PENZI LA MTOTO WA BOSS 💞 NA DADA WA KAZI PART 54 | Love Story

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 янв 2025

Комментарии • 853

  • @SomyaS-q9t
    @SomyaS-q9t 3 часа назад +85

    Yani kutoka nifatilie hi movie sijapata like hata moja😢😢

  • @annaki318
    @annaki318 3 часа назад +95

    Tunaosoma comment huku tunaitazama mtoto wa boss tujuane🎉🎉❤❤❤❤

  • @faustinmathias9980
    @faustinmathias9980 3 часа назад +51

    Natamani episode ziwezinatoka everyday naombeni like na mm 😢

  • @KiboxMedia
    @KiboxMedia 3 часа назад +223

    Wanao Tamani Kuona Tina Anadungwa Gumi La Koo Mpaka Shingo Ipinde Gonga Like Hapa 😂🤸

  • @فاطمه-ج6ن7س
    @فاطمه-ج6ن7س Час назад +19

    Kelvn khan tangu nianze kufatilia hii movie wala huja nidondoshea like hata mpka..leo naomba moja tu ..nawalenda🎉🎉🎉 mungu akue pamoja nanyi

  • @LucienNdereyimana-v8l
    @LucienNdereyimana-v8l 3 часа назад +60

    Kweli Loveness amepambania hii jamii tunakukubari love from Burundi🎉🎉🎉

  • @ChanceSalven
    @ChanceSalven 3 часа назад +53

    Haya jameni mimi napenda donta kama na wewe unaipenda kama mimi nipeni liké zangu ❤❤❤

  • @JuniorGazakartel
    @JuniorGazakartel 3 часа назад +56

    Jamani wa kwanza leo kutoka Kenya leo mnipee likes zangu kutoka Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @RobyJoh
    @RobyJoh 3 часа назад +69

    Nimepoa hapa like zangu ‘mapema😂😂

  • @JastFinancial02
    @JastFinancial02 3 часа назад +81

    ❤♥️ Wana @DONTA TV# woteee Wote mnaofuraia mapenzi ya kelvin na loveness like hapa 🤲

    • @AbdulAbeidjumanneJumanne
      @AbdulAbeidjumanneJumanne 3 часа назад +1

      Tatizo vipande vimezidi kuwa vifupi kelvin

    • @JastFinancial02
      @JastFinancial02 3 часа назад +1

      @AbdulAbeidjumanneJumanne ilo tunalishughulikia

    • @AmenaMm-r5t
      @AmenaMm-r5t 3 часа назад

      Mimi ap nilikua naham isik itokeze na imeshatokea saf san mau yen wan donta tv saf san 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤

  • @mohamedlopa8410
    @mohamedlopa8410 3 часа назад +105

    Asalaamu walekum bwana yesu asifiwe utakayesoma coment hii mungu AKUPE HITAJI la moyo wako 🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲

  • @RahelKashinje
    @RahelKashinje 3 часа назад +17

    Watu mko moto nikajua nitakua wa kwanza kumbe..😂😂😂😂😂basi na mimi naombeni like😢😢😢

  • @SyombuaMuvengei
    @SyombuaMuvengei 2 часа назад +11

    Hii family yake na kevin inapitia mangumu daaah😢😢😢😢😢...mmi hapa mkenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪like jaman❤❤❤

  • @TerezaTereza-dh4lx
    @TerezaTereza-dh4lx 3 часа назад +25

    Nimewai Leo like zngu jmn uchoyo mbaya tearm strong 🇰🇪🇱🇧

  • @MagrethBernard-p2n
    @MagrethBernard-p2n 3 часа назад +20

    Sijawa wa kwanza ila nmekuwa top ten. Nawapenda Donta family na shabiki wenzangu pia

  • @ElishaJastin-j8q
    @ElishaJastin-j8q 3 часа назад +12

    Wakwanza kutoka south African 🇿🇦 nipen like zangu ety

  • @LilianNyambeka
    @LilianNyambeka 3 часа назад +22

    Wakwanza leo aki nipe like sangu kutoka Kenya...

