FORTUNE | Ep 01| Full Episode

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 дек 2024

Комментарии • 344

  • @MusaKeya-u5z
    @MusaKeya-u5z 16 дней назад +2

    Hajira mtoto mzuri nakuamini sana kazi nzuri maulana akujalie mwaaa ❤🇰🇪

  • @MercyChelangat-x5k
    @MercyChelangat-x5k 5 месяцев назад +10

    Movie tamuu, yni natamani xna isiishe mtuletee kwa wkati, tunawapenda xna❤

  • @OmarNzohabonayo
    @OmarNzohabonayo 5 месяцев назад +4

    Hiongera sana nakukubari sana kwa ugizaji wako nama vazi yako mazuli mungu abariki kazi zako

  • @JoyceWilfred-s4g
    @JoyceWilfred-s4g 5 месяцев назад +26

    Kidoti msanii bora wa kike anaekuja kwa kasi, ongeraaaa.....hujawai kukosea❤❤❤🎉🎉🎉

    • @hajrafilm
      @hajrafilm  5 месяцев назад +3

      Asante kipenzi ❤️

    • @Siyy-u7y
      @Siyy-u7y 4 месяца назад

      RvhrjmkDE GMKGZU JB VGCYKLAQT ETVJUKGMZAQG​@@hajrafilm

  • @emmanuelnenko4424
    @emmanuelnenko4424 5 месяцев назад +4

    Hajra kiukweli nakukubalib sanaaa , KAZI nzuri

  • @wamboiwamboh
    @wamboiwamboh 5 месяцев назад +7

    nafwatilia movie zenu ❤❤❤hongera mamaah keep going❤❤❤❤siku zote nachukia wanaume wanao badilisha wanawake kaa chupi daaa😢chungu lakini tunameza tu❤❤

    • @hajrafilm
      @hajrafilm  5 месяцев назад +2

      Acha tuu 😢😢❤️

  • @Lea-tj5kf
    @Lea-tj5kf 5 месяцев назад +9

    Jaman nafatilia series zenu siku zotee nazpenda sanaa maua yenu 🌹🌹🌹

  • @OmanMuscut-ju3xp
    @OmanMuscut-ju3xp 5 месяцев назад +6

    My dear jamani unaupiga mwingi ongera sana haujawai kutuangusha🎉🎉❤

  • @HusnaIsmail-pq6yf
    @HusnaIsmail-pq6yf 4 месяца назад +3

    Akika ni msanii boraa sana dubu ft kidoti mungu awa linde milele❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @AshaNzara
    @AshaNzara 5 месяцев назад +9

    Kazi moto sana leten episode 2 kwa haraka sana 🎉🎉🎉🎉

  • @sophianyamvula7080
    @sophianyamvula7080 5 месяцев назад +8

    Kazi nzuri sana ❤❤❤

  • @directorkakoso
    @directorkakoso 5 месяцев назад +13

    Keep going 💪

    • @hajrafilm
      @hajrafilm  5 месяцев назад +2

      Asanteh sana director 👑🙏

  • @LenanaKomoi
    @LenanaKomoi 24 дня назад +2

    Wenzangu nawapenda sana kazi mzuri mnafanya❤❤

  • @KhadijaMohamedyabadlahabdala
    @KhadijaMohamedyabadlahabdala 5 месяцев назад +5

    Hajita kidoti dad Ambae anaju kujistri wallah Allah bless you😢😢❤❤

    • @hajrafilm
      @hajrafilm  5 месяцев назад

      🙏❤️

    • @EmmyMo
      @EmmyMo 4 месяца назад

      Masha Allah 🌹 🌹 kiukwelii nampenda sanaa❤❤❤

  • @Lidya-e1i
    @Lidya-e1i 4 месяца назад +3

    Movie tamu sana,leteni episode 2,nakupenda sana hajra na team yako

    • @hajrafilm
      @hajrafilm  4 месяца назад +1

      Soon kipenzi🙏❤️

    • @Lidya-e1i
      @Lidya-e1i 4 месяца назад

      @@hajrafilm ❤️❤️

  • @MartinEmmanuel-eh7fu
    @MartinEmmanuel-eh7fu 5 месяцев назад +9

    Very interesting film keep it up guys 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @philimonigerevasi2187
    @philimonigerevasi2187 5 месяцев назад +3

