HAKUNA MAFANIKIO BILA KAFARA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 янв 2025

Комментарии • 199

  • @bostonnyondo2705
    @bostonnyondo2705 19 дней назад +13

    Wachokonozi watu tunapenda sana kuwasikiliza na tunaelewa tunaomba mtumie kiswahili mnatuchanganya na kingereza

  • @JosephfNshito-md6vz
    @JosephfNshito-md6vz 20 дней назад +23

    Wawili tu kama watu bilioni mbili... Oyaa shikilieni hapo hapo Hadi watu akili zirudi.. wachokonozi wawili kama watu bilioni mbili 🧠🧠🧠✅✅❣️🫂

    • @AbuuHoya
      @AbuuHoya 13 дней назад

      Daah akilimingi sana

    • @athumanimhanga2053
      @athumanimhanga2053 День назад

      Aisee nawakubali sanaa kunavitu wanavifichua akili mingi

  • @Adonkamotci
    @Adonkamotci 19 дней назад +8

    Wanangu Nime wakubari sana mna ona mbali Sanna 👏👏

  • @wanskingtz
    @wanskingtz День назад

    kanuni za asili tz uwe na ngombe aka kibuyu cha maziwa, udongo aka shamba na mdomo aka spear na ngao aka imani yako aka Faith.... na nguo zako natural. maongezi yenu yana mwanga ila tumaini la ulimwenguni ni la kitambo. really cake ni Mbingu aka after life. na lango ni moja Yesu kristo, tubu na kiri ubatizwe natural na roho ya moto.

  • @BahatiJohn-xl3fn
    @BahatiJohn-xl3fn 17 дней назад +7

    ila Jackson ni mnafiki sana 😂😂😂😂ila nawapenda sana

  • @LeonardFrancis-hk9ku
    @LeonardFrancis-hk9ku 21 день назад +8

    Bahati nzuri kila mnapotoa elimu niko active wakuu💪

  • @NusaiybRashid
    @NusaiybRashid 15 дней назад +1

    Msiwe mnakaa mda mrefu jaman bila kutuletea mada tunawapenda sana guyz. Msitukalishe ivo all in all we love u guyz mwaaaaaah

  • @AllanMoshy
    @AllanMoshy 21 день назад +9

    Connectivity 💪💪 wachokonozi nawaelewa sana toka nilipoanza kuwasikiliza nime funguka mengi sanaa

  • @bahatisaimon6019
    @bahatisaimon6019 21 день назад +16

    Yaani mulindoko huwa namkubali anaposemaga Kwa upeo wangu mimi🎉

  • @Sadi_Tv
    @Sadi_Tv 21 день назад +8

    Nyiee wasenge mnaongea Ukweli 😢😂😂😂

  • @danielaloyce4684
    @danielaloyce4684 20 дней назад +5

    Connect yourself with God. Dont over explain it. God is in all of us, and the world is at war with the rising of human conscious. This podcast should grow

  • @hamisramadhan-eb3ie
    @hamisramadhan-eb3ie 21 день назад +5

    Pamojasana wakuu nawapenda wachokonoz ❤❤

  • @ebenezerlawuo6667
    @ebenezerlawuo6667 20 дней назад +3

    Haa kafara, yetoni hapa watani wako mbona wizi tuu wanakuwa tajiri na wanapiga suti kutoa sadaka jp na kushukuru mungu kwa kuwalinda na kuwafanikisha

  • @johnbuluma8861
    @johnbuluma8861 20 дней назад +5

    Kwa kweli nawakubali sana,

  • @BarakaNtale-xe3hx
    @BarakaNtale-xe3hx 20 дней назад +3

    Nawakubali sana,, ila tafuteni siku mzungumzie dini kama dini in general

  • @FredJacob-ve8ft
    @FredJacob-ve8ft 19 дней назад +4

    Uyo mwamba mwembamba ndo mchokonozi mwenyewe
    Hahahaha

  • @melichmahingule2896
    @melichmahingule2896 21 день назад +39

    HAKO KEMBAMBA NDIO KACHOKONOZI SASA😂😂😂😂😂😢😢😮😊

  • @daudibrandMakeseni
    @daudibrandMakeseni 20 дней назад +4

    Ma professor 🔥❤🎉

  • @jacksonpetro495
    @jacksonpetro495 2 дня назад

    Mrudieni muumba wenu kabla hamjachelewa maama MUNGU hataki hata mmoja apotee.