  • @AishaWaiddy
    @AishaWaiddy 3 часа назад +11

    Yani nyie ninavyo wakubal nakuwapenda nyie acheni tu❤❤❤❤❤❤nawa lov tu sn ✌️✌️✌️✌️yani munakuwa hamukawiz muendelezo had raha❤❤❤❤❤❤

  • @DEJONG_LEEH
    @DEJONG_LEEH 3 часа назад +24

    Jaman munipe like zanguuuuh
    Wote tunaopend kaz za kelvin #clamvevo

  • @ChrispinCubaka-v5g
    @ChrispinCubaka-v5g 3 часа назад +23

    Wakwanza kutoka congo drc leo mnipe likes

    • @NuruAshery-i3w
      @NuruAshery-i3w 2 часа назад

      Umemaliza kulia misiba huko kwenu😢😢

    • @BihemoKagere
      @BihemoKagere 16 минут назад

      Naomba unijuze kuna nn huko jmn

  • @LeilaAbdi-p4i
    @LeilaAbdi-p4i 3 часа назад +6

    Lovenes binti mwenye bidii sana pokea 🎉🎉🎉🎉mama nawapenda wote kwakutufunza jinsi maisha yatakiwa uishi ❤❤❤❤❤❤

  • @LilianWafula-xs2lu
    @LilianWafula-xs2lu Час назад +3

    Hello much love from 🇰🇪🇰🇪 nipeni laki zangu tukisonga au sio namupenda sana lovenes na kelvin wakiwa pamoja 🎉🎉

  • @JuniorGazakartel
    @JuniorGazakartel 3 часа назад +36

    Any Kenyan here let's show love for our brothers and sisters from Tanzania 🇰🇪🇹🇿🇰🇪🇹🇿🇰🇪🇰🇪🇹🇿🇹🇿

    • @RisterKerubo
      @RisterKerubo 3 часа назад +1

      🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @kiptoo-q5l
      @kiptoo-q5l 3 часа назад +1

      Team strong 💪 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @Christine-ho5us
      @Christine-ho5us 3 часа назад +1

      Tupo 🇲🇴🇲🇴🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @dhahabudeche926
      @dhahabudeche926 3 часа назад

      🎉❤🇰🇪 💪💪

  • @Christine-ho5us
    @Christine-ho5us 3 часа назад +3

    Yaani najiambia leo nime wai kupe nimechelewa 😂😂😂😂 kelvin round hii imetuamlia good job mau yenu team Donta🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤ team strong tucheze na ka like jamani 🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @AishaKadii-j7r
    @AishaKadii-j7r 3 часа назад +4

    Haya jamani mm ninaona movie nzuri sana ila pia sisi tuwape sapoti ndo pia wao wapate nguvu nawapenda🎉🎉🎉

  • @FatumaAbdalah-sj3dz
    @FatumaAbdalah-sj3dz 3 часа назад +4

    Ila jama huyu mam kelv amejifunza kitu hata sisi watazama naji piya hongera Sana mtunzi❤❤❤🎉🎉

  • @Mwanamisi-q2v
    @Mwanamisi-q2v 2 часа назад +2

    Hatimae sasa matunda yataonekana tu twasubiria 🎉🎉🎉love kawa kidume cha nyumba Maashallah

  • @TamimukassimuTamimukassimu
    @TamimukassimuTamimukassimu 3 часа назад +2

    Filam hi itapendeza Sana Kama itamalizika Kelvin akiwa tajiri Kama mwanzo na love ness akiwa Ni Mrs Kelvin halafu family ya akinatina ikiwa imefilisika

  • @SereneIcyComet-gd5we
    @SereneIcyComet-gd5we 3 часа назад +6

    Mama Kelvin anapitia changamoto kubwa Sana maana alithamini Sana marafiki kuliko kujali Familia yake

  • @NestymmwampambaNestymmwampamba
    @NestymmwampambaNestymmwampamba 3 часа назад +17

    Wakwanza Leo jaman sijawah kupata like hata Moja

  • @ReubenMuthee
    @ReubenMuthee Час назад +4

    Mimi hapa kutoka Kenya❤ ,,nipeni like tafadhali🎉❤❤❤

  • @LUKASNGOMBANIZA
    @LUKASNGOMBANIZA 2 часа назад +3

    Jamani poleni sana, hii movie nihatari ila mim nimeumia sana moyoni hasa hapo kwenye pozi waliloweka mama kelvin na mwanae kelvin huku wakisubiri loveness amalize kupakua chakula nakuwakaribisha. Nimekumbuka mbali sana kwenye haya maisha hususani niliyoyapitia, kwakweli tumuamini sana mungu katika mambo yetu.

