20/01/2025 I have repeated this song 4 times now in my bedsitter...Let God intervene,have struggled so much throughout my life with very little to show.r.i.p mum n dad
Nasikiliza huu wimbo leo tarehe 6_07_2024 Namuombea mama yangu kipenzi akiwa hospital kalazwa , Mungu tunaomba uponyaji wako kwa akili zetu zimefika mwisho Ila Baba Wewe unaweza, Amen
Glory glory and glory 🎉🎉🙌🙌🙌🙌 ni wa BW-MUNGU asante saana watumishi wa BW-MUNGU wimbo huu unaupako hakika BW-YESU Mwamba wangu imara ni kwakotunajificha , Ee BW-MUNGU Usitazame madhaifu yetu sisi wajawako watujua tu dhaifu Baba yangu achilia Neema yako juu yetu wanaokulilia ili tuweze kufunguliwa ni wewe Jemedari wetu mkuu BW-YESU halleluyah niongoze nivuke slm wapendwa wangu kilaniusikilizapo wimbo huu sitam ani kuondaka .......🙏🙏❤❤ God bless their amani yake MUNGU MWNY iwazunguke
Naskia huu wimbo 2024 na nitarudia tena na tena. When am so low, it gives me hope. May those going through hard times n those who have lost their loved ones be comforted
I'm listening to this song today 8/10/2024 huku nikitafakari makuu ya Mungu juu yangu Katika kusherehekea siku yangu ya kuzaliwa. Ee Bwana nitakipokea kikombe Cha wokovu na kulitangaza jina lako Bwana!
Huu wimbo unanitoa machozi mazito sana baada ya x Wangu alijiuwa na alikuwa anaupenda sana wimbo huu so namkumbuka Sana alinipenda nilimpenda Sana sema shetani ndiyo aliyemdanganya hadi kumpelekea umauti wake nasema MUNGU ndiyo Tengemeo langu kila Wakati Amina.
Rest in paradise my dady Kila nisikilizapo wimbo huu machozi hunitoka kwani niwimbo ulioupenda sana enzi za uhai wapo baba mwenyezimungu akurehemu huko ulipo baba yangu 😭😭🙏
Whenever I feel lonely, and abandoned I listen to this song and I regain self confidence,filled with hope and everlasting joy 💞. I feel blessed listening to this absolute masterpiece...indeed Lord Almighty used you to bring comfort to the ones in need...to you and everyone reading this comment be blessed 🙏
Wolol nakumbuka 2021ulikuwa mwaka wa mauchungu Sana kwangu I remember niliendea dawa ya kujiua pamoja na watoto vile nilieka Kwa glass nikunywe wa kwanza my first born alianza kuimba huu wimbo alikuwa na three years nilishangaa sana nikalia sana nilitupa hizo dawa nikapasua iyo glass na nikaomba mungu anisamehee kuanzia iyo time adi sai namshukuru Sana kweli yy ni alfa na omega aki.mateso yaliisha na nafurahi😊
Wimbo unanipa nguvu na Tumaini kuu kua baada ya yote nitamwona mwokozi na nitakutana na wapendwa wangu na nitamwona Tena Baba yangu kipenzi mzee Kamugisha.
