Achen kutuzoea katika kaz ndomana watanzania wengi wanapotea ktk kazi zao mwanzo ulishaviachia tukaangalia hvyo viwili leo umerudia tena hvhvy kwa kuviunga kama unaachia single bora uachie tujue moja ktk series nayo tujue alafu jitaid kuboresha story zako toka uachie snake boy ni kama umerud nyuma badala ya kwenda mbele jitaid kuwa mbunifu kama huwez basi tafuta watu wa story ili uwe na kitu cha tofaut
Kazi nzuri iana tokana na mashabiki wewe mwenye unaweza ukaona kazi yako ni bora kweli kweli lakini mashabiki waki ikataa iyo kazi yako autokuwa na nguvu za kuwa shawishi wa weze kukupa sapoti aito wezekana kabisa labda uwandae movie mpya ambayo ita wafanya wakurudie tena makini sana bro
I was about to comment, but nadhani sina jipya niungane na wengi waliovyoona kiukweli UMEZINGUA tena kwa herufi kubwa.... Nilitegemea maboresho zaidi baada ya Snake boy ila ndo mnarudi nyuma aisee.... Clam unaigiza sana jaribu kuwa serious nikukumbushe tu userious sio kubinua midomo na kukunja sura kama unavyofanya hapo tunaona maigizo kwenye muonekano wako.... Ukishindwa kabisa fanya tu comedy itakutoa zaidi nadhani
Movies sasa tunaachia kina manyanya,na series za kina kitale.Clam ata character za uboss hazimkai kabsaa,,na zile za kihuni.character za maisha ya kifahari ata ndo hazimkai kabsaaa,,anakula na style za chauroho😅😅😅
Sasa ndo nn kalibia najiondowa yan natumia mb kufatili jambo ninalo lijuwa kisa tu 1&2 ivi mnajielewa kweli mnachokifanya ndo kinaangushaga weng kisanaa komen kuanzia leo tena achen au hamujuw shabik zenu wengi ni hali yachin ata hizo mb zinawatowa jasho nyie mnachukulia powa powa sijapenda vevo te sijapenda
Yani nimeharibu bundle kwa kitu cha marudio…clan ungekua Kenya tungeshakufwata uturegeshee bundles zetu…This round umetubwaga…tujaribuni kuiga wazungu, hutawai ona mzungu ametoa series kisha akatoa ya muanganisho.. apo umefeli Jaribu kufeel uchungu wa sisi tunaotumia bundles bali si Wi-Fi

Undoubtedly
Wewe pia act 🤌 sijui unadhani ni rahisi kama kula sima🥺🫴
Kwenye kurudia apo unaferi sana daah weka no3
Uyu jamaa kaanza ukuma au unataka tusiwe tunakuangalia sikuiz unatuzoeya mashabiki zako sio unaacha kutoa pa3 unaludia vipand sio mda nita ku unfollow
Point
Kazi nzuri iana tokana na mashabiki wewe mwenye unaweza ukaona kazi yako ni bora kweli kweli lakini mashabiki waki ikataa iyo kazi yako autokuwa na nguvu za kuwa shawishi wa weze kukupa sapoti aito wezekana kabisa labda uwandae movie mpya ambayo ita wafanya wakurudie tena makini sana bro
Wa kwanza kutoka Nairobi,Kenya..
Nipeeni likes yangu...
