MAGIC SCHOOL | ep 07 |

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 янв 2025

Комментарии • 452

  • @Awoshy
    @Awoshy 2 месяца назад +32

    Mwalimu 🔥na Mwalimu nyani ngwengwe ifike mahali mmalize tofauti zenu khaaah mtauwana😂😂😂

  • @LoveOffial
    @LoveOffial 2 месяца назад +22

    Dubu your the best actor 😍😍nakupenda wew na uyo kidotii jmn but msichelewesj san wapenzi😍

    • @OfficialDubu_tz
      @OfficialDubu_tz  2 месяца назад +4

      🙏❤️

    • @LoveOffial
      @LoveOffial 2 месяца назад +3

      @@OfficialDubu_tz moree looveee 😍❤️

  • @OmariJumaaWaziri
    @OmariJumaaWaziri 2 месяца назад +38

    Great work❤👍 poleni piah kwa changamoto mnazopitia mana tunajua zipo changamoto kubwa ndo mana kazi zinachelewa keep doing and us we keep waiting for your works,pia tunawaahidi kufuatilia kaz zenu mwanzo mwisho. Tia like kama zote apa kama unaikubali magic School❤❤ 👍👍👍👍👍

  • @Brunotarimo10
    @Brunotarimo10 2 месяца назад +10

    Bonge la movie hongera kwa kazi nsuri sana, kutoka HAIRAICE NAIROBI

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 2 месяца назад +16

    Kazi nzuri sana dubu❤🎉

  • @francismwangi2667
    @francismwangi2667 2 месяца назад +4

    mwalimu moto kazi nzuri mitani kwa wigi

  • @Samiyabahatinanti
    @Samiyabahatinanti 2 месяца назад +9

    😁😁😁😁🤣🤣mwarimu moto na mwarimu ngwengwe mnaniuwaga nacheko

  • @MwanamixiKamudzo
    @MwanamixiKamudzo 2 месяца назад +14

    Kazi nzuri sana Dubu but mnachelewa sana

  • @BahaDePrince
    @BahaDePrince 2 месяца назад +118

    First to watch from Kenya, kaa we n fun wa magic school na fun wa dubu uwezi kosa kunipa like 😢😢, sijawai ata pata like 50

  • @MaryamNurru
    @MaryamNurru 2 месяца назад +11

    dubu move nzuri ila mna tucheleweshea sana ❤❤

  • @JafaliSeifu
    @JafaliSeifu 2 месяца назад +14

    Nyani ngwe ngwe na mwalim moto mnanifurahisha sana ubaya ubwela 😂😂😂

  • @salhanassor5201
    @salhanassor5201 2 месяца назад +4

    Hongera sana dubu ila unatueka sana..udugu wangu jitahidi usituchereweshe sana❤❤

  • @Ng_wenda_Pole_Tz
    @Ng_wenda_Pole_Tz 2 месяца назад +4

    KAKA DUBU TZ kazi zenu ninzur sana kaka hakika tunaenjoy sana yan kazi nzur kama hiz duh nawapenda kina ching chobiy misondo nawatan wetu wa jadi mwalim moto na nyan ngwengwe sarut kwao kaka namandonga mtu kazi mapigo ya sugunyo namkubal sana hai kwao kaka me nawapenda sana nyote 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @GrandePiquiGrande
    @GrandePiquiGrande 2 месяца назад +5

    Namna ninavyo penda hiii movie tamu mno alafu nimetokea kuipenda sana dubu mi shabiki yako kwetu🇲🇿 Moçambique asante sana🥀🌹🌺

  • @rogynee8135
    @rogynee8135 2 месяца назад +5

    Ila misondo bwana 😂😂😂😂

  • @mwanamisikifogo869
    @mwanamisikifogo869 2 месяца назад +4

    Amepigwa chaga la macho mwalimu na kibakora chake asante sana😅😅😅😅😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤

