MKOBA WA BIBI |ep 1

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 дек 2024

Комментарии • 325

  • @Empereur_randall
    @Empereur_randall 3 месяца назад +5

    Uyu jamaa mina mkubali saaana CHILI ni mtalamu sana nawafata toka congo DRC🇨🇩🇨🇩🇨🇩 toka utotoni CHILI namuamini muno

  • @manuray2548
    @manuray2548 4 месяца назад +5

    From Kenya🇰🇪 waited for your movies ... Congratulations.Tupe back to back usipoe kuruntanta manterere

  • @Mgaya_film
    @Mgaya_film 4 месяца назад +7

    Kaz Kaz balaa limeanza

  • @SaidShaban-zj7mc
    @SaidShaban-zj7mc 4 месяца назад +2

    Wahoooo wapiii kiparaaaa nimeipendaaaa mko vizuriii

  • @MohammedSaid-jm5hm
    @MohammedSaid-jm5hm 4 месяца назад +5

    Kurukutanta mantetereeeeee🎉🎉🎉🎉

  • @MuhalameLikalala
    @MuhalameLikalala 3 месяца назад +3

    xhida hili group lina watu wanaojitambuwa na wana uhitaj wa kufanikiwa ndiomaan wanapamban uxiku na mchan hii ni fundixho kwa kila m2 yakuwa kila ki2 kinawezekan hata kwako wrw lafik kikubwa ni kuonyexha juhud zako 2❤❤❤❤❤

  • @dularazor9643
    @dularazor9643 4 месяца назад +6

    Akachwii😂😂😂😂😂

  • @EmmanuelRaphael-vl6lh
    @EmmanuelRaphael-vl6lh 4 месяца назад +3

    Chili uganga unauwezaga hakuna hyo sin anayokushinda wala kukuweza big up sana mwamba.

  • @KagomaMoses
    @KagomaMoses 4 месяца назад +5

    Kipara humu ndani sio mbeyaa kweli😂😂

  • @SaidShaban-zj7mc
    @SaidShaban-zj7mc 4 месяца назад +2

    Nawasalimiaaa sanaaa baba yangu Nassib kutoka lishoto kwadoe pamojaaa na mama yanguu lechooo

  • @SaidShaban-zj7mc
    @SaidShaban-zj7mc 4 месяца назад +3

    Muendelezoooo tafadhaliii msihuwekee

  • @KagegaAbdlah
    @KagegaAbdlah 4 месяца назад +5

    Jaman Kila cku tuna move mpya na Kila move inazidiana kwa uzul hongeren sana ❤❤❤

  • @TigerGabrielsaint
    @TigerGabrielsaint 3 месяца назад +4

    Kila picha nikiwaona tim vevo 😂😂😂daa nizuri iyo picha 😂😂

  • @ZenaKambi-d6n
    @ZenaKambi-d6n 4 месяца назад +2

    Ila kipala mtu smart xana ht akiigiza kijijin bd anakua msafi

  • @Janubaba-rz2xs
    @Janubaba-rz2xs 4 месяца назад +5

    Safi kaka 🎉🎉

  • @AIFOSMUGOTV
    @AIFOSMUGOTV 4 месяца назад +3

    Nkimwona kipara tayar nishaanza kucheka kwa kiingereza chake😂😂😂

  • @dr.mgungo1429
    @dr.mgungo1429 3 месяца назад +2

    Huyu mama namkubali sana sitaki agundulike jmn 😁

  • @ThomasMsemwa-ob9im
    @ThomasMsemwa-ob9im 3 месяца назад +3

    Kulu😂😂❤❤❤ kutantamanteteree

  • @sagevali
    @sagevali 4 месяца назад +3

    Bi migomba na uchawi 🙌😅😅😅😅

    • @AmaniChari
      @AmaniChari 4 месяца назад

      Bimgomba kuigiza kua mchawi ndio unamfaa

    • @AmaniChari
      @AmaniChari 4 месяца назад

      Bimgomba mbona kichwa Wazi tangu lin mam

    • @sagevali
      @sagevali 4 месяца назад

      @@AmaniChari hahahaha na ukali wake ule namkubali sana 😂😂

  • @DonMooFILMES_Express
    @DonMooFILMES_Express 4 месяца назад +188

    Ninaanza kuona kila anayejiunga na Clam anapata mafanikio 🤝 Sikutegemea kama CHILI angeweza kuja na channel yake na nguvu kubwa namna hii

