MAGIC SCHOOL | ep 02 | FULL EPISODE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 31 дек 2024

Комментарии • 641

  • @LenadaJohn
    @LenadaJohn 3 месяца назад +8

    Mandonga kajishaua weeeeeh mwishoni kalabwa na k2 kizito

  • @PurityMuoki
    @PurityMuoki 3 месяца назад +22

    K
    Hakika tka nianze kufatilia sereas zenu leo ndio nmekuwa wakwanza aslamaleikum bwana yesu asifiwe

  • @MbarakaSefu-w6y
    @MbarakaSefu-w6y 3 месяца назад +10

    Wapi nyani ngwengwe na mwlm mutu hhhhhhhh ubaya ubwela

  • @philipadunga2787
    @philipadunga2787 3 месяца назад +8

    Imeweza hii some professional performance 👍

  • @AlinaNizigama
    @AlinaNizigama 3 месяца назад +5

    Pole sana. Mimi.nirijuwa.kwanjisi urikimbia mbere utakidaka kama unadaka kabumbu

  • @marthawanjiru6675
    @marthawanjiru6675 3 месяца назад +4

    Kwa hakika nampenda dubu sana❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @NasraFahmy-j9y
    @NasraFahmy-j9y 3 месяца назад +12

    Dahajra ka dubu nawapend san yaan mnapta mda wa kujbu coment zet ni w2 tofaut na wasanii wengn 🥰🥰

  • @ShaabanSimai
    @ShaabanSimai 3 месяца назад +4

    Hii picha nzuri sana jamani. Yaani nacheka najisikia Raha sana. Huyu mwalimu moto ni noma

  • @MaryvineBhoke
    @MaryvineBhoke 3 месяца назад +16

    Wakwanzaa Leo Jamanii Nataka like zangu from Kenya 🎉🎉❤❤

  • @queen_zashi
    @queen_zashi 3 месяца назад +3

    Nyie dubu anaimba nyieeeeeeeeee nyieeeeeee dubuuuuuuu ungekuwa ujaoa ninge🥲😘

  • @KILESHOJNR.001
    @KILESHOJNR.001 3 месяца назад +11

    Nakubali kazi yako Dubu

  • @wamboiwamboh
    @wamboiwamboh 3 месяца назад +5

    kwa wote dubu mwanafunzi wa ajabu😂😂😂😂anakimbia kombora😂😂😂HAJRA NA DUBU THE ONES IN WHITE😂❤❤❤❤❤

  • @lsacklsack
    @lsacklsack 3 месяца назад +2

    Kaz nzur dubu mung akubarik kwakaz nzur naomba nasiye wasanii wachanga tufikiye huko

  • @FatmaKambanga
    @FatmaKambanga 3 месяца назад +20

    Jaman Move mzur Sana Naipenda Hla Mnaichelewesh Sana WaPendwa❤❤❤

  • @andrewkilave3532
    @andrewkilave3532 3 месяца назад +10

    Huyu dada mwenye mwanya ni mzuri sana aisee hata akiigiza ubabe lakin bado ni mrembo tu

  • @jescambilinyi
    @jescambilinyi 3 месяца назад +4

    Dubu wetu,kazi nzuri nimeipenda

  • @RehemaSaid-r4h
    @RehemaSaid-r4h 3 месяца назад +42

    Watazamaji wa hii movie weka like 🎉🎉🎉🎉kwa kazi nzuri wanayo ifanya🎉🎉🎉🎉

  • @HappyMoses-rt1nv
    @HappyMoses-rt1nv 3 месяца назад +2

    Piga kelele kwa dubu wake❤❤❤wewewewewwe💪♥️💪

  • @dr.mgungo1429
    @dr.mgungo1429 3 месяца назад +3

    Mwalimu Nyaningwengwe na Moto Jau sana 🤣🤣🤣

  • @effects_tz6223
    @effects_tz6223 2 месяца назад +1

    nimempenda sana mandonga mtu kaz #kaz nzuri

  • @alfredtebeka2497
    @alfredtebeka2497 3 месяца назад +12

    Anae kubali vituko vya mandonga mtu kazi😂😂 gongeni hata likes mbili😅😅😅

  • @MichelleSwai
    @MichelleSwai 3 месяца назад +5

    😂😂😂😝😝😝😝 Moto unachekeshachekesha sanaaa

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 3 месяца назад +2

    Kazi zenu nzuri ila mnachelewa sana kutowa ep

  • @AbdullahisaBongole
    @AbdullahisaBongole 3 месяца назад +2

    safi sana chobo unajifunza uchawi kwaajili ya kujilinda sio kuzuru watu

  • @GaudenciaMadirisha
    @GaudenciaMadirisha 3 месяца назад +3

    Dubu bwana anajifanya jinga kumbe ndo bigwa😂😂😂😂😂

  • @Midekotee
    @Midekotee 3 месяца назад +4

    Nimecheka the way dubu ulivyocheka😂😂❤🎉

  • @MamayaoRiziki
    @MamayaoRiziki 3 месяца назад +25

    Wakwanza leo nataka like zanga from 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @AsadMwalim
    @AsadMwalim 3 месяца назад +4

