Annoint Amani - Mungu umenitisha naogopa ( official music video )

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 дек 2024

Комментарии • 252

  • @SylviaBlessed-wb7xo
    @SylviaBlessed-wb7xo 3 месяца назад +93

    Any kenyan who loves Añnoint Amani's soñgs like tukisonga❤❤❤

  • @shelmithwilliams8747
    @shelmithwilliams8747 3 месяца назад +37

    Naogopa kufa maana Nina mwili,Mungu tupee miaka isiyo kifani tukutumikie na tulee watoto wetu😭😭❤️❤️wewe ni Mungu na hubadiliki

  • @JoyMutanu-rj6mb
    @JoyMutanu-rj6mb 3 месяца назад +18

    East Africa unagonga like ukipita❤❤❤

  • @sholeielijah1356
    @sholeielijah1356 3 месяца назад +20

    2024❤. I mark this 50 years I will be looking at this comment to celebrate the greatness of God in my life. Annoint amani you are amazing.

    • @annointamani3285
      @annointamani3285  3 месяца назад +6

      Wooow sjaona kabra Mpenzi wa huduma yangu mwenye Imani kubwa namna hii, 😭😭Kama Yesu atakuwa bado hajarudi baada ya iyo mika 50 tutakua wote kwenye hii Commnent yako,Na kama Yesu atalichukua kanisa hivi karbun Naomba nikuone Mbinguni rafiki mzuri😭🙏

    • @MargaretAtieno-xx7ys
      @MargaretAtieno-xx7ys 3 месяца назад

      Daddy sitakubali utoke sai mbaka ufikishe miaka. 100uzen wako​@@annointamani3285

  • @GreshaEdson
    @GreshaEdson Месяц назад +3

    😭wimbo umenitoa machoz maana miili tuliyo nayo ni ngumu sna kumpendeza MUNGU, barikiwa sna mtumish wa BWANA

  • @committedhustler
    @committedhustler 3 месяца назад +21

    Mkenya 🇰🇪 wa kwanza. Kazi safi kiongos

  • @MATEOJOSEPH-nc8gf
    @MATEOJOSEPH-nc8gf 3 месяца назад +11

    Ambao wanakubali kazi za Amani Anniont weka like

  • @Fredrickmuithi96
    @Fredrickmuithi96 3 месяца назад +61

    Wow wapi likes za annoint Amani...best singer in Tz...Nipitieni team kubwa❤🎉💪💪

  • @Rayofhopefamily
    @Rayofhopefamily 3 месяца назад +20

    Wa kwanza kukoment,,,natoka Kenya ,,,mtumishi hii n kazi nzuri Na unatubariki Sana hapa Kenya,,,,nawe pia uinuliwe juu

  • @ALCADOJAMES
    @ALCADOJAMES 3 месяца назад +9

    Akubariki mungu Kwa kazi nzuri anoint

  • @adamsjk
    @adamsjk 3 месяца назад +5

    Mungu akufungulie njia kihuduma na aipanue mipaka yako ndugu ANNOINT naipenda huduma yako na ikiwezekana ningependa kuimba wimbo mmoja nawe. Mimi mwimbaji japo mdogo.

  • @kundabrian1662
    @kundabrian1662 3 месяца назад +9

    Nimekusikia kutokea Zambia Mtumishi Wa Mungu

  • @MaryMusau-c7x
    @MaryMusau-c7x 3 месяца назад +5

    Mungu akubariki sana mtumishi wa mungu,kwa kweli mungu atulisha wateule wake 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @MarySimiyu-g7x
    @MarySimiyu-g7x 2 месяца назад +3

    ❤❤thengs paster God's grace for you andyour

  • @joashmutoto7260
    @joashmutoto7260 3 месяца назад +7

    Ameni baraka za Mola sikufikie kila saa MAANA hapa Kenya twabarikiwa na nyimbo zako

  • @kenkijana350
    @kenkijana350 3 месяца назад +16

    Nice one napenda kanzi yako sana

    • @benardsumei
      @benardsumei 3 месяца назад

      Mpige collabo na yeye ama ni not possible 😂😂 Mr Legend

    • @DennisMboya-q2o
      @DennisMboya-q2o 3 месяца назад

      Pinga na kenkijana

  • @MagretThoya
    @MagretThoya 2 месяца назад +1

    Ubarikiwe na Mungu kwa kazi nzuri...nyimbo zako zinainua sana 🙏🙏..nawe uzidi kuinuliwa viwango vya juu sana🙏🙏

  • @Rhodahzawadi-nr2of
    @Rhodahzawadi-nr2of 3 месяца назад +4

    My best singer best worship am from kenya

  • @BiiraRose-cb1xm
    @BiiraRose-cb1xm 3 месяца назад +1

    Wow wow l love this song I can't wait to post it only much respect dear more blessings follow you always 🙏🙏🙏

