FORTUNE | Ep 04 | Full Episode

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 янв 2025

Комментарии • 301

  • @HidayaHamisi-w5k
    @HidayaHamisi-w5k 3 месяца назад +55

    Udugu namim nipo Kama unampenda hajra gonga like

    • @hajrafilm
      @hajrafilm  3 месяца назад +2

      🙏❤️

    • @HidayaHamisi-w5k
      @HidayaHamisi-w5k 3 месяца назад +1

      👍

    • @Agyy628
      @Agyy628 3 месяца назад +1

      Harafu wewe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @HidayaHamisi-w5k
      @HidayaHamisi-w5k 3 месяца назад +1

      @@Agyy628 mim nimefanyaje Tena mbona harafu

    • @ZaitunMasaho
      @ZaitunMasaho 3 месяца назад

      Mbona unachelewesha jamani​@@hajrafilm

  • @EsterMwalongo-yp8in
    @EsterMwalongo-yp8in 3 месяца назад +9

    Rah ya hajra anajuwa kujistiri nampenda ❤ bure ❤❤❤

  • @SÙAREZMAHANGOBYAOMBE
    @SÙAREZMAHANGOBYAOMBE 3 месяца назад +3

    Kazi nzuri bwana Dubu pambana pamoja na team mzima yako, ila shauri musitengane katika kundi lenu ijapokuwa changamoto ninyingi ila vumilianeni tafazali,pande za DRC tunawasoma fresh tu❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @wamboiwamboh
    @wamboiwamboh 3 месяца назад +4

    Jay hunpea hasira😂😂😂😂lakini sawa leo hongera sanaaa Hajra kikubwa kujikubali sawa bora uhai😂❤❤❤

  • @FelisterNdanu-i7y
    @FelisterNdanu-i7y 3 месяца назад +5

    ❤❤❤ aki mnakawia sana ata nilikua nimesahau kabisa na ii movie ya Fortune

  • @magnibrondi3152
    @magnibrondi3152 3 месяца назад +5

    Umejuwa kunifurahisha
    Hajra. Kumuacha jey ulikuwa unaniketa
    Wewe.and nice job ❤

  • @SteveAdam-j2g
    @SteveAdam-j2g 3 месяца назад +5

    Kazi nzuri sana, keep it up dear hajra🔥🔥🔥

  • @saumodzumbo9671
    @saumodzumbo9671 3 месяца назад +4

    Kazi nzuri sana timu hajra Allah awafanyie wepesi na kazi zenu

  • @DenisHadson
    @DenisHadson 2 дня назад +1

    Jamani nipeni comment zangu leooo mana nimekuwa wapili hajir kidoti haaaaai😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @Awoshy
    @Awoshy 3 месяца назад +3

    Nyani ngwengwe na bwimbwi jamani 😂😂😂😂😍👏

  • @LenanaKomoi
    @LenanaKomoi 26 дней назад +2

    mimi nampenda sana hajra hongera Kwa kazi mzuri mnaofanya wenzangu❤❤❤❤❤

  • @NafsahAlly
    @NafsahAlly 3 месяца назад +9

    Kaz nzur dada ang hajra ALLAH akufanyie wepesi ktk kila kaz zako inshallah

  • @LewisHamiltonGLD
    @LewisHamiltonGLD 3 месяца назад +4

    Nyani ngwengwe ananifurahisha kiukweli ety nko na rangi mbaya nifanye'je sasa hahahaha nyani ngwengwe kweli rangi Yako n nyeusi mno😂😂😂😂

  • @marthawanjiru6675
    @marthawanjiru6675 3 месяца назад +4

    Hajra umelala sana na vile nimeingojea sana fortune ❤❤❤🇰🇪🇰🇪

  • @mamakeashili
    @mamakeashili 3 месяца назад +6

    Mm haba nakupenda sana ajra 🎉🎉❤❤

  • @REHEMAOSCAR
    @REHEMAOSCAR 3 месяца назад +4

    Hajra kipenz nataka kuungan na wew masai girl from msata❤❤❤❤❤❤

  • @NasraFahmy-j9y
    @NasraFahmy-j9y 3 месяца назад +4

    Heee da hajra weee mpk tumesahau jomon ila nakupend san honger kaz nzr ❤❤ mzenj ap

  • @MariamKuziwa
    @MariamKuziwa 3 месяца назад +5

    Upo vizuri san hajira

  • @AliMunga-c8n
    @AliMunga-c8n 3 месяца назад +4

    Kazi nzuri hajra big up sana

  • @PhilipKazungu-u9b
    @PhilipKazungu-u9b 3 месяца назад +4

    Sista Hajra ...duh!!!!...aki pongezi uko poa dadaa umeweza kazi safi...

