Nyimbo Za Tenzi Za Rohoni Songs Swahili Mix - Nyimbo Za Injili (2 Hrs)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 фев 2025

Комментарии • 547

  • @annwaweru5099
    @annwaweru5099 3 дня назад +1

    Usipite baba unapo fungulia wengine milango ya kazi baba usinipite amen

  • @roberttirop8181
    @roberttirop8181 4 дня назад

    Usifiwe msalaba asifiwe mwongozi acha jina lako liimidiwe utujalie mema na unijalie bibi mwema❤❤

  • @Estella122-m1v
    @Estella122-m1v Год назад +21

    Asante baba wa mbingu na nchu vitus vote vimeubwa na wewe baba tujalie kuujua ukweli wake tupelo loho mtakatifu atuongoze kama ilivokua siku ya pentekosite nasi tujaze loho mtakatifu utuepushe na hila za shetani

  • @Dorotheaabely-x6n
    @Dorotheaabely-x6n День назад

    Usinipite ee nwokozi wa maisha yang siku1 niwe mwimbaji wa nyimbo za injili. Ee mwenyez mungu nisaidie

  • @AliceBinja
    @AliceBinja День назад

    Merci beaucoup Mon seigneur 🙏 Jésus Christ 🙏
    Seigneur aide Mon fiancé à accomplir sa mission j'ai confiance en toi Jésus Christ 🙏 naku liliya baba

  • @Dorotheaabely-x6n
    @Dorotheaabely-x6n День назад

    Uwe mnyunyizi wang mungu wang ww ujuaye ya silini mwang

  • @judithabuko6006
    @judithabuko6006 9 месяцев назад +3

    Ahsante Yesu ahsante Mungu Baba wa Mbinguni muumba mbingu na inch kwa wema wako tunaishi nakupata amani ndani yako Halleluyaah🙌🙌🙌🙌🙌

  • @joyjoykanini3970
    @joyjoykanini3970 Год назад +15

    Utabaki kuwa mungu milele na milele Amina.

  • @eliasilaizar9787
    @eliasilaizar9787 Год назад +7

    Haleluya Mungu azidikuinuliwa
    Milele Na milele Amen

  • @PhaniceBarasa-r5j
    @PhaniceBarasa-r5j Год назад +6

    Amen 🙏 nabarikiwa Moyo wangu Kwasi nyimbo munguawabariki awatie ngufu

  • @angeliquedebora6028
    @angeliquedebora6028 Год назад +1

    Aksante saana Baba MUNGU kwa wema wako na. Neema yako juu yetu daima .....❤❤ kweli hakika ninaogelea na nimetakaswa ndani ya kijito cha damu ya YESU-BW. 🎉🎉🎉........ ni wako MUNGU Baba daima. TENZI ZA ROHONI uniweka uweponi ❤❤❤ BW-MUNGU atukuzweeeee. na awape ....
    ... kheri na amani siku zote.

  • @kelvinkioko4930
    @kelvinkioko4930 Год назад +1

    Rehema zake na utukufu wake na ujulikane Kwa mataifa yote .. amen

  • @evelynnyongesa8007
    @evelynnyongesa8007 Год назад +3

    Kweli kabisa , Yesu usinipite unaposuru wengine ❤❤ Ameen.

  • @الااتاتاا
    @الااتاتاا Год назад +1

    Hallelujah yesu bwana asifiwe milele na Milele 🙌 👏

  • @estermahenge-ks3dr
    @estermahenge-ks3dr Год назад +1

    😢😢😢😢 Mungu usinipite

  • @vincentcharles4385
    @vincentcharles4385 Год назад +15

    Popote na Yesu ntakwenda.

  • @sabinakinunda3127
    @sabinakinunda3127 Год назад +5

    Abarikiwe mtunzi.unaniguse mengi.Yesu apewe sifa.Amen

  • @StanleyShemndolwa-cx7zm
    @StanleyShemndolwa-cx7zm Год назад +5

    Hakika utukufu ni kwa Mungu tunaburudika ktk kijito cha tenzi 🙏🙏🙏

  • @Dorotheaabely-x6n
    @Dorotheaabely-x6n День назад

    Ee mkomboz wang niinue kama unavyowainua wengne ktk Kuta Gaza neno lako kwa njia ya nyimbo