    • @Tabiatz
      @Tabiatz 4 месяца назад +20

      Kunawatu wanajuwa utu nakujali wenzao clam nimtu nanusuu pia anaimani namungu kingine Hana roho mbayaaa ❤❤❤ nampenda buree

    • @DonMooFILMES_Express
      @DonMooFILMES_Express 4 месяца назад +6

      @@Tabiatz kweli kabisa, wengi wanawabana wasanii wao ili wasanii waelekeze nguvu zao zote kusapot channel zao

    • @Kitufeactorfilm
      @Kitufeactorfilm 4 месяца назад +2

      Hata aukakosew🎉🎉🎉🎉​@@DonMooFILMES_Express

    • @MohdKidabe-e9q
      @MohdKidabe-e9q 4 месяца назад +5

      Hata Nami nimelion hilo🎉❤

    • @KASANGA_FASHION_DESIGNER
      @KASANGA_FASHION_DESIGNER 4 месяца назад +1

      Facts bloo ​@@DonMooFILMES_Express

  • @oasisfilmz5913
    @oasisfilmz5913 4 месяца назад +4

    Kazi njuri mkuu 🫡✌🏻

  • @peteralex6408
    @peteralex6408 3 месяца назад +1

    Chilli unajua sana kazi nzuri aendelea hvyo hvyo utafanikiwa zaidi

  • @Thegame-607
    @Thegame-607 3 месяца назад +3

    Kulukutanta mantetelee😂😂#CHILI n mnyama kabisa

  • @lsacklsack
    @lsacklsack 4 месяца назад +1

    Kila penye nia kuna njiya hongera sana mchapa kaz mwenzang kwa kazi nzur tupo pamoja❤❤❤❤

  • @EllyvadiazTz
    @EllyvadiazTz 4 месяца назад +1

    Kulukutanta ma ntenteleeee hahahaaaaaaa nomaaa mwinyiii

  • @juniorlungula9153
    @juniorlungula9153 4 месяца назад +1

    Huyo chili kakomaa kweli, nimekumbuka nyumba ndogo

  • @PaulKasongo-c7v
    @PaulKasongo-c7v 2 месяца назад +2

    Asate mimi niko Congo 😅😅😅😂❤

  • @Kitufeactorfilm
    @Kitufeactorfilm 4 месяца назад

    Huyu chili ni mtu na nusu kiukwel nampenda maan kaz zake ni mzuri sana kwanza ni mvumilivu kwenye game ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @AlexisMoïse-r6l
    @AlexisMoïse-r6l 2 месяца назад +1

    Ok kyakufanya aewezi kumuumiza maman yake mzazi

  • @NasriRamadhani-po1lz
    @NasriRamadhani-po1lz 4 месяца назад +1

    Kazi nzur pongezi kwenu team nzima chilli geng 🎉🎉🎉🎉

  • @BinMahsen
    @BinMahsen 4 месяца назад +3

    🎉🎉🎉🎉🎉 Super

  • @hildasanga7234
    @hildasanga7234 3 месяца назад +1

    Chili kama chili analud kwenye ubola wake😂😂😂❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @mejubagu6825
    @mejubagu6825 4 месяца назад +1