    Utunduu tu kuelewa aaah😂😂😂😂😂😂😂

  • @NathanaëlKambale-p3p
    @NathanaëlKambale-p3p 3 месяца назад +3

    Oyaweeee oyaweeee oyaweeee oyaweeee mbona nzuri❤❤❤

  • @officialgypsum12
    @officialgypsum12 3 месяца назад +16

    Wakwanza naomba likes 🎉🎉 Dubu Tz anazidi kupiga hatua apewe maua yake

    • @HadijaKanze
      @HadijaKanze 3 месяца назад +2

      Hadi once again kaomba likes,,, daaah

  • @Mwana85Mwana85-wz1ol
    @Mwana85Mwana85-wz1ol 3 месяца назад +3

    Juzi nishia njiani bando lilikata jaman mm mshangazi wa ndege 🔥🔥🔥 hum 2 chocho ngozi madonga unautaka umarufu kwapupa. Hila madongo usimtmdharau usiye mjua madonga mtu kazi ? Mabuti usiniumuziye utamu wangu mm kwa ndeg 🔥🔥 jaman

  • @Melaniapaschal
    @Melaniapaschal 3 месяца назад +2

    Kaka kazi nzr sana mungu akulinde dubu

  • @BundalaMasanja-c7m
    @BundalaMasanja-c7m 3 месяца назад +3

    Dubu ndo machine yakuuotea mbali onhoo

  • @MoTalentTz
    @MoTalentTz 3 месяца назад +5

    Utundu tuu kuelewa aaah😂😂😂😂😂

  • @Mosetieunice
    @Mosetieunice 3 месяца назад +3

    Kazi nzuri sana Kaka 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @salmatuleteesehem71jmnmahm59
    @salmatuleteesehem71jmnmahm59 3 месяца назад +3

    Ila wachokozi nyie ma abaya yetu na viremba vyetu jmn ndo mnafanyia uchawi😅

  • @abdallahassan6378
    @abdallahassan6378 3 месяца назад +2

    Kazi yenu bomba sana,pamban dubu nakuona mbli sn

  • @ashamwanganzi6400
    @ashamwanganzi6400 3 месяца назад +2

    😂😂😂waaah jmn nyani ngwengwe n mtumishi moto nyie nawapemda bure wallah❤❤❤❤

  • @pur-ple-girll-304
    @pur-ple-girll-304 3 месяца назад +3

    Ifike mahal ugomv wa mwalim moto na nyani ngwengwe uishe😅😅😅

  • @mirumbenickson6247
    @mirumbenickson6247 3 месяца назад +4

    You're talented Dubu. Nakubali kazi zako maana hubahatishi.♥️

  • @AlinaNizigama
    @AlinaNizigama 3 месяца назад +2

    Yani dubu amejifamya zezeta 😂😂😂

  • @hutahuta1170
    @hutahuta1170 3 месяца назад +2

    😂😂😂😂kila lenyemwanzo halikosi mwisho❤🎉🎉

  • @MariamHamisi-h4g
    @MariamHamisi-h4g 3 месяца назад +2

    Haki dubu wenzio wafanya mazoezi ww wacheza 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @PATRICIALEILA-yx3ec
    @PATRICIALEILA-yx3ec 3 месяца назад +4

    Dubu jamani sasa ulikuwa wakimbia nini 😂😂😂😂

  • @fatumaandrea247
    @fatumaandrea247 3 месяца назад +3

    Dah sijui ataonwa😢😢 naomba asigundulike

  • @REHEMAOSCAR
    @REHEMAOSCAR 3 месяца назад +17

    Jamani dubu umetisha from msata masai girl❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ nipe like ata 10

  • @FrankLuhaha-dt5sh
    @FrankLuhaha-dt5sh 3 месяца назад +3

    Dubuu movie kaliiiii sanaaa ❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉 tunainjoiii sanaaaa ❤❤❤❤❤❤