suda amecheza vzr jmn hongera sana clam kwa kuonesha kipaj cha mwana yanga mwenzet
Oya weeh Kaka acha mazoeya kwen6e kazi utapoteza mashabiki Ila nakushauri tuuh ndo maana mama kicheche asha anza kuku dharau
N mimi naomba lile kamani hta kma n 20😂😂❤
😂nimeipenda kiukwel mmecheza vizur
Siku hizi ad huyuu jamaaa hafikii mbwela,, kazi zake za ovyo sana
Tjr Tajiri wa ubunifu nawafatilia kutoka Burundi 🇧🇮 ndabakunda cane team vevo ❤❤❤
Akuoon
Hongereni sana ni nzuri
ahhh unatutia tamaa kama ya 3 kumb umerjea zil zil unafeli dogo 😂😂
Kwani si episode 3 😂 nimekuja nduki😂😂 anyway much love from kenya 🇰🇪 ❤️ 💖 😍
dogo anafeli 😂😂
Nina furaha kuwa wa kwanza leo naombeni
Anae soma comment hii ufanikiwe daimaa
Nimefanikiwa tayari😂
🙏🙏
Mtu wa kwanza like zangu jamani
😅usenge mtupu kwaiyo tumeanza kuzoeleka kiasi hicho
Nakubali sana team clam vevo ambae ana sapoti kazi za clam gonga like please 🙏 🎉❤🎉
Clam achaa ufalaa ,,,ndio usengee gani ssa 😅😅
mmeanza ushamba sasa tutawahama skuiz series ni nying na watu hawan ujinga kama huu kw mashabk shenz
❤🎉
❤ 10:00 10:02 10:03 10:04 10:04
Wewe boa kweli 😁😁
Ndiyo ndo mm Boaz 😂😅😮
From Kenya tunaomba content Kali kutoka kwako hii bado hujaua
😂😂
from congo tunaipenda chapti na maarage, siyo vitu za ku boo hivi
Clam nitafute najua kutunga story/tamthiria,riwaya au kama kuna mtu anataka mtunzi mimi nipo nlnitafanya bure kwa kazi ya kwanza
🤣🤣🤣😁kipara umbeya ataacaga na mtoto unamuelezeya umbeya
Kweli atamimi simpingi uyujamaa clam amezingua sana
Kazi nzuri sana...neema classic show from....kenya.,naomba mnifatilie ....yu tube...piaa
Leta bwana EP 3 me zinapo chelewa Ivo mzuka unapungua siku 1 njoo tucheze ya kimasai kaka ita kua Moto sa naaa
kazi nzuri vevo👊
Kazi nzuri sana Clam!!! Hii imepenya !!!
Kazi ni nzuri Sana team vevo hongeleni
✍️✍️Elias Elly from Burundi 🇧🇮🔥❤
Ok
😂kikongwe nae yupo😅
Enjoy anajuwa kuigiza❤hyu alomuita mchumba amefnya vzr kupigwa jiwe maana ndio mwsho wanahrbu watoto
Wa kwanza jamani naomba lik
nimependezwa na kipara sanaa......legend for sure........from KENYA
ILA MWAACHE KURUDIA KITU KIMOJA
Kipala Bado anatabia za umbea umbea TU 😃
Hahah😂 anaga umbea uwo kashaachaga
Nakubali sana kazi yenu kaka clam VEVO 🎉 ila majamani naomba like mimi Nipo msumbiji Mozambique
Kipara umbea upo kwenye damuuu😅😅😅😅
Enjoy we kiboko 😂😂 huyo mama hapo ondoka kabla hujafa😂😂😂😂
Hoya mwamba unajua sana mkango yaah pasua kichwa bongo
Kwamajina erithie nimugeni nipelike❤❤❤❤✋✋✋
Huu ni ufala mnazani bando tunaokota 😢😢😢😢😢😢
Hovyooo
❤❤hizi movie zenu ni nzuri
😂😂😂😂😂 kipara kapendeza hzo nguo
Ongereni sana jamani nimtokeya Congo D.R.C
Safi sana bro 💪
Mbona sielewi si inaludiya apa jamani , clam usituchaganhe
Clam unge paswa kuweka aka ka episode kuwa kamoja baba episode siwe ndefu kidog😊😊
Sema Clam anapenda sana mambo ya kichaw😂
Clam anajuaaa sanaaaa
Mimi Leo wakwanza from Mozambique, naombeni likes jaman ata 3 tu
Clam you are not deserve to be a boss😂😂😂😂😂😂
Kazi nzuri 🎉🎉❤❤
Wew na members wako mmekua mafara sana achia kazi unatuleteaaa ujinga ma guy umelizikaa ausio
Hapa amezingua kazi haieleweki hii
Mimi wa kwanza
Hapa CLAM VEVO umebugiii 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Yan watu wanalalamika alafu wanaangalia😅😅😅 kama mmeshaangalia si mnaacha si wengine hatujaangalia
I was about to comment, but nadhani sina jipya niungane na wengi waliovyoona kiukweli UMEZINGUA tena kwa herufi kubwa.... Nilitegemea maboresho zaidi baada ya Snake boy ila ndo mnarudi nyuma aisee.... Clam unaigiza sana jaribu kuwa serious nikukumbushe tu userious sio kubinua midomo na kukunja sura kama unavyofanya hapo tunaona maigizo kwenye muonekano wako.... Ukishindwa kabisa fanya tu comedy itakutoa zaidi nadhani
Tajir yake Clam sijampenda😂
Chado Master kazi safi kweli 👏👏👏👏👏
Movies sasa tunaachia kina manyanya,na series za kina kitale.Clam ata character za uboss hazimkai kabsaa,,na zile za kihuni.character za maisha ya kifahari ata ndo hazimkai kabsaaa,,anakula na style za chauroho😅😅😅
Kazi juu ya kazi
Kaz nzur san broo🎉🎉❤❤
Tuzidishe ubunifu zaidi scenes zimepoa sana
Kipala jaivah awiiih ndani ya umiso misondo
Mambo ya kurudia hapana bhana mnatuharibia mb tushaziona mtatufanya tuwaache juu yakutuchanganya
I thought ni episode 3🤔 anyway much love from+254 🇰🇪
Hii kazi yaenda kumshinda..upuzi gani huu kutumalizia bando tuu
Acha ushamba asa asipofanya ivyo anawalipaje ao watu na anaendeshaje maisha yake bila sisi kuangalia viewers
@raheemsangaya mshamba ni wwe na hyo ulomtia kwa suruale....kulipa watu na kurudia kupost vilivyopita yausiana na nni.?