  • @samuelVuga
    @samuelVuga 3 месяца назад +4

    Jitaidin kwenda na mda msikawie sana

  • @MusaKeya-u5z
    @MusaKeya-u5z 19 дней назад +1

    Uamuzi uliyo bora hongera Hajira❤❤❤❤

  • @افلينافلين-ي9ك
    @افلينافلين-ي9ك 3 месяца назад +6

    Kwakwelibkwarangi hujakose. Iyo rangi inatisha

  • @ZuhuraHamisi-v2k
    @ZuhuraHamisi-v2k 3 месяца назад +3

    Iendeleeee tafadhali ni nzuri sana fortune

  • @VaselisaHalinga
    @VaselisaHalinga 3 месяца назад +3

    Ni move tamu sana hongereni

  • @Sadockjosasadockjosa
    @Sadockjosasadockjosa 3 месяца назад +4

    Hajira nipe na Mimi nmba ako haaaa 😁 moves nzuri

  • @Lidya-e1i
    @Lidya-e1i 3 месяца назад +6

    ❤❤❤finally nikuwa nakuja kila mara kuitafuta,usichelewe

  • @MaryamAthuman
    @MaryamAthuman 3 месяца назад +4

    Dada hajra nakupenda sana kipenz naamani uwedadaangu wahiyali nipo Oman kikazi love dada❤❤❤❤

  • @ThomasMussa
    @ThomasMussa 3 месяца назад +9

    Nakupenda Hajra ❤❤❤one day nitakuona 🎉🎉🎉

    • @hajrafilm
      @hajrafilm  3 месяца назад +1

      InshaAllah 🙏❤️

  • @mildredaoko7782
    @mildredaoko7782 3 месяца назад +3

    Hadi nilikua nimesahau na hii movie kama hua inaendelea aki mwachelewesha sana jamani 🥰🥰🥰

  • @BENCHARLES-ho2ws
    @BENCHARLES-ho2ws 2 месяца назад +3

    Mpaka nilikata tamaa jamani nilimic sana ♥️

  • @Vallarynelima-c8q
    @Vallarynelima-c8q 3 месяца назад +4

    Mnakaa Sana hila kazi nzuri🇰🇪

  • @JULIETHGORWA
    @JULIETHGORWA 3 месяца назад +4

    Hongera sana hajra kwa maamuzi mazuri

  • @UkhtyFatmah-he8vg
    @UkhtyFatmah-he8vg 3 месяца назад +9

    Yaani Momy Hajrah Kidoti kwanza Hongera sn kwa mahamzi yako pili na ona sasa Movie hii itaja kua nzuri zaidi kwasabu umeachana na huyo mdanganyifu Jey,Na kitu chengine Mahi wng japo mpo kule kwenye MAGIC SCHOOL,Ila usisahau huku kwenye FORTUNE bhana yani hadi Mashabiki tutasahau ya kwamba kuna Movie hii FORTUNE.

    • @wamboiwamboh
      @wamboiwamboh 3 месяца назад +1

      najifunza😂kweli nkiona hivi nashindwa kumwamini mwanaume yeyote yule😂😂😂

  • @HUSENIALLY-bp8pk
    @HUSENIALLY-bp8pk 3 месяца назад +4

    respect sana kwako hajrah❤❤❤🎉🎉

  • @LuckyRokus
    @LuckyRokus 3 месяца назад +4

    Nakupenda zuh❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @MariamuMoenedjad
    @MariamuMoenedjad 3 месяца назад +4

    Jamani mbon iyi nuvie munakawiza kutowa dhuu mpak nilikuwa nimesahau

  • @PaulineNasoro
    @PaulineNasoro 3 месяца назад +4

    Hajra jamani tulikua tumesahau bt good 👍👍🇰🇪 job

  • @JescaFelix-e4x
    @JescaFelix-e4x 3 месяца назад +6

    Ila wanaume bhana Yani j anamwacha mwanamke mzuriii anafata wanawake ambao hata hawamfikii mke wake

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki 3 месяца назад +6

    Asante Ajira kwa maamuzi sahihi umecukuwa Jey sio mwanaume sahihi kwako cukuwa mauwa yako kazaivoivo

  • @OmanMuscut-ju3xp
    @OmanMuscut-ju3xp 3 месяца назад +23

    Jamani adi nimesahau kama kuna movie itwayo FORTUNE sijapenda😊jamani HAJRA unakwama wapi mashabiki zako tukupe saport😊

