MASIKINI WANATAFUTA VITU NA PESA, MATAJIRI WANATAFUTA WATU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 янв 2025

Комментарии • 119

  • @MsangoDiesel
    @MsangoDiesel 18 дней назад +8

    ❤mwanzo nilikuwa siwaelewa ila nilivyo kuwa nawafwatia zaidi nikajua mnavitu vya ziada vizuri kwa kazi nzuri mnayoifanya leteni madini mapya.

  • @LeonardFrancis-hk9ku
    @LeonardFrancis-hk9ku 19 дней назад +10

    Sawa kabisa, popote mlipo mnitambuwe kama mwanafunzi wenu wakuu😌

  • @official_wjb_tz1589
    @official_wjb_tz1589 19 дней назад +14

    Elimu wanayo toa hawa jamaa hamna university yoyote utaipata

  • @mponjori
    @mponjori 17 дней назад +3

    nawapenda sana nyie jamaa daaah mmenifanya nijielewe sanaaaaa❤❤❤❤❤

  • @adambaton5521
    @adambaton5521 19 дней назад +7

    Kweli kabisa akili ndogo haiambiwi mambo makubwa shida ya afrika ukimpa mtu sili ya malimwengu anaanza kukutangaza kwa watu

  • @mohamedkisenga6654
    @mohamedkisenga6654 6 дней назад

    Noma sana yan nyie nomaaa na mtafika mbali naonaa

  • @martinemhina-ko8gb
    @martinemhina-ko8gb 19 дней назад +4

    mada nzuri san, asante sana mnatusaidia sana sisi vijana

  • @husseinmayai9941
    @husseinmayai9941 9 дней назад

    Katika Siku Niliowaelewa Wachokonozi Leo Nimewaelewa San hii Energy inahusisha Nidhamu ya Pesa Big up

  • @SILIVERYSixbeth-s3x
    @SILIVERYSixbeth-s3x 19 дней назад +3

    Safi sana wakubwa mnaweza kuelewesha jamii yetu kwa ujumla❤❤❤tunawapenda sana

  • @getajo1153
    @getajo1153 19 дней назад +4

    Honestly speaking mmenipa mwanga mpya kwenye maisha, sasa hivi na mimi nimeamua kuwapa watoto wangu ELIMU YA UTAMBUZI wapate kujifahamu WAO WENYEWE, WATU WALIOWAZUNGUKA NA MAZINGIRA waliyoypo... Natumia nusu saa kila usiku nikitoka mihangaikoni kuwapa hii ELIMU ambayo mimi sikuwahi kupewa... Najitafuta ili nipate vitabu vyenu...

  • @HarrisOthman-p7i
    @HarrisOthman-p7i 3 дня назад

    Mm nakubali sana wanachosema

  • @josephjoackim1306
    @josephjoackim1306 19 дней назад +2

    Wàchokonoz mnatuchanganya umesema hakuna kitu kinaitwa mungu na kwenye nyimbo zako unasema umeumbwa na mungu ip ni ipi sasa

    • @magrethjames-d7q
      @magrethjames-d7q 18 дней назад

      Umewaza ni m/Mungu gan ametajwa kwenyewimb....?

    • @maukazalex3526
      @maukazalex3526 17 дней назад

      @@magrethjames-d7q Ukisema Mungu ni mmoja tu ao wengine ni miungu

  • @FestoMajaliwa-f6x
    @FestoMajaliwa-f6x 19 дней назад +8

    Asanteni sana nilikuwa nawa subiri wakubwa nawakubali Sana wachokonozi ❤

  • @BarnabasFabiani
    @BarnabasFabiani 19 дней назад +3

    ❤kazi nzuri sana

  • @JenkinsJaffrieskamrein5063
    @JenkinsJaffrieskamrein5063 22 часа назад

    aiiii aiiii, yaani huku kenya mimi napata elimu zaidi toka kwenu wachokonozi bana....mambo ya sadaka kanisani kwanza nimekata kwanzia leo

  • @ElyseNsanzigaba
    @ElyseNsanzigaba 19 дней назад +2

    Nakubali mulindoko, hio ndio akili turikuwa tunasubiri toka kitambo,zidi kutupa ukweli

  • @SaidiRaul
    @SaidiRaul 19 дней назад +7

    Mnatulisha vitu adimu kwenye hii dunia

  • @maulidmtowi3937
    @maulidmtowi3937 19 дней назад +4

    Nimejifunza jambo mhimu sana kwenye masomo yenu naanza kuelewa

  • @elibarikimanjia8391
    @elibarikimanjia8391 10 дней назад

    Much love to you!!

