Hatuna siku maalum ya kutoa Ila kinachofanya tunachelewa ni kwasababu tunapamba tufanye kitu kizuri na chatofauti Hivyo ni lazima uchukue time Mtuvumilie🙏🤝
Ananifurahisha sana uyu mganga alivyocheza unaweza kuzani sio mganga kumbe yuko vzr na nimejifunza kua sio lazima character ya uganga ucheze kwa kupiga makelele tu unaweza ukawa mtulivu na mambo yakawa fresh tu nice sana Dubu kazi nzuri 👏👏👏👏👏👏👏
Kwanza pole sana dubu kwa matatizo yanayo kusibu kwa sasa mana upo kwenye mtian mkubwa sana ajra pole sana tunashukur kwa kazi nzuri mwenyezi mungu akuzidishien kipaji chenu insha allah 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Dubu nakukubali Sana unajua Tena zaid ya kujua unaweza kupangilia episode zako vizur na chengine mwambie Nyan ngwengwe namkubali Sana usimwache alafu wewe udugu WANGU🤣🤣🤣
Pole sana hajra kwa changamoto unazo pitia Allah Akupe wepesi inshaAllah na kila kitu kitkuwa sw inshaAllah..movie kali sna Allah awape vipaji zaid washirika nyote
@ZenaKambi-d6n Binadam tu ndugu wenye husda ila inshaAllah Allah atamfanyia wepesi kila kitu kutkuwa sw...Mungu Yuko n yy asikose kumuomba kila afanyalo jambo
Dubu kazi nzuri sana ongereni Sana wote ila mko nakawisha movie zenu ilo njo tatizo zenu muwe watu wakufanya kila juma mnatosha ata vipande viwili itakuwa bora sana sana
Me nmekuelewa sana dubu zwez lalamika kwa kuchelewa kwa Kaz yako nmeiskilza interview yako cna nachokudai kwa kuchelewa kwa Kaz mrad ukitoa znakua kubwa barikiwa sana na wanaokutafuta kwa ubaya mungu c wakwao peke ao awadumishe katika penz lenu ww na hajra
❤❤❤❤nawaelewa Sana mnajua mpaka mnajua Tena ila naomba kujua inatoka lini na lini
Hatuna siku maalum ya kutoa Ila kinachofanya tunachelewa ni kwasababu tunapamba tufanye kitu kizuri na chatofauti Hivyo ni lazima uchukue time Mtuvumilie🙏🤝
Kaz nzuri kakak@@OfficialDubu_tz
Safi sana brother nawakubali sana hasa wewe mwamba dubu tz one love❤@@OfficialDubu_tz
@OfficialDuu_tz 😂😂😂Asa huyu mganga au mandonga mtu kaz
Bas kama niivyo 2ongezeen dakik inachelewa alf bd inakuwa fupi sana mna2kosesha utamu bhaaaan@@OfficialDubu_tz
Team dubu tupitianeni❤❤❤❤jameni🎉🎉🎉 Dubu kazi nzuri
Kazi Safi sana kama unamkubali mwamba weka alam ya upendo apa na sapoti zenu muimu sana 🎉🎉🎉🎉
@@ZebuuFilm oy kaka
Alafu wewe Kp...........wacha ninyamaze tu
Kp had uku ume toka Kwa mast
Unawahi kaka🎉🎉❤❤
❤🎉❤🎉❤🎉❤
Safi sana dubu na tem yako hongereni sana ila mwatucheleweshea sana hii move ila mko vzr san nk hapa kutoka kenya 🇰🇪 🎉🎉❤
Hajra hongera sana kwa kujistiri
Sante Dubu nafurahi sana kwa kazi yako pia naombe uendelee kuwaonyesha kua huwezi lolote
Tujuane tulio muona mrembo😂😂
Mwalimu moto ana mistari hatari😂😂😂😂😂
Kanzi nzur kaka dubu ubay ubwela😅😅
Kaz nzur sana my friend 🙏🙏🙏
Kazi nzuri sana ila mnachelewesha sana
Nakubali xna man dubu ❤❤❤
😂😂😂😂uyu mwal mgen kazua balaa...😅😅😅😅😅
Hii Kali sana mwalimu ngwengwe eeh 🤣🤣🤣 mnafanya movie inakuwa tamu
Napenda Sana movie zenu kutoka Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hongera sana dubu kazi nzuli ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😂🎉
UBAYA UBWELA HAHAHA NAWAPENDA SANA HAO JAMAAA😅
Ngina mwalimu moto 😂😂
Aiseeh!! Mwalimu nyaningwengwe na mwalimu moto wananifuraisha sahna pia kazi ni nzuri sahna Dubu
dubu akishaonekana zobaaa haaminiki😂😂
Noma sana kazi nzuri Dubu 😍
Dubu vizuri masha allah🎉🎉🎉🎉
Kazi nzuri sana kama unamkubali dubu weka alama ya upendo apa na sapoti zenu muhimu sana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Ananifurahisha sana uyu mganga alivyocheza unaweza kuzani sio mganga kumbe yuko vzr na nimejifunza kua sio lazima character ya uganga ucheze kwa kupiga makelele tu unaweza ukawa mtulivu na mambo yakawa fresh tu nice sana Dubu kazi nzuri 👏👏👏👏👏👏👏
🙏🙏
Kaja na style ya kivyake
Ndugu yangu dubu Kazi zinachelewa sana
Kwanza pole sana dubu kwa matatizo yanayo kusibu kwa sasa mana upo kwenye mtian mkubwa sana ajra pole sana tunashukur kwa kazi nzuri mwenyezi mungu akuzidishien kipaji chenu insha allah 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
🙏❤️
❤️❤️🫂🇨🇩🇨🇩🇨🇩Kalemie
🙏❤
Muko vizuriiii❤❤❤
🥰
You people you actually act so good.
