FAHAMU MUDA NA MAJIRA YA MUNGU || PASTOR GEORGE MUKABWA 29/09/2024
HTML-код
- Опубликовано: 18 дек 2024
- PASTOR GEORGE MUKABWA - SENIOR PASTOR - JESUS RESTORATION CENTER (JRC), MWANZA, TANZANIA.
Unaweza Tuma Sadaka yako kwenda ;
M-Pesa Lipa Namba : 5252176
MPESA number : +255 753 333 008 (Jina : George Stephen Mukabwa)
KCB Bank Acc : 3300692938 (Jina : JESUS RESTORATION CENTER)
-Safari Com : +254 722 578 776 (Jina : George Stephen Mukabwa)
Gospel Teachings for soul winning Purpose.
Nikiwa morogoro nawafatilia vzr na kubarikiwa na ibada zenu hakika Mungu akuinue baba Mkabwa
Asante mtumishi wa mungu
Kama unawatch hii mafunzo ukiwa gulf ama away from your home ujue ni wewe Mungu ananena na wewe. Asante sana pastor George Mungu akubariki.
Amen🙏
amen amen
Amen
Pamoja daaaa amina kubwa sana
Amina
Hii leo ni yangu nmejifunza kitu kubwa sana leo cz naonewa sana kazini na pia cut salary kila wakati and im tithing so kumbe ni maandlizi sai sina shaka tena ... thank u pastor lwa hio mafundisho be blessed alot
Mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana kwa hicho kipawa cha uwalimu.nimepanua mipaka yangu kupitia neno la Mungu kupitia kwako.karibu kwenye na hudumia watu wa Mungu.
Nikiwa USA napenda kusema huyu mchungaji amenitoa mbali sana Namshukur Mungu kwa neno lake kupigia madhabahu Haya 🙌🏻🙌🏻🙌🏻 Nina ushuhuda
Amen mtumishi kwa neno la Mungu
Amen 🙏. Nikiwa Kenya
MUNGU azidi kukupaka mafuta mtumishi hakika nabarikiwa mno na huduma Yako Baba MUNGU anayekutumia hakika anatujenga wengi Pastor ubarikiwe mno
amen amen nabarikiwa
Ubarikiwe sana mtumishi pastor George, umekuwa baraka kwangu kabisa. Nay God bless you abundantly 🎉🎉🎉🎉. Ongera Kwa kazi hiyi.
Dah miaka mitano iliyopita nilipoteza fulsa nilikuwa the best nurse in my dc mimi na semina mimi nakila fulsa hadi kupewa mizawadi niliitwa majina mazuri ila viligeuka ndani ya mda mchache hadi sasa nimateso shida taabu majina mabaya sana hadi dah ,leo nimepona Amina
Pole sana Mungu akurudishie heshima yako
Unaweza ukaanza upya❤
Mungu nirejeshee miaka yangu kwa imani napokea..
Amen, Pastor ,Mungu akubariki sana.
Tunaomba maombi yayo ya midnight prayer iwe online pleasd
Amen and amen humble in Jesus mighty name, hallelujah hallelujah
Ahsante kwa ujumbe mzuri wa neno la Mungu
Amina Amina mchungaji wa MUNGU nimebarkiwa sana sijui niseme nini kwa somo hili ila nashukuru MUNGU kwa neema ya kupata somo kupitia mitandao huu
Muda wa Mungu ni sahihi sana
Amen n Amen in Jesus Christ Mighty Name 📛🙏....
Amina Mtumishi wa MUNGU! Huwa napenda sana kusikikiza mafundisho yako na kuyarudia tena na tena na tena. Hakika wewe ni Mtumishi wa MUNGU na Neno lake limekuvaa kisawasawa. Be blessed man of GOD.🙏🙌💪
Amen 🙏 nabarikiwa na neno hili mchungaji be blessed
Ameen 🙏 Barikiwa Sana Pastor kwa Somo zuri Sanaa 🙏🙏
I thank God for His servant,nimetoka kwenye through him.God bless.