  • @MaikoMngongo
    @MaikoMngongo 20 дней назад +5

    nawaelewa sana wajuba tunafanyaje sasa kuludi kundini

  • @MengiRajab
    @MengiRajab 18 дней назад +2

    Safi sana nawakubali sana

  • @FrancisNgomaitara
    @FrancisNgomaitara 20 дней назад +5

    Haya majamaa yamesoma sana yanaakiri kama mimi

  • @frankchigo3239
    @frankchigo3239 20 дней назад +2

    Nawakubali sana

  • @mohammedalemin3297
    @mohammedalemin3297 20 дней назад +4

    Hapo mpaka sisi watu akili timilifu ndiyo tunakuelewa zaidi,

  • @DavidBenatusmo
    @DavidBenatusmo 21 день назад +2

    Umetisha baba umesema ukweli kabisa baba ra baba

  • @salvatorycasmiry9000
    @salvatorycasmiry9000 18 дней назад +1

    Uyoo mwembamba ananiua sana hahahhaha etii aahhh ahhhh kwaiyo wamechukua vinyago vya afrika hahhahhaha

  • @MisheckSiame-si1yo
    @MisheckSiame-si1yo 21 день назад +13

    Naomba mulieleze kiundani zaidi

  • @simonmalegesi414
    @simonmalegesi414 19 дней назад +3

    Nifundishe niji connections 😂😂😂😂 nkupe zaka.

  • @BernadoMayala
    @BernadoMayala 21 день назад +5

    Tupo pamoja sana wachokonozi

  • @AhaziBahalaye
    @AhaziBahalaye 21 день назад +3

    Big up❤😮

  • @jeyside5625
    @jeyside5625 12 дней назад +2

    Huyo ni mchungaji mmoja anaitwa IPM namuelewa sana

  • @SmilingFuchsiaFlower-jl7dg
    @SmilingFuchsiaFlower-jl7dg 20 дней назад +3

    Ebanaeee nguvu ya asili iwalinde tuendelee kupata misosi adimu kama hii

  • @BarnabasFabiani
    @BarnabasFabiani 21 день назад +3

    Kazinzuri ❤

  • @alfREX-a
    @alfREX-a 21 день назад +5

    Wafu wanaopumua😅😅😅

  • @peterpetropetro-h7n
    @peterpetropetro-h7n 21 день назад +4

    wao Guys..I love your work

  • @ramadhanimmana3829
    @ramadhanimmana3829 3 дня назад

    Elewa neno *CONNECTIVITY*

  • @bonifaceferdinand566
    @bonifaceferdinand566 20 дней назад +4

    Connectivity ni muunganiko kati wewe na vitu vyote vinavyokuzunguka,vikiwa chanya ama hasi,katika sheria za ulimwengu kila kitu ni hakika,ila kwasababu wengi wenu conduict imekufa kutokana na matakataka mnayotumia,huwezi kuelewa haya zaidi utachanganyikiwa😂😂😂

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 21 день назад +2

    Huu mjadala unatakiwa ujadiliwe kiupana zaidi hii dunia kweli kabisa kuna watu Wana biashara Hadi zina viwanda kilimo ufugaji hapo nasema nchi nzima mfano mkoa mmoja unaakili watu milioni zaidi ya mtu mmoja zaidi ya serikali mfumo

    • @elimikasasa643
      @elimikasasa643 20 дней назад

      @fidelfidel-jz4iw umesoma ulichokiandika?

  • @eliudicharles4936
    @eliudicharles4936 День назад

    Wapuuzi mnachanganya lugha

  • @BonifaceBonala-w9j
    @BonifaceBonala-w9j 20 дней назад +3

    Wanyanganyi wengi sana tz ira wakwanza ni viongozi wa ccm nimajizi wameunda Adidas jeshi la akiba wanaitwa wasio jurikana

  • @amanindonde4498
    @amanindonde4498 20 дней назад +3

    elimu ya mjinga ni majungu.

