ALIYEMUALIKA UPENDO NKONE KUIMBA AWATUKANA WACHUNGAJI | SIKIA MATUSI YAKE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 янв 2025

Комментарии • 284

  • @JescarMwakipesile
    @JescarMwakipesile 4 месяца назад +1

    Nampenda dada Upendo Nkone sijajua kilichotokea ninachokijua Injili ni kwa watu wote. Mungu atusaidie.

  • @HannahRichard-ru3rj
    @HannahRichard-ru3rj 5 месяцев назад +16

    My people perish because of lack of knowledge mwenye macho na aonee mwenye masikio na asikie Thank you LORD JESUS your worthy to be praise ❤

    • @fettykange437
      @fettykange437 5 месяцев назад +1

      Real true,..real sad I pray to God open their spiritual eyes so that the can see

    • @HannahRichard-ru3rj
      @HannahRichard-ru3rj 5 месяцев назад

      @@fettykange437 By their fruits you will know them.

    • @fettykange437
      @fettykange437 5 месяцев назад +1

      @@HannahRichard-ru3rj oh yes

    • @MerlinaKubadesha
      @MerlinaKubadesha 5 месяцев назад

      Ohh 😂

  • @KanteMathias
    @KanteMathias 5 месяцев назад +3

    Yupo Mungu wetu na yesu wetu wa majeshi anakuweza dk mbili tuuu habari zako kwishq

  • @RobertBitambaOfficial
    @RobertBitambaOfficial 5 месяцев назад +23

    Kauli Zako zinaonyesha unamtumikia mungu wa baari
    Hatuimbii mtu yeyote

  • @PeterClaude-ym2nw
    @PeterClaude-ym2nw 5 месяцев назад +7

    Kaka yanguuu nakupenda katka jina la BWANA YESUU utajuta usipo tubu nakuacha kwa maana kuzimu na jehanamu na mbingu ni halisi

  • @BarakaMajura-m9v
    @BarakaMajura-m9v 5 месяцев назад +3

    Wewe pepo wa kuzimu ushindwe kwa jina la YESU

  • @maryr4033
    @maryr4033 5 месяцев назад +4

    Hapo umedanganya Yesu yupo uchawi upo!!

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 5 месяцев назад +1

    Alikuwa haijui upendo nkone.na alivotengeneza Mungu atamsamehe

  • @Juyo56
    @Juyo56 8 дней назад

    Hatuimbi kwa ajili ya yatima,Tunaimba kwa ajili ya YESU tu.

  • @jamilaezekiel6174
    @jamilaezekiel6174 5 месяцев назад +1

    Wachungaji wamezidi jmn pole kaka mungu akubariki kwa kuwakumbuka wajane na yatima ila naomba sana kuna mjane mmoja yuko machimbo mwisho wa lami buza haoni anasukali pursha mungu akuguse siku mmoja tu umutembelee na ubarikiwe sana

  • @CharlesJumanne-zh4oz
    @CharlesJumanne-zh4oz 5 месяцев назад +1

    Wewe kaa sawasawa,hatuna shida kushindana na wewe,Bwana akisimama,wewe na mungu[shetani] wako hamna cha kufanya,kujua biblia siyo kuwa na Mungu,hata shetani anijua sana tu,huenda kuliko viumbe wote,Bwana akukemee

  • @lydiajoseph2571
    @lydiajoseph2571 5 месяцев назад +11

    Unasema watu wanapewa hofu makanisani Kwa kiambiwa Kuna KUZIM, Sio kupewa hofu watu wanaambiwa ukweli ili wajiandae na maisha baada ya kifo, maana kweli KUZIM IPO na MBINGU ipo, hivyo ni lazima watu waambie ukweli ili wafanye uchaguzi mzuri. Na Kwa sababu ya KUZIM kuwepo ndio maana YESU alikuja duniani kuonuesha njia ya kuepukana na KUZIM. Na hii ndio injili watu watubu dhambi Kwa maana ufalme wa MUNGU umekalibia sasa .

