HIDDENBWAY -X- HAJRA KIDOTY (NIJE OFFICIAL VIDEO)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 янв 2025

Комментарии • 806

  • @Maryam-rr8le
    @Maryam-rr8le 9 месяцев назад +42

    ❤❤❤mwenyezi mungu awazidishie kipaji chenu hongeran xana

    • @hiddenbway_
      @hiddenbway_  9 месяцев назад +2

      Amiin Inshaallah 🥰

  • @fatumajuma9388
    @fatumajuma9388 9 месяцев назад +19

    MASHA ALLAH napnda nyimbo zenu za Ramdhan xna tu❤❤❤Much love frm 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @MOHAZBOY29
    @MOHAZBOY29 9 месяцев назад +7

    Wow Masha Allah hii ni Kali sana hajra and all Tanzanians nawatakia swaum maqbul kenyanyan boy moha'z

  • @Reneeshans04
    @Reneeshans04 9 месяцев назад +27

    Am a Christian working in saudi buh i just like everything about ramadhan and islam religion❤....keep on going our boy❤

  • @amiribnomar7513
    @amiribnomar7513 9 месяцев назад +32

    Hey , huyu hajra na dubu kumbe wamependezana ivi, ❤❤😂😂 na vile walikua wanachukiana kwa movie ya maiti yangu,,,😅😅😅 guys congratulations 🎉 this song real carries a great messege

    • @hiddenbway_
      @hiddenbway_  9 месяцев назад +4

      🤣🤣🤣🙏🙏🥰🥰

    • @Unic-ni2io
      @Unic-ni2io 6 месяцев назад

      Nimeshangaa sasa shoga maana hajira anaigiza kote kote mama kwa Ndaro Tz hauwamegombana na timu ya Ndaro The

    • @AlexTsama-cl7rn
      @AlexTsama-cl7rn 6 месяцев назад

      Isije ikawa wana husiana

  • @Mushalotelevisionkiswahili
    @Mushalotelevisionkiswahili 9 месяцев назад +4

    Uyu jamaa iko vizuri sana anakipaji... J'adore depuis Lubumbashi Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @MaurineMaiyo-s3i
    @MaurineMaiyo-s3i 9 месяцев назад +6

    Wimbo nzuri sana 👏♥️

  • @Kuyu-f2k
    @Kuyu-f2k 9 месяцев назад +4

    Mashaallah Mwenyez Mungu akuongozen,,, from kenya

  • @WillyKamonde-p2z
    @WillyKamonde-p2z Месяц назад +2

    Mume pendeza sana mungu awabariki sana ❤❤❤❤❤❤❤ from DRC congo

  • @AminaUjumbe
    @AminaUjumbe 11 дней назад

    Aaaah nimeipenda hiyo mashaallaah Dubu na hajira kumbe mwaweza qaswida mashaallaah