Wimbo huu unahuzunisha Sana hata km hujafiwa unakuwa mpole nakumbuka ndugu zangu na wazazi wangu waliokwisha kufariki najiona niliachwa mnyonge na yatima kabisa
RIP OUR last born Ferdinand me as first born i miss you we love to date miss you fedi 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 I remember giving you the name Fedy then ukaniacha miss u darling
Lyrics: Mwamba wenye imara, kwako nitajificha Maji hayo na damu, yaliyotoka humo Hunisafi na dhambi, hunifanya Mshindi. Kwa kazi zote pia, sitimizi sheria Nijapofanya bidii, nikilia na kudhii Hayaishi makosa, ni we wa kuokoa Sina cha mkononi, naja msalabani Nili tupu nivike, ni mnyonge nishike Nili mchafu naja, Nioshe mi sijafa. Nikungojapo chini, nakwenda kaburini Nipaapo mbinguni, nakukuona enzini Roho yangu na iwe, rahani mwako wewe
Nausikiliza wimbo huu Leo tarehe 14/8/2024 Nikimshukuru mungu kama kijana Kwa kunilinda Na nayakabidhi masomo yangu mikononinmwake mungu, yakwamba elimu yangu ije kunifaa . Na pia nawaombea wazazi wangu wajaliwe na kipato na afya🙏
nasikiliza wimbo huu leo tena 13/01/2025 nikiwa nafeel so down & fading na mahangaiko haya ya dunia as man na mpambano yangu naamni utanifanya mshindi kwenye bidii zangu japo hayaishi makosa ila utaniokoa na kunishindisha. Amen🙏
NASIKILIZA UU WIMBO 9/9/2024/ NIMEKESHA NAO BAADA YA MWENYE NYUMBA KUNIAMBIA MAOMBI AYATAKI NDANI KWAKE AMESEMA NIKITAKA NIAME NIKESHE NAOMBA ALAFU TAA IWAKE CHUMBANI KWANGU 😭😭😭 MUNGU NAKWACHIA WEWE 😭😭😭🙏
In Loving memory of our beloved president J.P. Magufuli. It was like today 17/03/2021 when you left us. Continue resting in peace our son of Africa. It's now one year (17/3/2022) since you left us but our hearts are still full of u.
This song reminds me of the time I was in a Christian Radio Station hosting a 'Prayer Marathon show',I would not end the show without playing this hit.
This song is so powerful to us who believe in Christ. I look forward to His imminent return to take us home where we shall meet our loved ones and be in the glorious presence of Jesus for ever. Rest in Gods presence dear mum and dad.😭😭😭
Nausikiliza huu wimbo leo saa nane na nusu mchana juma tano January 2025 Huku nikipambana na vidonda vya tumbo mwaka mzima Nakuomba ulike hapa kama ishara ya kuniombea nami nipone Nijifiche damuni mwa Mwamba dhidi ya maumivu ya vidonda vya tumbo
Ambao tunabarikiwa na hizi nyimbo ambazo hazing makando kando weka like 2025
Neema yako bwana niongoze mwaka huu
Hallelujah Hallelujah UTUKUFU kwa YESU KRISTO
Huu wimbo mtamu sana napenda sna God bless your
Leo tareh 19 January 2025 nakumbuka matendo makuu ya Bwana aliyonitendea 2024 .pia naomba anipe mke mwema wa maisha yangu Amin
2025❤ mpo ni neema yake Mungu tumevuka salama sema amina ❤❤
So naaandika comment yangu hapa leo tarehe22 oct 2024 iwapo hata ikatokea mwaka wowote mtu akailike nauukumbuka tena
Qqqqàaaqaqqqqa1q1a
Namsikilizia wimbo huu mwaka 2024
Kila siku since 2015
Tumain LA maissha Yangu lina we mungu baba
❤❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
20/01/2025
I have repeated this song 4 times now in my bedsitter...Let God intervene,have struggled so much throughout my life with very little to show.r.i.p mum n dad
We are the same bt don't give up
@JaneMwikali-ps8ul thank you
Nauskiliza wimbo huu Alhamis ya 28/03/2024 huku nikitafakar majungu ninayopigwa kazini
Mm nausikliza alhamisi ya tar 28 mwezi wa tatu huku nikisubiri mechi ya simba ijumaa
God will fight all the battles.your enemies will be ashamed.
Majungu yameishia wap?