    Nakubali mrembo mwenye kidoti nyeusi l ❤ you

  • @TuyizereIssah
    @TuyizereIssah 5 месяцев назад +4

    Hongera sana hajra kazi nzuri sana umetuwandaria ,🎉🎉😊 tuna Imani hutaduhangusha🎉🎉

    • @hajrafilm
      @hajrafilm  5 месяцев назад

      🙏❤️

    • @SalimSalim-m9w4o
      @SalimSalim-m9w4o 4 месяца назад

      Dubu uyu hajra seriously walai wafaa umuoe mwafanana sana walai mtoto katulia walai kajistiri​@@hajrafilm

  • @LatifaHava
    @LatifaHava 5 месяцев назад +3

    Hongla kaz nzuri tuko pamoja🎉

  • @qurthummrabdllh3635
    @qurthummrabdllh3635 5 месяцев назад +3

    Mashallah ♥good 👍maua yako kidoti🎉🎉🎉

  • @BiisheBugao
    @BiisheBugao 5 месяцев назад +5

    MashaAllah ❤ ni nzurii nitajifunzia kitu kupitia apa...jitahidini msicheleweshe muendelezo

  • @magnibrondi3152
    @magnibrondi3152 4 месяца назад +1

    Hajra wewe mupole sana mashallah. Atakae kuowa .atakuwa amepata muke na nusu kweli

    • @hajrafilm
      @hajrafilm  4 месяца назад

      🙏❤️❤️

  • @FestusJuvinary
    @FestusJuvinary 5 месяцев назад +4

    Kazi nzur sana

  • @Mamygumbo
    @Mamygumbo 4 месяца назад

    Woow hongera hajrakidot mungu akubariki uendelee kutuletea vitu vzr🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @saumbliz8983
    @saumbliz8983 5 месяцев назад +2

    Hajra hongera sana kazi nzuri🎉🎉🎉

  • @JacklinLuvanda
    @JacklinLuvanda 4 месяца назад +2

    nakupenda sana harja kidoti

  • @NdihokubwayoKhalid
    @NdihokubwayoKhalid 5 месяцев назад +9

    Umetich dad yang🙏🙏🙏🙏🙏

  • @aishaomar2287
    @aishaomar2287 5 месяцев назад +1

    Mashallah dadaz❤ Mola Akutangulie

    • @hajrafilm
      @hajrafilm  5 месяцев назад

      Amiin kwa sote InshaAllah🙏❤️

  • @SitaniRongo
    @SitaniRongo 5 месяцев назад +5

    Hongeren 🎉🎉

  • @AnaAna-rc7mh
    @AnaAna-rc7mh 5 месяцев назад +5

    Wou kazi nzur sana

  • @AliMunga-c8n
    @AliMunga-c8n 4 месяца назад +1

    Kazi nzuri hajra big up sana

  • @PaulineNasoro
    @PaulineNasoro 5 месяцев назад +2

    Hongera sana Kidoti 🎉🎉🎉🎉👍👍👍👍🇰🇪

  • @GhUy-u7s
    @GhUy-u7s 5 месяцев назад +2

    Safi sana nawapenda nyote 🎉🎉🎉🎉

  • @rashkashtv7379
    @rashkashtv7379 5 месяцев назад +9

    Perfect ❤😊

  • @CarolyneNyanchama-yk1gf
    @CarolyneNyanchama-yk1gf 5 месяцев назад +2

    Just wow ❤nmefurahishwa na hii movie i really love you guys ❤❤

  • @UkhtyFatmah-he8vg
    @UkhtyFatmah-he8vg 4 месяца назад +2

    Yaani Movie hii nzuri sn mnoooo jaman FORTUNE (Bahati) ni ya Moto sn , Much Love ♥️ Bahati,Ila msikawize Next épisode Mamy Hajrah Kidoti ,Pia kule kwa Dubu twasubiria Épisode ya 2 Destiny,Pia upo Vizuri sn kwa uhigizaji wako💋💋💋 Nimependa sn.

