MAGIC SCHOOL | ep 06 | FULL EPISODE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 янв 2025

Комментарии • 513

  • @salumuernest6042
    @salumuernest6042 2 месяца назад +73

    Jamani fundisheni watu neno la mungu kwa nini mambo ya kishirkina?

    • @OfficialDubu_tz
      @OfficialDubu_tz  2 месяца назад +36

      Tumrudie Mungu Ndugu zangu Mungu ni Mkubwa Tuache Maasi Dunia sio chochote hii Kila kitu tutakiacha na Tutarudi Kwake Sawa ndugu zangu!! Tuache Shirki pia ni Mbaya sana mungu hapendi... Hapo Vipi Kaka Salumu🤝🤝

    • @jemimajerome3971
      @jemimajerome3971 2 месяца назад +9

      Hii ni sehemu ya sanaa ambayo mwandishi kama kutumia upande huo kuwakilisha watu wanaoishi kama hao

    • @Zingua-comedy
      @Zingua-comedy 2 месяца назад +3

      ​@@OfficialDubu_tz😂😂😂ila dubu

    • @sosomokobiasharamgaya3020
      @sosomokobiasharamgaya3020 2 месяца назад +2

      😂😂😂😂 Dubu

    • @CrsAlzaid
      @CrsAlzaid 2 месяца назад +7

      Kuna misikiti makanisa nadhani hizo ndo sehemu maalum zamambo ya mungu muachen kijana wetu afanye kazi zake kwa amani

  • @angeledga5651
    @angeledga5651 2 месяца назад +7

    Chingi bana na sura lake kama sanamu la makubusho😂😂😂😂

  • @kondemagoh
    @kondemagoh 2 месяца назад +16

    Wakwanza timu dubu konde magoh apa 💪

  • @OmariJumaaWaziri
    @OmariJumaaWaziri 2 месяца назад +12

    Duh Yan utani wao Hawa ndege wa Moto na nyani ngwengwe ni ubaya ubwela kweli😂😂 Kama unawakubali like hapa👍👍👍👏👏😊

    • @kayejipaul
      @kayejipaul 2 месяца назад

      Wanafurahisha sana aisee

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki 2 месяца назад +5

    Kiti moto na Nyani Ngwengwe munamambo nyiye ongera Dubu kwazi nzuri🎉🎉🎉🎉

  • @RehemaShindo-px7gt
    @RehemaShindo-px7gt 2 месяца назад +3

    Huyu kibonge mchicha 😂😂😂😂jamani yuanifurahisha😂😂😂😂

  • @RayvannyAli
    @RayvannyAli 2 месяца назад +5

    Kazi mzuri ila munchelewesha sana ❤ @Rayvanny 🐅🇲🇼🇲🇼

  • @AnganileMendamenda
    @AnganileMendamenda 2 месяца назад +3

    Kunvt vng sana vya kujifunza ktk move hii ingawa watu tunaitazama kwa upande was Imani lkn tunapaswa kua makini kwa Kila jambo kama chobi

  • @arafatmohd4609
    @arafatmohd4609 2 месяца назад +4

    Ubaya ubwela 😂😂😂 hakika mwalim moto ni chepe🎉🎉🎉

  • @cynthiaagutu697
    @cynthiaagutu697 2 месяца назад +6

    Kazi nzuri ila mnachelewesha sana❤❤🔥🔥🔥

  • @HatungimanaRahma-r7l
    @HatungimanaRahma-r7l 2 месяца назад +7

    Iyi team naipend sna kwasabab movie zao ni fupi sana alafu nzur ❤❤onger snaa dubuuuuu

  • @MichelleSwai
    @MichelleSwai 2 месяца назад +6

    Nimeipenda Sanaa hizi episode kuanzia ya episode ya 4 -6 tamuu Sana maana ni nzr aisee nipo chini ya magoti yenu tupeni episode ya 7-15.

