MAGIC SCHOOL | ep 11 |

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 янв 2025

Комментарии •

  • @ashrafurajabu-nw9gd
    @ashrafurajabu-nw9gd Месяц назад +62

    halooo tom and jerry namaanisha NYANI NGWENGWE NA MOTO hhahah hatarii sana gonga like hapa MHESHIMIWA DUBU

  • @NomaFantastic
    @NomaFantastic 28 дней назад +8

    Safi sana dubu kazi nzuri❤❤❤

  • @MasterSteve254
    @MasterSteve254 Месяц назад +3

    Kazi nzuri Sana natoka Kenya😅😅😅

  • @doctorsharifusharifutibatv8469
    @doctorsharifusharifutibatv8469 Месяц назад +6

    Mko vizuri sana

  • @SabrinaLilian-z4j
    @SabrinaLilian-z4j Месяц назад +3

    Kazi hiyo hapo nzuri sana

  • @ButoyiRukiya
    @ButoyiRukiya Месяц назад +6

    😂😂😂😂 mwalim Moto kumbe Yuko vizuri jamani

  • @ZalhaMbarka
    @ZalhaMbarka Месяц назад +5

    😂😂wallah nimecheka nyani ngwengwe mdomo mrefu kwa ujuba kwenye mapambano sifur ❤❤ ila nawapend mpo vizur hajra pia mauwa yako nakupenda jinsi unavo jistir ushungi haukutoki❤❤❤

  • @Sayd-pi5lq
    @Sayd-pi5lq Месяц назад +8

    Duh atareee wallah mwalim moto anatishaaa😂😂😂

  • @Casmirors
    @Casmirors Месяц назад +47

    Wanaomkubali dubu kwakutoa kazi nzuri kama mimi weka like hapa🎉🎉🎉🎉😂😂

  • @Professor.Irene95
    @Professor.Irene95 Месяц назад +5

    Dubu anafanya kazi nzuli sana tuzidi kumsaport awe mbali zaidi ❤️❤️❤️❤️ much love kazi nzuli

  • @ZZawadi-s5v
    @ZZawadi-s5v Месяц назад +7

    Hajra maua kwa anjili ya dubu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @aishaomar2287
    @aishaomar2287 Месяц назад +5

    Mizimu ya team dubu😂😂😂...mganga ni 🔥 ila kapelekewa moto na mtumishi moto😊

  • @HabibtySamirah
    @HabibtySamirah Месяц назад +3

    Safi sana dubu unanifurahushs mpaka basi naipenda kazi yako na Mungu ukupe ufaham zaidi uzidi kutuletea vitu vyenye mafunzo mazuri

  • @AsadMwalim
    @AsadMwalim Месяц назад +2

    😂😂😂 mwalimu hajra kam mchawi vile

  • @MWANAISHAMTENGO
    @MWANAISHAMTENGO Месяц назад +3

    Kazi nzuri team dubu

  • @nyamiziramadhani4232
    @nyamiziramadhani4232 Месяц назад +3

    dubu😂😂😂😂😂 kqona weraaaaa ananguvu sanaaaa

  • @ibrahimukombe
    @ibrahimukombe Месяц назад +3

    😂😂😂😂😂 @dubu umeona sema ukweli🙆🙆🙆

  • @Msaniitz
    @Msaniitz Месяц назад +3

    Dubu dubu dubu una kazi nzuri unaitajika kupewa zawadi kwa kweli ongera sana kazi ni nzuri na nimeipenda sana ❤❤❤❤❤❤

  • @alhajisabigoro2408
    @alhajisabigoro2408 Месяц назад +4

    Huyu Mganga🤣😂😂

  • @NasraFahmy-j9y
    @NasraFahmy-j9y Месяц назад +3

    Nyie uy mgang mmemuona ap kifuwani😂😂😂

  • @MrambaKii-chone
    @MrambaKii-chone Месяц назад +4

    Nice dubu hapo safiii naipenda hyo ngangana usaidie mamako

  • @ashydee828
    @ashydee828 Месяц назад +8

    Kazi nzuri 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @BabyCharles-jl3gv
    @BabyCharles-jl3gv Месяц назад +3

