OMBAOMBA USIWAPE PESA UNAJI-BLOCK

Поделиться
HTML-код

Комментарии • 103

  • @LusekeloSikaponda
    @LusekeloSikaponda Месяц назад +19

    awa majama ni noma na naamini kuna mtu anayeweza kucharange nao na akashinda apa East Africa anae kubali tia like

  • @blackwarrior-animations593
    @blackwarrior-animations593 Месяц назад +23

    Hizi elimu mnatoa ni za Kulipia kabisa ...😅.
    Ingenius

  • @mwakiosalim2914
    @mwakiosalim2914 Месяц назад +15

    Cc kenya ndio lazma tukule chakula cha kiroho kutoka kwa wachokonozi❤❤❤❤

  • @erichakizimana6024
    @erichakizimana6024 Месяц назад +7

    Wachokonoziii ❤❤❤
    Nawaelewa sana Mimi niwahuku🇧🇮🇧🇮🇧🇮✌🏼

  • @SmilingFuchsiaFlower-jl7dg
    @SmilingFuchsiaFlower-jl7dg Месяц назад +7

    Pamoja sana wazee wa connection asili irudi kwa hoja nzito kama hizi.

  • @rahimibrahim5465
    @rahimibrahim5465 Месяц назад +2

    Hahah great thinkers nawakubari sna ma brother hv kwann usiwe na darasa Kwa hatakae taka kujuzwa baadh ya mambo

  • @bonifaceferdinand566
    @bonifaceferdinand566 Месяц назад +5

    Chief God love unaugonjwa wa akili,hutakiwi kuonesha watu umefanikiwa bali unatakiwa ufanikiwe kweli kweli,hata joel nanauka alishawahi kulizungumza hili 😂😂😂

  • @RobsonLugomi
    @RobsonLugomi Месяц назад +7

    Chief Godlove is trying......?😂😂😂😂😂

  • @BarnabasFabiani
    @BarnabasFabiani Месяц назад +7

    Hapa tupo pamoja nikama kambi ya jesh hai post tiwi wala kupigwa picha ❤kazi nzuri

  • @ibraahndongo5418
    @ibraahndongo5418 27 дней назад +2

    Mm nataka uzungumzie kuhusu betingi

  • @titusjuma3852
    @titusjuma3852 Месяц назад +2

    From Kenya 254❤

  • @anordgerison8639
    @anordgerison8639 Месяц назад +3

    Haya majamaa yana Akili sana ❤❤❤

  • @AntonyIbrahim-d2w
    @AntonyIbrahim-d2w Месяц назад +2

    Nimependa sana

  • @davidTentacion3104
    @davidTentacion3104 Месяц назад +7

    Vitu kama hivi inabidi ulipie lakini wahuni tume blessiwa Bure tuu

  • @jaystrongmagaboy1633
    @jaystrongmagaboy1633 Месяц назад +5

    Nawakubali sana wachokonozi

  • @bahatisaimon6019
    @bahatisaimon6019 Месяц назад +2

    Nyie walimwengu wenzangu kiukweli nawakubali sana 🎉😊

  • @DaddisoPro
    @DaddisoPro Месяц назад +2

    Wakuu meua san

  • @calvincletus5233
    @calvincletus5233 Месяц назад +2

    Awa jamaa wanakitu sna

  • @official_wjb_tz1589
    @official_wjb_tz1589 Месяц назад +2

    Huyu jamaa anaweza akakaa na jopo la ma raisi akawapa lecture na wakaelewa

  • @BernadoMayala
    @BernadoMayala Месяц назад +3

    Chief Godlove ni mgojwa amekulia kwenye family ya ziki kumbe ndio maana Aaah

  • @ShamteMatola
    @ShamteMatola Месяц назад +6

    Mrindoko naomba erimu ya kujikonekti na mambo ya kilimwengu nataka kuishi kilimwengu naomba darasa Hilo hata nipotayali kulipia