  • @NeemaEli-wl1dz
    @NeemaEli-wl1dz 3 месяца назад +3

    Nakupenda sana dada kidoti kazi yako nizuri sana tumehipenda watazamaji naongeeasana❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @sophianyamvula7080
    @sophianyamvula7080 3 месяца назад +5

    Jey 😢😢😢ndio mda ssa wakujuta kwa yale ulio mfanyia Hajra ❤❤❤

  • @EdwardLucasiNyagalu
    @EdwardLucasiNyagalu 3 месяца назад +3

    Sema mnazingua Sana mnakaa mda sana

  • @عائشهعبدالله-ي7ب
    @عائشهعبدالله-ي7ب 3 месяца назад +17

    Hajra leo umenifurahisha kweli kweli jmni achana nae huyo mpunzi jey 😂😂😂😂😂😂😂 nakupenda bure mpenzi

  • @Huncho_taitan_breezy
    @Huncho_taitan_breezy 3 месяца назад +3

    Hio chonga ya dubu kichwani sai imetiki big up sana

  • @OmmyDseven
    @OmmyDseven 3 месяца назад +5

    UNACHELEWESHA SANAA UNA TUKATA MASHABIKI ZAKO

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 3 месяца назад +4

    Mnachelewesha mpaka tunasahau Hajra habbty🎉❤😢

  • @filexingutia3620
    @filexingutia3620 3 месяца назад +2

    Kazi nzuri sana❤❤tatizo mmekawia😢

  • @AgnessAgness-w6s
    @AgnessAgness-w6s 3 месяца назад +2

    Mnacherewesha sana

  • @GeorgeBaya-bd2db
    @GeorgeBaya-bd2db 3 месяца назад +4

    Kazi nzuri ila unachelewesha

  • @Scolayusuph558
    @Scolayusuph558 3 месяца назад +3

    #khajilakidoti unatucheleweshea move mpk tunasaau

  • @geraldcrispini
    @geraldcrispini 3 месяца назад +4

    Kazi nzuri dada hajra

  • @AgathaCostantino
    @AgathaCostantino 3 месяца назад +4

    Mnachelewesha sana jamani

  • @joselynehabimana5186
    @joselynehabimana5186 3 месяца назад +5

    Duuuh hadi nilikuwa nimesahau

  • @MarkOlubayo
    @MarkOlubayo 3 месяца назад +3

    Hajra uko sawa. Kikosi chako kizuri mno, shabiki wenu mkubwa nikiwa kenya🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤

  • @AbdullahisaBongole
    @AbdullahisaBongole 3 месяца назад +5

    Hajra umetisha mno umejikinga kofi

  • @CarolyneNyanchama-yk1gf
    @CarolyneNyanchama-yk1gf 3 месяца назад +5

    Wow i love it ❤❤❤

  • @niyokwizerajiribrt7161
    @niyokwizerajiribrt7161 3 месяца назад +4

    Hajra unatuumiza kwakutuchelez tunaomba utupe kuamda

  • @coolbz133
    @coolbz133 3 месяца назад +2

    Good job hajra to the world🎉🎉🎉❤❤

  • @IssaBantu.
    @IssaBantu. 3 месяца назад +11

    Leo wa kwanza mimi kutoko Mozambique 🇲🇿🇲🇿 nipeni like ❤❤ zangu

  • @ashamwanganzi6400
    @ashamwanganzi6400 3 месяца назад +4

    Congratulations khajra n team yko❤❤❤❤

  • @CatherineJohn-j4o
    @CatherineJohn-j4o 3 месяца назад +6

    Nzuri ila mnachelewa kuitoa

  • @Malesa255..1
    @Malesa255..1 3 месяца назад +5

    Jambo kubwa family ❤🎉

  • @SalhaMvula
    @SalhaMvula 2 месяца назад +1

    Jaman mtufikirie mnakaa sana bila kutoa muvi

  • @RashidMgeni
    @RashidMgeni 3 месяца назад +2

    Àya bn nyani ngwengwe

  • @MkasyswallehsaidSwalleh
    @MkasyswallehsaidSwalleh 3 месяца назад +1

    Nyani ngwengwe a.k.a kambale 😂😂😂 unachekesha

  • @NdikumaaAisha
    @NdikumaaAisha 3 месяца назад +4

    Hajra umenifurahisha saana mamy ila jitahidi usicheleweshe

  • @hamadKhamis-p6k
    @hamadKhamis-p6k 3 месяца назад +1

    Mwaka mzima mnatoa kiupande kimoja hamn

  • @MshengaSuleiman
    @MshengaSuleiman 3 месяца назад +4

    Ila nyani ngwengweee😂😂😂😂😂

  • @ElizabethEliabu
    @ElizabethEliabu 3 месяца назад +3

    Jamn sema mna chelewesha sana mpaka tuna sahau tulipo ishia

  • @HajraMangale
    @HajraMangale 3 месяца назад +1

    Daa hajra ❤😢😢😢 good job

  • @fatumamkuzi8051
    @fatumamkuzi8051 3 месяца назад +2

    Kwani mwachelewesha sana

  • @TinaRama-zt7fi
    @TinaRama-zt7fi 3 месяца назад +8

    Nipeni likes nami nimewah

  • @AbdullahisaBongole
    @AbdullahisaBongole 3 месяца назад +3

    Mbona mna chelewa sana

  • @claudepepe2195
    @claudepepe2195 3 месяца назад +3

    Wamonja tunafikiriya vibaya kwawenzetu lafiki wa hajra amefikiriya vibaya

  • @JamilaNduta
    @JamilaNduta 3 месяца назад +5

    Walai movie ni nzuri lakini ina chelewa sana

  • @SalumIddy-yn4jk
    @SalumIddy-yn4jk 3 месяца назад +5

    Hajira unachelewa sana kutoa episode.

  • @JumaChiryauta-zf6uc
    @JumaChiryauta-zf6uc 3 месяца назад +3

    Kazii swafiii🎉

  • @IrakozeHami-t9m
    @IrakozeHami-t9m 29 дней назад +1

    Dada Hajra ep 5 vp mbon umeichelewesh sana miez mbili sasa

  • @AlexAlex-e4x
    @AlexAlex-e4x 3 месяца назад +2

    Mbona kazi unacherewesha san

  • @JescaFelix-e4x
    @JescaFelix-e4x 3 месяца назад +4

    Jamani mbona mnatucheleweshea ivyooo

  • @SwaibaAmry-fk8no
    @SwaibaAmry-fk8no 3 месяца назад +1

    Hajira uo ndo uanawake sasa achanikupe maua yako 🌹🌹🌹🌹

  • @Emilymama2boys
    @Emilymama2boys 3 месяца назад +3

    Aaah pole sana hajra😢😂❤❤

  • @timebakar
    @timebakar 3 месяца назад +5

    Mpezi jitahdi unachelewesha

  • @Huncho_taitan_breezy
    @Huncho_taitan_breezy 3 месяца назад +1

    Nyani ngwengwe chana ndevu hizo zinakaa kama rundo la nzi😂😂😂

  • @NoorMohammed-ee2vf
    @NoorMohammed-ee2vf 3 месяца назад +2

    Uowimbo nani kaimba😮

  • @AntonyMuange-r3r
    @AntonyMuange-r3r 3 месяца назад +3

    Nmekuwahi kutoka Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 nipewe likes zangu

  • @InnocentKwizera-u1f
    @InnocentKwizera-u1f 3 месяца назад +6

    Wa Kwanza leo

  • @Asia-dq3rt
    @Asia-dq3rt 3 месяца назад +2

    Hajra tuongezee muda tafadhali

  • @neemakoi6635
    @neemakoi6635 3 месяца назад +10

    Aaaaaah 😢jamani mbona mulienda mda mrefu jamani almost one month

  • @MondrassiAntonioRafael
    @MondrassiAntonioRafael Месяц назад +1

    Poa sana❤❤❤ hogera zidi 🎉🎉 kutowa 🎉

  • @BéatriceSifa-p2q
    @BéatriceSifa-p2q 2 месяца назад +1

    Mbona ivi akinini munachelewesha sana

  • @charlesboki1825
    @charlesboki1825 3 месяца назад +4

    Series Iko poa lkn mnachlewesha San wkuu tunasubiria mpk twboek

  • @OmanOnline-mt1rd
    @OmanOnline-mt1rd 3 месяца назад +1

    Jaman mwenderezo

  • @IgnaseTalaboe
    @IgnaseTalaboe 3 месяца назад +3

    Makubwa😢😢😢😢😢

  • @jackykweka8228
    @jackykweka8228 3 месяца назад +2

    Ni nzr Ila unachelewesha san my

  • @KhamisMhesa
    @KhamisMhesa 2 месяца назад +1

    Jaman mona mme stop mwendelez

  • @EmmanuelCheserek
    @EmmanuelCheserek 2 месяца назад +1

    Mbona inachelewa sana

  • @rahmaramadhan2377
    @rahmaramadhan2377 3 месяца назад +3

    Tatizo mnachelewesha sana hadi tunasahau