You have blessed me and be blessed pastor for this massage
Amen sana baba
Amen, mungu akubarikii sana mtumishi
Oooh Goodness prophet true prophecy Prophet Pastor George Mukabwa woow God bless you saaana zaidi na zaidi trueeeeeeeeeth❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤oye St Pölten Niederösterreich ❤❤❤❤Nakuoenda kwa kua True Massagen of The Lord God Mightier ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ AMEEEEEEEN ❤❤❤
1. Milango ifunguke
2. Kuachiliwa kwa Baraka zetu
3.Mungu aingilie kati
4.Shetani. aondoke ktk kile unachofikiri kimeshindikans
5.Kuvunja vizuizi na vikwazo
Pastor please tunaomba ibada hizo ziwe online.
Ameeeeen ameeen mafunzo yako hata yanipite lazima niyarudie barikiwa sana kuna mambo nimejifunza
Am in tears coz am struggling to pay tithe,salary cut and struggling going for prayers yet niko na mzigo huo.Thanks pastor for the guidance.Glory to God for this msg.I will press on.
Napokea marejesho katka jina la Yesu
Msg on time.Was so confused bt God has given direction n hope
Am so much blessed with the man of Go:for really pastor George naweza kesha listening to you you're sermon praise and worship from Kenya tana river
Asante Mungu kwa neno nimejipata sasa ubarikiwe sana na Mungu
Nirejesheeee majira yangu Mungu wangu wambinguni.
Ubarikiwe sana poster Asante sana nmejifunza vitu vingi kupitia hili somo mungu akubarik na akuongezee mahali ulipo punguza kwa ajili yetu mungu akujalizie
Amen 🙏 barikiwa sana mtumishi
Powerful service indeed
Amina mtumishi unatufunza mungu akubariki
nikiwa turkana nimebarikiwa na saidi kupitia neno la mungu Asante pastor kwa hiyo neno mungu akupe kibali duani kwa jina la yesu Amen
Amen najiungamanisha na madhababu hi
God bless you pastor connecting from Saudi Arabia
Hua nabarikiwa sana na mafundisho na nimejua dalili za muda wa mungu
Hallelujah mafundisho mazuri,mungu atujaliye neema ya kutambua muda na nyakati za mungu kwa maisha yetu
Neno la Bwana ni chakula Cha uzima glory to God
Powerful message..
God bless you Pastor
Amina ,uinuliwe Mungu wetu leo ,uinuliwe bwana wa mwabwana
Amen..nimebarikiwa. i know am not late God is making ways for me. Be blessed Pastor listening to the word of God through you..its really a blessing. EACH time i listening to your preaching i feel like God is sending to me a message. God bless you Pastor
Haleluya nipo kwa hayo majira ni kweli kabisa Mungu azidi kukuinua umeniongezea kitu kikubwa
Thanks pastor
Amen 🙏 🙏🙏🙏🙏
Amen amen amen 🙏🙏
JRC.
Amen
Amen amen 🙏🙏🙏
Amen!!!!
Harerunyaaaaaa 🙏🙏
Echo ni mingi leo.We thank God for the word
Baba asate 🙏🙏
Kwa wale tuko saudi 😢😢Mungu atujalie majira yetu ya usafirii ukifika turejee nyumbani salama ju wengi wamepotezea uhai wao in gulf country😢😢😢
Ameeen hakika Mungu awashindie.
Hallelujah 🙏
AMINA 🙏🙏
Hallelujah 🔥🔥
Amen🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Amen
Kuwa makini kiroho
Mungu anatupenda
Glory be to God🙌🙌🙌Asante mchungaji mungu akubariki hakika kupitia kwako najifunza bibilia
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ Amen ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤Amen Ameeen ❤❤❤❤❤
mafunzo mazuri mtumishi wa Mungu ...nilipoamka asubuhi nilisoma kitabu cha yoeli 2: 25 na jambo la kushangaza umekisoma hapa leo ...naona Mungu ananisemesha kitu hapa ...na haya yote unasema nimeyapitia
Kutoka dar nafatilia bila kukosa
IN FACT. YOUR. MAN OF. GOD. SO. LET US. READ. AND HEAR. WHAT GOD. IS SAYING TO US. CONCERNS. HIS. WORD
asant sana kwa mungu kwa hio mafundisho mungu akuinue zaidi
Amen amen amen 🙏
Amen
Amen Amen...
Amen Amen, 🙏🙏
Amen
Asante mtumishi wa mungu kwa hili somo limenisaidia sana. Glory be to God 🙏
Amen
Amen