  • @Madina-uw6ce
    @Madina-uw6ce 3 месяца назад +2

    Watching from Saudi Arabian but I am from kenya 🇰🇪 😊

  • @festomwacha6824
    @festomwacha6824 3 месяца назад +3

    Ni nzur kwa kweli

  • @jobmosaisi7097
    @jobmosaisi7097 3 месяца назад +3

    Anoint vipi. Chuku ndo zaidi huku. Ulianza vyema chunga mwisho bro

  • @titusangore2912
    @titusangore2912 3 месяца назад +5

    Kazi nzuri sana Mtumishi God bless you brother

  • @MasikaMasikaOfficial
    @MasikaMasikaOfficial 3 месяца назад +3

    Mungu akubariki unayetazama wimbo huu

  • @magnusmedard6971
    @magnusmedard6971 3 месяца назад +3

    WIMBO UMENIBARIKI SANA HUU😢😢😢NI KAMA UMENIWASILISHIA MANENO KWA MUNGU👏🙌🙌GOD IS GOOD UBARKIWE MTU WA MUNGU

  • @Princedanielofficial
    @Princedanielofficial 3 месяца назад +3

    My Daddy🙏🙏 Best Song Again Keep Going My Daddy

  • @MercyKavere-t8f
    @MercyKavere-t8f 3 месяца назад +5

    Kazi nzuri mtumishi may God bless you abundantly 🙏

  • @StellaLwesya
    @StellaLwesya 2 месяца назад +2

    Mungu akubarik kwa utunz ushaur wengi watakusifia hawatakuambia ukwel mungu akusaidie unyoe nywele vizur yaan namaanisha usinyoe pank sawazisha hutaonekana mshamba utampendeza mungu ,ndan nanje

  • @SamsoniMolelly
    @SamsoniMolelly 3 месяца назад +3

    Akubariki San mugu rafiki yagu umnkumbusa ileciku tukiwa kogo😭😭

  • @Injili-j1z
    @Injili-j1z 3 месяца назад +3

    Nimeipenda sana na imenibariki sana🎉🎉

  • @timothymahamba-qv3br
    @timothymahamba-qv3br 3 месяца назад +3

    asant Sana god bless u Aman
    Lilongwe malawi

  • @TinaJeje-m4w
    @TinaJeje-m4w Месяц назад

    Saf Sana mungu azid kukutumia daima wimbo nilibalikiwa Sanaa mungu anatisha Sana nisahihi kabisa mungu binafs nimeona akitenda matendo yake yanatisha sanaaa

  • @hilarymatheka5048
    @hilarymatheka5048 3 месяца назад +3

    Nairobi tunakupenda sana mtumishi

  • @MosesKasaine
    @MosesKasaine 3 месяца назад +3

    Nice song Mungu azidi kukubariki kwa kazi njema❤️❤️

  • @SusanMark-ee9bt
    @SusanMark-ee9bt 2 месяца назад

    Izi nyimbo za uyu Amani inanijengeanga siku mungu akubaliki anointing ❤

  • @NeemaHand
    @NeemaHand 3 месяца назад +3

    Kaka Annoint hongera sana...wimbo mzuri sana

  • @silasnamayi6480
    @silasnamayi6480 3 месяца назад +2

    Kenya annoint 1 More my brother

  • @NechLove
    @NechLove 3 месяца назад +3

    Wimbo mzuri sana ila mie niko kwenye biblia hiv haifai ikiwa nzima bila ya kuchachambuka chambuka ni vizuri kuchukua zile nzuri kuna wengine wakiona hivyo wanaona sio wakristo wachafu hatuheshimu neno la MUNGU

  • @LucyWambua-c1o
    @LucyWambua-c1o 2 месяца назад

    Napenda nyimbo zko Sana mungu akuinue kiwango kingine

  • @SesiliaKihombo
    @SesiliaKihombo 2 месяца назад

    Ila wewe kaka unaimba jamani nakupenda bure❤ ubarikiwe sana Mungu akupandishe juu zaidi ya hapo

  • @dorcahnyabo4713
    @dorcahnyabo4713 3 месяца назад +2

    Great job bro may God bless you and continue gives you more revelation to preach the gospel through songs .Lord am seen young am feared❤❤❤from Kenya 🇰🇪

  • @ltepilalaw
    @ltepilalaw 3 месяца назад +3

    Siogopi mungu show me where he is am going there I need my father

  • @HalimaPaskal
    @HalimaPaskal 3 месяца назад

    Kazi nzuri kaka annoint nimeipenda hiyo kaza mwendo mungu anakupenda hata wengine wakikata tamaa we songa mbele AMEEN ❤

