ANNOINT amshauri Joan na Martha Mwaipaja baada ya Christina shusho na Upendo Nkone kutoa tamko

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 янв 2025

Комментарии • 83

  • @john_Maina7
    @john_Maina7 20 дней назад +15

    🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 Umeongea mengi mazuri lakini umepotea kidogo...hapo amesema eti mtu ata anaweza kua shoga na mungu aendelee kumtumia sio kweli ndugu yangu. Ukweli ni kwamba giza na nuru haziezi ingiana. Wewe ukiamua kuishi maisha ya thambi mungu anakuondokea hapohapo. Wewe unabaki tu na talanta lakini kwa kweli mungu hayupo. Kuimba utaimba tu kwa sababu ni mazoea na hata shetani anakutumia lakini watu wanafikiri una mungu kube ni nguvu za giza unatumia. Sisemi hivyo ndivyo ilivyo kwa Martha lakini nimelainisha maneno yako ambayo umeinena hapo mwanzo mwazo.
    Kama wakristo letu kubwa ni kuonyesha upendo kwa kila mtu hata wasiomjua mungu maana sisi ni nuru kwa waliopotea. Tumuombee dada yetu lakini tusimpige. Asante kutoka kenya 🇰🇪 tunawapenda.

    • @LLl-p4r3l
      @LLl-p4r3l 20 дней назад

      Nikweli utabaki na talanta na utaimba kwa mazoea

    • @ClareOtuba
      @ClareOtuba 19 дней назад +1

      True

    • @Young-Dove
      @Young-Dove 19 дней назад

      Kabisaa umenena kama nuru.. huyu amani hajatoa ushauri wa kiroho na ukiona mtu anapngea kama mwalimwengu jua hata yeye imebaki talanta tuu ila kibali cha Mungu kimeshatoka ndani mwake.

    • @BintiDanford
      @BintiDanford 19 дней назад

      Nikweli kabisa na wengi wao wamebaki na taranta tu Mungu tusaidie

    • @drmathsstepbystep7080
      @drmathsstepbystep7080 19 дней назад +1

      Ebu skiza kile amesema, Mungu halimitiwi, yaani anaeza tumia mtu yeyote kwa faida ya watu, sio kwamba anasapoti ushoga.

  • @eveline2183
    @eveline2183 16 дней назад

    Mungu azidi kukuinua Mtumishi kwa utukufu wake, young man with great divine wisdom, sky is your limit❤

  • @richissimeselevage
    @richissimeselevage 19 дней назад +2

    Asante, Muonye Martha kwa sababu Mungu hachangiwi na Mashetani!
    Yeye anafanya kinjisiya nayule dada...

  • @BeniJohn-xd3cn
    @BeniJohn-xd3cn 20 дней назад +4

    Bwana Yesu asifiwe Sana ya gizani uweka kwenye Nuru

  • @Godfrey_lusekelo
    @Godfrey_lusekelo 20 дней назад +5

    Amen MUNGU anatosha barikwa sanaaa Baba

  • @EVERLYNKWAMBAI
    @EVERLYNKWAMBAI 20 дней назад +3

    Amen. Mungu anatosha.

  • @NaomiGidion-u9k
    @NaomiGidion-u9k 20 дней назад +8

    ww mtumishi bado sana unahitaji mafundisho

  • @rinejoseph8475
    @rinejoseph8475 17 дней назад +1

    Umeongea point sn kaka,tangu hili sakata limeanza sijawahi sikia mtumishi aliyeongea point zaidi yako,bnafsi nmekuelewa mnoo,haswa hapo kwenye mpango wa shetan ktk hili,na hakika hili limetuumiza mnoo,sitaman kusikia km martha ni mkosaji ktk hili,ila all is all,Mungu ashughulike ktk hili,liiishe,barikiwa sn,

  • @neemaneychricious6493
    @neemaneychricious6493 20 дней назад +1

    Haleluyaaa ipo hekima ya Mungu ndani yako barikiwa mtumish wa Mungu

  • @ElinaOmothe
    @ElinaOmothe 20 дней назад +2

    Hello, shikamoo kaka?.. Bwana asifiwe,sifa na shukrani zimrudie, waaau na kaka Annoint wajua kueleza na kukire, samahani nimeskia Raha, kusikiza point zenye cjawai kusikiza shukrani 🙏

  • @GraceJohnson-f8y
    @GraceJohnson-f8y 18 дней назад

    Amen barikiwa mtumishi wa Mungu nimejifunza mengi ambayo sikuyajua kabla

  • @k.k.202
    @k.k.202 20 дней назад +2

    Amen barikiwa sana mtumishi 🙏

  • @Salhamohamedimwampagatwa
    @Salhamohamedimwampagatwa 20 дней назад

    Mungu akubariki sana kaka uko sahihi kama kakuelewa atayafanyia kazi umempa elimu kubwa sana tunakushukiru sana tena sana