  • @ArabiDua-ct8bl
    @ArabiDua-ct8bl 2 месяца назад +7

    Kazi mzuri ìla munachelewesha sana

  • @ibrahimukombe
    @ibrahimukombe 2 месяца назад +6

    😂😂😂😂😂dubu nakuaminia kwa Leo 😂😂😂😂 umeniweza umezuia kimbola Leo😁😁😁😁😁

    • @OfficialDubu_tz
      @OfficialDubu_tz  2 месяца назад

      🤣

    • @kangamnhamajanja
      @kangamnhamajanja 2 месяца назад

      safi dobu

    • @Awoshy
      @Awoshy 2 месяца назад

      Siunajua Dubu ndio michezo yake ya kujifunika uso😂😂😂😂😂😂😂ila kimbola 😂😂😂kitakuja kiwauwe wanafunzi wallah sio kwa kuanguswa huko😂😂😂😂😂😂

  • @EuticusWabwire
    @EuticusWabwire 2 месяца назад +6

    Jamani huku Kenya tunangoja next episode,, watching it from Nairobi Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @Lea-tj5kf
    @Lea-tj5kf 2 месяца назад +1

    Nljua kamuona jmn dubu kumbe ndoto😮gud job kaka

  • @DonardChips
    @DonardChips 2 месяца назад +2

    Bwana yesu asifiwe jamn mkumbukeni bc ht mung hapo walau ht mr moja ❤❤❤❤

  • @Lidya-e1i
    @Lidya-e1i 2 месяца назад +4

    ❤❤❤🎉🎉🎉nikiwa wa kwanza leo nmengojea sana

  • @Mainatongwe
    @Mainatongwe 2 месяца назад +2

    Nimechelewa jmn siombay kazi nzur udugu wangu dubu

  • @Hatungimanaiddympolebamarire
    @Hatungimanaiddympolebamarire 2 месяца назад +4

    Munacherewesha ao ndoyule msemo bizuri habitaki harakaaa dubuu salut

  • @OmmyDseven
    @OmmyDseven 2 месяца назад +2

    Bro mko vzr sanaa kitolondo noma ila mkitoa kwawakaty ndy mtazid kukua lkn mnachelewesha sanaaa maua yenu🎉🎉🎉

  • @SophiaMabula
    @SophiaMabula 2 месяца назад +1

    Jmn hawa wa2 watakuja kufa ndege wa moto ,ngwengwe duuuh ubaya ubwela❤❤

  • @aishaomar2287
    @aishaomar2287 2 месяца назад +4

    Yani dubu😂😂😂 ukaamua umfushe mdada wa watu na marashi adhimu😅

  • @fatumasaidmajero2050
    @fatumasaidmajero2050 2 месяца назад +5

    Hongera sana dubu much love❤❤❤

  • @حليمه-خ3ح
    @حليمه-خ3ح 2 месяца назад +3

    Kazi safi big up manzee n vp muendelezo😊

  • @Dooh294
    @Dooh294 2 месяца назад +9

    Wakwanza leo, wapi likes jamani, kazi nzuri dubu🎉🎉❤

  • @MaimunaNangabo
    @MaimunaNangabo 2 месяца назад +2

    😂😂😂jamani mwalimu moto unanifurahisha sana 😂😂❤🎉🎉❤❤hongera

  • @ZaituniRajab-n2x
    @ZaituniRajab-n2x 2 месяца назад +3

    Mwenyez mung tu awasaidie kwa kila jmbo maan team dubu kusema ukweli wapo vzr na nawakubali ❤❤kinoma mwaaaah na poleni kwa na changamoto mnazokabiliana nazo 🤭😍🤭😍

    • @OfficialDubu_tz
      @OfficialDubu_tz  2 месяца назад

      Tunashukuru sana Mungu akuongezee na wewe pia❤️

  • @ThamaratiHamisi
    @ThamaratiHamisi 2 месяца назад +4

    Dubu nakupenda we kaka, unaniondolea stress zote nikiwa naangalia kazi zako, unajua alafu unajua tena