  • @ibrahimkarisa-cp7su
    @ibrahimkarisa-cp7su 3 часа назад +13

    Mnaharibu movie nyinyi hii kuteseka mnafanya inapitiliza...sana

    • @medianebarukundi
      @medianebarukundi 2 часа назад

      Kwl kbs hiyi movie mimi siyielewi tena duuh

    • @NajmaAbdallah-d6r
      @NajmaAbdallah-d6r Час назад

      Sahihi kabisa hizo mali warudishe kama kuzulumiana iwe haraka bana kila siku mzunguko tu

  • @TeamBabajoan
    @TeamBabajoan 3 часа назад +5

    Je umeshawahi kufikiria na kujiuliza kama Mimi, ni vipi Kelvin atairudisha kampuni bila uwepo wa baba yake salama salmini.

  • @SifaBaranyizigiye-o4h
    @SifaBaranyizigiye-o4h 2 часа назад +10

    Jaman mm nina mashaka na uyo bony kama kuna mweny hisia kama mm gonga like apo tujuane😢

    • @ZubedaNiyonzima
      @ZubedaNiyonzima Час назад

      😂😂aca tuyasubir mashak Yako

    • @jamilashabani8580
      @jamilashabani8580 33 минуты назад

      Kikulacho ss inawezekanaje upeew hela half hapo hapo uibiwe kwahiy walipanga

    • @MalkaNinik
      @MalkaNinik 33 минуты назад

      Hata mmimi naona hivyo

    • @jamilashabani8580
      @jamilashabani8580 30 минут назад

      Alio Mpora Kelvin anafanana alio muibia candy ile ck na kidogo bony kutokea

  • @Albatishabani
    @Albatishabani 3 часа назад +2

    🎉🎉🎉 wana donta TV nawa penda mure jamani, pokeeni 🎉🎉🎉🎉🎉 yenu kwaku tu waishiya mapema, like zangu pasi kutoka congo DRC🇨🇩

  • @mwendemercy4488
    @mwendemercy4488 3 часа назад +2

    Yaani iko na 8 minutes but yakaa yajana watu mko ridho❤❤❤❤❤❤penda sana hii

  • @Rukua-i3o
    @Rukua-i3o Час назад

    Jaman Jaman Jaman hili ni somo tunatakiwa kulisoma vzr yn wee hii dunia ina mafunzo 😢😢😢😢polen family ya kend hd nahurumia Lovness wetu😢😢❤❤❤❤❤ Ongeren team Kelvin kaz nzr najifunza kitu

  • @iddimngazija1957
    @iddimngazija1957 3 часа назад +2

    Dunia ni uwanja wa mafunzo,nikikumbuka minato ya mama calvi kipindi kile alivyo kua na maisha safi huwezi amini anayo pitia kwa sasa

  • @TrizaMo-ou4xs
    @TrizaMo-ou4xs Час назад +1

    This is my best movee from Tanzania nawapenda sana wahusika wote

  • @Zawadi-ek2wy
    @Zawadi-ek2wy Час назад +1

    Bona nfupfupi jaman badowataka kuwagalya imeisha fanyen defu kidogo tunawapeda kwa kaziyenu🎉❤

  • @Mwanajumahassan-tg3zg
    @Mwanajumahassan-tg3zg 13 минут назад

    Kweli dunia ni mzunguko loo mama kendi wakjmbuka ulivyokua ukimfanyia loveness saii ankua mkombozi wenu mashallah wee hii move kiboko kekvin ❤❤❤❤❤