  • @NadeyaSleem
    @NadeyaSleem 9 месяцев назад +2

    mashaallah nimeipenda sn iyi nyimbo😍

  • @AshaNzara
    @AshaNzara Месяц назад +1

    Mashaallah hajrana dubu mwenyezi Mungu awazidishie 🎉🎉🎉❤

  • @manfromkakamega
    @manfromkakamega 9 месяцев назад +5

    hivi huyu Kaka ni Dubu au namfananisha namkubali sana kutoka🇰🇪🇰🇪

  • @nelsonkallo8233
    @nelsonkallo8233 9 месяцев назад +2

    ngoma kali dubu shusha ngoma kaka you are the future bongoflavour star

  • @EmmanuelStephen-n4v
    @EmmanuelStephen-n4v 9 месяцев назад +4

    hongeen kaz nzurii

  • @MariamMchomvu-q3s
    @MariamMchomvu-q3s 2 месяца назад +1

    Safi sana nyimbo tam sana vipenz

  • @ChimamyChimamy-e3x
    @ChimamyChimamy-e3x 9 месяцев назад +2

    MashaAllah nzuri sana nimeipenda Allah awazidishie mfike mbali❤❤❤

    • @hiddenbway_
      @hiddenbway_  9 месяцев назад

      Amiin Inshaallah 🙏 🥰

  • @AshuraAmisi-ey4mj
    @AshuraAmisi-ey4mj 9 месяцев назад +4

    Masha Allah nawapenda sana ❤️💋

    • @hiddenbway_
      @hiddenbway_  9 месяцев назад

      🙏🥰

    • @NeemaSingo-zh4ie
      @NeemaSingo-zh4ie 28 дней назад

      Kama wote hamna ndoa ..hebu fanyeni Muoane tu ili uende kweli..😂😂 Big up🎉🎉

  • @Ashulamnyambika-h9v
    @Ashulamnyambika-h9v Месяц назад +1

    Hongera Sana kwa kazi mzuri ❤❤❤

  • @JescaMarykarisa
    @JescaMarykarisa 9 дней назад

    Tunakukubali sana baba halima tunaomba usishindwe na kipesile kabisa baba

  • @BensonFrank-fo9jh
    @BensonFrank-fo9jh 9 месяцев назад +1

    Amazing,, yaani dubu na hio sauti.... Naisi nazidi kukupenda

  • @عائشهعبدالله-ي7ب
    @عائشهعبدالله-ي7ب Месяц назад

    Nyimbo nzuri sana 🎉🎉🎉❤❤❤

  • @VeeVaileth
    @VeeVaileth 2 месяца назад +1

    Waoooooo tunasubiri kwashauku zote🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @LewisHamiltonGLD
    @LewisHamiltonGLD 7 месяцев назад +2

    Dubu na hajra kumbe n musician pongezi sanaaaaaaaa na mungu awazidishe na kibaji chenyu🎉🎉❤❤❤

  • @saumodzumbo9671
    @saumodzumbo9671 9 месяцев назад +3

    Mashaallaah mashaallaah watabarakaallah allah awazishie vipaji vyenu ndugu zangu nawapenda sanaaaaaaa ❤❤❤❤

  • @HUSSEINSAIDHUSSEIN
    @HUSSEINSAIDHUSSEIN 9 месяцев назад +3

    Wewe nawe udugu wangu dubu huwachi kutishia😅 hongereni sana kwa kazi safi na nzuri🎉

  • @Jajakanjaniri
    @Jajakanjaniri 9 месяцев назад +2

    Nawapenda Sana Kutoka Burundi Guys ❤️❤️❤️❤️🎉🎉🎉🎉 Hongera Sana

  • @salmsalmo931
    @salmsalmo931 2 месяца назад +1

    Vipaji ni vizuri mashallah❤❤❤

  • @linnahmshama
    @linnahmshama 9 месяцев назад +3

    Nawapenda mpaka nahisi kuvulugwa mm jamani daaaaaaaa❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @MarymGomah
    @MarymGomah 2 месяца назад +1

    Safi sana nyimbo 🤲🏼🥰

  • @IngabireKezia
    @IngabireKezia 9 месяцев назад +1

    Sauti nzuri wow 😊❤👍👍❤

  • @SadaRamadhan-m9n
    @SadaRamadhan-m9n 9 месяцев назад +3

    Yn unazidi kunichanganya wew mkaka jmn, nakupenda mpk mwixho

  • @aysha9932
    @aysha9932 9 месяцев назад +8

    Nawapenda nyie wawili🥰❤️

  • @ZuhulaHamisi
    @ZuhulaHamisi 6 месяцев назад +1

    Ishaallah nampenda hiyo nyimbo

  • @Aminamy-f6x
    @Aminamy-f6x 19 дней назад

    Mashaallah nyimbo tamu

  • @magnibrondi3152
    @magnibrondi3152 9 месяцев назад +1

    Kazi nzuri from Oman, kaka dubu daah munaendana sana na hajla

  • @FabianoJumanee
    @FabianoJumanee 3 месяца назад +1

    dada yangu hajra nakupenda sana unajiheshim sana japokuwa unaigizia lakini unajiheshimu sana maana wengine wakiingia tu kwenye uigizaji tu wanaanzaga kuvaa nguo za ajabu ila wewe dada angu ajra una misimamo yako dada na kwa kweli unaendana sana na dubu mung abariki kazi ya mikono yenu na awalinde sana BYEEEEE