  • @ZainabAlly-un2yw
    @ZainabAlly-un2yw 2 месяца назад +12

    Kazi nzur sana ❤❤❤❤

  • @ashamwanganzi6400
    @ashamwanganzi6400 2 месяца назад +3

    Wa mwisho 😂😂😂mm dubu nisalimie mtumishi n nyani ngwengwe hapo😂😂😂😂😂❤❤❤

  • @AmneOmary
    @AmneOmary 2 месяца назад +2

    Namkubali sana huyo mtoto jamani anaweza ❤❤❤

  • @MaqiuletPaul
    @MaqiuletPaul 2 месяца назад +7

    Tunàipenda sana iĺa ❤❤ mnachelewa kutuma jamani hiii ni kali msiishie njiani❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @MohdMohd-fv1my
    @MohdMohd-fv1my 2 месяца назад +6

    Mwalim Moto 😂😂😂😂😂

  • @MshengaSuleiman
    @MshengaSuleiman 2 месяца назад +5

    Nyani Ngwee Ngwee 😂😂😂😂😂😂😂

  • @ThomasWilliam-k5h
    @ThomasWilliam-k5h 2 месяца назад +8

    Kazi nzuli sana hongereni kwa waigizaji wote mko vizuli

  • @MackrinerSamwel
    @MackrinerSamwel 2 месяца назад +20

    Kazi nzuri ila msiwe mnachukua mda mrefu kutoa mwendelezo

    • @melizedeckbosireouruouru8153
      @melizedeckbosireouruouru8153 2 месяца назад +2

      Tunaongoja Hadi tunachoka

    • @AugustinhoManyangaunitedboetz3
      @AugustinhoManyangaunitedboetz3 2 месяца назад +4

      Samahani naomba nikuhulize swali kidogo je kutoa kazi mbaya kwa muda mfupi na kutoa kazi nzuri na bora Tena yenye dakika Nyingi kipi bora me nadhani ifike maali tuwe na subra tu tuwaache ndugu zetu wafanye kazi bora na sio bora kazi alafu pia mbona wanatuletea kazi Kwa wakati ❤❤🎉

    • @mohammedkidody5618
      @mohammedkidody5618 2 месяца назад

      ​@@AugustinhoManyangaunitedboetz3kabisa apo umeongea

  • @mejubagu6825
    @mejubagu6825 2 месяца назад +4

    Ubaya ubwela nyani ngwengwe😂😂😂

  • @suleymanothman6260
    @suleymanothman6260 2 месяца назад +4

    Huyo chingi Hana akil hat mojaa🤣🤣🤣

  • @BLINGKE-v2w
    @BLINGKE-v2w 2 месяца назад +2

    Kazi safi,🎉🎉🚀🚀👏👏👏👏

  • @MwanamisiBakari-xh3jo
    @MwanamisiBakari-xh3jo 2 месяца назад +7

    Hongera dubu kwa kuongeza mda❤❤❤

  • @MichelleSwai
    @MichelleSwai 2 месяца назад +2

    Mmh good🎉🎉🎉💯💯💯 100% jamani...... Nipo chini ya magoti yenu tupeni episode 8-12 bac bac 🙈🙈🙈🤵👰

  • @bimbaboy816
    @bimbaboy816 2 месяца назад +14

    Kazi nzuli sana naifatalia kutoka Burundi🇧🇮

  • @Mwana85Mwana85-wz1ol
    @Mwana85Mwana85-wz1ol 2 месяца назад +12

    Hila hyoo madoga agekuwa na sura kama yangu sijui agekuwaje maan anajishaua balaa madoga mtu kazi hum 2

  • @siluskuteli
    @siluskuteli 2 месяца назад +2

    Kazi nzuri dubu ila mnachelewa sana

  • @Officialphilboydrc
    @Officialphilboydrc 2 месяца назад +4

    Kazi nzuri kbs dubu love from Congo🎉🔥🔥 but mnachelewesha sana

  • @HappyMoses-rt1nv
    @HappyMoses-rt1nv 2 месяца назад +6

    Nyaningwengwe 😊😊😊 mkali wako Mzee mot tu akiwepo aufundishiiiiii😅😅😅

    • @abdimkiwaika5057
      @abdimkiwaika5057 7 дней назад

      Dah nataman nikimuona nyani ngwengwe anampiga mtu

  • @Oneboy.t
    @Oneboy.t 2 месяца назад +11

    kazi nzuri sana hiiii

  • @kaimbamavokali4874
    @kaimbamavokali4874 2 месяца назад +4

    Nipo hapa na angalia talent za vijana ni kubwa mno nawaombeeni mzidi kua bora zaidi❤❤❤