    • @hajrafilm
      @hajrafilm  4 месяца назад

      Shukran sana kipenzi,nimekuelewa 🙏❤️

    • @UkhtyFatmah-he8vg
      @UkhtyFatmah-he8vg 4 месяца назад

      Usijal Mamy mie ni Shabiki wako wa nguvu ambae ni nae kupenda sn,Na sehem ntakayo ona haipo Sawa ntakosoa kwenye Movie ili ujue ni jinsi gani utakavyo gerebesha sw kipenzi 💚,Pia twaisubiria épisode ya pili Fortune,maana mie si yule Shabiki wa kuomba omba Like Na kukosa kutoa maoni mazuri kwenye Movie ambayo ntawa nipo Na Fuatilia,tupo pamoja 🤝 sn Mamy wew zidi kutupa Burdan Tam Tam Sisi tupo Na we na utafika mbali tu InshaAllah 🤝 kwa nguvu zake Allah .

  • @hatibumohamedi3471
    @hatibumohamedi3471 5 месяцев назад +1

    Ajira nakupenda buree kwajiri ya allah 🎉🎉❤

  • @MelinaMerlins
    @MelinaMerlins 5 месяцев назад +1

    Mapenzi haya fyoko much love from kenya ❤❤❤

  • @MutethiaBonnie
    @MutethiaBonnie 4 месяца назад

    Binadamu wabaya Sana,mbna unaumia hivo wakati waume tupo wengi KW ajili yako mama😍

  • @Jajakanjaniri
    @Jajakanjaniri 5 месяцев назад +10

    Hajra I Love You From Burund 🇧🇮🇧🇮♥️♥️♥️

  • @OfficialDubu_tz
    @OfficialDubu_tz 5 месяцев назад +7

    🙌🙌🙌

  • @JacklineNyiranziza
    @JacklineNyiranziza 9 дней назад +1

    Hajira motomzuri nakuamini🎉🎉🎉

  • @Emilymama2boys
    @Emilymama2boys 4 месяца назад +1

    Hongera dada hajra we love you more 🎉❤❤

  • @Dianamunga
    @Dianamunga 5 месяцев назад +8

    Hongerani sana

  • @glorryandrea6326
    @glorryandrea6326 5 месяцев назад +3

    Next plz nzur sana msicheleweshe

    • @hajrafilm
      @hajrafilm  5 месяцев назад

      Soon kipenzi ❤️

  • @Said-m8y8y
    @Said-m8y8y 3 месяца назад

    Anastahiki pogezii huyo dada na anastahiki tunzo boraa

  • @AbduliKarmu-p2h
    @AbduliKarmu-p2h 4 месяца назад +1

    Kazi nzry sana 🎉🎉 tunawakubali

  • @HajiKazungu-mv3ff
    @HajiKazungu-mv3ff 4 месяца назад +1

    hajra ilove❤❤❤you kazi nzuri

  • @husnahusna1544
    @husnahusna1544 5 месяцев назад +2

    Very nice naisubiri Kwa hamu ❤❤❤

  • @Kmpshowpatient
    @Kmpshowpatient 5 месяцев назад +3

    courage ma sœur 🔥🔥

  • @saumodzumbo9671
    @saumodzumbo9671 4 месяца назад +1

    Hongereni sana time hajra

  • @NeemaEli-wl1dz
    @NeemaEli-wl1dz 5 месяцев назад +3

    Nakupena sana dad ❤❤❤❤❤

  • @SalminiMaulidi-o1r
    @SalminiMaulidi-o1r 15 дней назад

    Uyu dada kidoti akicheza kama mwalimu washule anapendezaga zaidi

  • @KassimKhalaid
    @KassimKhalaid 5 месяцев назад +7

    Yani uyu j sijui vitu gani ana dem wa nguvu afatana na viswaswadu tu pumbavu kabisa