    • @aidanikasembe8191
      @aidanikasembe8191 5 месяцев назад

      Hakuna maisha baada ya kifo wazungu wamewadanganya maisha ndio hayahaya

    • @lydiajoseph2571
      @lydiajoseph2571 5 месяцев назад

      @@aidanikasembe8191 Watu wengine ni mapepo in form of human being so sishangai Kwa hichi unachokisema. Neno la MUNGU ni kweli na niamini na ndilo litakalo Kuja kutuhukum.

    • @p.phareskalalu5924
      @p.phareskalalu5924 5 месяцев назад

      Hapana kwenye maneno ya kuogofia mana tunatakiwa kuka mshukuru mungu na uimba kwa shangwe

    • @MerlinaKubadesha
      @MerlinaKubadesha 5 месяцев назад +1

      Baadae ya kifo Kuna maisha lakini hayo maisha ni ya kwenye paradiso ya mungu na shetan hatikuwepo tena atahukumiwa miaka miamoja hatokuwa na nafasi tena kwenye watakatifu lakin atakuwa na nafasi kwa waovu maan bibilia umeandika shetani atapewa waovu hao awatawale tena Kisha jehanamu milele kwa tutubu kabla ya paradiso ya bwana😢🎉🎉🎉🎉🎉🎉 kwa aliyenielewa like kwa asiyenielewa ataelew siku ya kiama

    • @MerlinaKubadesha
      @MerlinaKubadesha 5 месяцев назад +1

      Soma kitabu Cha ufunuo utafunuliwa 🎉🎉

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md 5 месяцев назад +5

    Wewe hutatua shida au mungu ndio msaada wa watu mbona kwa maneno yako unaonyesha kibuli sana jamani umekwisha kabisa

  • @PROSPERFRED
    @PROSPERFRED 5 месяцев назад +1

    Umeona wanapenda wali sana au😂😂😂😂

  • @NebatiMgute
    @NebatiMgute 5 месяцев назад +3

    Bwana Yesu akukemee na ukafie mbali uko

    • @christenaandria6379
      @christenaandria6379 5 месяцев назад

      Hao anao wasaidia utawasaidia wewe acha chuki Muachie Bwana wa hukumu ahukumu mwenyewe

  • @jamesloshilunye414
    @jamesloshilunye414 5 месяцев назад +9

    Anaye paswa kuimbiwa ni Mungu tu basi,awaimbie wale kwa sababu gani, upendo nkone ni mwanamke anaye jielewa sana ndio maana ameomba msamaha na biblia inasema lifungwalo duniani na mbinguni limefungwa na linalo funguliwa duniani na mbinguni limefunguliwa. Mungu ampe neema upendo nkone na msamaha wake aukubali,,

    • @p.phareskalalu5924
      @p.phareskalalu5924 5 месяцев назад

      Wewe na upendo nimandondocha mana hanaye staili kuhobwa msamaha ni mungu sio mwanadamu jinga wewe na walio kufundisha

    • @jamesloshilunye414
      @jamesloshilunye414 5 месяцев назад

      @@p.phareskalalu5924 biblia inasema "na jua lisizame mkiwa na utofauti na ndugu yako au jirani yako". Unafahamu hilo??? Ndondocha ni wewe unaye tukuza ushirikina unao fanyika waziwazi. Sisi na upendo tunamtukuza kristo pekee

    • @PeterGabriel-vm5yy
      @PeterGabriel-vm5yy 5 месяцев назад

      ​@@p.phareskalalu5924 unasoma biblia kweli wewe?

  • @brownsebastianmwibi5647
    @brownsebastianmwibi5647 5 месяцев назад +9

    Kijana anatapatapa sana😂😂😂

  • @bushbabytz
    @bushbabytz 5 месяцев назад +7

    Biblia inasema hivi YAKOBO 1:27
    '' Dini iliyo safi, isiyo na taka mbele za Mungu Baba ni hii, Kwenda kuwatazama yatima na wajane katika dhiki yao, na kujilinda na dunia pasipo mawaa.

    • @AdorophinapKahwa
      @AdorophinapKahwa 5 месяцев назад

      Wajane wepi na yatima wepi kibibilia? Yesu aliwaambia wanafunzi wake, sintawaacha yatima. Kwahiyo jua maana ya yatima.

