In 2013 my husband married a kalenjin woman and threw me out with my two little kids..I sung this song😢...last year October my daughter graduated in a Medical college.. still I sung the song...date one last month this year 2024 she secured a permanent job in Nakuru level five hospital as Theatre technologist at a tender age of 23 am still singing the song.
Who's else is here in 2024 after facing difficulties in this life! Faith, faith dear brothers and sisters, the spiritual war is real, let's battle it with the word of GOD, he will never fais us, he is our hope,refuge and salvation! Psalm 62:5-7 ❤❤🙏🏾
MUNGU ALIE HAI aendelee kukutunza Upendo Nkone,,wimbo huu leo umeniinua ,nikiwa ktk mawazo ya kuchoka tune yake ikaja nikawa naimba rohoni bila kujua hasa maneno yake,,ndipo nilipokumbuka nikatafuta wimbo huu,,
Finished my 4th exams in 2015,I'm hoping one day the Lord will visit my situation and provide fee to join college ,no Job ,no everything,,Till when Lorrrrrd😢😢😢😢
Hapo Mwanzo kulikuwa na Neno Nae Neno alikuwa Kwa MUNGU Nae Neno alikuwa MUNGU Huyo Mwanzo alikuwa Kwa MUNGU Vyote vilifanyika Kwa huyo. (Siri ni Yesu)
Tunao sikiliza huu wimbo 2025 tulike hapa 🙏
Thank you for this UPENDO NKONE, still valid in March,2024
Nakupenda Saana Mungu wangu Bila wewe Mimi si kitu kabisaa
Nipo hapa nasikiliza mwaka wa 2024 ❤❤ 🙏🏾 mungu atulinde
Marafiki wakimbie na mke akimbie hautaniacha kamweee wazazi wanifukuze 😢😢😢 hautaniacha
Haijalishi nani anaondoka, YESU hubaki. Ni mwema mno,mzuri ajabu❤ alaf mvumilivu sn
Be blessed my dear
Usiniache Bwana Yesu ❤
Hakika sijawai sikiliza gospel kama hii imenigusa san mungu nilinde kwenye hii safari yangu ya maisha🙏🙏😢
Nilipoonewa na kutengwa nilimlilia Mungu na kuomba kutumia huu wimbo
Who is here May 2024?
Neema yako yesu yantosha maisha mwangu.....hta ninapoondokewa na wapendwa wngu,jamii initenge USINIACHE BWANA
In 2013 my husband married a kalenjin woman and threw me out with my two little kids..I sung this song😢...last year October my daughter graduated in a Medical college.. still I sung the song...date one last month this year 2024 she secured a permanent job in Nakuru level five hospital as Theatre technologist at a tender age of 23 am still singing the song.
Glory to God. May you never lack Jane, God is the husband of the widow....May our God uphold you with His righteous right hand
Congratulations 🎉 glory be to God 🙏
What a wonderful God.The Lord of miracle
Mon témoignage est déjà là bientôt 🎉
And am now singing the song
Ibada na Agano kamili 👏
Hautaniacha peke yangu Yesu nihaibike mimi na wanangu😭… nakupenda Yesu umeniahidi nisiogope utanisaidia kwenye neno lako
Hautaniacha kamwe niaibike bwana Yesu❤
Sichoki Kusikiliza Huu Wimbo Unanibariki Kila Wakati Asante Bwana Yesu Kwa Kuyaokoa Maisha 3:53
Yangu❤
Huu wimbo unanikumbusha 2019 nlipitia wakati mugumu Sana nikawa nauusikiliza kila mda 😢 Mungu asnte Sana kwa kunivusha wakati ule 🙏🙏
Hongera sana kwa kuvuka
Mungu akubariki data angu nimejisikia faraway sana
Nivushe salama Bwana katoka kipindi hichi🙏👏
Nakuomba unitangulie Bwana katoka kipindi hiki👏🙏
Who's else is here in 2024 after facing difficulties in this life!