  • @Agyy628
    @Agyy628 3 месяца назад +2

    Abaya la dubu nimelipenda😂😂😂😂

  • @UkhtyFatmah-he8vg
    @UkhtyFatmah-he8vg 3 месяца назад +2

    Yaani Chingi Na kujisheuwa koote huko kumbe hamna kitu kabisaaa🤣🤣afu wew Mandonga bhana 😀🤣 jinsi Na we ulivyo jipanga sasa ni kajua kimbunga hiko utakizuia Na mkono mmoja kama jinsi alivyofanza mgeni wetu hapo, kisha mgeni huyo kwenye Movie Familia ya Mzee kicheche amekua Noma sn na kumuokoa Mwadjuma Komwe kutoka kwa jumba lile lake Chief Malangalila Na kumkomeshelea mbali .

  • @gakiigladies8975
    @gakiigladies8975 Месяц назад +3

    Jamani dubu movie safi sana

  • @mike_killer255
    @mike_killer255 3 месяца назад +4

    Big up my team🔥🔥🔥🔥

  • @MichaelGuerino
    @MichaelGuerino 3 месяца назад +7

    Dubu unajua sana sisi tunajifunza kwako na tunaimani tutafika tuuh

  • @machozimukucha
    @machozimukucha 3 месяца назад +3

    Jmani nawapenda sna wote ❤❤❤❤🎉🔥

  • @Gloriarespiki
    @Gloriarespiki 3 месяца назад +2

    Wamwisho mm😂kaz nzur jmn🎉🎉🎉🎉❤❤❤

  • @mkacibeiib7278
    @mkacibeiib7278 3 месяца назад +137

    jamani mimi. ni mgeni na Toka nianz kuangalia siwai pata like hata moja 😢😢😢

  • @happykashindi2662
    @happykashindi2662 3 месяца назад +3

    Acheni uwongo lol 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @Aisha-ld3ol
    @Aisha-ld3ol 3 месяца назад +2

    Dubu kazi yako nzuri ❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @NadzuaMrema
    @NadzuaMrema 3 месяца назад +4

    Nyani gwegwe uko wp basi jamani nakumiss mim 😅😅😅😅

  • @GraceChege-gy5sk
    @GraceChege-gy5sk 3 месяца назад +4

    Dubu, nakupenda bure❤

  • @OmaryRamadan-m8v
    @OmaryRamadan-m8v 3 месяца назад +2

    😂😂😂ila nyan ngwengwe na ndege 🔥 wana bifu zito

  • @MwanapiliSidi
    @MwanapiliSidi 3 месяца назад +2

    Congratulations ❤❤ dubu na TM Yako KAZI nzuri🎉🎉🎉🎉❤❤❤

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 3 месяца назад +3

    Dubu kazi nzr sana❤🎉

  • @AishaTanzania-t1g
    @AishaTanzania-t1g 3 месяца назад +2

    Misondo anaumwa anaogopa 😂😂😂😂🎉🎉🎉

  • @KhadijaMasoud-m6u
    @KhadijaMasoud-m6u 3 месяца назад +4

    😂😂😂Kanichekesha eti huyu chobi mchawi Nini wakati na yy mchawi

  • @Vincenttullah
    @Vincenttullah 3 месяца назад +2

    ❤❤❤kazi nzuri kaka ila usicherew jmn💖mungu akubaliki dubu anderea kupambn

  • @MussaChimbilimana
    @MussaChimbilimana 3 месяца назад +2

    😁😁😁dubu unakimbiya wambi unanguvu ila una unajifanya kuogopa unanguvu kuwazidiya

  • @Stephenmuthoka-e5w
    @Stephenmuthoka-e5w 3 месяца назад +2

    Muwaishe kutoa move nizur sana

  • @odigahildah4176
    @odigahildah4176 3 месяца назад +2

    Kazi nzuri sana dubu keep it up ❤❤

  • @Lidya-e1i
    @Lidya-e1i 3 месяца назад +2

    Dubu,hadjra na wengine wote nmeipenda hii movie❤❤❤❤

  • @GraceOmar-ld1ee
    @GraceOmar-ld1ee Месяц назад +1

    Dubu hongera kwa kazi kubwa ulioifanya

  • @RaphaelMgaya-ms5hy
    @RaphaelMgaya-ms5hy 3 месяца назад +1

    wazazi walikosa kabisa shule mbakamagic school😅😅😂😂

  • @SofiaKazungu
    @SofiaKazungu 3 месяца назад +1

    Kazi nzur sana dubu congratulations much love from saudia Arabia really appreciate that ❤❤❤❤🎉🎉