  • @djpdaprince2233
    @djpdaprince2233 3 часа назад +2

    aaah kweli penzi la mtoto wa bosi tamu🎉🎉🎉 twaipenda 254

  • @EliasMunene-ct2dr
    @EliasMunene-ct2dr 3 часа назад +3

    Am grateful for the good work done by boni. ,, great 🎉 wakenya tumo ndani

  • @daynesakulu3169
    @daynesakulu3169 3 часа назад +3

    Kwa hizi épisodes za tangu family ya Kelvin kufirisika nazi penda épisodes za Denis , Lati na Tina , hasa Denis na Tina ,Denis ana ongea vizuri sana.

  • @ashamrisho1322
    @ashamrisho1322 2 часа назад +2

    Hongereni sana Team Donta, na Ahsanten Kwa kazi nzurii, Mungu awape uzima muendelee kuwepo daimaa Amina🙏🙏

  • @SoziSozi2020
    @SoziSozi2020 3 часа назад +4

    lazima tupitie mangumu ili kufikia marengo ya MUNGU dio utakacho pata hichokitu ishikilie vizuli kabisa hapo sawa👍

  • @SophiaPaulo-w4i
    @SophiaPaulo-w4i Час назад +1

    Love ni mwana mke mpambanaji sana mungu akubariki sana love na utimize ndoto zako

  • @RukiaShomary
    @RukiaShomary 3 часа назад +3

    Ivi kunabinaadam wanaloho ya kinyama ivi pole Kevin utapona najua bila wewe move hainogi kabisa 😭😭😭

  • @SophiatembaTemba
    @SophiatembaTemba Час назад

    Jamani Kelvin wow umetoa movie nilikuwa Na isubiri Sana iyo 54 asante Sana Mungu awabariki Sana wewe Na loveness❤❤❤❤😊😊

  • @DidaAlly-iz1it
    @DidaAlly-iz1it 3 часа назад +3

    Ninaimani simu ajaisukuma naisi kaiweka2 ipo siku hatamgea simu yake boy yupo bega kwa bega na family hii mpk apate jiko😂😂😂😂😂

  • @Decano_africa
    @Decano_africa 3 часа назад +3

    Leo nimekua wa kwanza kutoka 🇲🇿 huku kwetu hali aipo sawa kabisa watu wanakufa kila siku Mungu saidia 🇲🇿 na Nchi zote

  • @Lornagari
    @Lornagari 2 часа назад +1

    Yani hii movie hii mnaicheza vizuri kushinda zote, hongereni sana,, 🎉🎉🎉

  • @VeronicaDoto-v4g
    @VeronicaDoto-v4g 2 часа назад +1

    Wanaotaman kelvin apone na hatimae wakaweze kufanikiw kimaisha maan shida zimekuwa nyingi tujuane apa❤❤❤ na wakina Tina wakaaibike na kuwa masikini

  • @ShamimShamy
    @ShamimShamy 54 минуты назад

    Haki tina 🎉🎉 unaweza ugomvi jmn mtot lavenes 🎉🎉 mama Kelvin uko vzr sikuhi huna Maneno mabay pia pole Kelvin 🎉🎉

  • @BintiZondo-m9s
    @BintiZondo-m9s 3 часа назад +2

    Skuiz mwafanya mambo mazur adi nawapenda bure🎉🎉

  • @AlafatOmaryNdabigaile
    @AlafatOmaryNdabigaile Час назад +2

    Hii hapa leo tena ya moto wanaotamani Denisi apambane kurudisha mali ya familia yake na kelvin wagonge like zao hapa tujuane

  • @UrsulaManda-wt1rh
    @UrsulaManda-wt1rh 3 часа назад +3

    Dont TV mwaka huu mmejua kututendea Haki hampoi na hamboi❤❤

  • @VailethZakaria-m6h
    @VailethZakaria-m6h Час назад +2

    Daaah hii move nzur sana wanaoipenda like apa

  • @HarumukizaAllainchristian
    @HarumukizaAllainchristian 2 часа назад +1

    Loveness asante kwakupambania jama hili yooh MUNGU Awasaidie

  • @AproniaVicent
    @AproniaVicent 2 часа назад +1

    Mnazidisha Sana matangazo kuliko movie yenyewe mnazidisha Sana madoido mnaivuta sana move aisee