  • @ShadeeMzawa-e4r
    @ShadeeMzawa-e4r Месяц назад +3

    Familia yangu kabisaa bila kukosaa mnatsha

  • @Yakobo-er1ig
    @Yakobo-er1ig Месяц назад +8

    ila huyu jamaa anahoja vijana tumsikilizee

  • @tekashichannel
    @tekashichannel Месяц назад +1

    Hii mi jamaa ina akili sanaa yaan 💯 💯

  • @willenmtafungwa1920
    @willenmtafungwa1920 Месяц назад +15

    Nimekuwa nikiwaambia sana kwamba freemason sio ushirikina lakin huwa hawaelewi Watanzania wanapenda kuongea vitu wasivyovijua.

    • @nelsonmumghamba
      @nelsonmumghamba 27 дней назад

      Hawa jamaa Kuna sehemu na waelewa na sehemu siwaelewi.Ila kwenye hii nimewaelewa sana

    • @barakayekonia7468
      @barakayekonia7468 23 дня назад

      Elezea nn maana ya freemason

    • @willenmtafungwa1920
      @willenmtafungwa1920 22 дня назад

      @barakayekonia7468 secret society 😅

  • @MetoIgotyou
    @MetoIgotyou Месяц назад +2

    Mbna mnamsema chief godlove

  • @ChifuiJuma
    @ChifuiJuma Месяц назад +1

    Kazi safii wachokonozi

  • @gamarey6948
    @gamarey6948 27 дней назад +1

    Big point🤙🤙🤙

  • @BarakaNtale-xe3hx
    @BarakaNtale-xe3hx Месяц назад +2

    Bravo chokonoaji

  • @pascaljohn6030
    @pascaljohn6030 Месяц назад +3

    Hiki ndio kitu nilikua nataka kujua zaidi katina maisha yangu maana nimeshasumbuka na hawa ombaomba kila nikiwapa hela tu madili yangu yanafeli kinsman yani.

  • @aristotemohamedmz5979
    @aristotemohamedmz5979 29 дней назад +3

    Lakini matajiri nawao wana toa zako na sadaka (pesa)

  • @calvincletus5233
    @calvincletus5233 Месяц назад +1

    Sadaka ya kwl ik kwny mayatima ukipta pesa nenda kawapelekee mayatima fnya mara tatu kwa mwaka ! Peleka mahitaji sio pesa hii ndo kanuni ya maisha

  • @NhungaWanyama
    @NhungaWanyama Месяц назад +4

    Hii mijamaa ina akiri kubwa!!

  • @NachaKing-nj7cp
    @NachaKing-nj7cp Месяц назад +8

    Chokonoen kwenyepesa kama hvi yani mada ikopoa

  • @schigangermayala7706
    @schigangermayala7706 Месяц назад +2

    Mm sitoagi sadaka. .

  • @JusticeKleva
    @JusticeKleva Месяц назад +2

    Imeandikwa akuombaye mpe na akukopaye usimpe kisogo sasa unapotoa toa kwa jina yesu ndivyo biblia isemavyo

  • @LeonardFrancis-hk9ku
    @LeonardFrancis-hk9ku Месяц назад +2

    Elimu adim sana hii!

  • @MshaniiKijicho
    @MshaniiKijicho 28 дней назад +2

    Kujiunga nasi bonyeza hapa ni. Bure

  • @OmariChanja
    @OmariChanja 23 дня назад

    Big lesson

  • @JumaKipingu-h4z
    @JumaKipingu-h4z Месяц назад +6

    Chief

  • @JeffHustle-d2v
    @JeffHustle-d2v Месяц назад +2

    Nawakubal sanaaaa

  • @EmmanuelMagesa-u1g
    @EmmanuelMagesa-u1g Месяц назад +4

    kwahiy matajirii au watu walokuwa conectivity msiwe mnawalaum wao wanajuah kwann hawawapii pesa wanawapa njia ya kutafuta pesa