  • @magrethprosper3397
    @magrethprosper3397 19 дней назад +4

    One day I'll be like you.thank you😊

  • @ChifuiJuma
    @ChifuiJuma 18 дней назад +1

    Great knowledge

  • @LucyNgowi-r2o
    @LucyNgowi-r2o 19 дней назад +1

    Hongereni kwa kutuelimisha

  • @LoySamueli
    @LoySamueli 9 дней назад

    Kwaleo umejaribu kusoma thanks

  • @Zilizopendwa_60s
    @Zilizopendwa_60s 18 дней назад +1

    Hii kubwa sanaa...."watu wanahitaji kuamka

  • @ShamteMatola
    @ShamteMatola 19 дней назад +3

    Dah hiyo nimeisoma wazeee nikweli mumepiga moyowangu aiseeeee no baraa

  • @mashramadhani1989
    @mashramadhani1989 18 дней назад +1

    Vitu vya. akili mnaongea safi ndugu zetu

  • @abdallahamin4997
    @abdallahamin4997 19 дней назад +3

    Huyu msukuma ndo mchokonozi halisi daaah mnafiki kwel anaitikiya kama hajui kabisa yani.

  • @crecknerz5661
    @crecknerz5661 19 дней назад +1

    Conscious awakening ✨

  • @JosefNgulinzila
    @JosefNgulinzila 18 дней назад +2

    Pamoja Sana miambaaaa!!!

  • @mhabimina4023
    @mhabimina4023 19 дней назад +1

    Kweli kbisa 🔥🔥🔥👌

  • @privaushaki7395
    @privaushaki7395 19 дней назад +1

    Leo mmeongea funzo zuri sana

  • @Solomonnize
    @Solomonnize 9 дней назад

    Hapo kwa Mashehk na ufugaji wa njiwa nimeona na leo nimeelewa

  • @NachaKing-nj7cp
    @NachaKing-nj7cp 19 дней назад +4

    Hapa pasi ishe pa chokonolewe vizuli

  • @mckobatz5861
    @mckobatz5861 19 дней назад +1

    Eti kanisani wale ni kuku huyu mchokonozi wa upande wa kuume wa Master Mlindoko mkuda mnooo😂😂😂

  • @godchila8013
    @godchila8013 17 дней назад +1

    Etii hii kituu haifanyi kazii😂😂😂😂

  • @apostlejacksonkalinga5191
    @apostlejacksonkalinga5191 17 дней назад +2

    Wewe ulijiye jikonecti una shililngi ngapi?

  • @EmmanuelMathias-c7f
    @EmmanuelMathias-c7f 17 дней назад

    Mko vizuri

  • @jacksonseleman4292
    @jacksonseleman4292 19 дней назад +1

    Mmh 🙌🙌🙌🙌

  • @answarhtb3072
    @answarhtb3072 18 дней назад +1

    Nakubali

  • @nelsontemba-zc4zt
    @nelsontemba-zc4zt 18 дней назад +1

    Oya hamuogop kutekwa 😂😂😂😂 maana kiafrika hatupendi ukweli uliopitiliza maana hawajiulizi kwann mungu alimuacha shetan

  • @isaacktweve3773
    @isaacktweve3773 19 дней назад

    Niishie 😂😂😂😂😂😂Hii imeenda.

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 19 дней назад +3

    Hili somo ni KUBWA SANA ,umetoa siri ya ajabu

  • @LusekeloSikaponda
    @LusekeloSikaponda 19 дней назад +3

    kama unawasikiliza awa majama lazima nawew uwe mchokonozi🎉🎉

  • @mwl.michaelsainethmlowe2641
    @mwl.michaelsainethmlowe2641 19 дней назад +1

    Hatale sana ala 😂 moto na baridi e

  • @EliasJustinMdingi
    @EliasJustinMdingi 19 дней назад

    Aiseeeeh! leo nimegundua ni kwa nn sikai na hela!
    kumbe nakosea formula;

  • @SADICKDABALY
    @SADICKDABALY 19 дней назад +7

    Hii kubwa kulikoo

  • @JoelIsaya-m9b
    @JoelIsaya-m9b 19 дней назад +1

    Mnaweza

  • @BarakaNtale-xe3hx
    @BarakaNtale-xe3hx 18 дней назад +1

    ❤❤ Chokonozi ❤❤😊😊😊

  • @NachaKing-nj7cp
    @NachaKing-nj7cp 19 дней назад +2

    Hii kubwa kuliko isi ishe mbaka mwakani

  • @bahatisaimon6019
    @bahatisaimon6019 19 дней назад +1

    Nawapata kiusahii 🎉

  • @lusekelomwasandube2992
    @lusekelomwasandube2992 19 дней назад +1

    Asanteni sana

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 13 дней назад

    Duuu hawa jamaaa sijui vuchwa vyao viko sawa au vip

  • @crypto54m27
    @crypto54m27 13 дней назад

    Naomba kuwauliza Wachokonozi. Hivi issue ya Michango ya harusi na michango ya misiba imekaaje?