    Yaaan hii ni nzuri jamn dah😢 dubu msiwe mnachelewa kutoa jamn dah

  • @AminaDibwe
    @AminaDibwe Месяц назад +8

    Jamani nawapenda sana timu dubu ❤

  • @SophiaMabula
    @SophiaMabula Месяц назад +12

    Dubu upo vzr kaka 2po pamoja Hadi final

  • @lizchepkorir2000
    @lizchepkorir2000 Месяц назад +3

    Karibu nichelewe😹😹big up dubu and your actors Jah Jah awasaidie na awazidishie siku zote🙏❤️ 🇰🇪

  • @QueenTelly-y5h
    @QueenTelly-y5h Месяц назад +3

    Safi sana dubu,chingi na wengineo kwakweli munafanya vizuri

  • @meshackntibukigwa
    @meshackntibukigwa Месяц назад +3

    Asante safi sana Dubu Tz kwa kujali ombi la jana,barikiwa sana nainjoy tu umu umu

  • @jonathansimovwe4013
    @jonathansimovwe4013 Месяц назад +3

    Mwendelezo munachelewa sana

  • @everdhekay4924
    @everdhekay4924 Месяц назад +3

    Dubu mwanangu unatisha👏👏👏

  • @selemanhamoud5239
    @selemanhamoud5239 Месяц назад +2

    Nakubali mwanangu🎉

  • @MasterSteve254
    @MasterSteve254 Месяц назад +3

    Na pia naombeni mumsapport bro wangu master Steve media❤❤❤

  • @NasraFahmy-j9y
    @NasraFahmy-j9y Месяц назад +3

    Nyie hii movie mbn 🔥🔥🔥🔥 maan heee iy skuli nixhaitamni na mn

  • @muchuiluke5521
    @muchuiluke5521 Месяц назад +2

    Dubu kazi yako ni safi sana ila zinakawia jamani

  • @AmaniNangerembe
    @AmaniNangerembe Месяц назад +5

    Good nice one story brother dubu🎉🎉🎉🎉🎉

  • @JaphetKarisa-d4g
    @JaphetKarisa-d4g Месяц назад +2

    😂😂😂kimewaramba akina chingi

  • @ShakiraMohammed-e3d
    @ShakiraMohammed-e3d 24 дня назад +3

    Napenda kuigiza ila sijawai dah kaz nzuri sana dubu

  • @FaiSalum-g7p
    @FaiSalum-g7p Месяц назад +4

    Kali sana

  • @bettynyasuguta5816
    @bettynyasuguta5816 Месяц назад +3

    Kazi safi bro much love from kenya❤

  • @AugustinhoManyangaunitedboetz3
    @AugustinhoManyangaunitedboetz3 Месяц назад +3

    Familia hata mkichelewa kutoa kazi alaf mkatoa kazi nzuri kama hii mnanikosha sana big up kwa team nzima 🎉🎉❤

