2 дня назад

      @mwalimulee2493 😂😂 et eee umeongea point kubwa sana bro