    Chilii mungu hakulinde ❤❤❤❤❤

    • @AmaniChari
      @AmaniChari 4 месяца назад

      Ampe nguvu kwa kweli ila namuaminia huyu baba

  • @SuleimanSalim-q9j
    @SuleimanSalim-q9j 4 месяца назад

    Hongra mwiny mkuu kwa kaz yak inabamba vilivyo big up san team members nyot

  • @MussaRamadhani-q7v
    @MussaRamadhani-q7v 3 месяца назад +2

    Kipara tu sijawai kua na imani naee kabisaaaaa😢😢

  • @MbiziLuvukastore
    @MbiziLuvukastore 4 месяца назад +2

    Kurukutanta matentele br0 nakubali xana kazi zak0🙏

    • @AmaniChari
      @AmaniChari 4 месяца назад +1

      Umeikosea hii ya chili

  • @JayproMedia-gs7ql
    @JayproMedia-gs7ql 3 месяца назад

    Waacha !! Mkongomani toka Bujumbura Chili naku kubali tangu mwizi wa kuku

  • @Mosetieunice
    @Mosetieunice 4 месяца назад +1

    Kazi nzuri sana 🎉🎉🎉🎉🎉Much love from Kenya 🇰🇪

  • @xasanmuse9445
    @xasanmuse9445 4 месяца назад +1

    Nampenda huyu mganga ..aahhuummm waacha

  • @SylviaMaruti-sd6jc
    @SylviaMaruti-sd6jc 3 месяца назад

    Kipara leo na mke hongera sana tuko pamoja ila twende sambamba msituweke san sasa

  • @murtazaseleman6793
    @murtazaseleman6793 4 месяца назад +1

    Mwanangu wa faida big fan sana bro

  • @BiisheBugao
    @BiisheBugao 4 месяца назад +1

    Nampenda sana bi hajra ❤❤ 🥰

  • @matugarecords
    @matugarecords 4 месяца назад +3

    🔥🔥🔥🔥 kazi kubwa sana kaka

  • @Emilymama2boys
    @Emilymama2boys 4 месяца назад

    Kazi mzuri sana chill❤❤❤ much love from Kenya 🇰🇪🤜🤛🤝

  • @Awoshy
    @Awoshy 4 месяца назад

    Abigael ndio utuvalie mguu wa kuku😂😂😂😂❤

  • @PABLOESCOBAR-b2p
    @PABLOESCOBAR-b2p 4 месяца назад +2

    Kurukuntantaantaa wantentereree😂😂😂

  • @NdayishimiyeChantal-w1f
    @NdayishimiyeChantal-w1f 4 месяца назад

    Bim gomba alisha maliza kweny nafasi yake ya kichawi unajuwa sn tuh❤

  • @AmaniChari
    @AmaniChari 4 месяца назад +3

    Ukista ajab ga Musa utapona ya firaun sjawahi kukuona kipaa akiigiza akiwa na mke

  • @michaelthobias9967
    @michaelthobias9967 3 месяца назад +2

    Chill ni msanii wa zamani msimuone kama mpya nifundi

    • @MahmoudRajab-ip3mw
      @MahmoudRajab-ip3mw 3 месяца назад

      Yeah ila amebadil t muelkeo wake alivokua akicheza na ssa amekaa nafs tofaut

  • @ReemaM-i5t
    @ReemaM-i5t 3 месяца назад

    Kakaangu unaujua kuupiga mwing much love ❣️❣️❣️❣️

  • @idrisadjuma9322
    @idrisadjuma9322 4 месяца назад +1

    Honger san kwa kazi nzur

  • @ReemaM-i5t
    @ReemaM-i5t 3 месяца назад +2

    Nmekufolo nanikapita n likes kwa kazi nzuri hongera 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @LewisHamiltonGLD
    @LewisHamiltonGLD 4 месяца назад

    Mmmhhh Wacha naitwa tataman hongera sanaaa chill🎉🎉❤

  • @AllyYamkiwa
    @AllyYamkiwa 4 месяца назад +3

    Kazi nzuri❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @haimasophia
    @haimasophia 4 месяца назад

    chili mwinyimkuu🎉🎉🎉 hogera kwa kazi mzuri

  • @BahatiJemss
    @BahatiJemss 4 месяца назад +4

    Jamani tunaomb episode2

  • @Kitufeactorfilm
    @Kitufeactorfilm 4 месяца назад +4

    Ubinaadam ni nguzo kubwa san kwa kila anepata pumzii nakukubal kaka yangu chili na mungu akupe maisha mareeefu na yenye mafanikia makubwa 🙏🙏🙏🙏🙏