  • @maukazalex3526
    @maukazalex3526 17 дней назад +1

    Ila me naona hapa duniani atuwezi kuwa sawa

  • @NachaKing-nj7cp
    @NachaKing-nj7cp 19 дней назад +1

    Tuna lala tuna chokonoa tuna amuka tuna chokonoa

  • @luckyff6738
    @luckyff6738 19 дней назад +1

    connected nimeona hi ikon poa

  • @danctheyoung
    @danctheyoung 19 дней назад +1

    Pamoja sana

  • @aristotemohamedmz5979
    @aristotemohamedmz5979 15 дней назад

    Hata msikitini tunatowa hela lakini wanatupa chakula , nyama, Michèle etc

  • @JeffHustle-d2v
    @JeffHustle-d2v 19 дней назад

    Nawaelewa sana

  • @suratibrahim6417
    @suratibrahim6417 18 дней назад +1

    Daima naishi nanyi✍️

  • @ShamteMatola
    @ShamteMatola 19 дней назад +2

    Jomri naomba tafsiri ya njia ya moto kuiyendea na njia ya baridi namna ya kuiyendea naomba darasa nipo tayali kulipia

  • @bulayaconfidential7212
    @bulayaconfidential7212 19 дней назад +1

    Chief godlove typing….

  • @jaliwajamson2504
    @jaliwajamson2504 13 дней назад

    Bila D 2 hutoboi hawa jamaa nimewakubali

  • @paschalcharles3617
    @paschalcharles3617 5 часов назад

    Unatafita HELA kwa nguvu unaenda kuhonga wigi , hiyo hata Mimi nilishagakataa huo UJINGA

  • @bonifaceferdinand566
    @bonifaceferdinand566 18 дней назад +1

    Kwaajili ya show off wangi wamepelekwa kwa mpalange

  • @tinnahagustinolyelu4247
    @tinnahagustinolyelu4247 10 дней назад

    Yaani mpaka Yesu anakuja maskini ni lazima wawepo ila binadqmu tunategemeana maskini anamtegemea tajili na tajili anamtegemea maskini

  • @JusticeKleva
    @JusticeKleva 18 дней назад +1

    Soma malaki3:1-- zaka na sadaka ni muhimu ili YESU amkemee alaye nawakalibisha tusome biblia mbalikiwa yesu amesema atamwaga balaka

    • @besttrendingcovers1838
      @besttrendingcovers1838 17 дней назад

      Yesu hakujui wewe fanya connectivity na mizimu yenu utajijua wewe ni nani na ufanye nini

  • @fridalyanguka1733
    @fridalyanguka1733 19 дней назад +2

    Mnaongea ukweli wakina kaka ndio maana Mimi nimeacha kwenda makanisani kwani tunatapeliwa na hao wanaojiita
    Wachungaji.

    • @MiziziMti
      @MiziziMti 8 дней назад

      Kwani unarazimishwa kutoa Sadaka?

    • @fridalyanguka1733
      @fridalyanguka1733 8 дней назад

      Sio tu kutoasadaka dini ndio uchawi wenyewe na ukiendekeza ndio unakuwa ovyo kuliko ambavyo haujakuwa na dini.

    • @paschalcharles3617
      @paschalcharles3617 5 часов назад

      ​@@fridalyanguka1733hizi DINI za KISASA hasa za walokole ni utapeli MKUBWA DINI eti ni kampuni la MTU, eti walokole ukichukua mzizi ukala au dawa ya mitishamba wanaita ushirikina Bora mkristo wa katoliki hakunaga MAMBO mengi kule mpaka ubani tunavukiza na mbuzi tunachinja kama matambiko hama huko kwenye DINI za mafuta ya upako😂

  • @apostlejacksonkalinga5191
    @apostlejacksonkalinga5191 17 дней назад +1

    Hizoi kanuni ni kanuni za kichawi

  • @ChamkaeKisengo
    @ChamkaeKisengo 13 дней назад

    Je kwa pesa ya mshahara ambae ameajiriwa differ ambae nimfanya biashara

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 19 дней назад +1

    Kaka ya chadema yametimia

  • @alexmahenge9408
    @alexmahenge9408 13 дней назад

    Elon aliulizwa kama anaogopa kupoteza utajiri alonao akasema haogopi kwakuwa ataanza upya kwa kutumia kanuni ile ile😊