  • @OmaryRamadan-m8v
    @OmaryRamadan-m8v 2 месяца назад +5

    😂😂😂kuna watu wawili ugomvi wao hauishagi sijui utani sijui mabifu

  • @AugustinhoManyangaunitedboetz3
    @AugustinhoManyangaunitedboetz3 2 месяца назад +9

    Kazi nzuri sana wakuu nainjoy nikiwa nasubiri siku ambayo mtakuwa mnaongeza vijana name nijoin🎉🎉

  • @SophiaMabula
    @SophiaMabula 2 месяца назад +2

    Ubaya ubwabwa❤❤❤😂😂😂

  • @MaimunaNangabo
    @MaimunaNangabo 2 месяца назад +3

    😂😂😂dubu unanifurahisha 😂😂eti mchumba ❤️❤️kua makini usijulikane 🌹🌹🥰kazi nzuri

  • @Mnyeto
    @Mnyeto 2 месяца назад +3

    Ubaya ubwela 😃😃😃

  • @AbdallaHamad-y1i
    @AbdallaHamad-y1i 2 месяца назад +3

    Kaza nzuri sana sema unaichelewesha sana

  • @AminaOmary-gu7mp
    @AminaOmary-gu7mp 2 месяца назад +4

    Kazi nzuri Dubu😍

  • @wamboiwamboh
    @wamboiwamboh 2 месяца назад +4

    Team Dubu kazi nzuri Dubu our boy from Tanzania 🎉🎉🎉🎉much love bro ❤❤❤❤ubaya ubwela allloooo😂😂😂😂

  • @Zubeda-zx7wt
    @Zubeda-zx7wt 2 месяца назад +2

    Safi sana Ila dud nyie munakawiza mambo naomba iyo isijiludie tena

  • @Mwana85Mwana85-wz1ol
    @Mwana85Mwana85-wz1ol 2 месяца назад +3

    Kitorondo muzi sana mashallah ziwa chuchu ngozi nig kuwa kk yangu bad ajaoa nigekuwa wifi yake kitorondo muzi san tena sana kuliko hata madongo mtu kazi kumekucha kwa mabuti nyani kwengwe

  • @SheugholeHemedi
    @SheugholeHemedi 2 месяца назад +2

    Me dubu unanikoshaa sanaa,pa1 na mwalim moto na nyan ngwengwe mpo vzrii

  • @BibieOmar-e7w
    @BibieOmar-e7w 2 месяца назад +3

    Congratulations team dubu mko vizuri sana ila misondo

  • @SalmaKhamis-n9s
    @SalmaKhamis-n9s 2 месяца назад +7

    Chingi ana mbwembwe balaa😂

  • @SaumuWanje
    @SaumuWanje 2 месяца назад +3

    Hongera mupo vizuri ❤❤

  • @Mwana85Mwana85-wz1ol
    @Mwana85Mwana85-wz1ol 2 месяца назад +6

    Wap madonga mpenda sifa kila kitu anataka kuja yeye tu madoga mtu kazi sura kama yaa baba yeke p Diddy 😂😂

  • @LewisHamiltonGLD
    @LewisHamiltonGLD 2 месяца назад +4

    Ila mandonge awache wivu Kwa kitorondo anamsingizia kila kukicha 😢😢😢alafu masikini Geoff amerogwa na misondo jameni pole sanaa Geoff 😢😢dubu bana jitahidi kutoa Kwa wakati unachelewesha sanaaa

  • @angeledga5651
    @angeledga5651 2 месяца назад +3

    Mwalimu moto kalivo fungwa jamn😂😂😂😂

  • @NasraFahmy-j9y
    @NasraFahmy-j9y 2 месяца назад +1

    Weee misomisondo umepigaj ap 😂😂😂😂

  • @ZaituniRajab-n2x
    @ZaituniRajab-n2x 2 месяца назад +5

    👌 👌 kaz nzur unyama ni mwingiiii san lkn jmn tunaomba mjitahid kutuwekea mwendelez kwa wakat na pole pia kwa changamoto mnazokabiliana nazo❤❤❤