Pole sana ya dunia ndugu
Usijali
2025 still vibe🔥🔥🔥🔥🙏
Listening to this in 2024
I’m still trusting God
He’s my rock💯🙏🙏🙏😢
Huyu wimbo unanitoa machozi nikikumbuka vile mungu ananipigania katika maisha yangu
Wimbo huu ukawe baraka kwa kila atakayeusiliza kwa imani akiwa amefunga na kumtolea Mungu maombi yake, akafunguliwe kwa lolote atakaloomba
Who is here today October 10/2024❤
Nimeingia nyumbani sa tano kasoro ucku nausikiliza huu wimbo unajirudia kichwan
Unanipa utulivu wa moyo natafakar makuu ya Mungu
Tar 19/3/2024
Kama unaisikiliza hii nyimbo in 2025 gonga like hapa❤
Wewe 2025 umefika lini mwenzetu
😂😂😂😂ushafik 2025 happy new year🎉
Next year bro
@@mercykirugu8371 but huwezi amini comment hii mwakani ndo itakua latest itakua ni ya muda muafaka apa ina like 53 ila mwakani ni humu tu
@@HappyJohn-c9h thanks brother unamejipangaje na mwaka mpya kaka
Nasikiliza huu wimbo leo tarehe 6_07_2024 Namuombea mama yangu kipenzi akiwa hospital kalazwa , Mungu tunaomba uponyaji wako kwa akili zetu zimefika mwisho Ila Baba Wewe unaweza, Amen
Atapona amen
Amina Amina
Amani
Amen
Glory glory and glory 🎉🎉🙌🙌🙌🙌 ni wa BW-MUNGU asante saana watumishi wa BW-MUNGU wimbo huu unaupako hakika BW-YESU Mwamba wangu imara ni kwakotunajificha , Ee BW-MUNGU Usitazame madhaifu yetu sisi wajawako watujua tu dhaifu Baba yangu achilia Neema yako juu yetu wanaokulilia ili tuweze kufunguliwa ni wewe Jemedari wetu mkuu BW-YESU halleluyah niongoze nivuke slm wapendwa wangu kilaniusikilizapo wimbo huu sitam ani kuondaka .......🙏🙏❤❤ God bless their amani yake MUNGU MWNY iwazunguke
Naskia huu wimbo 2024 na nitarudia tena na tena.
When am so low, it gives me hope.
May those going through hard times n those who have lost their loved ones be comforted
Kama bado unausikiliza gonga like
🎉
🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
poleeeeee sana 😢
Am here 24/07/2024, more grace to everyone🙏🙏
Amina
Nasikiliza wimbo huu 16/12/2022 wangapi tunaisikiliza hii gonga like tusonge
November 2024 anyone wholl be liking my comment Iwill be coming back to rewatch 🙏🏼
Kama uko apa ukikata kitunguu kama mimi 2024❤❤ tubalikiwe wote
I'm listening to this song today 8/10/2024 huku nikitafakari makuu ya Mungu juu yangu Katika kusherehekea siku yangu ya kuzaliwa. Ee Bwana nitakipokea kikombe Cha wokovu na kulitangaza jina lako Bwana!
Huu wimbo unanitia moyo na kunifanya niendlee kumwamini na kumtumkia mungu alie hai🙆🧎🧎
Nausikiliza huu wimbo nikitafakari magumu ninayo pitia madui ni wengi watesi ni wengi wamenizingira mungu nifute machozi
Huu wimbo unanitia moyo sana katika Maisha yangu baada mtoto kufariki ndunia mwaka WA 2023/3/2na MKE wangu kutoroka😂😂😂😂😂😂
Huu wimbo unanitoa machozi mazito sana baada ya x Wangu alijiuwa na alikuwa anaupenda sana wimbo huu so namkumbuka Sana alinipenda nilimpenda Sana sema shetani ndiyo aliyemdanganya hadi kumpelekea umauti wake nasema MUNGU ndiyo Tengemeo langu kila Wakati Amina.
So sorry
Pole I feel your pain
Pole Sana
Hugs!!!