  • @AUGENSYLIVAND-rq7hz
    @AUGENSYLIVAND-rq7hz 2 месяца назад +2

    Kumbe hajira unajua kuimba ❤❤❤❤❤

  • @Nailah736
    @Nailah736 6 месяцев назад +1

    Wooow,,woow ,,,big up dubu with ajra 🎉🎉🎉🎉🎉nimeipenda mno loooh ❤❤❤😊

  • @likeerichgirl
    @likeerichgirl Месяц назад +1

    I have been listening to this song over and over bro 😎 hii nyimbo au kasida ipo vizuri ❤

  • @AnjerinaReuben
    @AnjerinaReuben 9 месяцев назад +2

    Nmeangalia mpka bas jmn ❤❤❤

  • @salhaally2103
    @salhaally2103 9 месяцев назад +2

    nzuriii sana jamn nawapenda sana

  • @VictoriaNkole
    @VictoriaNkole 9 месяцев назад +1

    Jamaniii nikajua kuigiza2, Kuumbe na Kuimba mpo vizur, daaah I like it Mungu awafanyie wepes, 2nasubir next ep ya revenge ukuuu kwa hai zoteee

    • @hiddenbway_
      @hiddenbway_  9 месяцев назад

      Inshaallah sipo sawa kiafya ndio maana Inachelewa

    • @VictoriaNkole
      @VictoriaNkole 9 месяцев назад

      sawa 2naisubir usjl, pole sana utakuwa saw soon2, 2naamini ktk kazi yakoo

    • @VictoriaNkole
      @VictoriaNkole 9 месяцев назад

      sawa 2naisubir usjl, pole sana utakuwa saw soon2, 2naamini ktk kazi yakoo

  • @HalimasaidHalimasaid-d8n
    @HalimasaidHalimasaid-d8n 9 месяцев назад +1

    Mashallah Mashallah mungu awazidishie inshaa Allah

  • @paxog
    @paxog 8 месяцев назад +2

    Hidden unajuwa kuimba sana brother

  • @ShamimWechuru
    @ShamimWechuru 9 месяцев назад +1

    Hongera sana ajirana dubu mwenyezi mungu azidishe kipanji chenu,❤

  • @mathiasmathiasjoseph1732
    @mathiasmathiasjoseph1732 Месяц назад +1

    Noma sana nawakubali Sana

  • @amosathuman7366
    @amosathuman7366 9 месяцев назад +1

    Dubu kazi nzuri saf sana pambna una kipaji Kila upande

  • @StarG4708
    @StarG4708 9 месяцев назад +3

    wow,safi sana nimeipenda
    keep it up guys

  • @LuckstarmanMwenja
    @LuckstarmanMwenja 9 месяцев назад +1

    Pamoja sana kka una talent man na kidoti mmefany kolabo yenye kuendan na wakat

  • @ZuhuraMohamedi-dk3fm
    @ZuhuraMohamedi-dk3fm 4 месяца назад +1

    Mungu awafanyie wepesi kwa kila kazi zenu nawapenda Sana nawatakia kila kheri 😘😘

  • @SalhaRashid-o1r
    @SalhaRashid-o1r 9 месяцев назад +1

    Udugu wngu dubu mmetisha jmn hongeren Sana nawapenda woteeeee😊

  • @Vanessa-xr4qn
    @Vanessa-xr4qn 7 месяцев назад +1

    Kiukl wamependezana kinoma Yani nawatakiya kheri yakimaji chen❤❤

  • @GodliverCharles-l5g
    @GodliverCharles-l5g 9 месяцев назад +1

    Mnaendana jmn kupitia huu wimbo hajra uwe mke wa dubu kwel mmependezana❤❤❤

  • @malizinakamisa-nd2qq
    @malizinakamisa-nd2qq 9 месяцев назад +1

    Kazi nzuri sana

  • @Tesocomedian
    @Tesocomedian 9 месяцев назад +6

    Kazi nzuri ❤❤❤❤

  • @IbrahimKalama-gd4jm
    @IbrahimKalama-gd4jm 7 месяцев назад

    hii ngoma kali aki❤❤❤❤

  • @FarkiyyaAbdallah
    @FarkiyyaAbdallah 9 месяцев назад +1

    Mashallah mungu awape afya njema vipnz vyangu🤲🙏

  • @officialvonalis3641
    @officialvonalis3641 9 месяцев назад +1

    Mwanangu hongera sana nyimbo za dialogue unajua kupangilia visa
    Keep it up brother 👏👏👏