  • @SimonShoo-m4b
    @SimonShoo-m4b 20 дней назад +2

    Kwa mantiki hiyo Joseph kusaga atakuwa tajjiri

  • @DaddisoPro
    @DaddisoPro 17 дней назад +2

    Prophet i.p.m nayeye n mlimwengu🤣🤫🤫

  • @goldenkanikichannel8009
    @goldenkanikichannel8009 19 дней назад +2

    Tusiongee tusichokinua ila kwa akili ya kawaida kila mwanadamu anakuwa na nguvu anayoitagemea hiyo ni lazima
    MITI AU MAWE AU WANYAMA AU IMANI FULANI

  • @nelsonlyanga696
    @nelsonlyanga696 21 день назад +4

    Naendelea kujifunza

  • @mhabimina4023
    @mhabimina4023 21 день назад +2

    🔥🔥🔥💯

  • @ShamteMatola
    @ShamteMatola 21 день назад +3

    Nawapata wazee elimu kubwa wazee

  • @alonto8159
    @alonto8159 20 дней назад +2

    @wachokonozi,nataka kujua,Hiyo connectivity ni nn!? Tunaomba mtueleweshe

  • @Enock09_golden
    @Enock09_golden 9 часов назад

    Nyie acheni kuwa pote za watu kumbukeni mtapata mnacho kitafuta acheni ujinga ujinga kama huu na mtubu dhambi hizi

  • @DavistaOne
    @DavistaOne 19 дней назад +3

    Hii inatakiwa kila wiki mnakaa kimya sana me naingia RUclips kwa ajiri yenu tuu

  • @RichardMheziwa-g3f
    @RichardMheziwa-g3f 21 день назад +3

    Asante kwa matirio mnayo nipa

  • @charlesmbaluka-eb2um
    @charlesmbaluka-eb2um 19 дней назад +1

    hio nayo kweli kabisa babu

  • @mazagazagaonlinetv9775
    @mazagazagaonlinetv9775 21 день назад +3

    Kumbe tnznia akuna mtajili😢😢😢

  • @IshengomaRugemalila
    @IshengomaRugemalila 20 дней назад +3

    Nawaelewaga vijana wagambushi

  • @hakimumlimakifi6576
    @hakimumlimakifi6576 2 дня назад

    Huyo ni Nabii IPM

  • @omario390
    @omario390 8 дней назад

    naomba kujua bitabu vyenu wanazengo..!

  • @matarojackson1023
    @matarojackson1023 11 дней назад

    Watanzania ni wepesi wa kuambiwa jambo na wanaamini.

  • @mpenzisamaki9488
    @mpenzisamaki9488 10 дней назад

    Dah nyie jamaa nyie ka Kuna siku nimewaelewa ni Leo

  • @NachaKing-nj7cp
    @NachaKing-nj7cp 21 день назад +3

    Mada zuli sana hyi tuna omba mwendelezo chokonoen kisawa sawa

  • @JeffHustle-d2v
    @JeffHustle-d2v 21 день назад +5

    Nawakubal kama vip hii iwe na muendelezo Wachokonozi

    • @wachokonozi_
      @wachokonozi_  21 день назад +4

      @@JeffHustle-d2v inaendelea...

  • @KhalidKatumboo
    @KhalidKatumboo 21 день назад +1

    uo ni upeo wa juu wa uelewa

  • @joansjbl8651
    @joansjbl8651 19 дней назад +2

    Unaongelea iman au njia za mafanikio... Au inamaanisha ukiwa na izo connectivity huna sababu ya kua na imani ya kdn😮

    • @bwanashambatanzania5178
      @bwanashambatanzania5178 17 дней назад

      Umeambiwa dini no propaganda na uhuni na uongo. Wewe bado unarudia mlemle inaonesha kiasi Gani dini ilikuingia.

  • @robertsongola6034
    @robertsongola6034 21 день назад +3

    Maana huwa na waza huenda Yupo ila njia tunayo Tumia kumuomba sio sahihi maana ni njia tulio letewa na wazungu na waarabu lakini tukitumia njia zetu za zamani na kufuata taratibu tunaendelea kuishi katika ukuu wetu

    • @godfreymsemwa
      @godfreymsemwa 21 день назад +2

      Nakuunga mkono mkuu

    • @fredygerald3549
      @fredygerald3549 21 день назад +1

      Hizo ni Fact

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl 21 день назад

      Nyie mbamuomba binaadam ndiyo maana mnajiona hampo sahihi...ss.waislam tunaamini tupo sahihi atutishiki na mtu wala masweitwani wala washilikina ​@@fredygerald3549