    • @NATACIARAPHAEL-iz8kr
      @NATACIARAPHAEL-iz8kr 5 месяцев назад

      Hata shetani huwa anajitia Malaika wa Nuru

  • @AnnaKabuni
    @AnnaKabuni 5 месяцев назад +3

    Unawasaidia huku ukiwaita maskini mbwa takataka😂😂😂 MUNGU akurehemu broo

  • @reginaaloyce4055
    @reginaaloyce4055 5 месяцев назад

    Nasikitika sana 😭, Bwana Yesu tusaidie Kwa kweli

  • @ImmanuelNdeonakaC
    @ImmanuelNdeonakaC 5 месяцев назад

    Jamani tufanye kazi Sana nakumtanguliza mungu mbele kwa kilakitu tusipende vyabure ndo maana tunauzwa saivi
    4:53

  • @nenolauzima5281
    @nenolauzima5281 5 месяцев назад +4

    Chief Godlove " Ngoma ikilia sana"

    • @DainaNgonda
      @DainaNgonda 5 месяцев назад

      Mapokeo ya umaarufu ni mtihani mkubwa sana

  • @jamesrobare522
    @jamesrobare522 5 месяцев назад +6

    Acha upumbavu,Mungu hachangamani na shetani hata siku moja,ulichofanya ulimuingiza upendo mkenge bila yeye kujua.

    • @erickAfricatz
      @erickAfricatz 5 месяцев назад

      Tuliza kitako ..... Injili ni mahali popote walipo popote ulipo

  • @deniskilumile612
    @deniskilumile612 5 месяцев назад +1

    Mungu wa mbinguni atakupa hukumu ..hakunaga siri .mwenendo wako ni wà kuabudu miungu wengine..misaada inatumiwa sana kuwavuta watu motoni..hata samaki anaswaye kwa mtego wa chambo ni yule mwenye njaa..

  • @drdd774
    @drdd774 5 месяцев назад +7

    Jinga sana vevee😮😮

  • @RahelSalumu-pm9qx
    @RahelSalumu-pm9qx 5 месяцев назад +2

    Jidanganye YESU ni mkuu kuliko wewe na atakugusa , kwanza mchungaji gan mwenye pete tatu

    • @officiallnobystar
      @officiallnobystar 5 месяцев назад

      Nyie Mshawazoea Wachungaji Wenu Matapeli Ndio Mana Mnamuona Free Mason Huyu😂😂😂

    • @RahelSalumu-pm9qx
      @RahelSalumu-pm9qx 5 месяцев назад

      @@officiallnobystar mchungaji wangu huniombea hata kama sina mia, kuhusu utapeli haunihihsu nachojali n kumwamini YESU ambaye , anasema mmepewa Bure toeni Bure, sijawahi kuongozwa na pastor tapeli

  • @gisellekavira8966
    @gisellekavira8966 5 месяцев назад +1

    Mungu akukemeye wewe.

  • @marymwaya9685
    @marymwaya9685 5 месяцев назад +7

    Manabii na wachungaji wa kweli hawashambulii huduma za Kiroho au kijamii. Hata.mimi sikubali kimshambulia mkone kwa hilo. Ni ubinafsi.

  • @juvenalyfratherne8696
    @juvenalyfratherne8696 5 месяцев назад +1

    Hakuna anae jiita kakangu... waala kusoma chuo cha bibilia sio kigezo cha kuongozwa na Roho Mt. Hvyo usipotoshe umma .. uchawi upo na ufree manson upo .. usiwavute watu kwa ujanja wako

  • @sebastiankatalle2732
    @sebastiankatalle2732 5 месяцев назад +11

    ACHA DHARAU WEWE UTAKUFA VIBAYA SANA WATU WANAIJUA DINI KULIKO WEWE HUIJUI KESHO YAKE

  • @Jerryminenewtony-fc5cp
    @Jerryminenewtony-fc5cp 5 месяцев назад

    Yeremia 9:23.1 wakorintho 1:25-31.