  • @golebenson4597
    @golebenson4597 Месяц назад +2

    Kagomjwa ila kanpona😂😂

  • @Abdullymanathi
    @Abdullymanathi Месяц назад +1

    safi sana

  • @alonto8159
    @alonto8159 Месяц назад +2

    MMENIFUNDISHA KITU KIKUBWA SANA 🙏🏽🙏🏽🤝

  • @NyarT255
    @NyarT255 Месяц назад +1

    Kaka zangu mwenyewe🎉🎉🎉

  • @NiyongabireEgide-h4g
    @NiyongabireEgide-h4g Месяц назад +2

    😂🎉🎉🎉 amazing 🤩

  • @gilbertshirima2684
    @gilbertshirima2684 Месяц назад +2

    Nawaelewa sana ila nashindwa kuchukua hatua

  • @YalucLileZairois1643
    @YalucLileZairois1643 Месяц назад +4

    Manake mapasta niwaombaomba...😅? Nakawaida hawa wasani vitu wanavio onesha siya vio, wana fanya publicité ya company flani, wala wame kodi fasi flani.😊

  • @aronindibalema4964
    @aronindibalema4964 Месяц назад +2

    Nakubari master

  • @barrynzeyimana6270
    @barrynzeyimana6270 Месяц назад +1

    Nimewafundisha wengi kua omba omba wana history nyuma ya ombaomba. Hautakiwi kumpa ombaomba kama haujui utalatibu WA kutoa na kipi unakipata baada ya kumpa. Ukivifanya bila elimu unajiibia wewe mwenyewe. Na unaweza hata kupata pesa ukaja kusema kua sijui zinakwenda wapi kwakua uliambiwa kua toa toa

  • @ShamteMatola
    @ShamteMatola Месяц назад +1

    Pamoja kaka nawapata sana nimetulia home nakula nondo zenu

  • @DdjTigger
    @DdjTigger Месяц назад +7

    ihi ni elim ambayo imefichwa wengi hawana

  • @erickrihola1946
    @erickrihola1946 Месяц назад +1

    Hahaha ila ninyi 😂😂

  • @NachaKing-nj7cp
    @NachaKing-nj7cp Месяц назад +8

    Munagusa sana anae fuatilia mada hz lazima apate nafuu

    • @BarnabasFabiani
      @BarnabasFabiani Месяц назад +2

      Ana pona kabisa na ana anza kutumia akili zake kuiendesha maisha

  • @neemamwangi4323
    @neemamwangi4323 Месяц назад +1

    Mkuu Kwa nin usizungumzie issue ya ndoa, matha mwaipaja na Beatrice maana Kama ina relate.

  • @bulayaconfidential7212
    @bulayaconfidential7212 Месяц назад +1

    Me mtu yeyote akianza tuu kuniambia nina hela mimi hapo hapo huwa namuona jau coz huwezi lazimisha mtu aamini una pesa kwa kumuelezea ulichonacho….

  • @ChachaSamwel-k8u
    @ChachaSamwel-k8u 13 дней назад

    nikweli bwana ndomana mtu anasema ninashida gani wakika. wakula ni nao apo amemaliza kumbe bado

  • @MaikoMngongo
    @MaikoMngongo Месяц назад +1

    Nime elimika

  • @Jaypets-f
    @Jaypets-f Месяц назад +1

    Chief godlove is typing😅

  • @IsayaJoseph-v3s
    @IsayaJoseph-v3s Месяц назад +1

    Pamoja Sana mjomba

  • @suratibrahim6417
    @suratibrahim6417 Месяц назад +1

    Daima ✍️

  • @Semeni-v7i
    @Semeni-v7i Месяц назад +1

    The great architecture

  • @jacobsanga1316
    @jacobsanga1316 Месяц назад +1

    very good

  • @princekassimtz
    @princekassimtz 29 дней назад +1

    Asante 🙏 🎉🎉🎉

  • @lusekelomwasandube2992
    @lusekelomwasandube2992 Месяц назад +1

    Hawa jamaa Wana ufahamu mkubwa sana

  • @KaskileMulete-eu7td
    @KaskileMulete-eu7td Месяц назад +1

    Munanikosha sana

  • @EmmanuelMathias-c7f
    @EmmanuelMathias-c7f Месяц назад +1

    Fact

  • @SebastianEvarist-u4g
    @SebastianEvarist-u4g 13 дней назад

    Huyu jamaa nampate je??