  • @metlarousse4839
    @metlarousse4839 5 месяцев назад +1

    Mèsi anpil bondye Pou gras ou pa kite mwen bon sovè koute kwiye mw kan ou okipe lèzòt yo pa pase mwen mwen mèsi jezi papa mw santi'm beni

  • @suzenmnkondya
    @suzenmnkondya 10 месяцев назад +1

    E mungu tusaidiye tupiganie mfame WA ajabu usitupite na waweka mama yangu lusia mwawalo na mama mkwe Wangu wapiganie yesu kiristu baba Hakuna kinacho shindikana kwako🙏🙏🙏🙏🙏

  • @magrethmduma2876
    @magrethmduma2876 Месяц назад +2

    Mungu akubariki sana mungu akujalie maisha mema na kazi njema❤❤❤❤❤

  • @janekifano6021
    @janekifano6021 Год назад +1

    Kweli hizi nyimbo zinabariki mungu ni mwema

  • @christinaernesto4636
    @christinaernesto4636 Год назад +3

    Unapozuru wengi usinipite baba🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @MarthaAlly-y7s
    @MarthaAlly-y7s Год назад +1

    Utukufu ni wako Mungu pokea mana unadtahili

  • @vedastusmhelela5415
    @vedastusmhelela5415 9 месяцев назад +1

    Ahsante kwa kuenjilisha mungu awabariki kwaya nzimakwa ujumla

  • @Phineasmuriungi254
    @Phineasmuriungi254 7 дней назад

    Usinipite mwokozi

  • @sylviaomwenga8740
    @sylviaomwenga8740 Год назад +7

    Asante kwa huo nyimbo na bubujiki sana Mungu azidi kuwainua

  • @MaseaKerry
    @MaseaKerry 9 месяцев назад +1

    Thank you for blessing us barikiwa sana sana❤❤

  • @FredyJoseph-et5yb
    @FredyJoseph-et5yb Год назад +2

    Amen amen ubarikiwe sanaa usinipite mwokoz unapoguza wengine usinipite mwokoz wangu

  • @anodiusngimbwa3377
    @anodiusngimbwa3377 Год назад +12

    Muombe mungu kwa Kila jambo

  • @evelynekanana5424
    @evelynekanana5424 5 месяцев назад +17

    Ee mungu skia maombi yangu nkiwa Saudi 🇸🇦 rinda my husband akiwa Qatar 🇶🇦 Ee baba yangu skia maombi ya wana wako naomba nakuamini🙏

  • @JacobNyambi-iq1or
    @JacobNyambi-iq1or Год назад +2

    Hakka wewe ni Mungu wa kweli na waajabu

  • @LizzieMaguire-ox1wk
    @LizzieMaguire-ox1wk Год назад +9

    Nakombolewa na damu ya yesu Mimi mwana wake kweli Amina

  • @m.d4706
    @m.d4706 Год назад +11

    Sifa ni zako milele Mungu wangu❤, feeling blessed 🙏😇

  • @marymaria6544
    @marymaria6544 Месяц назад +1

    Baba naomba unikumbuke siwezi bila wewe❤

  • @IsaacStephen1234
    @IsaacStephen1234 Год назад +1

    Ahsante mungu kwa rehema yako

  • @StephanoMwakilito
    @StephanoMwakilito Год назад +3

    Iman ya bwana ikae pamoja nasi milele Amen.

  • @magrethmduma2876
    @magrethmduma2876 Месяц назад +2

    Asante mungu

  • @HaikaMathew
    @HaikaMathew 2 месяца назад +3

    Ee mungu wangu nakuamini, maombi yangu najua wayackia

  • @nehemiahnyakoe-f3i
    @nehemiahnyakoe-f3i 11 дней назад

    🙄i am glad for worship via songs may God raise up

  • @sankara8939
    @sankara8939 Год назад +1

    Great
    Bravo
    Mungu ni Mkubwa
    Mungu ni Mnoma

  • @easthernjoroge6809
    @easthernjoroge6809 Год назад +11

    Usinipite Yesu

  • @maryambundo
    @maryambundo 19 дней назад

    Abarikiwe YESU kristo mnazareti kwa nyimbo nzuri hizi

  • @RoseOmutibo
    @RoseOmutibo Год назад +3

    Songs zimennice sana Mungu awabariki

  • @janetonyango6717
    @janetonyango6717 Год назад +22

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭I felt low until I bumped into this collection, such a blessing to my heart.🇰🇪😭😭

  • @jbdebbie3077
    @jbdebbie3077 Год назад +27

    AM blessed SAUDI ARABIA 🇸🇦 watching ❤❤❤❤❤30th April 2023

  • @RahelKirote
    @RahelKirote Год назад +3

    Barikiwa binamu ,# Kenya family...❤

  • @AgnesKihongole
    @AgnesKihongole Месяц назад +2

    Mungu azidi kulinda nchi yetu

  • @carolyneliona9866
    @carolyneliona9866 Год назад +2

    Yesu naomba usinipite unaposuru wengine wenye shida kama SA kwangu🙏🙏.