  • @RuhuneKabose
    @RuhuneKabose 8 месяцев назад +2

    Minajuwa
    Dadasanakuiba
    Unavalabiakujiechimu
    Nakupendasa

  • @Maryam-e2x8p
    @Maryam-e2x8p 9 месяцев назад +1

    Mashallwa mashallwa mungu awazidishie

  • @TheForexDon
    @TheForexDon 9 месяцев назад +21

    Kali, wapi likes za 254🇰🇪

  • @CharlotteJustin-o5g
    @CharlotteJustin-o5g 9 месяцев назад +1

    ❤❤❤❤❤ nawapenda sana mungu awazidisiye

  • @maxmilianimwakaniki2671
    @maxmilianimwakaniki2671 9 месяцев назад +2

    Nice mmetisha sana

  • @halima2382
    @halima2382 4 месяца назад

    Ilove you hajira nakupendelea hivyo mm kujitstiri tu mashallah ❤❤

  • @Joyceauma-fv4xd
    @Joyceauma-fv4xd 12 дней назад

    Dubu nakupenda Sana,Kwa kila KAZI zako

  • @Ushindipeter
    @Ushindipeter 9 месяцев назад +2

    🎉🎉 je suis pas musulman mais cette chanson me fait avoir des émotions😢😢

  • @YussufuKubwayo
    @YussufuKubwayo 8 месяцев назад +2

    Kwel walivyo kuwa wanachukian ❤❤❤❤❤

  • @bosslady1286
    @bosslady1286 9 месяцев назад +1

    Nawapenda nyie❤❤❤yani hadi raha💃💃💃❤❤🎉🎉

  • @SamsonCharo-l3p
    @SamsonCharo-l3p 9 месяцев назад +1

    Uyu boy bana ako na sauti mashallah big up

  • @binuriathassan9969
    @binuriathassan9969 9 месяцев назад +2

    Mashaallah ajira kumbe unajua

  • @Arafa-h9p
    @Arafa-h9p 2 месяца назад

    Nimewapenda,bule❤❤

  • @simonchari
    @simonchari 9 месяцев назад +5

    Nzuri 💯 rep mombasa Kenya 🇰🇪

  • @SelinaYaa-p7q
    @SelinaYaa-p7q Месяц назад +1

    Nawapenda sana❤❤❤❤❤

  • @rehemalilonga9329
    @rehemalilonga9329 9 месяцев назад +1

    Masha Allah kazi nzuri nimepanda sana❤❤

  • @adanbanaya3599
    @adanbanaya3599 9 месяцев назад +1

    ❤❤❤nawapenda zaidi Sana Allah awape maisha marefu

  • @Ahmedkibe
    @Ahmedkibe 9 месяцев назад +1

    Masha Allah Kaswida nzuri

  • @NewtonTroyy
    @NewtonTroyy 18 дней назад

    aaaah Masha Allah dube umewaka lm from Kenya broo

  • @IrenePeter-g8l
    @IrenePeter-g8l 5 месяцев назад +1

    Jaman jah awaongoze 💝💝

  • @LinusMsimbano-uq1kg
    @LinusMsimbano-uq1kg 6 месяцев назад +1

    Wawoooo nawapenda sana mmependezana❤❤❤❤❤❤❤

  • @Princelatnah
    @Princelatnah 3 месяца назад +2

    Namkubali Sana Hajra
    Hide ucjichanganye ukamuacha😊😊😊

  • @meddyferdinand8221
    @meddyferdinand8221 9 месяцев назад +1

    An dubu nimetokea kukupenda nipe no. Zako udugu wangu