  • @mrnickmusician7139
    @mrnickmusician7139 3 месяца назад +3

    Amen mtumishi ubarikiwe sana 🇰🇪🇰🇪

  • @ElsiyCheptarus
    @ElsiyCheptarus 3 месяца назад

    AMEN 🙏 🙏 barikiwa sana Annoint ,we love you from Kenya 🇰🇪

  • @SharonAndore
    @SharonAndore 3 месяца назад +3

    Kali sana🙏

  • @sautiyamunguduniani4620
    @sautiyamunguduniani4620 15 дней назад

    Mungu akubariki akubariki zaidi na kukuinua zaidi katika jina la Yesu kristo🙏

  • @frereezechielsong5282
    @frereezechielsong5282 3 месяца назад +3

    Roho mutakatifu azidi kuku funika mwimbaji mwenjangu

  • @ayoubmtumishi50
    @ayoubmtumishi50 3 месяца назад

    Aisee Amani Mungu kubariki mno..usikosekane mbinguni

  • @Princess-Margie
    @Princess-Margie 3 месяца назад +1

    May the grace and favour of God continue being sufficient in your ministry 🙏🙏 Congratulations 👏👏. All the way from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @pascalnzioki8653
    @pascalnzioki8653 3 месяца назад

    God bless you annoint for serving Him,,, spreading the Gospel all over the world

  • @TrizahKukume
    @TrizahKukume 3 месяца назад +2

    I love you mtumishi mungu akuzidshie

  • @manomaino1405
    @manomaino1405 2 месяца назад

    So blessing God is more than we can tell, imagine or thing He is every where every moment. Full of mercy and love.we love you Jesus our saviour our Lord and our God. Glory and honour belongs to you

  • @davidkitememuema5738
    @davidkitememuema5738 3 месяца назад +3

    Keep on working hard in God's presence bro and God will be with you for life 💖💖💖

  • @vivianiravuha628
    @vivianiravuha628 3 месяца назад

    ❤❤❤kazi nzuri mtumishi tumebarikiwa kweli

  • @DonelDon-f4c
    @DonelDon-f4c Месяц назад

    Asante sana unatubariki sana mimi na tokeya Congo

  • @victordeekenya3539
    @victordeekenya3539 Месяц назад

    Following from Nairobi Kenya 🇰🇪 Amrn

  • @Justinefurah
    @Justinefurah 3 месяца назад

    Mungu baba utupatiye maisha marefu🎉❤❤❤

  • @VictoriaDavid-official
    @VictoriaDavid-official 3 месяца назад

    Mungu nionekanie Mimi😭😭😭God bless this singer

  • @ThuowaChege
    @ThuowaChege 3 месяца назад

    Naskiliza nikiwa Kenya Nairobi,,,,nice revelation ❤

  • @BrightKanumba
    @BrightKanumba 3 месяца назад

    Kaka kazi nzuri kwa Mungu nimeitika

  • @andrewamatoya3475
    @andrewamatoya3475 3 месяца назад

    Amen hakika anatisha barikiwa sana

  • @ignatiusodanga5746
    @ignatiusodanga5746 3 месяца назад

    Thank you Jesus for your love🙏. very powerful!

  • @Chebaibaiever
    @Chebaibaiever 3 месяца назад

    🎉🎉🎉🎉🎉 kaka shikilia kabisa gospel music na please husiingilie maneno watu huongea. Be yourself ❤❤❤

  • @FlorenceAmakobe
    @FlorenceAmakobe 3 месяца назад +2

    Wow nice song nasikia kutoka Kenya

  • @jamesbrezzy3463
    @jamesbrezzy3463 3 месяца назад

    Wow,mungu anatisha matendo yake

  • @HappyHockey-jd2gx
    @HappyHockey-jd2gx 3 месяца назад

    Very powerful message to those who worship other gods

  • @RoseWaswa-d7p
    @RoseWaswa-d7p 28 дней назад

    Uganda twapenda kazi yako baba

  • @ScolastikaHonorius
    @ScolastikaHonorius 3 месяца назад

    I'm listen song from oman good song god bless you annoint

  • @raphaelymsilu6691
    @raphaelymsilu6691 3 месяца назад

    Amen kazi nzuri sana hii

  • @Davilas281
    @Davilas281 3 месяца назад

    Mtumishi barikiwa sana tena sana yaani Mungu zaidi kukutumia kila siku 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤

  • @isabellanjuguna9083
    @isabellanjuguna9083 3 месяца назад

    Nakuabudu Mungu wangu nainama mbele zako baba🙏😭

  • @HelinahMoraa-sl7xo
    @HelinahMoraa-sl7xo 3 месяца назад

    Mungu naogopa kukufa naimba miaka mingi ❤❤

  • @pascalinamukui8400
    @pascalinamukui8400 3 месяца назад

    Huu wimbo una msg nzuri ata umefanya nalia 😭😭 barikiwa sana mtumishi wa mungu 🙏

  • @josephmukhwanawilliam9487
    @josephmukhwanawilliam9487 3 месяца назад

    I love this young man for sure. Jesus bless this lad. Very spiritually mature composition.