  • @machozimukucha
    @machozimukucha 2 месяца назад +2

    🎉🎉🎉❤❤♥️♥️💯🔥🔥🔥nawapenda sn wote 🎉🎉🎉❤❤❤♥️♥️♥️♥️♥️♥️

  • @Abdulkasimua
    @Abdulkasimua 2 месяца назад +8

    Mwenyezi Mungu ampe nguvu Mwenye kumswalia Mtume saww

  • @hutahuta1170
    @hutahuta1170 2 месяца назад +3

    ❤❤❤hongeleni kazi nzr

  • @rogynee8135
    @rogynee8135 2 месяца назад +5

    Naomba KITORONDO asije akatolewa jmn ili awe na CHOBI 😂😂

  • @omarjira-ic1gh
    @omarjira-ic1gh 2 месяца назад +2

    Safi sana dubu tupunguzia siku basi iwe siku tatu

  • @MagrethGablier
    @MagrethGablier 2 месяца назад +4

    Naipenda sana hii tamthilia but mnachelewa kutoa ety

  • @AyubuKamendu-w4o
    @AyubuKamendu-w4o 2 месяца назад +4

    Chingi, ana mbwembwe kibao, ila kazi bure kabisa

  • @JanethMagesa
    @JanethMagesa 2 месяца назад +2

    Ya moto hatar jmn daaah dubu hongera sana

  • @NaomiDaud-n8t
    @NaomiDaud-n8t 2 месяца назад +4

    Jaman muwe mnawahi kutuletea mwendelezo unachelewa xana kila xiku nachungulia nakuta patupu

  • @mumyheart8412
    @mumyheart8412 2 месяца назад +2

    Much love dubu ❤hongera sana kazi nzuri

  • @MMm-z9k
    @MMm-z9k 2 месяца назад +5

    Hii movie n 🔥 watch from Saudi...naombeni like mana n mara y kwanza kukoment n kulike

  • @ThomasWilliam-k5h
    @ThomasWilliam-k5h 2 месяца назад +2

    Me namkubali sana Ngwengwe na moto wanachekesha sio poa kama yupo mwingn ambae anawaelewa kama mm aje tuungane

  • @MaryMkumbi
    @MaryMkumbi 2 месяца назад +2

    Good job dubu mungu akufanyie wepes ktk kila Jambo uzidi kutufuraisha🙏🙏

  • @aishaomar2287
    @aishaomar2287 2 месяца назад +3

    Nasubir tu hio supu ya makalio😂😂😂🤗

  • @QueenTelly-y5h
    @QueenTelly-y5h 2 месяца назад +6

    Mkopoa lakini mnachelewa sana

  • @Mwana85Mwana85-wz1ol
    @Mwana85Mwana85-wz1ol 2 месяца назад +2

    Dubu dubu dubu nakuita mara tatu mm mshangazi wa ndege 🔥🔥🔥 unazigu sasa Hila Leo umejua kunifuraisha ww na dada Yako kidot kumchagaja mwalim wenu huu 🔥🔥🔥 😂😂 ? Nauku Kwa hawa mataira wawili mtu na kk yake wamekuja Kwa mama umewaokota hawoo chuchu ngozi kazi unayo hap Kwa hao wanao 😂😂😂

  • @user-njopajr
    @user-njopajr 2 месяца назад +1

    Hahahahhahaha eeeeeh mtaalam anakidali aise
    Anapasha sio poa 😅😅😅

  • @MamuYussuf-xv9iu
    @MamuYussuf-xv9iu 2 месяца назад +1

    Nice dububmsaidie chobi jmn namuhurumia

  • @Mainatongwe
    @Mainatongwe 2 месяца назад +4

    Jamn nimechelewa leo poleni sana na kazi na ongeleni kwa kazi nzur ila nyaningwengwe nisipo kuona udg wangu naumwa hoi😂😂

