Hupo sahihi sana mm mwili wangu huwa unachaguwa chakula sili bila mwili kuhitaji chakula gani ndio maana naweza kutembea nikaona ndizi nikazitamani nikala nikashiba tena ndizi moja wakati ni mda wa kula tena mchana
Inchi kubwa watu kama huyu wanatunzwa vzr sana kama hazina na inchi inawatumia vzr but Africa tunakwama wapi jamani mama samia fanya jambo kwa vichwa kama hv.
MUNGU akubariki sana kaka Maduhu , tunaomba mafundisho mengine kaka Greyson
hello madini
naitwa douglas kutoka kenya naomba ndugu comsmas hawe na show yake kila siku
ongera sana brother
nimerudi hapa leo tena august 2024...mgodini😅
Samahan brother naomba mzee kama anaweza ongelea kuhusu genius na aina zao na madhaifu yao pia na kwanin wanakuwa wa kipekeee
asante kwa elimu nzurii
Dah MUNGU azidi kukutunza bro Cosmas naamini ipo siku Taifa litakuja kujua wewe ni mtu wa namna gani na utalisaidia taifa haswa katika uongozi. Amen
This man is wise coz he always gives us new psychological dose which heals our minds ,,thanks for all organizer of this program """100%
Asante sana
Hupo sahihi sana mm mwili wangu huwa unachaguwa chakula sili bila mwili kuhitaji chakula gani ndio maana naweza kutembea nikaona ndizi nikazitamani nikala nikashiba tena ndizi moja wakati ni mda wa kula tena mchana
Inchi kubwa watu kama huyu wanatunzwa vzr sana kama hazina na inchi inawatumia vzr but Africa tunakwama wapi jamani mama samia fanya jambo kwa vichwa kama hv.
Kabisa
Mama Samia yupi unaemtaja wewe. Nature haijui Umaskini wala Ujinga.
Hiii ni simba ya dunia hv serikal kwann msiwape watu kama hawa nafasi wajenge nchi yetu kwa vijana na vizazi vijavyo.
Labda angekuwa china
Asante my friend
Milango ya fahamu ipo 8 na sio 5, saafi sana kwa madini aisee
Session yenye ubora wake, thanks 👏
Asante ❤
Nape aje hapa
Asante
Hapa ni zaidi ya elimu
Ndo mana watoto wa kishua Hawana Akili😂😂
Unaleta utani wa ngumi..😂