  • @neemahajj
    @neemahajj 2 месяца назад +3

    Kwa mara y kwanz dubu amezuia kombora🤭👊uko juu🔥🔥

  • @ashamwanganzi6400
    @ashamwanganzi6400 2 месяца назад +2

    😂😂😂ubaya umbwela nyan n mtumishi moto nyie 😂😂😂😅

  • @macklinafesto9358
    @macklinafesto9358 2 месяца назад +2

    Kazi nzuri dubu leo nimependa zaidi ❤🎉

  • @ggfwtgg1652
    @ggfwtgg1652 2 месяца назад +2

    Mi nacheka nyani ngwengwe na mwalimu moto 😅😅😅ubaya ubwela 😅😅😅

  • @machozimukucha
    @machozimukucha 2 месяца назад +3

    Nawakubali sna pia nawapenda sn kwakazi Nzuri munazo zifanya❤❤❤🎉🎉🎉🎉💯💯🔥🔥🥰

  • @KhadijaMasoud-m6u
    @KhadijaMasoud-m6u 2 месяца назад +3

    Kibonge jiniasi kwa kufanya mabaya ndo akili hy😂😂

  • @lizchepkorir2000
    @lizchepkorir2000 2 месяца назад +3

    nyani mgwengwe na mwalimu moto mtakuja kuniua jameni😹😹😹safi sana Dubu 🎉🔥🔥🇰🇪

    • @ButoyiRukiya
      @ButoyiRukiya 2 месяца назад

      Namimi wataniwuwa😂😂😂😂

  • @ZaiLilanje
    @ZaiLilanje 2 месяца назад +3

    Kazi mzuri ila mnachelewa sana jamani🎉🎉🎉

  • @NasmaahMahadhi-k6x
    @NasmaahMahadhi-k6x 2 месяца назад +6

    Jitahidin kuwah kuitoa mpak nin sahau Kam kuna dubu

  • @AzizahMbonde
    @AzizahMbonde 2 месяца назад +2

    ❤❤ yan we dubu noma sana yan na big misondo

  • @Mizaname
    @Mizaname 2 месяца назад +2

    Ahhhh utani basi,Aishi mpaka iishe noma sana🫵

  • @HatungimanaRahma-r7l
    @HatungimanaRahma-r7l 2 месяца назад +6

    Jamanii tupeni muendelezo wa fortune 😢😢😢

  • @christopherernest2316
    @christopherernest2316 2 месяца назад +2

    Kazi nzuri sana ila mnatucheleweshea sana tunasubiri mno muendelezo😢😢😢🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @nyamiziramadhani4232
    @nyamiziramadhani4232 2 месяца назад +2

    yaan dubu ananguvu ila anajifanya mjinga nimependa hyoo 😂😂😂 waooo inafundisha kitu

  • @Joan-c2r
    @Joan-c2r 2 месяца назад +3

    Hongera sana kwa kazi nzuri from Kenya

  • @LakiDube-l5p
    @LakiDube-l5p Месяц назад +1

    Nimekubali dubu mi mxhabiki number 1 ❤❤❤❤❤

  • @fatumaselemani3807
    @fatumaselemani3807 2 месяца назад +2

    Mashallah ❤❤❤❤❤mbona autumi linki jamani

  • @Brunotarimo10
    @Brunotarimo10 2 месяца назад +2

    Kazi nsuri sana dubu, from Gikombaa nairobi

  • @AminaOmary-gu7mp
    @AminaOmary-gu7mp 2 месяца назад +1

    Dubu mungu abariki kazi ya mikono yako🙌🙌

  • @Awoshy
    @Awoshy 2 месяца назад +1

    Dubu jamani sio vizuri mpka mwenzio anatoa hewa😂😂😂😂
    Wow Chobi na Kitorondo👌 👏 😍 😍

  • @GolingoIbenzi
    @GolingoIbenzi 2 месяца назад +3

    Mnachelewesha sana kazi zenu mpaka zingine mnaziachia njiani

  • @Neykids
    @Neykids 2 месяца назад +1

    Hongerenii sanaaa kaka🎉

  • @Maryam-e2x8p
    @Maryam-e2x8p 2 месяца назад +3

    Mandonga yuasumbuliwa na mapenzi❤❤❤🇸🇦

  • @Awoshy
    @Awoshy 2 месяца назад +2

    Haiishi hadi iishe ubaya ubwela 😂😂😂😂😂😂

  • @mwanaherimkanda49
    @mwanaherimkanda49 2 месяца назад +2

    Dubu mtu mbaya napenda upole wako tu❤

  • @KanyerereThomass
    @KanyerereThomass 10 дней назад +1

    Daah sijapenda mlivyo mpig kitolongo

  • @HappyMoses-rt1nv
    @HappyMoses-rt1nv 2 месяца назад +3

    Nainjoy sana❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @NasraFahmy-j9y
    @NasraFahmy-j9y 2 месяца назад +2