Sorry take heart all will pass... Heaven is the goal we hope to meet our beloved ones in the eternal life
Namsikikiza 2025
Naskiza nikingojea Ramadan uku saudi Arabia, Mola anitie nguvu😭🙏🙏🙏🙏🙏
Ludi tz
Nikiusika huu wimbo namkumbaka Baba yangu kipenzi mungu mpe pumziko jema daima milele amen
Rest in paradise my dady
Kila nisikilizapo wimbo huu machozi hunitoka kwani niwimbo ulioupenda sana enzi za uhai wapo baba mwenyezimungu akurehemu huko ulipo baba yangu 😭😭🙏
My comforter wakati sina pahali pa kukimbilia... kama waukupa matamaini piga like tukisoga
Listening the song while nursing my mum in the hospital 😢 it has been a week now and no improvement to her health 🙏 it is her favorite song 🙏🙏🙏
It's been a month now and she never made it 😭😭 let her soul rest in eternal peace
@@RennyOtienocourage dear don't give up on God He's always good in whatever happens
@@RennyOtieno its well with your soul dear
Praise be to God, My rock of Ages
Whenever I feel lonely, and abandoned I listen to this song and I regain self confidence,filled with hope and everlasting joy 💞. I feel blessed listening to this absolute masterpiece...indeed Lord Almighty used you to bring comfort to the ones in need...to you and everyone reading this comment be blessed 🙏
Me too wen am low it really gives me hope and energy
🙏 🙏 🙏 🙏 🙏
Wolol nakumbuka 2021ulikuwa mwaka wa mauchungu Sana kwangu I remember niliendea dawa ya kujiua pamoja na watoto vile nilieka Kwa glass nikunywe wa kwanza my first born alianza kuimba huu wimbo alikuwa na three years nilishangaa sana nikalia sana nilitupa hizo dawa nikapasua iyo glass na nikaomba mungu anisamehee kuanzia iyo time adi sai namshukuru Sana kweli yy ni alfa na omega aki.mateso yaliisha na nafurahi😊
Naskiliza uwimbo uwoo tareh 26 7 2024 baada ya mpnz wangu kunisalit
Am here 01.01.2024
nausikiliza huu wimbo leo tarehe 06/02/2021 saa 6.26 kwakweli nimefarijika sana na huu wimbo
P
@@bensonmweu9029 p
the year 2025
Nausikiliza nikiwa nmechoka na haya maisha nimefika tu mwisho mungu apo pegine nimekuachia Fanya upedavyo
Nikitaka kusali Usk lazima nianze nayo
Wimbo unanipa nguvu na Tumaini kuu kua baada ya yote nitamwona mwokozi na nitakutana na wapendwa wangu na nitamwona Tena Baba yangu kipenzi mzee Kamugisha.
Nani anaangalia huu wimbo mwaka 2025
Am shedding my tears while watching the son,i lost my son 4 months ago but am going through alot the wound is still fresh,may God come through me
Naupenda sana wimbo huuuuuuuui
Roho mtakatifu akufariji mpendwa… pole sana ..!
Wimbo wangu wa faraja every morning i must listen to it 😢
Nikikuona naona Fanuel Sedekia
Wimbo huu yanitia moyo..
Ubarikiwe sana
😭😭😭
Yes hata sauti yake kwa mziki ya Fanuel
Ubarikiwe ombeni. Umenikumbusha sana marehem sedekia. Mungu amuweke panapostahili
Namkumbuka sana mama angu mkubwa mungu akurehemu nilikupenda sana ila mungu amekupenda zaidi pumzka kwa amani😭😭😭
Pole mpnz😢
Getting blessed by this song nov 2024❤❤
Ukitaka utulivu wa akili sikiliza huu wimbo
Wimbo huu unahuzunisha Sana hata km hujafiwa unakuwa mpole nakumbuka ndugu zangu na wazazi wangu waliokwisha kufariki najiona niliachwa mnyonge na yatima kabisa
December 15 2024, naisikiliza saa 10 usiku, Mungu wangu Asante sana.