  • @FaridaPanda
    @FaridaPanda 10 дней назад

    ❤❤❤❤❤

  • @PetroSimwaka-u9k
    @PetroSimwaka-u9k 18 дней назад +1

    Nimajiniazi hawajamaa

  • @FadhiliEmanueli-w3x
    @FadhiliEmanueli-w3x 18 дней назад +1

    Kwa nn wanyang'anyi wakati walitumia jitihada zao kuipata hiyo mali

  • @nzegeatv6355
    @nzegeatv6355 18 дней назад +1

    Mbona walabu wana dini lkn pia pesa wanayo

    • @wachokonozi_
      @wachokonozi_  17 дней назад +2

      Ule ni utamaduni wao sio dini.

  • @mwakiosalim2914
    @mwakiosalim2914 19 дней назад +1

    🙌🙌🙌🙌❤❤❤❤

  • @bazzohtv9488
    @bazzohtv9488 19 дней назад +1

    Show off ndo inaua vijana wa kiafrica.

  • @SingoyeThomas
    @SingoyeThomas 11 дней назад

    Vitabu vipo kwelll????

  • @EmmanuelMathias-c7f
    @EmmanuelMathias-c7f 16 дней назад

    Vipi kuhusu mkopo kwa wanachuo ase

  • @wizzmoh
    @wizzmoh 18 дней назад +1

    Tuko live na maisha

  • @OmaryMohamed-nr4nk
    @OmaryMohamed-nr4nk 16 дней назад

    Mura aiseee kweny simu hapo si normal business tuu mzee

  • @Nicksharkofficial
    @Nicksharkofficial 16 дней назад

    Mko sure nyinyi ni binadamu?

  • @NeemaJulius-r6u
    @NeemaJulius-r6u 18 дней назад +1

    Hizi formula tunahitaji kuzijua Ili tujiconnect wentewe au Hadi tuwe connected!

  • @agustinohizza1395
    @agustinohizza1395 17 дней назад +1

    Niliwasikiliza wahazbe pale clauds fm niliwaelewa sana kuhusu kuabudu kuliko nyinyi nyinyi na ZUMARIDI DAM DAM tofauti ni njia

  • @MisheckSiame-si1yo
    @MisheckSiame-si1yo 18 дней назад +1

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @markomsangawale
    @markomsangawale 19 дней назад

    Nikweli

  • @fredychristopher636
    @fredychristopher636 19 дней назад +2

    TUNAOMBA UTUELEKEZE NAMNA YAKUJICONNECT NA ULIMWENGU TUELEKEZE KIONGOZII

  • @NachaKing-nj7cp
    @NachaKing-nj7cp 17 дней назад +1

    Tupeni ufafanuzi kwenye moto nA balidi

  • @JomoKilawe
    @JomoKilawe 19 дней назад +1

    ✍️✍️✍️

  • @footbool-wk9ux
    @footbool-wk9ux 12 дней назад

    nyie manabii

  • @MaseleYohana-my2gs
    @MaseleYohana-my2gs 9 дней назад

    Wakristo jifunzen hapa somen unabii yote yameandikwa. Kasomen biblia, huku angalia tuu

  • @freddybaziraomari
    @freddybaziraomari 18 дней назад +1

    Lèo mumetisha😊😊 guys

  • @aristotemohamedmz5979
    @aristotemohamedmz5979 15 дней назад

    Waaachokonowzi

  • @shizmansamuel022
    @shizmansamuel022 19 дней назад

    Hata viongozi wa serikali wanatumia gharama ya M200 kwenda kuzindua mradi wa M20 mafala ni wengi sana wazee😢

  • @BuraramaKwibe
    @BuraramaKwibe 17 дней назад +1

    How do i get this guy's contact can anyone help me

  • @dunialehani6188
    @dunialehani6188 11 дней назад

    Nahomba ufahawa katika utaratibu na mpagilio wa Dunia rangi nyeupe ina hashiria nini ? na homba ufahamu tafadhali

  • @prayphilimoni1859
    @prayphilimoni1859 17 дней назад +1

    kweli kuna wa2 n matter core unaambiwa lazima uwe connectivity unaaza kusema mtu asome hy malak.

  • @WTC492
    @WTC492 18 дней назад +1

    WACHOKONOOZ

  • @answarhtb3072
    @answarhtb3072 18 дней назад +1

    Sahihi