  • @mohamedlopa8410
    @mohamedlopa8410 Месяц назад +14

    Utakayesoma hii comment mungu akupe hitaji la moyo wako 💕🖐💗🤲🖐💗🤲🖐💗🤲🖐💗🤲🖐💗🤲

  • @GloireBanane
    @GloireBanane Месяц назад +3

    Yaani uyu mtaalamu hajuwi kuigiza kabisa, oovyo

  • @Awoshy
    @Awoshy Месяц назад +4

    Mwalimu moto wa 🔥🔥🔥🤣

  • @SaidiKombo-m2n
    @SaidiKombo-m2n 25 дней назад +2

    Wow.....ila mandog ana akili kinom yaniiii

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 Месяц назад +3

    Nakubali dubu hujawahi kufeli❤🎉

  • @Brunotarimo10
    @Brunotarimo10 Месяц назад +6

    Hongera ndugu kazi nzuri sana, Kutoka Gikombaa Nairobi

  • @ValelianaKayombo
    @ValelianaKayombo Месяц назад +4

    Ilaaa dubu mbonaa we nimuongoo😂😂

  • @DannyDarckKashavuson
    @DannyDarckKashavuson Месяц назад +3

    Kazi nzuri kbs bro wangu dubu🎉🎉

  • @ggfwtgg1652
    @ggfwtgg1652 Месяц назад +4

    Ubaya ubwela hhhhhh nimechelewa sanaaa jmn munipe maua yanyu kua wa mwisho 😅😅

  • @JescaMarykarisa
    @JescaMarykarisa Месяц назад +5

    Safi sana 🎉🎉🎉❤❤

  • @EyecandieDr
    @EyecandieDr Месяц назад +3

    Dubu is a creative man kudos to ua team too Mungu awawezeshe ata scenes zingine mje mpigie Kenya huku

  • @awemaqway1201
    @awemaqway1201 Месяц назад +3

    Et mwalimu hajra kama mchawi😂😂😂wakati ni mchawi😂😂

  • @AllyKhalphan
    @AllyKhalphan Месяц назад +2

    Unajua mwanangu ❤❤

  • @Busagotz
    @Busagotz 28 дней назад +3

    Sema hii movie ni kali lakini nakalbia kuiacha wanachelewa sana

    • @OfficialDubu_tz
      @OfficialDubu_tz  28 дней назад

      Dubu anaumwa Tumewataarifu watu kwa post Tangu juzi🤝

  • @Lydia-ju9cw
    @Lydia-ju9cw Месяц назад +2

    ❤❤❤❤mungu awabariki 🙏

  • @qaltumsaid3095
    @qaltumsaid3095 Месяц назад +6

    Wale wenzangu namie WA kuchelewa kuangalia huku tukisoma comment tujuane kwa like Ili tuweze kwenda sawa much love from 🇹🇿🇶🇦❤️❤️

  • @UrbanMunyalo
    @UrbanMunyalo Месяц назад +4

    Congrats Dubu...kazi nzuri sana ...much love from Nairobi Kenya ❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @tauphikihusseni
    @tauphikihusseni Месяц назад +2

    Hapo Sawa dubu tupo pamoja sana my brother 👍👍 mwanzo mwisho mpera mpera

  • @stellaayiera8038
    @stellaayiera8038 Месяц назад +4

    Mnajalisha sana inhaling tunawasubiria kila walati

  • @KevinBario-j5n
    @KevinBario-j5n Месяц назад +4

    Episode zinakawia sana#Dubu ady mtu anasahau alipo achia😢

  • @josephineotoyo2732
    @josephineotoyo2732 Месяц назад +3

    Hongera sana dubu keep going ❤

  • @mkacibeiib7278
    @mkacibeiib7278 Месяц назад +17

    wangpi wanakubali kazi za Dudu kama unamkubali eka alam ya upend na ulike jmn na tusonge mbele. 🎉🎉🎉

  • @DavisWalukaya
    @DavisWalukaya Месяц назад +19

    Wakwanza kutoka Kenya wapi likes zangu jamani 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @ElizabethJoseph-u6l
    @ElizabethJoseph-u6l Месяц назад +3

    Kazi nzuri🎉🎉

  • @sadickmagesa
    @sadickmagesa Месяц назад +9

    Kitorondo ana sura nzuri hadi anavutia

  • @eddybrowntz2951
    @eddybrowntz2951 Месяц назад +3

    Nikali hii nzuri zaidi tukutane a call to liberty

  • @robimwita628
    @robimwita628 Месяц назад +3

    Naomba kujua jina halisi la dubu

  • @LindahIkarede-e3v
    @LindahIkarede-e3v Месяц назад +3

    🎉kazi nzuri dubuu wapi like yake

  • @StevenyohanaYohana
    @StevenyohanaYohana Месяц назад +3

    Mnatucheleweshea sana bwana

  • @franciskioko6043
    @franciskioko6043 Месяц назад +2

    Kwisha wachawi wanaadhibiwa na mama ju hawakufaulu kuanqusha wezao, munqu naye ndie konqa mtajua hamjui😂😂😂❤❤