  • @elishabalimpikali
    @elishabalimpikali Год назад +1

    yesu atukuzwe

  • @SaulArori
    @SaulArori Год назад +1

    Usifiwe msalaba so touching. Be blessed

  • @justinenkandu7665
    @justinenkandu7665 Месяц назад

    It's a very good old time religion it gives revival to my soul and faith in our Lord Jesus Christ.

  • @Kokuro-hj2uk
    @Kokuro-hj2uk 10 дней назад

    Roho yangu na iwe kwako enzini

  • @WallaceMhina
    @WallaceMhina 4 дня назад

    Nimekombolewa na damu ya Y esu

  • @MendeMende-uo3pi
    @MendeMende-uo3pi 4 дня назад

    Mungu usinipite❤

  • @modelvinstrikah5381
    @modelvinstrikah5381 Год назад +5

    Kwaa Neema yake nafurahia 🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @LeticiaAttu
    @LeticiaAttu Год назад +5

    Ninamshukuru mungu kwa Kila kitu nikiwa nafatilia tenzi hizi

  • @ElizabethNguma-v6x
    @ElizabethNguma-v6x 20 дней назад

    Thanks mg lord

  • @DAUDIMBELEE
    @DAUDIMBELEE 2 месяца назад +3

    Mungu we ndo kila kitu kwangu

  • @sarahkadogo-gr8kx
    @sarahkadogo-gr8kx Год назад +3

    Hasante wapendwa wa mungu kwa kunifarije katika tenzi la Rohoni mbarikiweni na mungu na awape kibali cha kumtumikia katika hizo nyimbo na awape zingine kama hizi lli tusidi kunipandisha lmani thank your so much

  • @rhabrhab1797
    @rhabrhab1797 Год назад +2

    Usinipite yesu nakuhitaji kila dakika uwe karibu nami

  • @EdinaFesto-h2z
    @EdinaFesto-h2z Год назад +8

    Asante yesu wangu mwema tuongoze ili siku moja tufurahi na wewe huko mbinguni

  • @Katembomathesamson
    @Katembomathesamson 17 дней назад

    Usinipite baba unapo bariki wengine

  • @Simeonzeng402
    @Simeonzeng402 Год назад +8

    The ONLYONE WE must praise all day long is our Saviour Jésus-Christ

  • @stephenngugi3113
    @stephenngugi3113 Год назад +17

    I am listening and feeling blessed ☺️ many key words of faith are here to drive a non believer to start believing. Yesu Bwana