  • @umfahad2609
    @umfahad2609 2 часа назад +3

    Jamani mbona kl cku tunazidi kuumizwa, tukiona familia ya Kelvin ikipitia magimu saana? Lini tutafurahia kuona maadui zao na zetu wakiteseka???🥹🥹💔 Nafatilia kutoka Oman. Nawapenda saana Donta tv na wenzangu wooote tunao wasaport Donta.💕

  • @HadijaVinyu
    @HadijaVinyu 3 часа назад +2

    Watu wanarauka hatar daah Eny way kazi nzuri

  • @Ireneiteriteka-rl7gd
    @Ireneiteriteka-rl7gd 3 часа назад +1

    Wakwanza kutoka Burundi nawapenda sana mna igiza vyizuri sana nampenda Kaka kelvi

  • @REBEKAMHEWA
    @REBEKAMHEWA 3 часа назад +2

    Daa mnaweka fupi sana ,, ila hongereni good job

  • @DeezySwaggzy
    @DeezySwaggzy 3 часа назад +2

    Habar zenu wapenz naona Leo mmetuwaishia safi San

  • @VinnieMjere-hx1uu
    @VinnieMjere-hx1uu 2 часа назад +2

    Duuh hii movie imenipendeza sana mtu anaeza lia nika real life movie pongezi kwenu

  • @JosephineAndrew-v8g
    @JosephineAndrew-v8g 3 часа назад +2

    Mama kelvin,maisha yanabadlika,yaan umepoa had sura

  • @ErickLeluai-i7r
    @ErickLeluai-i7r 3 часа назад +1

    Kweli loveness amepambania hii jamii tunakukubari love from burundi🎉🎉🎉🎉🎉❤❤

  • @Pat139enZaeadic
    @Pat139enZaeadic 2 часа назад +2

    Waaah haya nayo zaidi ya mtihani😢 jameni 🎉🎉🎉❤❤❤

  • @rozamarcelle1241
    @rozamarcelle1241 2 часа назад +1

    Sasa mambo sindo hayo kelvin wewe tu kwakutujali nasisi piya tunakujali nibasitu tunakupenda sana tena sana jamani 🥀🥀🥀🥀🥀🥀🥀❤️❤️🥀❤️❤️

  • @Zouzouzoena
    @Zouzouzoena 3 часа назад +5

    Ooo manshallah apo saw mnatupa mapema

  • @malyajmpondompondo381
    @malyajmpondompondo381 2 часа назад +2

    Aise hii move inauhalisia wa maisha daah

  • @JanethKweka-w4d
    @JanethKweka-w4d 3 часа назад +2

    Hata mm naomben like jaman japo naumwa Ila mm shabiki wa Calvin na love.

  • @leilathydidy6058
    @leilathydidy6058 3 часа назад +2

    Kwa mtindo huu , tutanza kukupa ela ya soda 😄😊

  • @sashaamoha
    @sashaamoha 2 часа назад +1

    😂😂😂😂Tina nimeipenda iyooooo y kuamia kwa Denis chukua 🎉🎉🎉🎉🎉🎉alf familia y kelvin poleni sanaaa😭😭😭

  • @HadijaHusen-od2bw
    @HadijaHusen-od2bw 2 часа назад +1

    Adui yako muombee njaa😂 mama kelvin umenichekesha et atakama umeokota ningekula ivo ivo afu mengine ningejua mbele uko😂😂😂

  • @BenjaminiJuma-g5p
    @BenjaminiJuma-g5p 2 часа назад +1

    Kupata mwanamke kama huyu kwa sasa ni kaz kaz kweli chukua maua yako lovenes🎉🎉🎉

  • @FghgRyy
    @FghgRyy 14 минут назад +1

    Kwel Loveness najiona mm kabisaaa wallah 😢

  • @HhUhh-io8ix
    @HhUhh-io8ix 2 часа назад +1

    Waaaaaa kelvin Tena shida😢 aki family ya Tina kitawaramba mumefanya kelvina anapitia maisha magumu juu yenu tu😢😢😢😢😢😢😢