  • @gabrielmchau8764
    @gabrielmchau8764 5 месяцев назад +4

    Hakuna anayekugusa kivipi tena, kwani ukuhani ni kutaka atakavyo mtu au ni neema aitoayo Kristo, Braza unavuka mipaka.

    • @GeraldMyuku
      @GeraldMyuku 5 месяцев назад

      Hatafika popote maana anachukua mpaka nafasi ya Mungu atakufa vibaya.. ndo hao akina nabii Tito Leo wako wapi

  • @devissyprian1526
    @devissyprian1526 5 месяцев назад

    Wewe ni Mungu mpaka. Usikilize Shida za watu

  • @BarikiSeif-f1w
    @BarikiSeif-f1w 5 месяцев назад +1

    Na hayo mapete

  • @stanleymanya438
    @stanleymanya438 5 месяцев назад

    Hiyo sindio sadaka enyeweeee!!! Mimi sikulaumu Ila ninakupongeza kwakuwatambua wahitaji WA mungu

  • @PeterClaude-ym2nw
    @PeterClaude-ym2nw 5 месяцев назад

    Kaka muogope MUNGU Yesu anarudiii

  • @MfiriFulgensi
    @MfiriFulgensi 5 месяцев назад +2

    Nabaki so mchungaji na umemwasi unamdhalilisha banako na mungu

  • @MissGee-ro6ej
    @MissGee-ro6ej 5 месяцев назад +2

    Toka lini mwanaume akavaa cheni tena mtumishi wa Mungu! Mshindwe kwa jina la Yesu.

    • @MerlinaKubadesha
      @MerlinaKubadesha 5 месяцев назад

      Hao ndo wa kwenda kijionesha 2 kanisani ukiingia mtaani mambo yao utashangaabmno🎉🎉🎉 ubaya ubwela

  • @minyoosho1860
    @minyoosho1860 5 месяцев назад

    Ndugu okoka umjue Yesu

  • @HappynesNickson
    @HappynesNickson 5 месяцев назад +1

    Yani ww jaman watu wa Mungu wapinga kristo wameshaingia kama huyu kaka Mungu amusamehe san lakn ipo siku utakuja kujua Huyu Mungu tunaemwabudu ni nani

  • @christopherkanyalakc8941
    @christopherkanyalakc8941 5 месяцев назад +3

    Piga kaz dogo 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @ChrisMwilafi
    @ChrisMwilafi 5 месяцев назад +2

    Hili tatizo mungu atusaidie

  • @andrewkissava9184
    @andrewkissava9184 5 месяцев назад +7

    Hakuna anaye kuweza kwa lipi kwa utapeli,uchawi,ufreemaoni au nini kama ni haya basi hakuna anaye weza kukufikia kwa ushetani huo na ulaghai

  • @josykogei7647
    @josykogei7647 5 месяцев назад +3

    Ila mungu wa mbinguni atakushika tu

  • @jackcandy6830
    @jackcandy6830 5 месяцев назад

    Zama zile kulikua mfalume wa dunia kama wewe anaitwa parao (kutoka5:2)alisema amjui uyo Mungu enda ukamlize kuzimu Mungu ni nani atakuambia

  • @veroniquegershomu9197
    @veroniquegershomu9197 5 месяцев назад +9

    YESU AKUKEMEE EWE SHETANI

    • @nobeziguguya8936
      @nobeziguguya8936 5 месяцев назад

      Kabla umuite mtu shetani jichunguze njia zako na moyo wako

  • @rosemarymapango3747
    @rosemarymapango3747 5 месяцев назад

    Nyakati hizi tutaona mengi sana,.Roho Mtakatifu atusaidie

  • @BenKabala
    @BenKabala 5 месяцев назад

    Wewe ndiwe anayo kasoro ya maadili. Usomi wako hauna maana bila Yesu. Uimbaji aloimba Nkone bila Yesu ni hasara kwake kabisa. Na atubu kushirikiana na wasiomcha Mungu wa kweli.

