Hallelujah. Thanks for this good song .God bless you mum for using u to pass this massage in this big way. It's time for the world to take a total repentance. Lord please have mercy upon your people as we are coming back to u
Ewe mwenyezi mungu muumba wa mbingu na ardhi mkumbuke mama yetu @upendo nkone na neema imbebe na ivunje Sheria🙏🙏🙏wapendwa tusimame na mama yetu na neema itubebe sote🙏🙏🙏
Napenda sana nyimbo zako sana zinagusa sana moyo wangu.miaka ya 2000 nilikuwa na mikanda 4 ya kwaya, upendo Nkone, Bahati Bukuku, Matha mwaipaja na Rozy Muhando. Hongera mama!
Uimbaji injili ni kifaa,kipawa,kitumikacho kuhudumia watu,na kumuhudumia Mungu kwa kuachilia maneno yenye nguvu ya kiroho,katika kumwabudu,kufundisha,kuomba,kusifu,kuinjilisha etc. Na huu wimbo ni wabaraka sanaaaa,katika kumuongoza mtu anapohitaji kukoka au kutubu makosa kwa Baba! Yamkin si yeye atubuye wakati huo,ila ametumia sanaa yakuimba ka niaba ya kila mwenye uhitaji watoba atakapo taka kutubu ataimba huu wimbo. ZIDI KUINULIWAAA MY BIG SISTER,WEWE NI HAZINA KATIKA MWILI WA KRISTO.
Asante na MUNGU akujaze roho ,Asante ,Ngoma zako ni za upako wewe na misholi MUNGU awatie nguvu ......amen ,AMANI ya bwana iwe nanyi .Usife moyo kwa kuwa mjane, Mimi Sina wazazi tangu miaka 9 ,lakini MUNGU amenishika mkono .UBARIKIWE sanaaaa❤❤❤💐🌹👍🇹🇿🇰🇪🙏🇮🇱💪
Ubarikiwe mama ila kwa ushauri vua hayo mapambo ya yezebeli na uyaache kabisa kwani hata ukibaki bila mapambo unapendeza ili usiji Fanya kazi ya bure na Yesu asije sema ondoka sikujui.ni ushauri wangu kwako ndugu katika kristo.
Upendo Mtumishi wa Mungu, Umebarikiwa na Bwana Yesu Kristo, Nyimbo zako zote zimejaa Neema na Unyenyekevu na Rehema za Mungu wetu aliye Mbinguni. Tunakuombea mioyo mwetu. Asante sana Mpendwa na Dada yetu. ❤❤❤🌹🙌🙌🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙏🙏🙏🙏🙏😘😘😘
We Bwana Yesu nisamehe Mimi na familia yangu tukumbuke katika ufalme wako wa milele baada ya maisha haya tukakuone YESU mkumbuke na huyu mwimbaji upendo nkone
Amen ubarikiwe sana kwa wimbo ila mama achana na Mapambo hayo si ya Mungu yanaweza kukufanya ukaikosa mbingu kuna watumishi wengi sana wamefunuliwa hayo mapambo yanapeleka wanawake wengi kuzimu ,huduma yako isije ikawa ni bure Mungu akupe neema hiyo ujue hilo ubarikiwe
Eeee MUNGU wetu muumba mbingu na nchi tusamehe sisi wakosefu na utujaze roho wako mtakatifu tuwe kiumbe kipya Mungu hakuna tena kama wewe . asante mama kwa ububujiko wa viwango hivi
🙇♀️ 😭 🙌 Hata na mimi mwanao BABA WA MBINGUNI NAOMBA UNISAMEHE MAKOSA,DHAMBI ZANGU ZOTE NATUBU...BABA WA MBINGUNI NISAMEHE....NIOSHE TENA NA DAMU YA MWANAO WA PEKEE YESU KRISTO MKOMBOZI WETU. AMINA 🙏 ❤ MUNGU AKUBARIKI TENA ZAIDI MAMA UPENDO NKONE ❤
Hongera kwa kukiri makosa na dhambi kwa kujivurugavuruga. Kweli haya MUNGU na watu hawatarajii kuviona tena kwako dada Upendo Nkone- lipstik mekap rangi kwa kucha na nywele bandia kutoboa masikio mikufu na mihereni-ukiacha kivitendo hapo unakuwa ndio inatubu
Oh Lord Jesus have your mercy upon me ..am a sinner, my fleshly desires....am single but I admire sex...my heart is full of pride... I dont admit mistakes hence not liking corrections. please forgive me and others.. wash me with the blood of covenant...keep me right on your roots and help me to remain conscious of eternity in Jesus name..Amen🙏😭
I like your honesty,Our God is faithful and just to forgive us all our sin,then pray for the Holy Spirit to help you not to get into temptations again.I wish you well
Hallelujah.