Faith, faith dear brothers and sisters, the spiritual war is real, let's battle it with the word of GOD, he will never fais us, he is our hope,refuge and salvation!
Psalm 62:5-7
❤❤🙏🏾
MUNGU ALIE HAI aendelee kukutunza Upendo Nkone,,wimbo huu leo umeniinua ,nikiwa ktk mawazo ya kuchoka tune yake ikaja nikawa naimba rohoni bila kujua hasa maneno yake,,ndipo nilipokumbuka nikatafuta wimbo huu,,
Asante Yesu. Na Kusihi, Neno lako Liwe kila leo taa ya miguu yangu Na mwanga wanjiya zangu. Umubariki piya Muchakazi wako Upendo. Amina
N wimbo mzr sana,na unatukumbusha kulishika na kulifuata neno la Mungu
Ubarikiwe sana
A blessings to listen to her songs..Too spiritual..You inspire my inner self
Napenda san huu wimbo unanifariji
Amina ninabarikiwa mno na wimbo huu.ninapousikia ninapata nguvu upya
Such a powerful worship still slapping todate
Mungu ndo kila kitu kwenye maisha ya wanadamu ANSANTE dada upendo 🙏🙏🙏🙏🙏
Ninachojua mimi bwana hautaniacha kamwe 😢😢🙏🙏🙏
This song reminds me of 2011 feb the saddest year in my life....when i lost my dad😢 through murder. Continue rip hero
Huu wimbo unanifariji sana
Nakwamini eeeh mungu ww ni taa yangu najua hutaniacha
Mungu ndo kila kitu kwa mwanadam. ANSANTE dada upendo
This song remind me 2015,mungu atabaki kuwa mungu
Naamin Mungu utaniponya ,usiniache nakutegemea yesu wangu
Sitapungukiwa na bwana❤
Finished my 4th exams in 2015,I'm hoping one day the Lord will visit my situation and provide fee to join college ,no Job ,no everything,,Till when Lorrrrrd😢😢😢😢
Start somewhere small jobs keep working trusting and praying 🙏 bigger things would come your way.
Hakika neno lako ni taa yangu asubuh yangu na siku yangu leo juni 13 2024
Powerful Worship.. Hallelujah.
Hapo Mwanzo kulikuwa na Neno
Nae Neno alikuwa Kwa MUNGU
Nae Neno alikuwa MUNGU
Huyo Mwanzo alikuwa Kwa MUNGU
Vyote vilifanyika Kwa huyo.
(Siri ni Yesu)
Hakika Wimbo huu ni taa yangu inimulikayo gizan mung nisaidie nisiache kukuomb siku zote .....
Have mercy on me oh Lord
Na mungu akuinue zaidi na zaidi wimbi wko huwa unaniguza
Umeahidi hutaniacha Yesu wangu hutaniacha kamwe
Kumbe tiny white alikiwemo dah
Na fitina nifanyiwe hautanipungukiwa
Yesu msaada wangu😢
MUNGU ni mwema
Usiniache bwana 🙏🙏🙏
Hautaniacha kamwe yesu 😢😢
Kwa Sasa moto wangu unaumia.Municukulie mu sala ninawasihi
October 2024😊🔥
2025 nasiliza yesu ni taa
Mimi pia😢 Mungu anivushe kwenye hiki kipindi 😩
Ça Fortifie
2025 Mpo 🙏🙏🙏🙏🙏
2025 hutoniacha Mungu
Upako umetawala
Tinny white wewe😂😂
Nikweli atatuacha kamwe
Amina YESU
Usiniache💖💖💖💖💖💖💖💖💖🙏🙏🙏🙏😭😭😭😭
🙏🙏🙏
Usianiache bwana
Merci kuwimbo
❤
🙏🙏😭😭🙏🙏🙏
😭😭😭😭😭😭😭😭
❤