    • @GodfreyMwendawila-ff7on
      @GodfreyMwendawila-ff7on 5 месяцев назад

      Usihukumu ujsije ukahukumiwa maana naamin Kuna ndugu zako unawachukia wakati kuishi kwao ni mpango wa Mungu unamchukiaje mtu usie jua mpango wake na muumba wake, msiende kanisan ili mzikwe na wengi tuende kanisan ili kumuelekea Muumba wetu ila makanisa yote yako kimaslahi binafsi so angalia safali Yako na Mungu wako hayo mengine iachie Dunia

  • @LovelyCoastalBeach-sn5uc
    @LovelyCoastalBeach-sn5uc 5 месяцев назад

    Wewe ni Mungu mtu😢😢

  • @EnockMvanda
    @EnockMvanda 5 месяцев назад

    1:58 1:59 1:59 1:59 2:00 2:00

  • @tuikezeezra1315
    @tuikezeezra1315 5 месяцев назад

    Wew kijana ni Freemason acha kujitetea sana, mbona Wakristo mnawaonea sana na mnapenda kuwatumia wakati mkitaka kutangaza ushetani wenu!!, Sijui kwa nini mnataka kuuangamiza Ukristo😢😢😢. Alama za Pembe tatu kwenye zile madhabahu zilionekana Vizuri kwaiyo usitufanye sisi watoto bana we vipi!!!

  • @estherpaul3864
    @estherpaul3864 5 месяцев назад +5

    MUNGU wetu ni mwingi wa rehema,

  • @ObediChristopherLaizer
    @ObediChristopherLaizer 5 месяцев назад

    Sawa gawa misaada ila pia Hubiri Habari Njema Ya Ufalme wa Mungu Huyo Aliye Kupa Ulicho nacho Sasa

  • @hoseakavubu2844
    @hoseakavubu2844 5 месяцев назад

    Hizo dini wanachowaaminisha ni utakufaje na maisha mazuri. Dini zimekuwa km kitisho

  • @NATACIARAPHAEL-iz8kr
    @NATACIARAPHAEL-iz8kr 5 месяцев назад

    Hata Wewe Ni Waajabu chunya si Ulinawa Pombe Enesi wewe ukasema nani mwenye hela Watu Wa Mungu Hajingambi mtandaoni kuwa wana Hela

  • @blessedlovedandfavoured4129
    @blessedlovedandfavoured4129 5 месяцев назад +5

    Hivyo vyakula ndiyo mktaba yenyewe

  • @DevothaMahajile
    @DevothaMahajile 5 месяцев назад

    Acha kujitetea

  • @musiccaentertainment100k8
    @musiccaentertainment100k8 5 месяцев назад

    Elewa watanzania hawajasoma ..kenya hzo ni kawaida

  • @RobertMshana-l5u
    @RobertMshana-l5u 5 месяцев назад

    Ni kweli na hata waliokula mchele wanatakiwa wautapika na watubu

  • @thomasmartine3453
    @thomasmartine3453 5 месяцев назад

    Ila mnamuinea upendo kwasababu kaimba nyimbo za kumtukuza MUNGU siyo shetani kwahyo alifaa kushukiriwa kwani ameenda kumuimbia mungu wake kule alikokuwa anapingwa kama mnavyo dhani sasa tatizo lipo wapi nyie mmeshindwa kwenda kukemea yeye kaenda kumtukuza MUNGU pale pale sasa shobo za nini

  • @WitinessJoseph
    @WitinessJoseph 5 месяцев назад +1

    Jamani ktk haya Maisha usijione ww ni msafi kuliko wengine mungu ni wa wote jamani tusipende kuhukumu watu mungu alikuja kuokoa walipotea sio wasafi tusipende kuhumu watu jamani kila mtu angalia njia zake mungu ni wawote

    • @chrisdeoglatias8665
      @chrisdeoglatias8665 5 месяцев назад +1

      Hapana sio hvyo!

    • @AnethMushi-c3e
      @AnethMushi-c3e 5 месяцев назад +1

      Mungu wa"M"kubwa ni WA wote wenye mwili huyu wa m ndogo sio wa wote

    • @nobeziguguya8936
      @nobeziguguya8936 5 месяцев назад

      ​@@AnethMushi-c3epoint yake si umeielewa lakin,ufundi wa sarufi na miundo unatokea wapi,,Mungu ni wetu sote bana,hata hivyo tunaokolewa kwa neema tu hakuna anaestahili,wala aliyestahili,wala atakayestahili.