  • @GolingoIbenzi
    @GolingoIbenzi 2 месяца назад +2

    Uko vizuri dubu

  • @MariaMgashi
    @MariaMgashi 2 месяца назад +2

    Kazi nzuli dubu sema unauweka sana

  • @Niitemgurugenzi
    @Niitemgurugenzi 2 месяца назад +3

    Nakubali kazi nzuri san 🎉nipeni like namm 😮😮😊

  • @xhdh3610
    @xhdh3610 2 месяца назад +4

    Dubu muna chelewa sana

  • @Mwana85Mwana85-wz1ol
    @Mwana85Mwana85-wz1ol 2 месяца назад +3

    Chingi😂😂😂😂😂 taira kabisa hyoo chigi hiloooooooooooooooo

  • @Msaniitz
    @Msaniitz 2 месяца назад +3

    Dubu kazi nzuri Sana pokea ua Lako🌹🌹

  • @NajmaRajabu-q8e
    @NajmaRajabu-q8e 2 месяца назад +2

    Mama misondo akilizake kama watoto wake😂😂😂😂😂

  • @venocyber_tech
    @venocyber_tech 2 месяца назад +3

    Inachelewa sana bro dubu

  • @edwinongera-l6z
    @edwinongera-l6z 2 месяца назад +3

    Kazi nzuri lkni mnachelewesha, , kazi

  • @MWANAISHAMTENGO
    @MWANAISHAMTENGO 2 месяца назад +3

    Kazi nzuri dubu na wenzako tuko pamoja

  • @florenceokullo6049
    @florenceokullo6049 2 месяца назад +4

    Safi sana Ila unachelewesha mpaka tunahisahau jamani

  • @AliMunga-c8n
    @AliMunga-c8n 2 месяца назад

    Kazi nzuri bro dubu big up sana

  • @OmmyDseven
    @OmmyDseven 2 месяца назад +2

    Dubu mashine yakazi usilale TOA kazi mana chelewa sanaa mana unapo TOA kazi kwa wakati ndy unavo kua🎉🎉🎉🎉

  • @MamyPeter-dg6wz
    @MamyPeter-dg6wz 2 месяца назад +2

    Mmechelewesha picha nyiiiieeee

  • @MomadeMomade-bs2jl
    @MomadeMomade-bs2jl 2 месяца назад +3

    Magic school ni nzuri sana adi raha

  • @MohammedKimolo-d6i
    @MohammedKimolo-d6i 2 месяца назад +3

    Mnaichelewesha Sana ila iko Bomba sana

  • @melizedeckbosireouruouru8153
    @melizedeckbosireouruouru8153 2 месяца назад +3

    Good work keep it up from kenya🔥🔥

  • @MwajabuMtitu-co6wx
    @MwajabuMtitu-co6wx 2 месяца назад +2

    Kumenoga sn tujuwane tuloangalia mara nyingi

  • @FatmaKambanga
    @FatmaKambanga 2 месяца назад +3

    Dubu Unakhera Sasa Move Unaichelewesha Sana Adi Tunasahaau😢😢

  • @MillicentMoraashMongeri-s8p
    @MillicentMoraashMongeri-s8p 2 месяца назад +4

    Nzuri sana dubu gonga like tukisonga plz Kwa ajili yaake❤❤❤❤

  • @Samiyabahatinanti
    @Samiyabahatinanti 2 месяца назад +3

    🤣🤣🤣🤣🤣😁uyu maman nimgurunguru kama wa toto wake mtoto wawatu anampereka wapi😢

  • @saumumhina2225
    @saumumhina2225 2 месяца назад +3

    Huyu nyani ngwengwe jmniii😅😅

  • @ibrahimukombe
    @ibrahimukombe 2 месяца назад +1

    😂😂😂😂nasubiri wapididiwe hao😳😳😳😁😁😁😁

  • @LinetEtyang-ss2zp
    @LinetEtyang-ss2zp 2 месяца назад +3

    😂😂😂😂😂😂halafu wewe,mafi mafungumafungu nitayatoa wapi

  • @NicholausMziray
    @NicholausMziray 2 месяца назад +4

    Changi una bwebwe ila shoo mbovu😅😂😂😂😂

  • @QUEENSUU-e7r
    @QUEENSUU-e7r 2 месяца назад +2

    Kazi nzuri sana dubu🌹🌹🌹