I love your actress.
You all look beautiful and others handsome.❤🎉😅.😂😂😂.
Nakukubali Sana dubu❤❤❤❤
Like za Dubu kitorondo na chobi zikae hapa 😭❤❤
Kazi tam mzee dubuu nakubali shoo🎉
Dhambii et usimuamini kibonge yoyote nimelia sana🤣🤣🤣🤣🤣🤣😭
Hawatufanyii poa😂
@aishaomar2287 yaani😂😂😭
@@CelineSalum-w2q ye mwnyw da hajra kibonge😂
❤❤❤❤❤❤Dubu kazi nzuri Sana unastaili 🎉🎉🎉🎉🎉maua yako ongera sana
🙏
Asa mbon dumu ana aza kuonesha nguvu zake
Kazi zuri sana mm apa kutoka kenya🎉🎉🎉
Nimewahi na Mm leo Asante dubu
Mrembo mpya Hana Baya😂😂😂
Dubu ❤❤I miss you so much❤❤hata nilikua nimeboeka ❤❤
Dubu nakukubali Sana unajua Tena zaid ya kujua unaweza kupangilia episode zako vizur na chengine mwambie Nyan ngwengwe namkubali Sana usimwache alafu wewe udugu WANGU🤣🤣🤣
🙏🙏
Kazi nzuri Dubu
Pisikari yangu madonga bona umepoa😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Nakubali sana dubu hujawahi kutuangusha❤🎉
Mwalimu moto anajua kujitetea hila huyo mrembo wah,,,from kenya na penda kazi zenu
Pole sana hajra kwa changamoto unazo pitia Allah Akupe wepesi inshaAllah na kila kitu kitkuwa sw inshaAllah..movie kali sna Allah awape vipaji zaid washirika nyote
Amiin Inshaallah ❤️
Amiin,Shukran InshaAllah 🤲♥️
Ana nn kwan maana niliona kapostiwa ila cjui kinachoendelea 😢😢😢
@ZenaKambi-d6n Binadam tu ndugu wenye husda ila inshaAllah Allah atamfanyia wepesi kila kitu kutkuwa sw...Mungu Yuko n yy asikose kumuomba kila afanyalo jambo
Amiin habibty,shukran sana❤@@faridahally6314
Kazi 👌ila pole sana dubu kwa matatiz yanayokukumba mungu yupamoja nawe🤲
Amiin Inshaallah
Safi sana Dubu Kwa kuwaokoa Kitorondo na Chobi🌹🌹🌹
Jamani nimekawia ila uyo mganga ananifurahisha 😂😂😂nimandonga
Dubu kazi nzuri sana ongereni Sana wote ila mko nakawisha movie zenu ilo njo tatizo zenu muwe watu wakufanya kila juma mnatosha ata vipande viwili itakuwa bora sana sana
Daaah ila chingi😂😂😂😂😂😂
Ila Mwalimu Hajra jamani 😂😂😂😂kwa iyo tusiwaamini vibonge sio😂😂😂❤
😜
Yani mm kibonge apa nalia tu😒
@aishaomar2287 tushaambiwa tusiwaamini🤣🤣🤣basi nahisi upo kama misondo😂
@Awoshy sijapendaaa😅
Kazi nzuri sana dubu🎉🎉🎉❤❤❤ shida muna chelewa sana
Safi Sana dubu kwa kazi nzuri nime enjoy Leo ulipomsaidia chobwi na kitorondo
❤️
😢Kweli KABC at a mim nimefulayi
Kazi nzur san dubu
😂😂😂😂😂mganga ma karet
@dubu uko na nguvu nyingi broo za kupambana na hyo mwalimu ili mpate mama yako🙌🙌🙌🚶🚶
Isicheleweshe sana dubu jaman,ila ongera sana Allah azidi kukuenua❤❤
🙏
Daaah nawapa salute wote mlioshiliki humu ndan mwahii movie 💯💯💯💯💯💯💯
Mnakawiza sana movie mjitahidi sasa
From Kenya 🇰🇪 😂Iyo part ya maneno hayo si mageni jijini you nailed it Dubu
Tujuane tulioelewa matunguli ya mganga ni ngumi❤
Nawakubali sana awaa 🥰🥰🥰🥰
😂😂😂😂😂😂huyu mganga hata akikutapeli unamsamee kwakweli 😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂😂
Chingi mbwembwe nyingi sana, Kaz kidogo
Namkubali sana dubu
Chobi,kitolondo n dubu much love❤❤❤🎉🎉🎉
🥰
Daahh sem safi bloo unaweza
❤❤❤❤❤ vicheko nyani na tumishi moto 🎉🎉
Nimechelewa kidogo lakini nimefika.sijui nikae wapi wapi wapi......😂
Chingi n mandoga ba bonge metayari walimu waogezeka tu mke hyoo mabuti😂😂mwalimu mgeni wa 🔥🔥🔥🔥
😂😂😂😂😂😂😂 jamn dub nimefurah kusikia kwamba maneni haya siyo magen jijin labda kwawagen wajiji
Dubu safi sana sasa kitorondo na chobi watukuwa sawa❤❤❤❤❤❤❤
Mbona mumetoa chache vipande😂❤😂❤😂❤😂❤😂❤❤❤
Kazi nzuri sana niko pamoja na ninyi😊
Congratulations dubu really appreciate that much love from saudia Arabia ❤❤❤🎉
Anae kubali dubu anajua kuigiza weka mikono juu n pia mpeeni ua lake langu ilo apa🌹
❤🎉
Hii movi mnachekesha😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤kukupambana na mzimu mh sio poa
Waaaao Move yetu Pendwa Ishakuja Ahsnte Dubu Wacha Nikupe Maua yko🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
mmmmh kutoka kenya 🇰🇪 naipenda saba hii tamthilia
Kazi nzuri sana dubu 🇲🇿
Bom trabalho, gosto muito dos vossos trabalhos.......mas forças....💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪
Apartir de Moçambique
Kazi nzuri sana ❤
Hata mm naombeni like hata moja
Dubu naomba mwalim moto na uyu mwenzake watoe hawana kazi😂
Kaz nzur. Msicheleweshe kutoa jmn man🎉🎉🎉 ttunaisibili kwa hamu inafitaa❤❤❤❤
Watoto wa shetani et eeh 😊 continue
Kazi nzuri sana dah! Mnajua❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Ya moto sana hii jmn❤❤❤
Kazi nzuri team dubu,
mwalimu moto mtoto wa2000🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kazi safi sana Dube Dubu nakukubali sana mwanangu na kwako SIhami ngoo
🙏
Dubu good job,,,,, am from kenya here🙏🏿🙏🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿
Wow Dubu kazi nzuri sana ❤❤❤❤
kazi nzuri sana nwakubali kinoma noma💞
Jamani Leo nimewahi kutoka Zanzibar like Kwa dubu hapa 😅😅
Wp iy xhoga
Kazi ni nzuri sana dubu🎉ila unavaa ubadirishe hao waigizaji maana tumewazoea hadi wanaboo😢🎉much love from kenya🎉
Leo nimewahi na 55minutes🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤naombeni like hata 2
Mbona mwalim Leo kapoa sana huy mwalim wa like amepoa jamani 😢😢😢😢😢😢
Bado amja sema namtasema😂❤⚡⚡🍀🌷
Kaz nzuri broo bla kumsahau chidada changu hajra ❤❤❤🎉🎉🎉
❤️
Kumbe wachawi nao huwa wanapenda🤣🤣🤣🤣
Me nmekuelewa sana dubu zwez lalamika kwa kuchelewa kwa Kaz yako nmeiskilza interview yako cna nachokudai kwa kuchelewa kwa Kaz mrad ukitoa znakua kubwa barikiwa sana na wanaokutafuta kwa ubaya mungu c wakwao peke ao awadumishe katika penz lenu ww na hajra
Amiin Inshaallah ❤️
Asanteh kipenzi, ubarikiwe ❤
Nawapenda san jmn team dubu 😂😂😂burudan kama kawa ❤❤❤❤
Dubu hata akichelewa huwa analeta mazuli, nakuaminia endelea vivyo hivyo❤
🙏🙏