Muwe mnafanya research vizuri kabla ya kurusha content, daladala geita kuna baiskeli na za hiace ambapo kipindi mji ulikua bado mdogo ndo zilikua kama main transport za route fupi fupi. Lakini sasa hivi kuna bajaji, daladala za hiace zinazotoka nyantorontoro, nyankumbu, mwabasabi, mpaka magogo, na za baiskeli ndo hizo chache zinazopeleka watu sehemu fupi. Kwa hiyo ni vizuri kuwa mnatoa taarifa kamili ili watu ambao hawajawai kufika waelewe. Mji umebadilika saaana.
Kwa geita haiwezi kuisha leo huduma ya daladala coz mji ni mdogo sana kingine daladala ni usafi wenye bei nafuu