  • @AllanKabuga-k2d
    @AllanKabuga-k2d 5 месяцев назад

    Duuuh mungu tusaidie maana hii dunia daaaa

  • @IdrisaAbdallah-pf4mw
    @IdrisaAbdallah-pf4mw 5 месяцев назад +1

    Piga kazi mdg wng wasikuzubaishe mamae saidia watu kama wao hawataki kusaidia qatu its up to wao

  • @lindakapongo8421
    @lindakapongo8421 5 месяцев назад

    jamani ee yesu tusaidie

  • @elicanaambweni8666
    @elicanaambweni8666 5 месяцев назад

    😂😂injili inavamiwa sana

  • @Nguvuyaasili
    @Nguvuyaasili 5 месяцев назад

    Wewe umesema sahihi kweli ww unatoa huduma na sio kanisa na umesema kweli hiyo sio ibada asante kwa kutufungua .

  • @richardamswetyjesus8017
    @richardamswetyjesus8017 5 месяцев назад

    miyeyusho

  • @PatrickTarimo-f6d
    @PatrickTarimo-f6d 5 месяцев назад

    Saidia wenye uhitaji

  • @johnwoshi3459
    @johnwoshi3459 5 месяцев назад

    Acha kiburi;Mungu anawapinga wenye kiburi lakini anawapa neema wanyenyekevu

  • @justinmwamloso7559
    @justinmwamloso7559 5 месяцев назад

    Umesoma ndio vyeti unavyo ndio lkn unahubiri nini na unamhubiri nani yesu aliambiwa kitu wewe nani huwezi ambiwa kitu @ najua hakuna adui wa kweli mdogo wala mkubwa me sina shaka na mtu simama juu ya unacho kifanya kweli itajulikana siku moja kweli ilijulikana kati ya Mungu na Lusifa ivo hata kwako kwenye huduma yako kweli itajulikana ni swala la muda tu ndugu mwaki...bete

  • @dorahmanyilika6127
    @dorahmanyilika6127 5 месяцев назад

    Afadhali mwanangu we fanya unavyoweze Dunia hii hakuna wa kumfunga kelele mwenzie

  • @robertathuman9242
    @robertathuman9242 5 месяцев назад

    Baba ako mchungaj kabisaa sijui anaonaje unavo ongeaga huku au hana Smart aonag utumbo unao ongeaga

  • @JoaquimMashalangende-fw7xs
    @JoaquimMashalangende-fw7xs 5 месяцев назад +1

    Kweri kiongozi

  • @SamuelOpingoM
    @SamuelOpingoM 4 месяца назад

    Neno litasimama

  • @emmanuelmanga3478
    @emmanuelmanga3478 4 месяца назад

    Wewe ni mpuuzi wa kupuzwa tu toka uwezo na wako unadha cheti ni ndio alama ya kuwa wewe ni wa Mungu hata shetani ana cheti

  • @christenaandria6379
    @christenaandria6379 5 месяцев назад +1

    Dini iliyo safi nikuwasaidia yatima na wajane

    • @NATACIARAPHAEL-iz8kr
      @NATACIARAPHAEL-iz8kr 5 месяцев назад

      Na zile Enesi Pale Chunya Alinawa aka sema nani mwenye hela ndo training eti

  • @PeterMahona-zd3oz
    @PeterMahona-zd3oz 5 месяцев назад

    sawa. acha hivyo Mimi siwezikujakwako wewe. Nimshilikina mtu wayusifa mtumikietu huyominguyoka nasisi tunajiju tunajitambua. Wewe siyo

  • @AndrewShiratu
    @AndrewShiratu 5 месяцев назад +3

    Wanahofu ya wateja wao kuhamia kwako.maana waumini wamefanywa kuwa wateja wa makanisa

  • @MissGee-ro6ej
    @MissGee-ro6ej 5 месяцев назад

    Hata wachawi wanasoma na kuzimu kuna vyuo pia wanasoma mawakala wa shetani kwahiyo usitutishe na kuijua biblia. Hata shetani anaijua biblia. Mmeshindwa kwa jina la Yesu na mtu mwenye roho wa Mungu hawezi kuhudumu hapo. Na ndio maana hamkemei dhambi. Mtu hataishi kwa mkate tu. Kama huna Roho Mtakatifu huwezi kuelewa.