  • @esterkimalio8846
    @esterkimalio8846 3 месяца назад +2

    Dubu unajua kuwaektie hatari,,,,

  • @johnchem1632
    @johnchem1632 3 месяца назад +2

    uyo chobi me nilijua mwanamke bwana😂😂

  • @brayanally
    @brayanally 3 месяца назад +2

    Mwalimu motto na mwenzie 🤣🤣🤣

  • @NafsahAlly
    @NafsahAlly 3 месяца назад +4

    Brooh dubu tuleteee kaz mpk sim na tv zetu zipasuke kazi njema kaka angu ALLAH akufanyie wepes inshallah🥰

  • @AbdullahisaBongole
    @AbdullahisaBongole 3 месяца назад +2

    kazi nzuri hongera sana dubu

  • @willykijanaa
    @willykijanaa 3 месяца назад +2

    Ila Dubu umetisha kwa kuzuia kimbora😂😂

  • @ThurayyaMbarak
    @ThurayyaMbarak 3 месяца назад +2

    Pambee ❤❤❤nawapenda group la dubu tz

  • @Malesa255..1
    @Malesa255..1 3 месяца назад +2

    Balaaaa kaka yangu 🎉🎉🎉🎉

  • @hajaronduko761
    @hajaronduko761 3 месяца назад +3

    Please send more episodes utleast we watch every day am addicted to you guys.❤❤❤❤❤

  • @RithaOmari-np8je
    @RithaOmari-np8je 3 месяца назад +2

    Keep up 🎉❤my bro 😎 ❤from Malawi 🇲🇼

  • @MaswiMango
    @MaswiMango 3 месяца назад +2

    Wao hii vita na wanafunzi

  • @albertinajapheth8942
    @albertinajapheth8942 3 месяца назад +2

    Jaman kazi nzuri ila mnachelewa sana 😢😢

  • @ZakayojrZ
    @ZakayojrZ 3 месяца назад +3

    Pamoja sana dubu🤝🔥

  • @AshaNzara
    @AshaNzara 3 месяца назад +1

    Good job guys ❤️💖🎉🎉 Mungu awatie nguvu zaidi

  • @erickngundi690
    @erickngundi690 3 месяца назад +5

    Noma sana 🔥🔥 from +254

  • @japhetnjulu2944
    @japhetnjulu2944 3 месяца назад +3

    mko sawa jmn nagoja 3

  • @KanyerereThomass
    @KanyerereThomass 7 дней назад +1

    hahahah jaman kwan mandonga unafel wap mbn umeniangusha

  • @saumjuma3940
    @saumjuma3940 3 месяца назад +2

    Jaman badilishen hayo mabaibui ya wanawake vaeni hata shuka bas

  • @MadinahAheebwa
    @MadinahAheebwa 3 месяца назад +2

    Thanks for good work 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @amoswafula4095
    @amoswafula4095 3 месяца назад +2

    DUBU wachakunijekesha😂😂😂😂 unakimbia unaenda wapi

  • @eunicemagolo4028
    @eunicemagolo4028 3 месяца назад +2

    Kazi nzuri ila mwacheleweaha jamani

  • @Awoshy
    @Awoshy 3 месяца назад +2

    😂😂😂ila Dubu ndio utoe mabio😂😂....mwalim nyani ngwengwe jamani 😂😂😂😂ubaya ubwela

  • @BasilisaMsofe
    @BasilisaMsofe 3 месяца назад +2

    Sasa hao wachawi wezi😂😂😂😂

  • @AllyBabu-kr6lg
    @AllyBabu-kr6lg 3 месяца назад +3

    Dubu na geng lako la wachawi ndo mmefanya kiboko ya wachawi kufukuzwa ili muendeleze uchawi😅😅😅😅

  • @DodomaNebrix
    @DodomaNebrix 3 месяца назад +2

    Pongez zenu wote kazi ni ya moto sana 🎉🎉🎉Mungu awatangu lie na kubariki kazi ya mikono yenu🙏

  • @MaureenKarimi-lm1xr
    @MaureenKarimi-lm1xr 3 месяца назад +1

    Dubu leo nimechelewa ila tuko pamoja mimi shabiki sugu kutoka kenya ila usichelewe saana nakupenda bure❤❤❤

  • @Emilymama2boys
    @Emilymama2boys 3 месяца назад +2

    🤣🤣🤣🤣🤣ila Dubu ww ni 🔥 much love from Kenya 🇰🇪❤

  • @hisaShop
    @hisaShop 3 месяца назад +2

    Jamani Dubu uko laivu 🤣🤣🤣 kaka