Thanks for this good song .God bless you mum for using u to pass this massage in this big way.
It's time for the world to take a total repentance. Lord please have mercy upon your people as we are coming back to u
Mungu nisamehe kwakuto kurizika na kile kidogo ulicho nibariki 😢🙏🙏❤️. Umenipa pumzi ya bure, Nina kila sababu yakuliunua Jina Lako 🙏🙏
Nisame yesus wangu nimechoka na Mambo ya Dunia sijapata faida kwenye zambi👏
Nisamehe Baba kama Nina makosa hata Toni nisamehe ooh dearest lord God😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢❤❤❤❤❤Anen
Nisamehe bwana sina mwingine, usiniache😢😢❤️❤️❤️🙏🙏🙏🙇♀️
Nisamehe😢😢😢😢
Forgive me😢😢😢😢😢😢
Forgive UGANDA 🇺🇬🇺🇬🇺🇬
Forgive Africa😢😢😢😢
Forgive the world😢😢😢
mama nakupenda sana uzidi kubarikiwa na kutumika kwa wakati wa sasa na badae
Ewe mwenyezi mungu muumba wa mbingu na ardhi mkumbuke mama yetu @upendo nkone na neema imbebe na ivunje Sheria🙏🙏🙏wapendwa tusimame na mama yetu na neema itubebe sote🙏🙏🙏
Amen tufanye mpango mama yetu anatubariki mnoo
Mungu nisamehe nimekukosea sana
Nisamehe yesu Mimi ni mwenye nzambi Amen
Napenda sana nyimbo zako sana zinagusa sana moyo wangu.miaka ya 2000 nilikuwa na mikanda 4 ya kwaya, upendo Nkone, Bahati Bukuku, Matha mwaipaja na Rozy Muhando. Hongera mama!
Upendo I love you mama angu
Mungu ni mwema barikiwa maman
Uimbaji injili ni kifaa,kipawa,kitumikacho kuhudumia watu,na kumuhudumia Mungu kwa kuachilia maneno yenye nguvu ya kiroho,katika kumwabudu,kufundisha,kuomba,kusifu,kuinjilisha etc.
Na huu wimbo ni wabaraka sanaaaa,katika kumuongoza mtu anapohitaji kukoka au kutubu makosa kwa Baba! Yamkin si yeye atubuye wakati huo,ila ametumia sanaa yakuimba ka niaba ya kila mwenye uhitaji watoba atakapo taka kutubu ataimba huu wimbo.
ZIDI KUINULIWAAA MY BIG SISTER,WEWE NI HAZINA KATIKA MWILI WA KRISTO.