  • @ramadhanidhahabu9509
    @ramadhanidhahabu9509 9 месяцев назад +1

    🎉🎉 hakika ninarudia zaidi

  • @peaceaggysimle7939
    @peaceaggysimle7939 9 месяцев назад +2

    Hii ngoma nimeishare kwa mume wangu ❤❤❤❤😂😂

    • @hiddenbway_
      @hiddenbway_  9 месяцев назад

      🙏🥰🥰

    • @lameckpahame2286
      @lameckpahame2286 4 месяца назад

      Mimi nataman ndoa ifungwe at kesho tuuuu maana mmependezana hatari mi nawaombea muoane daaaaaa h

    • @lameckpahame2286
      @lameckpahame2286 4 месяца назад

      CHombo hicho dubu

  • @khalfannasornassor7396
    @khalfannasornassor7396 9 месяцев назад +4

    Hii ni nyimbo imeisha kazi

  • @favourfuraha
    @favourfuraha 9 месяцев назад +1

    Woow. I love everything about Bongo... From Music to Movies to comedy.... Nawapenda bure...

  • @ZainabuMathias-x6p
    @ZainabuMathias-x6p 3 месяца назад +1

    Mungu awabariki🎉🎉🎉🎉

  • @SaumuNasenya
    @SaumuNasenya 9 месяцев назад +1

    Mashallah ❤❤ nawapenda sana ❤️🥰 kaka from 🇰🇪

  • @andersonkipkemoi2527
    @andersonkipkemoi2527 9 месяцев назад +2

    WA moto sana🔥😘

  • @faraja-p7u
    @faraja-p7u 3 дня назад

    Mungu awabalik❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @fatumasaidmajero2050
    @fatumasaidmajero2050 9 месяцев назад +1

    Congratulations mungu awazidishie, ❤❤from Saudi Arabia Ramadan kareem to you all

  • @AshaHamisi-jz6tt
    @AshaHamisi-jz6tt 9 месяцев назад +1

    Masha Allah ni nampenda hiyo ❤❤❤

  • @EmelyneNiyonzima-d8t
    @EmelyneNiyonzima-d8t 9 месяцев назад +1

    Mungu anasaidia muish wote

  • @Phatoush
    @Phatoush 7 месяцев назад

    ❤❤❤❤n wivu hajra hamtafunga akija❤❤❤mola awazidishie vipaji vyenu❤

  • @ShawnLexon
    @ShawnLexon 9 месяцев назад +3

    Wimbo mtamu sana kaka 🔥🔥🔥

  • @VeronicahOtwori
    @VeronicahOtwori Месяц назад +1

    Kipesile leo kimekurambaaaaa😅😅😅😅😅😅n huyo wa kucheka cheka bana anachoma😅😅😅😅baba halima funza huyo mama ndio ashike adabu😅😅😅😅😅anatukela

  • @مورجاناعبدالله
    @مورجاناعبدالله 10 дней назад

    MashaAllah nawapenda ❤❤❤

  • @CalebBabwanga
    @CalebBabwanga 4 месяца назад

    Nyimbo nzuri sana

  • @alfredmutuajkia4992
    @alfredmutuajkia4992 9 месяцев назад +1

    Great song Hajra,from Nairobi

  • @AnastacioDamasioDamasio-d4j
    @AnastacioDamasioDamasio-d4j 9 месяцев назад +1

    Kumbe dubu anajua kuimba ivi, much love fro Mozambique