RIP OUR last born Ferdinand me as first born i miss you we love to date miss you fedi 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 I remember giving you the name Fedy then ukaniacha miss u darling
Nasikiliza leo tarehe 14 jan 2025
Nabarikiwa sana
Lyrics:
Mwamba wenye imara, kwako nitajificha
Maji hayo na damu, yaliyotoka humo
Hunisafi na dhambi, hunifanya Mshindi.
Kwa kazi zote pia, sitimizi sheria
Nijapofanya bidii, nikilia na kudhii
Hayaishi makosa, ni we wa kuokoa
Sina cha mkononi, naja msalabani
Nili tupu nivike, ni mnyonge nishike
Nili mchafu naja, Nioshe mi sijafa.
Nikungojapo chini, nakwenda kaburini
Nipaapo mbinguni, nakukuona enzini
Roho yangu na iwe, rahani mwako wewe
Barikiwa sana
🙏🙏🙏
Be blessed
Rock 🪨 of ages clef for me
Am blessed this morning
Nausikiliza wimbo huu Leo tarehe 14/8/2024
Nikimshukuru mungu kama kijana Kwa kunilinda
Na nayakabidhi masomo yangu mikononinmwake mungu, yakwamba elimu yangu ije kunifaa .
Na pia nawaombea wazazi wangu wajaliwe na kipato na afya🙏
Huu wimbo unanitia moyo licha ya magumu yote.
Mamaaa wewe ni mwamba imara.
Pumzika kwa amani na upate pumziko la milele,😭😭😭😭😭😭nakukumbuka saaanaaa .
Mwamba wenye imara kwako nitajificha majibhayo na damu yaliyo toka humu huni safi na dhambi hunifanya mushindi🎶🎶🎶
Who is here on Sunday 17th November 2024
Wimbo huu tuliuimba na mwanangu wakati tunaomboleza kifo cha JPM. Such a sad day😫
Hugs mum
@@gloriakatindingoo9757 L
@@gloriakatindingoo9757 l
Am a Kenyan.my luo tribesmen His Excellency JPM.we thank God for his life of truthful leadership
Mungu awabariki sana
nasikiliza wimbo huu leo tena 13/01/2025 nikiwa nafeel so down & fading na mahangaiko haya ya dunia as man na mpambano yangu naamni utanifanya mshindi kwenye bidii zangu japo hayaishi makosa ila utaniokoa na kunishindisha. Amen🙏
Ni wimbo ambao hunitoa machozi nikiutafakari ubarikiwe ndugu ombeni
I like this song😊
Im memory of my late dad my mum my uncle and unty rest easy😭😭😭😭
NASIKILIZA UU WIMBO 9/9/2024/ NIMEKESHA NAO BAADA YA MWENYE NYUMBA KUNIAMBIA MAOMBI AYATAKI NDANI KWAKE AMESEMA NIKITAKA NIAME NIKESHE NAOMBA ALAFU TAA IWAKE CHUMBANI KWANGU 😭😭😭 MUNGU NAKWACHIA WEWE 😭😭😭🙏
Nakumbuka sana baba yangu kipenzi pumzika kwa anmani...😭😭😭😭😭
I always remember my parents God why us?
In Loving memory of our beloved president J.P. Magufuli. It was like today 17/03/2021 when you left us. Continue resting in peace our son of Africa. It's now one year (17/3/2022) since you left us but our hearts are still full of u.
It's true ooh 😥rest in peace JPM
His love will remain alive in our hearts
🙏
Waooo am listening now
And like today again
THERE IS MIGHTY POWER IN THE BLOOD OF JESUS THE REAL ROCK.HALLELUJAH!!
This song reminds me of the time I was in a Christian Radio Station hosting a 'Prayer Marathon show',I would not end the show without playing this hit.