  • @MisheckSiame-si1yo
    @MisheckSiame-si1yo Месяц назад +2

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @TryphonRabson
    @TryphonRabson Месяц назад +2

    Mafanikio ni kilele cha jambo ulilopanga kulifanya mpaka litimie kwa usahihi wa kiwango cha mwisho umetoboa...

    • @saidimpako5186
      @saidimpako5186 Месяц назад +1

      jambo ulipanga kulipata ukilipata na likakufanya upate furaha hayo ndio mafanikio kama ulipanga upate gari lakini gari yenyewe inakupa msongo wa mawazo hapo utakua umepata lakin hujafanikiwa

  • @kasimur9422
    @kasimur9422 Месяц назад +1

    ❤ ❤

  • @zengopaul
    @zengopaul Месяц назад +1

    Noted

  • @ahmedimakope
    @ahmedimakope Месяц назад +1

    Duh noma

  • @yamungungendu4839
    @yamungungendu4839 Месяц назад +3

    Kwenye Shule ya Freemason hapo Hamniwezi.Ninawajua Mwanzo Mwisho.Hata wewe Mrindoko ninajua Kama haujaingia Freemason basi Freemason wameshakuja kukuomba uungane nao mana najua huwa wanazipenda sana Mada zako.Ila ninapokustikia ni pale unaposema kuwa HAKUNA MUNGU.SORRY FOR THAT

  • @willenmtafungwa1920
    @willenmtafungwa1920 Месяц назад +1

    👏🏾👏🏾

  • @fridalyanguka1733
    @fridalyanguka1733 Месяц назад +1

    Naomba kuuliza hivi ni nani aliyeumba mbingu na nchi?

  • @Foodarmy2012
    @Foodarmy2012 Месяц назад +1

    Good

  • @NachaKing-nj7cp
    @NachaKing-nj7cp Месяц назад +7

    Mada zuli sana hz mada zahela nizulikuliko zote chokonoen mpaka tuelewe

  • @Kakule-v2x
    @Kakule-v2x Месяц назад +1

    ❤❤

  • @KIKULACHO-t7i
    @KIKULACHO-t7i Месяц назад +5

    Niliwahi kusaidia mtu pesa akanigombanisha na ndugu zangu wote

  • @JomoKilawe
    @JomoKilawe Месяц назад +1

    ✍️✍️

  • @lusekelomwasandube2992
    @lusekelomwasandube2992 Месяц назад +1

    Je unawezaje kuji connect na malimwengu?

  • @elimikasasa643
    @elimikasasa643 Месяц назад +1

    Kuna watu wako nyumba za ibada wanatoa sadaka na hizo zaka lkn hali zao kimaisha ziko juu. Na ni matajiri

  • @sankofaman4112
    @sankofaman4112 Месяц назад +1

    Watu wanaongea tu juu ya Freemason lakini hawaelewi. Wala sio rahisi kuingia Freemason kama waafrika wanavyoeneza uvumi. Mimi nimejaribu mara mbili na ombi langu lilikataliwa sababu sikuwa na referees wanaonijua zaidi ya miaka mitatu wa kuniwakilisha. Na rafiki yangu engineer kazini kwetu ni member ndiye alinipendekeza. Na ni lazima huwe huna hatia ndio ukubaliwe. Ni watu wazuri sana na wanapendeleana sana, huwezi kupata shida ukiwa Freemason.

  • @Nengwa-r6p
    @Nengwa-r6p Месяц назад +1

    Hako ka ugonjwa ka kutafta attention kanaponaje

  • @LibertNizigiyimana
    @LibertNizigiyimana Месяц назад +1

    Kama mtu anataka kujua sana munaweza mufundisha

  • @angelousnyisalya
    @angelousnyisalya Месяц назад +1

    ❤❤❤