  • @Belinda-d4u
    @Belinda-d4u 2 часа назад +2

    Huku watu hushindatu kuomba likes hamuoni loveness na roho yake safi na upendo nyie aki

  • @ZamzamMusa-ve5tc
    @ZamzamMusa-ve5tc 24 минуты назад

    Mtoto wa boss the best series🔥🔥inamafunzo sana big up DONTA TV🎉🎉

  • @musanaberanyiratungane7119
    @musanaberanyiratungane7119 2 часа назад +1

    Emungu wangu jamani hii jami imekutwa namatatizo mengi mungu awasaidie ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @MonicahMutua-o5z
    @MonicahMutua-o5z 2 часа назад +3

    Jameni monicah kutoka kenya wapi likes

  • @NemaAli-zh6hr
    @NemaAli-zh6hr 3 часа назад +3

    Maskini nimeskia simanzi walivyonyanyuka kula hd nimelia, nimesahau kbsa km ni movie.

  • @BenjaminMulinda
    @BenjaminMulinda Час назад +1

    Kévin noma saana 👊👊👊 napenda kazi zako saana from drc🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @gogoloveofficial5666
    @gogoloveofficial5666 39 минут назад +1

    Love from GOGO LOVE OFFICIAL TO BURUNDI 🇧🇮.

  • @SaumuRuwa-r7j
    @SaumuRuwa-r7j 3 часа назад +2

    Mama kelvin sura imekushuka na vyenye ulikua humpend loveness saiz ndo amekua mwanao 😏😏😏

  • @mwiteathmanmwite
    @mwiteathmanmwite 3 часа назад +2

    Mungu awabariki nyote inshaallah❤

  • @DouglasBabamoïse
    @DouglasBabamoïse 3 часа назад +2

    Tulikuwa naisubiri sana 🎉🎉kwa hamu sana 🇨🇩

  • @KalistoKalilile-g6f
    @KalistoKalilile-g6f 3 часа назад +2

    Hiiiii movie tamu sanaaaaa sijawai chokaaa

  • @LydiahMagoma-m6v
    @LydiahMagoma-m6v 2 часа назад +4

    Kwa wale wanapenda kuona loveness na Kevin pamoja nipen like jamani ❤

  • @ApollinaireNiyungeko-hc4zv
    @ApollinaireNiyungeko-hc4zv 2 часа назад +1

    Naumia sana na mateso anazidi kwa familia Kevin naomba furaha yake!

  • @hashimuomary4569
    @hashimuomary4569 3 часа назад +3

    Haya tunaoshinda na kukesha online na hatuna Kaz za kufanya tunasubir tu movie tujuanee hapa😅😅

  • @halisuhamimu8617
    @halisuhamimu8617 3 часа назад +2

    Wa kwanza Leo jmn naomba like na mimi😢😢

  • @GraceMagala
    @GraceMagala 3 часа назад +3

    jamn na mm leo nimewahi hata moja tu❤

  • @Silvadasuzanabaixa-h2w
    @Silvadasuzanabaixa-h2w 2 часа назад +2

    We donta weeeeeeeeee sijui unsfikianini weeeeeeee😊😊😊😊😊🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @bettymbeyu8746
    @bettymbeyu8746 57 минут назад +1

    Wakwanza Leo nipeni likes zangu😂😂kelvin jamani nipee like wee pia nifurahi kma ninavyofurahi ninapowaona wewe na love🎉🎉🎉🎉

  • @monicaSamson-mc9ph
    @monicaSamson-mc9ph 2 часа назад +2

    Boni sio mtyu mzuri kwa kelvini anatamaa sana😢😢😢😢

  • @dhahabudeche926
    @dhahabudeche926 3 часа назад +1

    Mm huyu bonny simuamini inauwezekano niyeye amepanga dili hata kelvin kuchomwa kisu nakuporwa hio pesa bonny nikama sio rafiki mzuri kwa hio familia