    • @CHILLYMWINYIMKUU
      @CHILLYMWINYIMKUU  4 месяца назад +1

      Asante,🔥🔥🔥

    • @Kitufeactorfilm
      @Kitufeactorfilm 4 месяца назад

      @@CHILLYMWINYIMKUU 🙏🙏maan napenda Sana unajutuma kaka maan umenza mda Sana ila mungu akufungulie mirango

  • @AllyBabu-kr6lg
    @AllyBabu-kr6lg 4 месяца назад +1

    Chili mwanafamilia vevo❤❤❤❤

  • @anualhemed6808
    @anualhemed6808 4 месяца назад +4

    Kweli hilo lakini wanachelewa sana kurusha episode snack boy

  • @bakarimakame4694
    @bakarimakame4694 4 месяца назад +4

    Mungu amcmamie chili

  • @hutahuta1170
    @hutahuta1170 4 месяца назад

    Duu kipala pole sana kimemlamba mamayako😂🎉🎉❤

  • @Mbonde-f9l
    @Mbonde-f9l 3 месяца назад +2

    Mr kipala😂😂😂

  • @kacepter
    @kacepter 4 месяца назад

    jamali ukiona muvi ina kipara jsiva usikose kuitazamaaaaa😊😊😊

  • @Shadya-ju2el
    @Shadya-ju2el 3 месяца назад +1

    Iiii move imenikumbusha kgm jmn watu walichapwa ,yan walichapwa , ata ambao hukuwakutegemea jmn 😢😢😢😢

  • @youngshivaofficial
    @youngshivaofficial 4 месяца назад +2

    Kaza mtoto wa kiume 😢😢

  • @ScolaMashalo
    @ScolaMashalo Месяц назад +1

    Nawakubali woteeeeee

  • @SkudoMakudubela
    @SkudoMakudubela 3 месяца назад +1

    Kipala we noma😢❤

  • @khamismbaruk0017
    @khamismbaruk0017 4 месяца назад

    Kazi nzur Sana big up Sana kwa kazi safii

  • @mathiaslyamunda2526
    @mathiaslyamunda2526 3 месяца назад +1

    Kulukutanta manteteleee 😂😂😂😂

  • @Mwashinge255
    @Mwashinge255 3 месяца назад +1

    Kazi bomba toka kwa watu makini kazi zuri sana kaka

  • @ShofaShofaa
    @ShofaShofaa 2 месяца назад

    Ila zinga 😂😂😂😂😂❤❤❤❤nakupend bure

  • @peterfujokalogi7821
    @peterfujokalogi7821 4 месяца назад +4

    Waliokuja wakijua ni mkoba wa mama like hapa

    • @dr.mgungo1429
      @dr.mgungo1429 3 месяца назад

      Mkoba wa mama ipo Kweny akaunti ya Tanu

  • @MussaBustotant-dd8ty
    @MussaBustotant-dd8ty 4 месяца назад

    Rekebisheni sauti love from 🇧🇮🇧🇮🇧🇮

    • @juma3049
      @juma3049 4 месяца назад

      Nunua simu bro,shida ya sauti mbona wengine hatuoni

  • @TurencySelemane
    @TurencySelemane 3 месяца назад

    True love from Moçambicano❤❤❤

  • @ramadhaniilali6114
    @ramadhaniilali6114 4 месяца назад +2

    From Europe tujuane 🎉chili ongera sana kazi nzuri pia mungu ajalie khr mzidi kushirikiana

    • @MajaniZaza
      @MajaniZaza 4 месяца назад

      Europer somewhere??