    Dubu mxhenz umejitia kunya 😂😂 honger kaz nzr kak nakukubli mzenj ap 🎉🎉

    • @nyamiziramadhani4232
      @nyamiziramadhani4232 2 месяца назад

      ananguvu sanaa hatak kujionyesha tu watamstukia maana mama yske anabifu na mkuu na ndo amechukuliwa nguvu

    • @NasraFahmy-j9y
      @NasraFahmy-j9y 2 месяца назад

      kashaonekna na teacher cjw itakuwaj

  • @ananiamakasy2050
    @ananiamakasy2050 2 месяца назад +2

    Majitahidii sana hongereni sana ila mbona nyani ngwengwe mzee wa leo nitapiga toto la mtu mna muweka kipande kidogo sana wakati anachekesha sana Na kwann msiache kipande kimoja ndenge moto asimhalibie nyani ngwengwe plan yake ya kupiga toto la mtu tuone watakavyo chezea bakora.😂😂😂

  • @Msaniitz
    @Msaniitz 2 месяца назад +3

    Dubu kazi nzuri sana🎉❤

  • @KisingeliTalent-d6g
    @KisingeliTalent-d6g 2 месяца назад +7

    Aya nyan ngwengwe wangap hapo namba moja nimetulia hapa 😂😂😂

  • @alfredtebeka2497
    @alfredtebeka2497 2 месяца назад +2

    Jamani mbona kitoronto ni mzuri❤❤ kama uwa🌹🌹

  • @JosephineApondi-m4i
    @JosephineApondi-m4i 2 месяца назад +2

    Kazi zuri sana dubu❤❤❤

  • @Ng_wenda_Pole_Tz
    @Ng_wenda_Pole_Tz 2 месяца назад +2

    Aise kaka hongera sana brother kwa kazi nzuri tulikua tumewasubilia kwa ham wazee wa ubaya ubwela mwalim moto na mwenzie yan duh😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @bonifacedaniel-ng2hf
    @bonifacedaniel-ng2hf 2 месяца назад +2

    Happy nikweli fundisheni watu kua dunia iko mwishoni jamani wamgeukiie munga atuokoe amen

  • @zeshaliustz
    @zeshaliustz 2 месяца назад +3

    Move kali sana sungwi tunaifatia sana🔥🔥🔥

    • @OfficialDubu_tz
      @OfficialDubu_tz  2 месяца назад +1

      🙏🙏

    • @amossumuni1
      @amossumuni1 2 месяца назад

      Afu ingependeza kama mngetoa Sungwi Season 2 ​@@OfficialDubu_tz

  • @NikizaGamariel
    @NikizaGamariel 2 месяца назад +7

    Wakwanza mimi hapa kutoka USA 🇺🇸
    Naomba likes zangu😊😊

  • @ZanaaIssaa
    @ZanaaIssaa 2 месяца назад +1

    Walozi.walimunzira😂

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 2 месяца назад +1

    Ila nyani ngwengwe na ndege wa moto😂😂😂

  • @everlyneiminza5722
    @everlyneiminza5722 2 месяца назад +3

    Nyie mkijua kikwetu kule Kenya misondo ni nni Wala hamungeita mtu Hilo jina😂😂😂😂😂😂😂😂ila mnakawia jamani❤❤

  • @godfreymusungu
    @godfreymusungu 2 месяца назад +4

    Nawapenda katoeni nyingine kwa haraka jamani 😁

  • @kingyohaner4855
    @kingyohaner4855 2 месяца назад +5

    Kazi nzuri saana dubu❤❤❤

  • @EyecandieDr
    @EyecandieDr 2 месяца назад +2

    Wow so creative bro much love from Kenya as always ❤

  • @Samiyabahatinanti
    @Samiyabahatinanti 2 месяца назад +2

    😁😁😁🤣🤣cingi ananiuwaga sana

  • @Ludovickmunishi
    @Ludovickmunishi 2 месяца назад +3

    Aiishi adi iishe 😂😂😂😂😂😂ubaya ubwela

  • @MaSuzy-zf8ol
    @MaSuzy-zf8ol 2 месяца назад +3

    😂😂😂😂jmn mbona ujapa tena😂😂😂

  • @MillicentMoraashMongeri-s8p
    @MillicentMoraashMongeri-s8p 2 месяца назад +3

