Somo safi sana.✔️ Linanikumbusha mbali. Yaani mtu Nature yake ikiwa mbaya,ni kweli kabisa lazima atafeli katika kila kitu chake. Hata akiwa na Elimu ya chuo kikuu.🏃🏃🏃 Kibaya zaidi kukosa watu. Lazima ushike uchawi tu ili ulazimishe mambo yaende. Mungu atunusuru 👏
Watu wa aina hiyo mtaani wanaonekana kama matahaira yaan Dunia ni ya ajabu sana..watu wenye upeo wanaonekana wanajifanya wanajua kisha hudharauliwa..huwa inaniuma sana.
Jamani naomba kuuliza swali gumu lakini nieleweke pls. Je watoto wenye umri huo miaka 6 mpk 9 ikatokea kanyanyaswa kijinsia inamaana utu uzimani anaweza kurudia mambo hayo tena? Hata km alisaidiwa kisaikolojia?
+254🇰🇪 Nilidhan hii naitambua peke yangu bt Tz nko na mwenzangu kuongezea hapo kw watu kuzeeka na kukomaa watu huzeeka akili mapema kw kukomazwa akili kabla ya umri stahiki na hii huharibu mfumo wa akili na maisha ya mtu kw jumla hususan kw wanaume ni hatar inaeza sibabisha mwanaume asijiamini hata akatae ndoa juu amechoka akili na hapend majukumu tena na akishawishiwa kuoa unaeza mkuta amebadilika sio tena yule unaemjua
Madinidotcom ni chuo cha kuhuisha maisha yetu.Mbarikiwe Sana.
Usifanye kosa la kumuonesha mtu udhaifu...show him the best Yu have🔥
Mola akubariki sana
Ubarikiwe sana brother cos
"Maisha hayataki deko alafu wewe umedekezwa." 🙌🏽🙌🏽
Grayson a.k.a Kaka Gee, Mungu akulinde zaidi kwaajili ya jamii.
#taarifanamaarifa
Mtu mzuri sana wewe
Nnasema tena nina nia ya kuwa raisi wa Tanzania 🎉 cosmas utakuwa wizara ya jamii nna kutoa udekez kwa wa tz❤
Mtangazaji unamkatisha katisha jaman😊
Alinifinya huyu jmn yuko very smart..montssory primary
Comrade cosmas madulu...very proffessional
Nakukubali Sana Mwalimu
Mm amenifundisha semina ya wanawake wilayani siha. Nilifrahiya sana darasa lake
Uyujama munamupa muda mchache Sana Mtu ambaye anatoa madini kama huyu inabidi mumupe Muda wakutosha Asanteeeeé 😊😊😊
Kaka nimekuelewa sana sana yani kunawatu wamepotea kimaisha tatizo ni malezi
Amenifundisha shule ya msingi huyu jamaa character yake ya ukali na seriousness ni ileile mpk leo. Barikiwa sana Teacher Cosmas
Usagara english medium si ndio???
Yani mwalim aliye kufundisha unamwita jamaaa unakosea xaana mpe heshima yake.
😂😂😂
@@oscarkataraiha-nu3qf montessori primary 2004 kama sijakosea
@@mediking8611Hata mimi kanifundisha Montessori, Alikuwa mkali na hasira mingi sana...
Haya madini yanataki masaa angalau mawili hapo❤❤❤
Hiki kichwa ni HAZINA ya Taifa asee!
Uyu father yuko sahihi sanaa katka mafundishoo ,he iz very correctly
Somo safi sana.✔️
Linanikumbusha mbali.
Yaani mtu Nature yake ikiwa mbaya,ni kweli kabisa lazima atafeli katika kila kitu chake.
Hata akiwa na Elimu ya chuo kikuu.🏃🏃🏃
Kibaya zaidi kukosa watu.
Lazima ushike uchawi tu ili ulazimishe mambo yaende.
Mungu atunusuru 👏
Dah! Kumbe huku Kuna madini ivi.... Najuta kuchelewa kupata haya madini.........
Wekeni cameras angle zote, session hii inatakiwa iwe na ubunifu pia kwenye video.
Namkimbuka huyu kaka alitufundisha wakinamama ni yupo vizuri kweli
"Mwanadamu ni AKILI imevaa MWILI"🔥
Naunga mkono kabisa tabia ni kila kitu heheh ni moja ya tafakari zangu binafsi...