  • @graveengrave2936
    @graveengrave2936 20 дней назад

    Kweri wewe ni mtumishi wa Mungu Mnyezi Mungu azidi kuku BARIKI AMINA

  • @nursechunga4470
    @nursechunga4470 20 дней назад

    Kaka Mungu akubariki sana pia nimeumia sana kwaajili ya Martha yaaani!!!🙌

  • @RaelNekesa-254
    @RaelNekesa-254 20 дней назад

    Wow,napenda hii hekima barikiwa mtumishi anointing ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @Julianahilari
    @Julianahilari 5 дней назад

    Wew nimtumishi wa kweli , ,na umeongea point ,ndo maana nyimbo zako zinabariki sn, watu , hii Inaonyesha kuwa uko karibu sn na,Mungu ,Mungu ataonekana tu,,

  • @FrolideNiyomwungere
    @FrolideNiyomwungere 16 дней назад

    Ongea Kaka mungu akubariki🙏

  • @neemayusuph5323
    @neemayusuph5323 20 дней назад +1

    Asante kwa hekima

  • @MargaretAtieno-xx7ys
    @MargaretAtieno-xx7ys 20 дней назад +1

    Amen barikiwa Sana mtumishi

  • @rosekirusha8410
    @rosekirusha8410 20 дней назад

    Ushauri ni mzuri mwenye sikuo na asikie roho anena na kanisa 🙏🏻🙌🏻

  • @ElizabethMakong-en3nq
    @ElizabethMakong-en3nq 20 дней назад

    Umetumia mambo ya hekima tusiukumu tukaja tukaukumu ikwa ni Mungu ameruhusu yawe hivo basi nasi tutafute hekima ya kufanya mambo iwe sawa sio kuzidisha tena nae Joan asifanye jina la Mungu kutukanwa barikiwa kwa hilo neno la hekima ulio nao Amina

  • @selinageogre2881
    @selinageogre2881 20 дней назад

    Ameeni ubarikiwe sana Mtumishi na huo ndio ukweli Mungu anaongea na mtu Moja Moja sio wengi

  • @Janeth-y5m
    @Janeth-y5m 17 дней назад

    Mungu akubariki mtumishi kuna mahali umesema kua watu walisema mwenye kutenda makosa awe huru na yesu mwenye hakufanya kosa asulubiswe wanadamu tunafaaa kuwa makini tunaposikia jambo

  • @suleimansamweli7316
    @suleimansamweli7316 18 дней назад

    Jiandae kujibiwa na mtumishi wa mungu mbarikiwa mwakipesile

  • @lizmwale
    @lizmwale 20 дней назад +1

    You're really great man of God.And I think imefika wakati wa Tanzania to change their narrative, to respect Gospel artist, course hizi vitu za kuwapinga watumishi wenu na kuwasema mbaya is not started now,. long time Bahati bukuku, Jennifer mgendi they suffer a lot ili wa Tanzania wakupali gospel music so if you're not going to change God is going to punish you.heshimu watumishi wenu na mjue kwaficha uchi wao,na mpendana ukiona mwenzio amebarikiwa usimrudishi nyuma uliza siri ya mafanikio yako ulifanyanji,. mungu alikuja kwa wenye dhambi,. And I think this is the time Martha mwaipaji kuinuliwa na mungu zaidi, course she is the chosen one.Nimeenda kwentu 🇰🇪🇰🇪🖐🏾 Martha mwaipaji come Kenya twakupenda mama utulize nafsi yako.

    • @JanetOchieng-z3q
      @JanetOchieng-z3q 19 дней назад

      Follow that story dadangu, hautapenda more so huyu Joan wake my dear we don't need everybody in Kenya, vile Joan anaongea sisi wakenya tumechoka na stress ya ruto please remember Martha alikaribisha Joan jinsi unavyo mkaribisha sasa, Kenya siyo Sodom and Gomorrah, advice her to come back to God please 🙏

  • @fredokoth5437
    @fredokoth5437 20 дней назад +2

    Tafadhali tusome bibilia vyema
    The LORD we are sarving the LORD who created heaven and earth
    The LORD who created me and you
    He is very HOLY HOLY HOLY
    Ambieni Martha ukweli atubu kisha aendelee

  • @CeciliaMukhobi
    @CeciliaMukhobi 19 дней назад

    Barikiwa sana mtumishi wa mungu 🙏🥰

  • @JescarMwakipesile
    @JescarMwakipesile 20 дней назад

    Mtumishi wa Mungu umejaliwa hekima ya kipekee ni mkweli na jasiri.

  • @edwardenock3821
    @edwardenock3821 19 дней назад

    Brother Annoint umeongea points kubwa sana. Unakitu cha zaidi ya utumishi.