Kwa kweli dada upendo wewe chombo cha BWANA YESU, MUNGU akukumbuke kama yusufu
Please God forgive me
I am a sinner for what i did knowing and unknowingly please Jesus have mercy on me Jesus 😭😭😭🙏🙏🙏
Mimi ni mwenye dhambi moyo wangu huwa unatabia ya kufisha naomba toba na msamaha Rehema yako inihurumie mtoto wako ....🙏🙏
Yesu Kristo tusamehe makosa yetu utuoshe kwa Damu Yako yasamani na utuponye magojwa
Wimbo mzuri
Naiwe hivyo kwako na kwangu
Yesu Kristo uturehemu Mimi na 🇹🇿 wenzangu utupe mwisho mwema
Asante na MUNGU akujaze roho ,Asante ,Ngoma zako ni za upako wewe na misholi MUNGU awatie nguvu ......amen ,AMANI ya bwana iwe nanyi .Usife moyo kwa kuwa mjane, Mimi Sina wazazi tangu miaka 9 ,lakini MUNGU amenishika mkono .UBARIKIWE sanaaaa❤❤❤💐🌹👍🇹🇿🇰🇪🙏🇮🇱💪
Mungu bariki na ukakutane na mahitaji ya Kila mmoja anayesoma comment 😔🙏
Nisamehe mungu wangu nakuomba ...,,,I am a sinner may you have mercy upon me plizz I beg you my Lord.,,, Amen
Wimbo mzuri kabisa,
Mungu atusamehe makosa yetu yote, tunatubu
Ubarikiwe mama ila kwa ushauri vua hayo mapambo ya yezebeli na uyaache kabisa kwani hata ukibaki bila mapambo unapendeza ili usiji Fanya kazi ya bure na Yesu asije sema ondoka sikujui.ni ushauri wangu kwako ndugu katika kristo.
Kiukweli nimebarikiwa sana na huu ujumbe barikiwa Upendo Nkone Mungu akubali
Eee MUNGU WANGU 🙏🙏🙏🙏 wa mbingu naomba unisamehe usinikatae
Nakupenda sana mama angu Mungu akutunze sana❤❤😢😢
Najitaidi kutenda mema lakini mabaya yananikaribia eh Mungu unisamehe dhambi zangu 🙏🙏. Asante sana👏👏👏 dada Upendo kwa wimbo mzuri wakuombea msamaha @barikiwa ❤
Ufufio ndio huu wakati tunaitwa tumrudie bwana tuimbe msamaha mungu mbariki NKONe
uturehemu eeeh YESU KRISTO wa nazareti mwana wa MUNGU aliye hai,AMEN
Mungu azid kukutumia kwa namna apendavyo mama angu
ee YESU unisamehe ninatubu makosa yangu unisamehe barikiwa sana mama kwa wimbo mzuurii
Nakupenda sana mama Mungu azidi kukuinuaaa zaidi
Nisamehe Mimi mwenye zambi MUNGU wangu 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼😭😭😭
😭😭😭 Mungu nisamehe nimekutenda dhambi.
Imana iguhezagire Cane Nkone🇧🇮
Yesu Naomba nisamehe 😭😫🙏🏾
Good mama NAONA WALE WAIMBAJI WENYEWE SASA WAMEANZA KUIMBA BORA ❤
I'm on my knees Lord Jesus forgive me 😭😭😭😭😭😭
Very powerful uwepo wabwana mungu ukusaidie mutumishi wamungu
YESU nisamehe dhambi zangu mim😢😢😢😢🙏🙏🙏😢😭😭🙏🙏🙏
YESU NISAMEHE DHAMBI ZANGU ZOTE🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Eeh YESU nisamehe mim mwenye dhambi na samehe piah na familia yangu na kuilinda siku zote
Yesu nisamehe makosa yangu😢
Mama mwenye kujiheshimu tangu nimeanza kumsikia anaimba!🌹
What a powerful worship song barikiwa sana Mtumishi wa Mungu
Nisamehe Yesu nafsi yangu ibaki na wewe 😭😭😭
Msanii wangu
Forgive us Lord we know we have fallen short of your glory. But cleanse us with the blood of Jesus and create in us a pure heart and a clean spirit.
Nisamehe very wonderful song be blessed.
Yesu nisamehe mimi nirudishie heshia yangu baba
Asante sana mama yetu kwanyimbo nzuri sana mungu akulinde na akupe afya nzuri ubarikiwe mama yetu
Ahaaa yesu mimi nitahenda wapi
?