    Nimeipenda hiyo❤❤❤❤❤wauh

  • @EzekiaMsemwa-sk7ow
    @EzekiaMsemwa-sk7ow 2 месяца назад +2

    Wahisha mnachelewa sana wanaaaaa

  • @TigerGabrielsaint
    @TigerGabrielsaint 2 месяца назад +2

    Aliye ona kule chini kunanuka ninani😂😂😂

  • @LinnahDangote
    @LinnahDangote 2 месяца назад +3

    Jamn kaka nasema ukweli achen kuchelewesh ban na kingine napenda san kuingiza

  • @AnetGambo
    @AnetGambo 2 месяца назад +2

    Mnachelewa sana,,Kuna fortune hata sijui yaendaje

  • @saumjuma3940
    @saumjuma3940 2 месяца назад +2

    Jamani harryporte unachelewa Sana na hilo abaya vua vaeni kam chingy mbon movie zote havaagi mabaibui

  • @MwombekiMartini-k5y
    @MwombekiMartini-k5y 2 месяца назад +4

    Aliedhani kuwa dubu kakamatika gonga like please

  • @JaphetKarisa-d4g
    @JaphetKarisa-d4g 2 месяца назад +3

    Yeeees kitorondo umeweza kuivuta fimbo

  • @RyanGerald-j2u
    @RyanGerald-j2u 2 месяца назад +2

    Kazi nzur sana🎉🎉🎉

  • @NdenzakoSammy
    @NdenzakoSammy 2 месяца назад +2

    Salim kutoka S.A nakubali sana kaka na kazi zako,
    Yani uwaga nacheka sana Nyani ngwengwe na huwo mzee!!!Ubaya ubwela❤

  • @MshengaSuleiman
    @MshengaSuleiman 2 месяца назад +2

    Nyani ngwengweee bwana 😂😂😂😂

  • @Mizaname
    @Mizaname 2 месяца назад +2

    Dubu unakumya kunyakunya vyanuka hivyo

  • @JumaMwinyipembe
    @JumaMwinyipembe 2 месяца назад +1

    Kazi nzur dubu 💯💯

  • @Newtonwafula-g3s
    @Newtonwafula-g3s 2 месяца назад +3

    tubu tunataka 7 tunakupokesa sana kazi yako sisi wake🇰🇪🇰🇪🇰🇪tuko na wewe

  • @OmmyDseven
    @OmmyDseven 2 месяца назад +2

    Hajila nayeye movie yake kasha Achana nayo au vp mbna mnachelewesha sanaaa bro

  • @wamboiwamboh
    @wamboiwamboh 2 месяца назад +6

    Team dubu team tz kenya mnipitie jameni😂❤❤❤ntwarudia nyote😂❤❤alafu dubu hii tittle yenyu ingekua School of magic ❤❤

  • @esterkimalio8846
    @esterkimalio8846 2 месяца назад +4

    Mandonga acha wivu,,,na acha roho mbaya

  • @SophiaNdagwa
    @SophiaNdagwa 2 месяца назад +1

    Good job dubu na team yak🎉🎉

  • @RamadhanDinyo
    @RamadhanDinyo 2 месяца назад +1

    Jitaidini kuwa mnatuma mov yote sio kutuma nusunusu dubu

    • @gracekayumba-z9l
      @gracekayumba-z9l 2 месяца назад

      We nae season ndefu unatumaje yote au ujui maana ya tamthiliya

  • @MercyOdera-d2r
    @MercyOdera-d2r 2 месяца назад +2

    Kazi safi sana dubu

  • @paulrimba654
    @paulrimba654 2 месяца назад +2

    Good job dubu and crew, much love from Kenya

  • @user-njopajr
    @user-njopajr 2 месяца назад +1

    😅😅😅😅
    Kitolondo kama uyoga2 Leo analika kesho haliki

  • @ZainabuRamadhani-q6r
    @ZainabuRamadhani-q6r 2 месяца назад +2

    Endeleeni mi napenda,tunajifunza sasa km hapo mtu anashindwa kuuza uwanja kumbe kuna shule ya kichawi

  • @emmakangalawe1946
    @emmakangalawe1946 2 месяца назад +1

    Uchawi mnaweza ❤❤

  • @NesthKey
    @NesthKey 2 месяца назад +2

    Mtumishi moto😁😁😂😂😂😂😁😁