Nasikiliza wimbo huu leo taree 23/8/2024mama yangu ni mgonjwa wa miguu namwombea mungu amponye maana akili zetu zimefika mwisho ameen. 3
Rest in peace my grandma Thérèse, you have been dedicated to God's word. Let the living Rock grants you overlasting life in his kingdom.
nausikiliza wimbo hu namkumbuka mama angu mungu amlaze salam
This song is so powerful to us who believe in Christ. I look forward to His imminent return to take us home where we shall meet our loved ones and be in the glorious presence of Jesus for ever. Rest in Gods presence dear mum and dad.😭😭😭
Ameni 🙏🙏
Kila ninapousikiliza huu Simon nahisi faraja, Tumaini, kumbatio la Mungu, unyenyekevu wa moyo, na ungamo la dhambi ndani yangu
leo trh 12.03.2021
My daughter alipenda huu wimbo sana..she used to correct me whenever I Skip some words when singing...na miss my dear mishel,,,,💓💓💓😭😭😭😭😭😭
Listening on 30th December 2022
As we end the year,let us all give our lives to Jesus 🙏
Nausikiliza huu wimbo leo saa nane na nusu mchana juma tano January 2025
Huku nikipambana na vidonda vya tumbo mwaka mzima
Nakuomba ulike hapa kama ishara ya kuniombea nami nipone
Nijifiche damuni mwa Mwamba dhidi ya maumivu ya vidonda vya tumbo
Wimbo wanibariki Sana kila nikiusikiliza..wanipa msisimko wa roho mtakatifu🙏🏿🙏🏿🙏🏿 barikiwa sana mtumishi
Love this song gives me hope always
Rip shush ulikuwa unapenda huu wimbo aky bt kifo ni adui alikuchukua 21/10/2024 nikiskiza huu wimbo nakukumbuka pumzika na amani shush na babu
Barikiwa mtumishi huu wimbo hunitia nguvu kila siku
Kwanza inavoanza tu uwepo unashuka oh Asante yesu❤❤❤kwa zawad ya uhai kwangu na familia yangu 🙌🙌🙌🙌hii nyimbo acheni OLD IS GOLD🙌🙏
Naskiliza huu wimbo18 March 2021 nikiwa naomboleza kifo Cha rais wetu mh. JPM
Nakumbuka mwaka 1996 nilipo mpunzisha jestina katika nyumbayake yamilele duuuu siaamini 😢😢😢😢😢
Great voice even if I don't understand the language I know the tune Rock of Ages 🙏🏽❤️👏🏽👏🏽
Nashukuru Mungu mpaka hapa nilipo November 6 2024❤
Wimbo unanifariji sanaa 🙏🙏mungu akubariki Mtumishi
😢
Can't express my feelings by words😭😭...just like my comment,that ❤will be of comfort
In loving memory of our beloved president John Pombe Magufuli may he rest in peace.Amen
Am blessed always with song👏
Amen.
@@ruthlelei8568 yyyyyyyyyyyyyy
@@ruthlelei8568 y
@@ruthlelei8568 y
Wimbo wang pendwa❤
Rest well my son Malcolm. This song gives me hope each time.
Pole sana Mama Malcom
let him rest in peace
Rest in eternal peace!!!
May your son rip,,, be comforted by God's grace
Rip pole sana Mumy Malcom
Sichoki kuusikiliza wimbihuu kwakwel kanawe upohadileo 223 gonga like twende pamoja
This song bring back the memory of my late mum who passed 25yrs ago, continue resting in eternal peace Mama😭😭😭😭😭😭😭
Nausikiliza wimbo huu 12 /6/ 2024 namkumbuka sana my sister ametuacha ingali bado tuna muhitaji 😭😭😭😭
In loving memory Dad. It is 18 years this August.
Hayaishi makosa ndiwe wa kuokoa 🙏🙏🙏🙏
Yesu mwamba wangu kwako nitajificha
Moja kati ya nyimbo pendwa kwangu❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