  • @LizieTopsha-254
    @LizieTopsha-254 Месяц назад +3

    Kidari 😂😂😂😂❤❤❤❤hilo eneo

  • @JibranMursali
    @JibranMursali Месяц назад +3

    Kidali mbona mnachelewa kutoa kitoto Cha elf mbili

  • @ZainabuCassim
    @ZainabuCassim Месяц назад +4

    Tatizo mnachelewesha sana

  • @RatifaIssa-oi1zu
    @RatifaIssa-oi1zu Месяц назад +2

    🎉🎉🎉🎉kitu kizur

  • @Emilymama2boys
    @Emilymama2boys Месяц назад +2

    Ila group ya chingi ni mbaya 🙌

  • @FatumaFatuma123
    @FatumaFatuma123 Месяц назад +3

    ❤❤❤❤ nawapenda sana

  • @GloryWillson
    @GloryWillson Месяц назад +5

    ❤ Dubu Na kaz yako MUNGU akupe maixha marefu

  • @StanslausWekesa
    @StanslausWekesa Месяц назад +6

    Wa kwanza kutoka kenya asante naomba like tano pekee

  • @silverstarflexrono
    @silverstarflexrono Месяц назад +2

    Usiwe unajelewa sana tubu

  • @BabyCharles-jl3gv
    @BabyCharles-jl3gv Месяц назад +3

    Mama chubi na wanae hapan kwakweli

  • @TwaibuKichombaki
    @TwaibuKichombaki Месяц назад +1

    Yupo vizur sana dubu

  • @hutahuta1170
    @hutahuta1170 Месяц назад +3

    🎉🎉🎉yenu

  • @GrandePiquiGrande
    @GrandePiquiGrande Месяц назад +5

    Yaleo Kali sana nimeipenda mno waliokuwa wakisubili kwa amu ichi kipande tujuwane apo kwenye like 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🥀🥀🥀

  • @gracekayumba-z9l
    @gracekayumba-z9l Месяц назад +2

    Ise mv imekuwa tamu

  • @FabriceKazungu-q8y
    @FabriceKazungu-q8y Месяц назад +2

    Apana njo Ku kawiya sana

  • @silverstarflexrono
    @silverstarflexrono Месяц назад +2

    Shida ya tubu ni moja tu anajelewesha

  • @ommyjr-z3u
    @ommyjr-z3u Месяц назад +1

    Hahahahahahahahahah nyani......ngwengwe na ..... Mzee moto......hahahahahahahhaah

  • @GloriaMtana
    @GloriaMtana Месяц назад +2

    Timu dubu like kwake❤❤❤❤

  • @bigirimanamakhluq2949
    @bigirimanamakhluq2949 Месяц назад +4

    Dubu
    anafanya kazi zuri

  • @AliMunga-c8n
    @AliMunga-c8n Месяц назад +1

    Kazi nzuri bro dubu big up sana

  • @Ekerenga045
    @Ekerenga045 Месяц назад +4

    I like your work so much

  • @everlinekenga437
    @everlinekenga437 Месяц назад +2

    Nawakubali ❤❤❤

  • @JasminMohammed-m8s
    @JasminMohammed-m8s Месяц назад +3

    Jamani mbona mnai chele wesha ya 12 basi mjitahidi

  • @AgnessMirisho
    @AgnessMirisho Месяц назад +4

    Muwe mnawaisha muv

  • @PerezQuenisha
    @PerezQuenisha Месяц назад +1

    Kazi nzuri sana dubu❤❤❤🎉🎉🎉

  • @hidayaabdallah4291
    @hidayaabdallah4291 Месяц назад +3

    Mbona iki kipande ni kifupi ivoo😢😢

  • @LatifaKe-i7x
    @LatifaKe-i7x Месяц назад +2

    Kaliiiiiiiiiiiiiii

  • @ZainabuMathias-x6p
    @ZainabuMathias-x6p Месяц назад +3

    Mauayako kaka dubu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @fatumaselemani3807
    @fatumaselemani3807 Месяц назад +3

    Mashallah ❤❤❤❤❤mungu abaliki sana kazi zenu mbona amtumi linki jamani

  • @JoselineJuma-r7o
    @JoselineJuma-r7o Месяц назад +1

    Kazi nzuri mnatuelimisha kila kukicha