KITU KIZITO FULL VIDEO HD

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 31 дек 2024

Комментарии • 456

  • @JamilaAbdul-o5h
    @JamilaAbdul-o5h 4 дня назад +1

    Zebuu hana mda kabisa hongela🎉🎉🎉

  • @BijumaRiziki
    @BijumaRiziki 3 месяца назад +24

    Tunajiita wanawake tuko na akili nyingi wallah waume ishini na sisi ki akili 😂😂😂😂😂, nimempenda Zebuu kma Dadangu chukua maua yko hayo🎉❤🎉❤🎉 big up kwa nyotee 🤜🤛🥰🥰, 🤣🤣🤣🤣🤣🤣.

    • @HusnaAdamu-u4z
      @HusnaAdamu-u4z Месяц назад +1

      Wale mashabiki wa kp na zebuu kidole juu👆

  • @richardelieza1001
    @richardelieza1001 4 месяца назад +98

    Kwa wanaoungana na Mimi kuwa hii nyumba ndo wanaigizia Mr money gonga like

  • @AminaSada-h4p
    @AminaSada-h4p Месяц назад +10

    Nimempenda Zebuu kama dadangu ebu chukua mauwa yako 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

    • @WasikeBrian-l1m
      @WasikeBrian-l1m Месяц назад

      kwa kweli kb na zebu mtanivunja mbafu ,Wana wake wote wangelikuwa kama Zebu wanaume hatungelikuwa na side dish.kb ujanja wako umeishia changwani kumbe una mbio hivyo.I luv u guys and I can't sleep without watching your movies keep on entertaining us

    • @CalvniHaule-gl7tp
      @CalvniHaule-gl7tp День назад

      Nampenda kp kama kaka yangu

  • @JordanGodfred
    @JordanGodfred 2 месяца назад +3

    Daaaah mmetisha nimechekaa sanaaa

  • @catherinengahy2896
    @catherinengahy2896 2 месяца назад +5

    Nakupenda zebuu naomba namba ako❤❤🎉

  • @JombaWay
    @JombaWay 4 месяца назад +11

    Zebuu wewe ndo furaha yetu❤❤❤❤❤❤❤

  • @JjwjjAljweej-s3y
    @JjwjjAljweej-s3y 4 месяца назад +15

    Kazi nzuri sana nawapenda sana kp na zebuu❤❤❤❤❤❤🎉🎉

  • @JullianaEmmanuel-tm5xg
    @JullianaEmmanuel-tm5xg 4 месяца назад +9

    Kasai unaweza kucheza kama asikari ,hongera

  • @VeronicaIbrahimu-n2f
    @VeronicaIbrahimu-n2f День назад

    Hongera Sana zebuu umetisha

  • @samuelyanosammypower
    @samuelyanosammypower 2 месяца назад +2

    Iko vizuri sana vidole viwili juu 🇨🇩🇨🇩✌️✌️

  • @AnnaMundia-d3o
    @AnnaMundia-d3o 4 месяца назад +2

    Umemuadhibu vizuri mno..hongera

  • @EliasGwaya
    @EliasGwaya 2 месяца назад +1

    😂😂😂iyo dawa nzuri kwa wakware,

  • @emorutnicholas1893
    @emorutnicholas1893 4 месяца назад +4

    Watching from 254🥰

  • @chavaklassick-o3y
    @chavaklassick-o3y Месяц назад

    mubarikiwe zeebu na kp wa aquino

  • @hamzaIlunga
    @hamzaIlunga 3 месяца назад +9

    From zambia lusaka 🇿🇲🇿🇲 unajuwa kazi Kaka mkubwa tupia like zangu apo atakama nimechelewa kidogo team aquino

  • @AaronRotich-x8w
    @AaronRotich-x8w 22 часа назад

    Zebu hapa Ako best dana😮😮😮😮❤

  • @ireneinnocent4128
    @ireneinnocent4128 27 дней назад

    Nyie kiboko alafu mnafanana na mmependezeana sana. Munguawatunze. Nimecheka mapaka machozi yamenitoka. Mnakula mb zangu kihalali

  • @Herriethchristopher-k2v
    @Herriethchristopher-k2v Месяц назад

    Nmependa sana yaan wanaume bana sijui wapoje yaan hiyo inaonesha binadamu jinsi tulivyo I love you dadaa❤❤💙