    • @JomoKilawe
      @JomoKilawe 21 день назад

      Naunga Mkono Hoja ✍️✍️

    • @bakariomary5781
      @bakariomary5781 20 дней назад

      Humo tuuu

  • @ValenceKazoba
    @ValenceKazoba 10 дней назад

    Mwaka mpya huu 25 wape ukweli Wana Afrika

  • @johnkitwima6963
    @johnkitwima6963 21 день назад +4

    Prophet MP huyo😂😂😂

  • @tinnahagustinolyelu4247
    @tinnahagustinolyelu4247 21 день назад +3

    Kabisa kufanikiwa ni kipengele kirefu saana watu wabishi wanaona kawaida nawapata

  • @wizzmoh
    @wizzmoh 20 дней назад +2

    🙌🙌

  • @germanusmahulu2900
    @germanusmahulu2900 15 дней назад +2

    Aisee nyinyi ndo tunu ya taifa sasa

  • @mkaziwakazi9182
    @mkaziwakazi9182 14 дней назад +1

    I got something here 🙏

  • @anordgerison8639
    @anordgerison8639 21 день назад +2

    Nawapata vyema sana na nawaunga mkono ila kwenye mambo ya MUNGU siwaungi mkono

    • @LoneWolf-ng8yg
      @LoneWolf-ng8yg 21 день назад +1

      Endelea kukaza shingo bro 😂😂

    • @anordgerison8639
      @anordgerison8639 21 день назад +1

      @LoneWolf-ng8yg God is super natural power ... Ingawa Kuna miungu mingine .. wewe Kama huamini ktk MUNGU , endelea kuamini ktk waganga .. Ila Mimi nachojua n kuwa MUNGU Ana nguvu kuliko waganga na wachawi .

  • @NachaKing-nj7cp
    @NachaKing-nj7cp 21 день назад +3

    Wachokonozi mada kama hz nizulisana , chokonoen pande hz za watu ilitufanikiwe

  • @joycekajivo915
    @joycekajivo915 20 дней назад +5

    IPM told us about it kweli haya mambo ni ya kiulimwengu
    Nawafuatilia sana kinafunguafikra mno

  • @PaulKidula-o9g
    @PaulKidula-o9g 8 дней назад

    Gamboshi😂

  • @BonifasNtibarahila-ee4ih
    @BonifasNtibarahila-ee4ih 21 день назад +2

    Na ndiomaana wanaofanikiwa ,wanazalisha kwa juhudi sana ili kuutafta uchumi kwanch zisizo nauwezo hatimaekuwanunua kamawateja wajenzi, Hayomengne yapo kamanjia yapili ya hatari sana ,au mpangokabambe wa Devo.

  • @makenkandi3899
    @makenkandi3899 21 день назад +3

    Vitabu vyenu naweza vipata kwa njia ipi?

  • @kasimur9422
    @kasimur9422 20 дней назад +2

    ❤🙌🙌🙌

  • @edsonnelson4464
    @edsonnelson4464 21 день назад +2

    Kutia bidii kwenye kazi kunaleta mafanikio, uwajibikaji a cheni kuamini

    • @LoneWolf-ng8yg
      @LoneWolf-ng8yg 21 день назад +1

      Bidii na uajibikaji katika kazi unaleta faida kwa mwajili 😂😂😂

  • @KastoStephan
    @KastoStephan 8 дней назад

    Kaka me naitaji kitabu

  • @TryphonRabson
    @TryphonRabson 21 день назад +3

    wachonozi naomba muwafungue mafara kuhusu kufunga ndoa izi za kuvaa suti na neti je ni ndoa? Za kuapa kwa mashehe na wachungaji cyo mioyoni je ni ndoa? Na je kuna ndoa?

  • @anordgerison8639
    @anordgerison8639 21 день назад +4

    😂😂😂😂😂😂 kusudi la kuongea ivo n nn 😂😂😂😂😂

  • @elibarikimanjia8391
    @elibarikimanjia8391 9 дней назад

    Hawa watu wawekewe ulinzi ni hazina Kwa taifa

  • @AibotTech-s1i
    @AibotTech-s1i День назад

    Huyu jamaa kikofia kuna siku ataamka atagundua bado hajaamka! Amejua vitu fulani viachache badala vimfanye aamke vimemfanya akawa arrogant which is an ego

  • @AgripinaKivike
    @AgripinaKivike 21 день назад +2

    Munngu ndie asili ya nguvu inaayomfanikisha mwanadam au kibali ndo hiyo wengine mnaita connectivity ila hamtaki kumtaja Mungu

    • @JustinKochecha
      @JustinKochecha 19 дней назад

      Aliyekuambia kun mungu ni nani? Na lengo lake lilikuw n nn? Ametimiz leng au bdo?