  • @MrNitsondaudiTz
    @MrNitsondaudiTz 20 дней назад +1

    Ni kweli kabisa kaka

  • @markomsangawale
    @markomsangawale 20 дней назад

    Umeongea kwa ukubwa zaidi mungu akubaliki

  • @fredokoth5437
    @fredokoth5437 20 дней назад +1

    Without holiness no one will see the LORD

  • @NaomNyaboe-jn3Gs
    @NaomNyaboe-jn3Gs 7 дней назад

    Ukweli mungu anatosha🙏🙏🙏

  • @lusianbenedict6166
    @lusianbenedict6166 18 дней назад

    Kwa kweli Annoint

  • @EsterBukuku-p3x
    @EsterBukuku-p3x 15 дней назад

    Kweli kabisa kaka

  • @ManHussein.
    @ManHussein. 20 дней назад +2

    Umeeleweka vizuri, basi toa na hilo Denge kichwani

  • @MATIKO9640
    @MATIKO9640 19 дней назад +1

    Mtumishi sio herode ni pilato

  • @gideonmwaweza8177
    @gideonmwaweza8177 20 дней назад

    Point ni Ni Mungu mwenyewe ameruhusu litokee

  • @PeterByabato
    @PeterByabato 20 дней назад

    Tupo pamoja mtumishi wa mungu

  • @timothybilato3960
    @timothybilato3960 20 дней назад +1

    Nakuelewaga mkuu

  • @NelsonMaganya
    @NelsonMaganya 19 дней назад

    Amen kaka

  • @christianflorence9461
    @christianflorence9461 18 дней назад

    Mungu akikupa kipawa na akakiruhusu ukitumie ,utatatumika tu hata ukikengeuka dada yetu martha simama na mama ili uendeleee na huduma

  • @Priska247
    @Priska247 20 дней назад

    Iyo kweli apo mwanzo wa hii video

  • @KuntiKunti5134
    @KuntiKunti5134 20 дней назад +1

    ALIPO MPA CHANCE HUYO JOAN KUMDHALILISHA. MAMA YAKE. BASI HUYO MARTHA SINA THAMANI NAYE TENA
    NANI KAMA MAMA
    TOKA DENMARK

  • @MoreenTeophil
    @MoreenTeophil 18 дней назад

    Kakaangu plz mfate dada Martha mshike mkono mm Sina uwezo wakumfkia

  • @yusuphmdemu4942
    @yusuphmdemu4942 18 дней назад

    Wanyumbani unatupoteza sema kweli ya MUNGU acha kubalambala

  • @beinafuu6219
    @beinafuu6219 20 дней назад

    Mungu yupo na watu wengi hawwzi.kumtumia mtu shoga kuendelea na kazi yake.watu watajua kumbe hiko hivyo.umepotea hapo

  • @JescarMwakipesile
    @JescarMwakipesile 20 дней назад

    Amen Amen Amen.

  • @MosesSilungwe-k6t
    @MosesSilungwe-k6t 20 дней назад

    ❤❤❤

  • @olipamkuyu5149
    @olipamkuyu5149 19 дней назад

    Martha aache kiburi asikie maonyo Mungu ana mpango naye ndiyo maana amemfunua

  • @nibigiraorpa2928
    @nibigiraorpa2928 20 дней назад

    ❤🎉🎉❤

  • @wivinemwamini9110
    @wivinemwamini9110 19 дней назад

    Shusho arichekesha sana

  • @BahatiShaltiely
    @BahatiShaltiely 19 дней назад

    Mwal BAHATI ANATORY,Mnisaidie namba ya mtumishi wake martha.

  • @mariamfaicalhassan2890
    @mariamfaicalhassan2890 20 дней назад

    Umeongea vizuri Tanzania inaamani mikopo yote hiyo hapo pa nchi alikuwa mbaya ni uchawa ndugu yangu

  • @InspirationalChess-ij2jx
    @InspirationalChess-ij2jx 19 дней назад

    Amen

  • @bcozhenry2698
    @bcozhenry2698 20 дней назад +1

    😂😂😂ETI MUNGU ANAANDAA WATU TARATIBU WAKATI ANAENDELEA KUMTUMIA MWOVU KIMYA KIMYA? Nami nasema MUNGU ana akiba kubwa ya watu wanaomtafuta kwa dhati hawezi kutumia shoga au sagaji, au shirikina eti kwa kuwa anaandaa wengine taratibu. Msimpokuwa na adabu au upendo kwa wengine Mungu atatumia kiumbe chochote chenye kumtii

  • @SamirPeter-t4u
    @SamirPeter-t4u 20 дней назад

    Martha mkimbie Joan na wenda ana video zinazokuhus na ni mbaya au ana siri mbaya kukuhusu acha akuanike ili uponye nafsi yako yaan niliumia sana juu ya hili lakin sasa naumia na kukuhurumia Martha rudi kwa Yesu
    Martha amin bado kuna kaupendo kwenye mioyo yetu njoo kwa Yesu mbona imekua ivi lakin jaman 😢😢😢 daah hii comment yang ya mwisho kwako mpka liishe

  • @lxstudiotz
    @lxstudiotz 16 дней назад

    Shimo alilotumbukia Matha siorahisi kutoka kama mnavyofikiria! Iliatoke nilazima akubari kupata aibukubwa sana! Ndipo aomberadhi ilimaisha yaendelee!