Jesus sikuya mwisho
I can NOT stop playing this song. Each time I play it and declare it, everything that I think about manifest. I'm Qualified...It Has Been Established
Aseee!! Yesu nisamehee Nkone nmekuelewa vzr sana mama
nisameh mKosa yangu ee Mwenyezi MUNGU najua mm sio mkamilifu
I repent all of my sins known and unknown, Jesus wash me with your blood
yesu nisamehe natubu makosa yangu nisamehe 🙏🙏🙏🙏
Upendo Mtumishi wa Mungu, Umebarikiwa na Bwana Yesu Kristo, Nyimbo zako zote zimejaa Neema na Unyenyekevu na Rehema za Mungu wetu aliye Mbinguni. Tunakuombea mioyo mwetu. Asante sana Mpendwa na Dada yetu. ❤❤❤🌹🙌🙌🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙏🙏🙏🙏🙏😘😘😘
God forgive me
God forgive our country kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Tusamehe sisi wote baba yetu🙏🙏🙏
Mungu akubarik mama yetu,nasifa zimwendee Mungu.
Tusamehe 😭😭😭😭Nakupenda sana mama ❤❤
Nakuomba rehema zako na unisamehe dhambi zangu eeh Bwana Yesu Kristo usikumbuke uovu wangu
Nisamehe Yesu , Baba wa uruma ,natubu makosa yangu 😭
We Bwana Yesu nisamehe Mimi na familia yangu tukumbuke katika ufalme wako wa milele baada ya maisha haya tukakuone YESU mkumbuke na huyu mwimbaji upendo nkone
Amen ubarikiwe sana kwa wimbo ila mama achana na Mapambo hayo si ya Mungu yanaweza kukufanya ukaikosa mbingu kuna watumishi wengi sana wamefunuliwa hayo mapambo yanapeleka wanawake wengi kuzimu ,huduma yako isije ikawa ni bure Mungu akupe neema hiyo ujue hilo ubarikiwe
Hata mimi binafsi natubu makosa yangu YESU nisamehe. Mnyonge natenda maovu..ila naomba nisamehe.🙏🙏🙏
This woman of God is born to worship the Lord.. learning from her
Deep Soul Searching Song. Nihurumie bwana na Unisamehe Yesu
Asante mama uzidishiwe tena kipaji ninakufata kilasiku tokea Congo
Mungu baba bariki mama Nkone,nabarikiwa sana na nyimbo zako,barikiwa sana
Despite of years of dormancy, Upendo Nkones Voice remains a memory of unchangeable and unaltered one.
Soit béni Maman upendo!
Absolutely 💫😇🤍
@@BoazKisomerya-vc8uzuao😅😊
Bwana yesu naomba unisamehe makosa yangu ninapo kusea kilauchao.
❤❤❤❤ mungu akutumie kama upendavyoo
Mwenyezi mungu naomba unisamehe ❤
Mum toa hayo mapambo afu toba.mungu hapendezwi nayo.
Dada upendo ubalikiwe zaidi Asante Kwa wimbo huu
NATUBU YESU NISAMEHE
BWANA aturehemu, kwakweli ila pia mama yangu kumbuka haya( 1 Timotheo 2:9-11) 1petro 3:3-6)(1wakorintho 3:16-17)( barikiwa
Eeeh Yesu nisamehe Mimi niliye mwenye dhambi, nisamehe nisamehe Baba🙏
Mama yetu you are a blessing to my soul! I'm blessed
God forgive us😢so nice song mummy 🙏 😢 may the Lord forgive our sin 🙏
Nisamehe kwa yale yote nimetenda kinyume na neno lako ewe bwana Mungu
Natubu makosa yangu nisamehe yesu🙏🙏🙏.