  • @AmaniChari
    @AmaniChari 4 месяца назад +1

    Hii ya moto kwa kwel

  • @LeticiaKilian
    @LeticiaKilian 4 месяца назад +1

    Kazi mzuri sanaaa

  • @pendorobert3552
    @pendorobert3552 3 месяца назад +2

    Jaman waganga na wachawi si ndo hao hao au😅

    • @issaKighanga
      @issaKighanga Месяц назад

      Hata mimi sielewi wana ni confusd😅😅

  • @DonMooFILMES_Express
    @DonMooFILMES_Express 4 месяца назад +10

    Chili nikikuona natamani sana umvute na Ringo kwenye Clam Gang ili kamati ya Chili na Ringk irudi hewani. Nimekumbuka sana ile sauti yako ya kisauti 😂😂

  • @cleartzboy
    @cleartzboy 3 месяца назад +3

    Chill unapofanya Kaz na watu make sure unachagua watu sahihi na watu wanao hitaji mfike mbali usfanye Kaz nawatu kwajil Wana majina ushaur

  • @Elijahfondo.
    @Elijahfondo. 3 месяца назад +2

    Kama unapenda maneno ya kipatara 😂😂😂 like amefanyiwa vipima vya track sound

  • @king-gtv2010
    @king-gtv2010 4 месяца назад

    Chili mwana wa sosi legend

  • @PendoJoseph-vm1oc
    @PendoJoseph-vm1oc 3 месяца назад +1

    Nampendaga abigaeli akiwa mchawi

  • @johnrogeo2161
    @johnrogeo2161 3 месяца назад +1

    kali sana, nangoja...

  • @RamadhaniSeif-x7t
    @RamadhaniSeif-x7t 3 месяца назад +2

    Aisee mala nyingi huyu BLOO CHILI nikamtazama akiwa katika hayo mavazi kiukweli mboni Zang hulengwa lengwa na machozi

  • @BonfaceKipsang-v5u
    @BonfaceKipsang-v5u 4 месяца назад +2

    Akimbire wapi per kumpatira😅😅

  • @RosemaryTurihongerwa
    @RosemaryTurihongerwa 2 месяца назад +1

    Kiboko❤❤❤❤❤

  • @EspoirJames-nd9bt
    @EspoirJames-nd9bt 4 месяца назад

    Nakufata vizuri brother

  • @travelwithme14
    @travelwithme14 4 месяца назад +1

    All the best Villa

  • @ErgieNyembo
    @ErgieNyembo 3 месяца назад +1

    Vizuri 🎉🎉🎉🎉

  • @boazileonard6721
    @boazileonard6721 4 месяца назад +1

    jamani tena mkoba wa bibi duhh mngetafta jina jingine maana kuna mkoba wa mama kule kwa tanu na wasanii ni wale wale

  • @AbduliAshiru
    @AbduliAshiru Месяц назад

    Ni noma sana hiii move

  • @Mariamsalim-u7t
    @Mariamsalim-u7t 2 месяца назад +1

    Mwinyiii🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @hansthegreat8423
    @hansthegreat8423 4 месяца назад +3

    Unyama

  • @JakoboStaita
    @JakoboStaita 3 месяца назад +1

    Chiri mwana wasosi kunya sini kuarisha matata nakukubari kinoma

  • @YunussOmarAli
    @YunussOmarAli 3 месяца назад +2

    Moçambique 😂😂😂🎉🎉

  • @BEATRICEMASEKE-x5i
    @BEATRICEMASEKE-x5i 3 месяца назад

    Kipara mbn my darling nyingi😂😂

  • @fettyflowers8001
    @fettyflowers8001 4 месяца назад

    Extra sound 😂😂 kiparaaa wee

  • @AthumaniMsangi-f4i
    @AthumaniMsangi-f4i 4 месяца назад

    Kaaanjela mbangoooo eeeeeee kanjela mbangoooooo

  • @AlinaNizigama
    @AlinaNizigama 3 месяца назад +2

    Ndomala yakwanza kuona bibi migomba akiwa kichwa wazi