  • @CatherineIsrael-i5n
    @CatherineIsrael-i5n 2 месяца назад

    Mungu akuze karama hii ulionao nabarikiwa

  • @FaithZipporahWanyonyi
    @FaithZipporahWanyonyi 3 месяца назад

    Amina may the lord uplift you brother i pray for that annointing

  • @VioletAuma-v7u
    @VioletAuma-v7u Месяц назад

    I❤ the songs of announced huwa zinanibariki sana na naombo tujifunze maudhui yakiyomo na tutazidi kubarikiwa😂😅🎉

  • @FidelisMusyimi
    @FidelisMusyimi 3 месяца назад

    Nabarikiwa na huu wimbo nikiwa kenya

  • @BakayokoMess
    @BakayokoMess 3 месяца назад

    Mungu akuzidishie guvu mwalimu

  • @Dicksonperez-tw5ky
    @Dicksonperez-tw5ky 3 месяца назад

    Wimbo umebeba utukufu❤❤

  • @nellychitera9065
    @nellychitera9065 3 месяца назад

    Mungu akubariki sana.
    Wimbo unabariki

  • @mas6344
    @mas6344 3 месяца назад

    bro nazipenda nyimbo ziko sana mungu akubariki milele amina ❤❤🙏🙏

  • @anthonymumo4725
    @anthonymumo4725 3 месяца назад

    Mungu akubariki kwa kazi yako ndugu🙏

  • @thomaseyans5593
    @thomaseyans5593 2 месяца назад

    Watching live in Kenya,may Almighty God bless you so much man of God🙏🙏🙏

  • @JacklinmblaZakayo
    @JacklinmblaZakayo 3 месяца назад

    Napenda nyimbo zako mungu akubariki akuonekanie na akuongoze

  • @EmilyKemunto-mr1wl
    @EmilyKemunto-mr1wl 3 месяца назад

    Hakika nyimbo zako zote huwa sinakuanga na message zuri,nasipenda sana nyimbo zako

  • @obedimunguachiza8434
    @obedimunguachiza8434 3 месяца назад +10

    Wale ambao hadi sasa hatuja jiunga na Tik tok na hatutajiunga mpaka Yesu Kristo anarudi gonga likes kwa utukufu wa Mungu Baba 🙏

    • @CateIchoho
      @CateIchoho 2 месяца назад

      It depends with what you watch on that tiktok.....si mbaya

    • @obedimunguachiza8434
      @obedimunguachiza8434 2 месяца назад

      @@CateIchoho ni uamuzi wa kila mmoja wetu.

  • @JosephKivuva-h7x
    @JosephKivuva-h7x 3 месяца назад

    Love this guy keep it up braza

  • @kelvin-yv8rt
    @kelvin-yv8rt 3 месяца назад

    Kazi nzuri sana God bless you na uendelee ivyo ivyo napenda nyimbo zako

  • @dalmasmakio2727
    @dalmasmakio2727 3 месяца назад

    Congratulations brother Mungu anakutumia vyema kwa kazi zake

  • @veronicahnzangi3522
    @veronicahnzangi3522 3 месяца назад

    Barikiwa sana mtumishi wa mungu❤ ,,,,, ,you always encourage many souls

  • @DannMutongoi-f7g
    @DannMutongoi-f7g 3 месяца назад

    Wimbo huu Una ujumbe a mungu

  • @PhilisIndesia
    @PhilisIndesia 3 месяца назад

    Mungu akuinue sana mtumishi wa mungu ukutie nguvu unanibariki sana mtumishi

  • @RehemaGodfrey
    @RehemaGodfrey 3 месяца назад

    Halluleya mungu akutuze kwa damu ya Yesu 🎉🎉🎉Aminaa

  • @Judy-dy4zt
    @Judy-dy4zt 3 месяца назад

    Asante yesu tunabalikiwa sana Ameeeeeee

  • @lionking-qk8eq
    @lionking-qk8eq 3 месяца назад

    huyu anajua kweli...nilimuona afro sayari akanisalimia

  • @LightJona
    @LightJona 3 месяца назад

    Wimbo mzuri Sanaa

  • @RomanMwanjala
    @RomanMwanjala 3 месяца назад

    Ubarkiwe Mungu wa mbinguni

  • @Beatrice-f5m
    @Beatrice-f5m 3 месяца назад

    Lots of love from kenya,,your songs be blessings to many🎉🎉🎉