Nisamee baba yangu. Tusamee sote baba tunatubu mbele zako katika jina la YESU CHRISTU
🙏🙏🙏🙏 MUNGU nirehemu mwana wa David
Natubu toba ya kweli na bendera ya msimamo
Nakukubali sana mama mungu akubariki sana ❤
Eeee MUNGU wetu muumba mbingu na nchi tusamehe sisi wakosefu na utujaze roho wako mtakatifu tuwe kiumbe kipya Mungu hakuna tena kama wewe . asante mama kwa ububujiko wa viwango hivi
Mm mtenda dhambi bwana nsameheee yesuuu naomba usikatae naomba nihurumie nisamehe yesu 👏👏👏👏👏
Mwnyezi Mungu tusamehe na utuoshe na damu ya mwanao Yesu Kristo tuwe safi.
Dada upendo Nkone
Umeimba vizuri na Mungu akubariki , nikusihi uondoe Aina zote za ushanga unaopenda kuvaa ,ondoa kabisa.
Yesu mwokozi naomba unisamehe kwa makosa niliyo yatenda kinyume na mapenzi yako
Mungu abariki kipaji chako 🙌
Natubu zambi nilizike kwakile mungu anacho nijalia pia niludi kundini nimekuwa mwanampotevu.nisamehe munguuu.😢😢😢😢
🙇♀️ 😭 🙌 Hata na mimi mwanao BABA WA MBINGUNI NAOMBA UNISAMEHE MAKOSA,DHAMBI ZANGU ZOTE NATUBU...BABA WA MBINGUNI NISAMEHE....NIOSHE TENA NA DAMU YA MWANAO WA PEKEE YESU KRISTO MKOMBOZI WETU. AMINA 🙏 ❤
MUNGU AKUBARIKI TENA ZAIDI MAMA UPENDO NKONE ❤
asante mungu
Yesu Nami nisamehe Bwana, naomba ufute jina langu kwenye kitabu cha hukumu, nisamehe Bwana.
Am repenting this morning, am a sinner, forgive me ,please my Lord accept me back, amen.
Nisamehe Yesu ,,nitatubu na kuziungama dhambi zangu zito eeh Bwana nitakase kwa damu yako🙏
Indeed we need msamaha wa Mungu,Dunia imerarura na inararua hata Wakristo Sasa.
Yesu tusamehe ndiposa tupate kupona.
Nyimbo za mama huyu zimejaaa uwepo wa ROHO MTAKATIFU bwana akupe maisha marefu sana mama
amen amen mama yangu wa music 🎵🙏🇮🇱🇮🇱💯💯👍🎸🇹🇿🎹🇮🇱🇮🇱🙏🎹🇹🇿🎸🎵🎵
YESU nisamehe. 😢
Huyu wimbo umekua chakula changu...nisamehe nimetubu dhambi zangu zote
Mungu baba ninaomba nisamehe mbele zako na za uso wako maana mimi ni mdhambi nisyestailiMbele zako na zauso wako nisamehe na kunihurumie Yesuuu🙏
Hongera kwa kukiri makosa na dhambi kwa kujivurugavuruga. Kweli haya MUNGU na watu hawatarajii kuviona tena kwako dada Upendo Nkone- lipstik mekap rangi kwa kucha na nywele bandia kutoboa masikio mikufu na mihereni-ukiacha kivitendo hapo unakuwa ndio inatubu
Nisamehe yesu kwakilakosa nilokutendea mimi silolote sochochote naomba unisafishe nakunitakasa
Oh Lord Jesus have your mercy upon me ..am a sinner, my fleshly desires....am single but I admire sex...my heart is full of pride... I dont admit mistakes hence not liking corrections. please forgive me and others.. wash me with the blood of covenant...keep me right on your roots and help me to remain conscious of eternity in Jesus name..Amen🙏😭
Àmina
I like your honesty,Our God is faithful and just to forgive us all our sin,then pray for the Holy Spirit to help you not to get into temptations again.I wish you well
I pray this prayer too Amen
Amen
Amen