  • @ExauceKabey
    @ExauceKabey 4 месяца назад +1

    Twende kazi da kidoti kazi nzuri

  • @Awoshy
    @Awoshy 4 месяца назад

    👏👏😍sema nywele za Dubu jamani 😂😂😂

  • @fabbyz
    @fabbyz Месяц назад

    kumbe sikuoni kwa steve ulikuwa ushategeneza movie moja legit hivi ,,,much love from kenyaaa

  • @IsaacBinOmar
    @IsaacBinOmar 4 месяца назад +1

    Good job, hongera sana

  • @lyidiajuakaly3335
    @lyidiajuakaly3335 5 месяцев назад +9

    Kama ni mimi huyo dada asingeondoka akiii kabisa

  • @PostineYesare
    @PostineYesare 4 месяца назад +1

    Safi xana hajra unasoma maoni ya kila mtu😊

  • @HalimaHamad-m9u
    @HalimaHamad-m9u 4 месяца назад +2

    Kazi nzur dia, mchukue na zulfa kisauti na yeye ameanza kuingiza,nmemuona kwenye movie ya best friend episode 8

  • @SadockJoel
    @SadockJoel 21 день назад

    Daaah hiiiiiiiii filamu nzuri sana

  • @SaumuRamadhan-jd6ym
    @SaumuRamadhan-jd6ym 4 месяца назад +2

    kma siku ile ulizimia leo utakufa 😂😂 nimependa hilo hongera sana Allah abariki kazi ya mikono yenu 💋💖

    • @hajrafilm
      @hajrafilm  4 месяца назад

      Amiin InshaAllah kipenzi 🙏❤️

  • @HamisiJuma-m1y
    @HamisiJuma-m1y 2 месяца назад +3

    Naona lakawaida tu

  • @zamaliabdulkarim5598
    @zamaliabdulkarim5598 5 месяцев назад +3

    Kazi nzuri sana

  • @sarahgasper4149
    @sarahgasper4149 4 месяца назад

    Duuh dada kidoti bhna sema unaigiza mm nisingeingya ndani

  • @husnahtumbo
    @husnahtumbo Месяц назад

    Yaan hajira unajua mpk unajua tena ❤

  • @JeradiLomnyack
    @JeradiLomnyack 4 месяца назад +1

    Vizuli sana kidoti wew

  • @SammyMutinda-m6p
    @SammyMutinda-m6p 4 месяца назад +1

    Nimependa ajira❤🎉

  • @MonsterMovieMansion
    @MonsterMovieMansion 5 месяцев назад +3

    aiseeeee bongo fire

  • @VaselisaHalinga
    @VaselisaHalinga 4 месяца назад

    Hahahahaha eti acha uchoyo kizuri kula na mwenzio

  • @Zulfa-j1r
    @Zulfa-j1r 5 месяцев назад +3

    Nice aky nawakubali

  • @kingmswati202
    @kingmswati202 5 месяцев назад +2

    Tunataka❤ muendelezooo

    • @hajrafilm
      @hajrafilm  5 месяцев назад

      Mwanangu sana ❤️

    • @kingmswati202
      @kingmswati202 5 месяцев назад

      We susi hatuelew andika story huko

    • @kingmswati202
      @kingmswati202 5 месяцев назад

      Oyaaaaa tunachati hadi huko doooh

  • @ScholaMalale
    @ScholaMalale 5 месяцев назад +3

    Bonge la dude 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @SabrinaLilian-z4j
    @SabrinaLilian-z4j 4 месяца назад +1

    Kwakweli wote wajitahidi sana

  • @GentilKakule-rd2pz
    @GentilKakule-rd2pz 5 месяцев назад +14

    Mbona hilo kofi kama la kweli ivi au mimi ndo naona vibaya😲😢😢

  • @SteveAdam-j2g
    @SteveAdam-j2g 5 месяцев назад +1

    Lol hio slap niya kweli, big up sana hajra to be honest napenda unavyoigiza big up sana💯🇰🇪