    • @lucasmanyama4677
      @lucasmanyama4677 11 дней назад

      Wapumbavu husema moyoni hakuna Mungu kama Mungu hayupo dunia imekaa juu ktu gan na ww umetoka wap Acha kusikiliza stor za shetan

  • @goodlucktemu3149
    @goodlucktemu3149 19 дней назад +2

    Tanzania tunaishi wachache

  • @seifkulwa3346
    @seifkulwa3346 17 дней назад +1

    Astrology and numerology, tunaanzia hapa kupata Muunganiko huu planets and Zodiac sign we have connectivity.
    The book of king Solomon say, God have revealed me the secrets of planets and stars!

  • @JeffHustle-d2v
    @JeffHustle-d2v 21 день назад +3

    Nawaombeni hii mada iwe na muendelezo

  • @ShedrackFaustin
    @ShedrackFaustin 20 дней назад +2

    DNA za israel zachafua hewa,,😂😂😂

  • @isackmachiyanshoka6754
    @isackmachiyanshoka6754 21 день назад +2

    Eti gamboshi, mmenichekesha sana nyie kumbe hata gamboshi mnaijua!?..

  • @adamlikati3364
    @adamlikati3364 20 дней назад +1

    The greatest of man is not on wealth he or she accumulated

  • @alfREX-a
    @alfREX-a 21 день назад +8

    Hapo kwenye kujiconnect unajiconnect na nini au nani?

    • @TryphonRabson
      @TryphonRabson 21 день назад +1

      kaa na ujinga huo dunia bila wajinga cyo dunia ww n jinga

    • @ahmedimakope
      @ahmedimakope 20 дней назад +2

      ​@@TryphonRabsonMzee mtu kauliza swali wew unamuita mjinga ,ilibidi umjibu tu

    • @MwitaMarwa-s6u
      @MwitaMarwa-s6u 20 дней назад

      connect na internet

    • @fahamumagazine
      @fahamumagazine 18 дней назад

      Kwan TITLE ya hii video inasemaje? Ebu acheni maswali ya kitoto. Mada imeeleweka au umekimbilia tu kukoment

    • @bakarisaidi3022
      @bakarisaidi3022 15 дней назад

      We punguza ufala jibu swali uliloulizwa

  • @NaamanOgare-mm6fz
    @NaamanOgare-mm6fz 7 дней назад

    Mi ni mtu nayeishi

  • @godchila8013
    @godchila8013 21 день назад +2

    Heard

  • @MtatuziTz
    @MtatuziTz 21 день назад +3

    ipm is typing

  • @lucasndaganiwe5764
    @lucasndaganiwe5764 15 дней назад +5

    Maada ya kipumbavu wachokonozi na wanao support hoja zenu ni mwenda wazimu kama ume kufa ni wewe na familia yako

    • @jacksonpetro495
      @jacksonpetro495 2 дня назад

      Wanaowasapoti hawa jamaa hawajui lolote, jamani nasema tumrudie MUNGU wetu aliyetuumba wanadamu na mbingu na nchi.

    • @jacksonpetro495
      @jacksonpetro495 2 дня назад

      Jamani hukumu inakuja tumrudie muumba wetu MUNGU aliye hai aliyeziumba mbingu na nchi, tuache kusikiliza watu wenye kutupoteza.

  • @mussamakinda8076
    @mussamakinda8076 9 дней назад

    Daa oya kamawajinga ila mnakitu inabidi tuwaeelewe

  • @elimikasasa643
    @elimikasasa643 20 дней назад +1

    Hiyo connectivity bila bidii au jitihada kuna mafanikio?

  • @BonifasNtibarahila-ee4ih
    @BonifasNtibarahila-ee4ih 21 день назад +2

    Siokwel? ,kunajitihada na sio connectivity

  • @MudrickJunior26
    @MudrickJunior26 20 дней назад +2

    Someni The book of wisdom ndo mtaelewa matirio yote ya wachokonozi

  • @IddiAhmada
    @IddiAhmada 8 дней назад

    Wachokonozi vitabu vyenu vinapikina au na vinapikina wapi?

  • @princekassimtz
    @princekassimtz 15 дней назад +1

    IPM tumeona nguvu yako ya uelewa 🎉asante @wachokonozi 🙏