  • @MeryPapi
    @MeryPapi 5 месяцев назад

    Mpuuzi wewe,mnajiingiza kufungua makanisa mpigige hela,wenye macho ya rohoni na neno la Mungu tumekujua wewe mbwa mwitu uliyejiingiza kwa Jina la kristo

  • @NebatiMgute
    @NebatiMgute 5 месяцев назад

    Una pepo wewe upone kwa Jina la Yesu

  • @erickmillanzi4391
    @erickmillanzi4391 5 месяцев назад

    Na hayo mapete ya kuzimu vidoleni mwako vp.

  • @isayakiyeyeu6295
    @isayakiyeyeu6295 5 месяцев назад

    Pole, hata roho hanigusi unachoongea

  • @Princemahamba-m3p
    @Princemahamba-m3p 5 месяцев назад

    Mwanachama wa Freemason

  • @elianacastorymgoba4533
    @elianacastorymgoba4533 5 месяцев назад

    Hata shetani anaijua biblia vizuri sanaa ko hatuwezi kutishika

  • @esterpeter8556
    @esterpeter8556 5 месяцев назад

    Ushikwe kwa kipiiii kwanza ? Na mipete yako kama wale matapeli wa kariakoo.na roho inakuuma ukute ulitumwa umhadae uyo Mama.baibo yenyewe umesoma miaka miwili tuu na utishie kushindana cjui na kina Nani

  • @veroniquegershomu9197
    @veroniquegershomu9197 5 месяцев назад

    KWA YESU KRISTO HAKUNA USASA DIHA SHETANI HUKU KWA YESU NIKUJIKANA KWAKUBEBA MIZIGO YAKO YOTE NA KUMFATA MAISHA YAKO YOTE

  • @Augustinojohn-pf3pg
    @Augustinojohn-pf3pg 5 месяцев назад

    Upendo ameomba musamaha tayari

  • @Miriampeter-xy1jh
    @Miriampeter-xy1jh 16 дней назад

    Unamtumikia rusifa

  • @EzdonBathoromeo
    @EzdonBathoromeo 5 месяцев назад

    Sasa Kwan ww unahela
    Au😂

  • @SabinaMakanga
    @SabinaMakanga 5 месяцев назад

    Mungu aturehemu acha kujiinua

  • @komandowainjiliyayesu
    @komandowainjiliyayesu 5 месяцев назад +4

    Nabado tutakushambulia maana wew ulisha promoti shetani na tena Kwa wazi

  • @fredrickmapunda3110
    @fredrickmapunda3110 5 месяцев назад +1

    Kunamtu alikuwa anaitwa ginimbi alishindana na profet java uliza Yuko wapi ?

  • @LucyOgego
    @LucyOgego 5 месяцев назад

    Unajiskia kweli?
    Unaraha moyoni?
    Unalala vizuri kwako?
    Achana na wazazi wetu wafe njaa. MUNGU ATAWAPIGANIA .
    Even the devil knows the word of God.

  • @paulabelleghe451
    @paulabelleghe451 5 месяцев назад

    Hahaaa umetisha fungua kanisa tuje tulambe mafuahahaaaa

  • @rosemachui8949
    @rosemachui8949 5 месяцев назад

    Mm nataka nikAombe msaada

  • @IssacNtacho
    @IssacNtacho 5 месяцев назад

    Kilichokupotosha ni ichohcho cha wew kujua kwamba umesoma Biblia

  • @agnesmwangi2808
    @agnesmwangi2808 5 месяцев назад

    hatukubali kupotea tukiona

  • @doreenmfugale6723
    @doreenmfugale6723 5 месяцев назад

    unatisha

  • @deogratiashaule8958
    @deogratiashaule8958 17 дней назад

    Hii mbona jeuri, kwa nini?