SAFARI ZA AWALI TRENI YA UMEME KUANZA 'JUNI 14 KWA SAFARI YA DAR MPAKA MORO - PROF. MBARAWA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 май 2024
  • 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
    SAFARI ZA AWALI TRENI YA UMEME KUANZA 'JUNI 14 KWA SAFARI YA DAR MPAKA MORO - PROF. MBARAWA
  • РазвлеченияРазвлечения

Комментарии • 21

  • @princeteu973
    @princeteu973 22 дня назад +4

    Glory to JPM, whether you guys, you like it, or you don't like it,has left a positive " mark" to reckon

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 23 дня назад +10

    ushauli wangu kila Ticket ziuzwe kwa QR Code bila hivyo mtapigwa mfumo wa cash uondolewe ikiwezekana hili lifike mpaka kwene mwendo kasi

  • @fransicmushenyera9302
    @fransicmushenyera9302 22 дня назад +2

    tatizo mnazingumza sana kuliko vitendo angekuwepo Jpm tungekuwa umeisha anza zamani

  • @robertgeofrey4118
    @robertgeofrey4118 22 дня назад

    Mama Samia 🇹🇿👏

  • @BardenBensonMwamfupe-dk3yg
    @BardenBensonMwamfupe-dk3yg 23 дня назад

    Very good tz

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon1064 23 дня назад +1

    safi SANA SAIZ HATUNA BAYA NA TRC nahapa IPO 😅😅😅😅

  • @vedastusmalimi5176
    @vedastusmalimi5176 20 дней назад

    Wala kodi za wanainchi, hovyo sana. Kla cku n story tu. Vitendo hafifu, hamuendi na muda

  • @Za_ndani.
    @Za_ndani. 23 дня назад

    Tz 💪

  • @mussamussa8181
    @mussamussa8181 22 дня назад

    In shart mmefeli yan tena Morogoro too much feliyaaaaa

    • @bakarijumakupaza4351
      @bakarijumakupaza4351 20 дней назад

      In shart ndio nini wewe? Si bora hata ungeandka Kiswahili tu. ACHA KUJIABISHA

  • @JK-uq1tv
    @JK-uq1tv 22 дня назад

    Naomba sana watakao hujumu huu mradi wafungwe miaka isiyo pungua 20 Sheria Kali ziwekwe Kwajili kutunza miundo mbinu ya reli hii ya SGR

  • @musakatwale1959
    @musakatwale1959 23 дня назад +1

    EWAA JPM

  • @masanjemuyenjwa2434
    @masanjemuyenjwa2434 23 дня назад +1

    Kaz nzur ila hapo mbele ya vichwa mchongoko naona shepu yake haiko poa

  • @RajabuLuand
    @RajabuLuand 22 дня назад

    Nauli itakuwa shingapi dar moro

  • @user-gj5iy2rq8y
    @user-gj5iy2rq8y 23 дня назад

    Ata mwakani poa 2

  • @user-ze6lx9ng6s
    @user-ze6lx9ng6s 22 дня назад

    Huyu waziri ni jipu,no development,ni usanii tu, RIP JPM

  • @robertgeofrey4118
    @robertgeofrey4118 22 дня назад

    Mama Samia 🇹🇿👏