  • @nikusekelakajumba7697
    @nikusekelakajumba7697 19 дней назад

    Mungu yupi hutumia mashoga,,unatutisha na wewe,paulo mpaka alibadilishwa ndo Mungu alimtumia.soma biblia

  • @elshadaiuniforms1196
    @elshadaiuniforms1196 20 дней назад

    Muongo sana.....

  • @lucywairimu2330
    @lucywairimu2330 20 дней назад +1

    Kama n rosemuhando angekua ameongea n kumaliza hyu amechikwa n shetani kbisa ..hataki kujichucha yni kuchuka kiburi iko ĵùu

  • @BahatiShaltiely
    @BahatiShaltiely 19 дней назад

    Ombi mwenye namba yake Anisaidie.

  • @Franklajifanuel
    @Franklajifanuel 19 дней назад

    𝑼𝒃𝒂𝒍𝒊𝒌𝒊𝒘𝒆 𝒔𝒂𝒏𝒂❤❤

  • @IsayaShokaulaya
    @IsayaShokaulaya 20 дней назад

    Nimekupenda wewe utakuwa mtumishi mkubwa sana kwa Hekima yako

  • @VictoriaSalukele
    @VictoriaSalukele 20 дней назад

    Unaakili mwangu hebu Millie huyo kijana ana busara

  • @JescarMwakipesile
    @JescarMwakipesile 20 дней назад

    MUNGU ni MUNGU.

  • @Priska247
    @Priska247 20 дней назад

    ilo la Martha, ni kwa watu wote wanoa achiliya wazazi wao. Martha asiwazi ni yeye tu ametolewa inje ni wote wasiyo saidiya wa zazi wao. Wenye akili wameonywa kupitiya habari ya Martha. So Martha asisikiye aibu Yesu alivaa aibu ili afanye vitu kuwa sawa sawa.
    Tumejifunza piya kuwa makini nawatu tunaoleta karibu nasi.
    Neno linasema tafuta amani na watu wote. Afanye jamaana.

  • @lucywairimu2330
    @lucywairimu2330 20 дней назад

    Kuna jambo sirini bona haongei Martha liiche basi vita iichii paka wapatane n mzazi mwanzo.

    • @estheragiza161
      @estheragiza161 20 дней назад

      Nyie nani mwaifanya hi familia kudabaratika zaidi musifikirie kuongea mabaya kuhusu Martha ndio kupatanisha kumbuka chanzo ni familia ilianza hebu fikiria Martha anavyo fikiria familia kuanzisha alafu tz yote kuingili hapo munaona watapatana kweli sasa ndio inaenda kuwa mbaya zaidi na wskulaumiwa ni dadake na mamake ,hata Mimi nimebaki na mama na ndugu wa kiume na kike ila Mimi pekee ndio namusaidia mama na sijawai kasirikia ndugu wangu sababu la Hilo na wako na kipato isitoshe Mimi ni mjane na watoto bado wanahitaji malezi ila ndugu zangu hawana watoto wadogo Beatrice kama ni kusaidia mama asaidie ajifanye kama alizaliwa peke hivo ndio Mimi hujichukulia nikimusaidia mama

  • @richissimeselevage
    @richissimeselevage 19 дней назад

    Lea Joan Dickson ni nani? Mbona ana baba, maman, ila anasema Martha njoo mamake?
    Ule ni Agent wa Shetani

  • @NERYJONAS-fw2jc
    @NERYJONAS-fw2jc 20 дней назад

    Naku fuata muzuri kutoka mujini kongo, ndani mwimbaji wa ingili gospel

  • @frankmwinuka6298
    @frankmwinuka6298 20 дней назад

    Una akili mingi sana kuliko umbile lako

  • @mercymakena8711
    @mercymakena8711 20 дней назад +4

    Kweli mtu anayemjua MUNGU,anafaa kuwa kwa mgoti sahii kuwaombea wasanii wote,kila mtu ana makoza twaishi kwa kutubu

  • @livehappy5810
    @livehappy5810 18 дней назад

    ❤❤❤❤

  • @SEKELAGASIMFUKWE
    @SEKELAGASIMFUKWE 15 дней назад

    Amen