    • @hajrafilm
      @hajrafilm  5 месяцев назад

      Ni ya kweli 🥹🙏❤️

    • @SteveAdam-j2g
      @SteveAdam-j2g 5 месяцев назад

      @@hajrafilm pole sana bt usichelewe kutuwekea episode 2

  • @sadikabdallah8061
    @sadikabdallah8061 5 месяцев назад +2

    Ila kidoti ni mrembo ❤🎉🎉

  • @FadhilaAbubakari
    @FadhilaAbubakari Месяц назад

    Mwiziiiii....mbavu zangu 😅😅😅

  • @HajraMangale
    @HajraMangale 4 месяца назад

    Weee dada embu shika kwanza maua yako🌹🌹💐💐💐💐🌺💐🌹🌹🌹🌹wajina

  • @ayshastream
    @ayshastream 5 месяцев назад +3

    Kazi mzuri sana

  • @Zainabuabdalah-vw1xw
    @Zainabuabdalah-vw1xw 5 месяцев назад +1

    Kazi zury❤❤

  • @SaidebacarSaidebacar
    @SaidebacarSaidebacar 3 месяца назад +1

    Ongera sana ajira

  • @NGUNGUNISYAIE
    @NGUNGUNISYAIE 4 месяца назад +2

    Congratulations ajira🎉🎉

  • @hildachiboti6080
    @hildachiboti6080 5 месяцев назад +4

    Hongera hajrah kazi nzuri sanaa❤

  • @JacklineCharles-r1x
    @JacklineCharles-r1x 5 месяцев назад +3

    Nzurii❤

  • @SalmaBakari-z8l
    @SalmaBakari-z8l 5 месяцев назад +2

    Msicheleweshe bas jamn kaz nzr

  • @ALIMOHD-bk9lr
    @ALIMOHD-bk9lr 5 месяцев назад +3

    Hajra viatu vyako vizito mamaaaaaaa❤❤❤

  • @AdamMuba
    @AdamMuba 4 месяца назад +1

    Daaah misina msemo

  • @Gloriarespiki
    @Gloriarespiki 5 месяцев назад +3

    Nzuli🎉🎉🎉❤❤

  • @Fizzohofficial
    @Fizzohofficial 4 месяца назад +1

    😂hajra ukona mtu😍😍😥

  • @ValDavy-i2n
    @ValDavy-i2n 28 дней назад

    Wow nawapeda Bure ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @SabrinaLilian-z4j
    @SabrinaLilian-z4j 3 месяца назад +1

    Mko vizuri wangu

  • @PendoJoseph-vm1oc
    @PendoJoseph-vm1oc 3 месяца назад +1

    Mwizi kweli

  • @EdwardLucasiNyagalu
    @EdwardLucasiNyagalu 4 месяца назад +1

    Sema mnatoa kazi nzuri ila hamuendelei ndo shida yenu sas ila hongera kazi nzuri sana endelea kutoa sisi tutakusapoti sana

  • @goaonlinetv9525
    @goaonlinetv9525 5 месяцев назад +7

    🔥🔥🔥🙌🏾

    • @hajrafilm
      @hajrafilm  5 месяцев назад

      Mwanangu sana 🙏❤️

  • @saumbliz8983
    @saumbliz8983 5 месяцев назад +3

    Wa 108 naomba like❤❤❤❤

  • @mike_killer255
    @mike_killer255 4 месяца назад +1

    💣💣💣

  • @JosephSniper-vr9us
    @JosephSniper-vr9us 5 месяцев назад +3

    Kazi nzuli

  • @LucasGabriel-o3p7v
    @LucasGabriel-o3p7v 4 месяца назад +1

    Upuuzi huo,,,si ungeondoka tu,,,kwani wanaume wapo wengi.