Clam lete zombie movie basi utaiwezea ww
Hongereni san kazi nzuri😊❤
🎉 fast form Kenya 🥰
Thanks 🙏
Uko vizuri sana clam pambana
Weeh mtoto huyo mrembo kweli
Anazingua sana mseng* Huyu😢
Msenge yupi sasa
Matus ya nn kukaa bila ku comment unapungukiwaa
Wa kwanza leoo 🎉🎉
Fara hyu hat big boss part two umetidanganya broo
Hongera kwa Kaz nzur
Mtoto huyo ni mrembo kweliii haya na mm namuit mchumba wangu aje anipige jiwe nakaua
Upuuzi gan yan mnaona MBs zetu hazina kazi sioo wengese nyie
😂😂😂😂Enjo kaenda kijijini kwa bibi yake😂😂😂
Hapa boss vevo umezingua
Sasa ndo nn kalibia najiondowa yan natumia mb kufatili jambo ninalo lijuwa kisa tu 1&2 ivi mnajielewa kweli mnachokifanya ndo kinaangushaga weng kisanaa komen kuanzia leo tena achen au hamujuw shabik zenu wengi ni hali yachin ata hizo mb zinawatowa jasho nyie mnachukulia powa powa sijapenda vevo te sijapenda
Oya we babu anglia yanayokuusu
Msiambiwe nyie wakinanani
Hilo lisuti la gate man balaa mwanangu
Kipara huachi visa 😂😂😂eti tutakuwa nae hapa kama mama wa nyumbani 😂
We dogo umeanza kutuzingua unatuchukuliaje aisee
Naipenda Saaana Tangu kongo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
tuwekee part 2 Wacha kurudia tunapoeka
Una tisha brothers clam
Also from Kenya watching
Clam hapa sijamuelewa humu
Nani aliona notification kama mimi akakimbizana na kazi za mwarabu unaanguka unaamka vitu hazijatakata alafu unakuja unapata ushawatch😂😂 mimi sijapenda 😔
😂😂😂😂😂😂hehehe tupo wengi
Kikongwe na Furahi kukuona Kwa clam vivo
mnazingua Sasa
kuunganisha 1&2 mnaashiria uoga wakupoteza watazamani..kazeni Buti sanA wapinzani wenu wapo 🫀
Mwakatobe jaman ilikuaje mbona atumuon 😅
Saa ndo nini kuludiaa hayaa pumbavuu
Yani nimeharibu bundle kwa kitu cha marudio…clan ungekua Kenya tungeshakufwata uturegeshee bundles zetu…This round umetubwaga…tujaribuni kuiga wazungu, hutawai ona mzungu ametoa series kisha akatoa ya muanganisho.. apo umefeli Jaribu kufeel uchungu wa sisi tunaotumia bundles bali si Wi-Fi
Umerudia mbn mzee
Nawapongeza sana wasani kazi njema my friend Clam
mpeni ma ua veVo mana katuludishia BONGO MOVIE kwa siilimia zote ILA ATUMUONI MWAKATOBE
Vevo hauna mfano APA kwetu Tanzania
Clam.acheni ujinga ambae hajaona si anaweza kuangalia zilizopita kuna haja gani tena ya kupost mara mbil mbl mnakera shwine nyie
Kazi kubwa 🎉🎉🎉
Bwana kipalaa Leo mlizi