  • @LonaActary
    @LonaActary Год назад +1

    Amen nyimbo zenye utakatifu

  • @thomasmuli5922
    @thomasmuli5922 Год назад +3

    Salama Rohoni hio wimbo uniguza moyo wangu

  • @MosesDamas
    @MosesDamas Год назад +2

    😢Asate yesu kwa kurejesha aman katita maisha yagu tena

  • @Maggiekabati
    @Maggiekabati Год назад +1

    ❤❤❤❤Utukufu wa Mungu

  • @neemamabula
    @neemamabula 3 месяца назад +1

    Eee bwana nionekanie mwanao na family yangu ktk mapito magumu nnayopitia Ameni

  • @winnieminayo-g4u
    @winnieminayo-g4u Месяц назад

    Usinipite Yesu ninapovuka mwaka wa 2024

  • @lodidiomoses6981
    @lodidiomoses6981 11 месяцев назад

    ahsante jehova kwa kuturehemu utukumbuke wakati unawaudhuru wengine

  • @CareenKim-yj4eg
    @CareenKim-yj4eg Год назад +2

    Asante kwa upendo wako mkubwa kwenye maisha yangu MUNGU

  • @mwitazakaria69
    @mwitazakaria69 Год назад +2

    bwana ni mwema wakati wote.wakati wote bwana ni mwema

  • @kazbalwalaba1157
    @kazbalwalaba1157 22 дня назад

    Aksanti Baba kwa upendo wako uhimidiwe milele

  • @Estella122-m1v
    @Estella122-m1v Год назад +1

    Tunusulu Dhabi zetu nautujalie kuuono ufalume wake wz mbinguni

  • @benardhamisi28
    @benardhamisi28 10 месяцев назад

    Mungu usinipite.Nioshe na Damu yake Yesu iliomwagika pale msalabani.Damu ya ukoo mbaya ikatike.Niendelee na Damu nzuri ya upendo,Raha,Amani kwa viazi vyangu vinne.

  • @josephinembinya2160
    @josephinembinya2160 Год назад +2

    For sure usinipite Jesus Kaa nami

  • @suzenmnkondya
    @suzenmnkondya 10 месяцев назад +6

    😭😭😭😭😭😭 baba nakuomba sikia kiliyo changu nipo chini ya mi guuu yako

    • @suzenmnkondya
      @suzenmnkondya 21 день назад +1

      Mungu mwenye nguvu nakuomba unisikie maombi yangu yote ninayo lia

  • @Yoenacate254
    @Yoenacate254 Год назад +7

    Tufunze kutii sauti zako YESU kwetu

  • @AgnessNjeri
    @AgnessNjeri 4 месяца назад

    Usinipite mwokozi wangu uniponye roho na mwili wangu 🙏

  • @feddymwanga5462
    @feddymwanga5462 4 месяца назад +1

    Ee Mungu sikia maombi yangu, bariki familia yangu na kazi zangu za shamba zikabarikiwe na wewe.inua uchumi wangu kwa njia zote zikupendezazo

  • @HappyIzlael
    @HappyIzlael 3 месяца назад +1

    Mungu naomba uxinpite maan peke yangu siwez😮😅

  • @LilianOdiko
    @LilianOdiko 20 дней назад

    Amen amen 🙏 🙏

  • @nzabonimpasamuel
    @nzabonimpasamuel 24 дня назад +1

    Katika matesô yanayozidi nyumbani usinipite Bwana

  • @SellahOndiso
    @SellahOndiso 4 месяца назад

    Yesu nakuhitaji katika maisha yangu nienende pamoja nawe.

  • @GetrudaNjabili-lr3wp
    @GetrudaNjabili-lr3wp Год назад +3

    Mungu acha aitwe mungu tu.

  • @catherinejwaisiko1956
    @catherinejwaisiko1956 8 дней назад

    Beat kalenjin hymns mix

  • @SylivesterMayengo-e9x
    @SylivesterMayengo-e9x Год назад +2

    Hakika mungu nimwema sana

  • @EditaJackson
    @EditaJackson 6 месяцев назад +2

    Mung naomb usinipit me na mchumb wang tuvuke salm pka kufung ndoa AMENI

  • @AmAm-xt1og
    @AmAm-xt1og 7 месяцев назад

    Usiniache bwana nusaidie baba unapozuru wengne usinupite baba🙏🙏🙏😭😭

  • @ObedyBazirake
    @ObedyBazirake 5 месяцев назад

    Jina la bwana yesu kristo asifiwe nyimbo hizi zinaniimarisha ki roho mungu akubariki mutu wamungu

  • @JuliusMbuso
    @JuliusMbuso Год назад +17

    once i just listen to these powerful mixes my wounded heart gets bandaged ,,,be blessed men of God
    lets spread His gospel

  • @mambazizephania
    @mambazizephania Год назад +10

    Mungu muaminifu tunashukuru kwa kutuamsha salama nakutupa kibali cha kiona sikuhii iliyopendeza machonipetu Amen

  • @samuelmwaniki1147
    @samuelmwaniki1147 11 месяцев назад

    Jina la Yesu lisifiwe,Bwana Yesu awabariki.

  • @stephenmuthoka6070
    @stephenmuthoka6070 Год назад +1

    God you're wonderful God, mungu wangu nitembelee

  • @DialloAmissi
    @DialloAmissi 24 дня назад

    Eh Bwana MUNGU wangu Nami usinipite

  • @noelineomuse8056
    @noelineomuse8056 Год назад +4

    ❤❤❤reminds me my mum and Anglican church

  • @Katamba255
    @Katamba255 Год назад +2

    pamoja na wewe MUNGU daima