Uko vzr kaka
Your so genius
Upo vizur ndugu yangu
Umesema kuna Nafsi,Roho na Mwili.
Tunaomba tofauti Mkuu🙏
Hee wewe si mkristo wa kweli kama hujui hivyo
Mmm nimekuelewa vema
Genius ❤🥰
Jamaa bright sana huyu. I desire to be with this all th time
Maada nzuri xan kak nawapata vizuri nikiwa hapa iringa barikiwa cosmas
Watu wa aina hiyo mtaani wanaonekana kama matahaira yaan Dunia ni ya ajabu sana..watu wenye upeo wanaonekana wanajifanya wanajua kisha hudharauliwa..huwa inaniuma sana.
Muda mdogo saana
Hichi kipindi kihamie saa 4asubuh mpk 6 Mchana muda ule ulikuwa top 20
well.said brother
Huyu jama ni mtalam1000/100
Kweli kabsa
Haaa
Bro kaongea vitu adimu sana na vimeniingia kwenye neves zangu aisee
Fact
Big up sana
Brother cosmas madulu...😊
Goat 🐐 🙌🙌🙌🙌💪
Vijana wa leo itawasaidia sana
Jama anaongea vizur nikimskiaga na mfananisha na JORDAN PETERSON moja wa best psychologist
Unajua unalo ongea..thanks
@@jamesbaguma9199 tafuta JORDAN PETERSON apo
Duh, fact kama zotee kweli madin kama madini yamemwagika tushindwe sisi tu kuyafanyia kazii
Present madin kakk
Jamani naomba kuuliza swali gumu lakini nieleweke pls. Je watoto wenye umri huo miaka 6 mpk 9 ikatokea kanyanyaswa kijinsia inamaana utu uzimani anaweza kurudia mambo hayo tena? Hata km alisaidiwa kisaikolojia?
Safiii Sana
Fact tupu❤❤❤
Mmmh huyu jamaa yuko kama mimi duh
Hii full nondo
Kaka ametulisha kwa mkate bora sana abarikiwe
Naomba namba yako prsent
Kwenye swala la kulelewa kijeshi hapo umenigusa, nimelelewa kijeshi hata shetani anaogopa na nimekua hivyo.
Cosmas best
💯💯💯💯💯💯💯💯💯
Safari ikiwa ngumu wanaoweza kuendelea na safari ni wagumu tu
@21:00 to22:00
I regret
Nimeipata shule bila ada
Watu wa Kati like kama imekubamba
Mtangazaji unazingua muache jamaa atiririke
Hot content
Mama wangu ni wapili na mimi NI wakwanza,lakini sio Kwa Baba wangu.
Asante.mko WAP nyie
Akili kubwa kwenye mikono salama
☑️☑️☑️☑️☑️
11:54 📌
Life na Gee
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Cosmas ni mwalimu tosha wa hiki kizazi cha leo
Madini yanatemwa
Madulu ni Mnyiramba sio?
Msukuma
Yuko vizuri
Safari ikiwa NGUMU WAGUMU NDIO WATAENDELEA
Ni msukuma alikuwa teacher angu
Hahahahaaha Hilo jina kikwetu ni matusi yaani akijakwetu atanikiwa na shida simuiti 😂😂😂😂
Mtangazani nimeyapenda maswari yako,
Pengine inategemea na bibi.mi niliishi na bibi yangu nikiwa na miaka miwili sijaona trauma yoyote
Ndo maana umeambiwa unaweza usikumbuke Ila ipo kwenye maisha yako
+254🇰🇪 Nilidhan hii naitambua peke yangu bt Tz nko na mwenzangu kuongezea hapo kw watu kuzeeka na kukomaa watu huzeeka akili mapema kw kukomazwa akili kabla ya umri stahiki na hii huharibu mfumo wa akili na maisha ya mtu kw jumla hususan kw wanaume ni hatar inaeza sibabisha mwanaume asijiamini hata akatae ndoa juu amechoka akili na hapend majukumu tena na akishawishiwa kuoa unaeza mkuta amebadilika sio tena yule unaemjua
✔️
Duh jamaa anajua aise
Nakukubali sana teacher angu falsafa yako imenifanya niwe mtu smart leo,Mungu akupe maisha marefu
Huyu jamaa anaitwa nani?
Cosmas Madulu
Kaka Nina zawadi Yako kabisa
# psychology not phychology
😂😂😂🙌
Aisee huyu jamaa ana akili sana namkubali mno