  • @rogathembise
    @rogathembise 4 месяца назад +30

    Kazi nzuri jmn nawapenda San kp na zebuu pamoja na kundi lako 😆

  • @mathewmlala6290
    @mathewmlala6290 4 месяца назад +9

    Mzee likoma huyo leo ajavaa uhalisia wa kizee

  • @Aminamwake
    @Aminamwake Месяц назад

    Kazi nzuri jmn nawapenda sana kp na zebuu pamoja n kundi lako

  • @mwajumalubuva
    @mwajumalubuva 4 месяца назад +5

    😂😂😂😂😂Manshallah kz nzuri kp na zebuu

  • @BundalaShija-yb4vo
    @BundalaShija-yb4vo 4 месяца назад +2

    Kisai na mwenzio mmetisha wanangu Big up sanaa😂😂😂😂

  • @HappyRuhiye
    @HappyRuhiye Месяц назад +1

    ❤❤nawapenda sn mov zenu

  • @lydiaauma877
    @lydiaauma877 4 месяца назад +6

    Kazi nzari from Kenya ❤❤❤❤❤❤❤

  • @NajmaJomy
    @NajmaJomy 3 месяца назад +1

    Zebuu katega voice .mwana kuyatuta mwana kuyapata 😂😂😂mume kitunguu maji auma

  • @RazackR
    @RazackR 3 месяца назад +1

    Nawakubali San team kp🎉❤❤

  • @FAITHKASITIOKONYO
    @FAITHKASITIOKONYO 4 месяца назад +6

    😂😂😂Who else was watching while laughing as well. Mimi nimeangalia meno yote ikiwa nje😂😂nawapenda bure guys❤🎉🎉

  • @Geofrey-o1g
    @Geofrey-o1g 24 дня назад

    Safi sana mr likoma ndo napenda sana mm

  • @LulupatrickJohn
    @LulupatrickJohn 3 месяца назад +1

    Hongeri timu bora sna

  • @jamessamwel9456
    @jamessamwel9456 4 месяца назад +3

    inafundsha,inaelimisha na pia inaburudisha🎉

  • @JullianaEmmanuel-tm5xg
    @JullianaEmmanuel-tm5xg 4 месяца назад +8

    Kiboko yake kp n Zebuu, , Zebuu ila una moyo na ujasili hongera kpnz

  • @HassanMbithaKitsao-t5y
    @HassanMbithaKitsao-t5y 3 месяца назад +1

    Waaah.,... Wallah ngoma inamvuto balaa ila niseme tu Viking Umeuwa babaa, keep it up.

  • @KhaizoPleish-hm5td
    @KhaizoPleish-hm5td 2 месяца назад +3

    Mambo balaa kushanukaa😂😂😂😂 mmmmh itakuaje

  • @JustinaWilliam-nq8ft
    @JustinaWilliam-nq8ft 4 месяца назад +4

    Jamani nzuri sana ila wapi suraji ❤❤❤

  • @JosephFidelisSamson
    @JosephFidelisSamson 3 месяца назад +3

    Kaz nzur mungu awabarik

  • @LinetLinetadekepetar
    @LinetLinetadekepetar 3 месяца назад +2

    Daaaah imeweza sana❤❤❤❤❤

  • @hadijamshimbula7616
    @hadijamshimbula7616 4 месяца назад +3

    Hongera kisai kwa kupata Chanel yko🎉🎉🎉

  • @BahatiKadenge-n5r
    @BahatiKadenge-n5r 4 месяца назад +4

    Wau❤❤❤kazi njuri sana

  • @FestusNyangweso
    @FestusNyangweso 4 месяца назад +3

    Team kp nawapenda sana❤❤❤❤❤

  • @MaliciousMrema
    @MaliciousMrema 4 месяца назад +4

    Kubabakeeeeeeeee 😂😂😂😂😂🙌 ujawah tuangushaa zebuu 😂😂😂😂🙌

  • @StacyChebet-j2t
    @StacyChebet-j2t Месяц назад

    Kazi nzuri sana nawapenda tu sana kp na zebuuuu 💝💝💝💝🎉🎉🎉

  • @EzromKasind
    @EzromKasind 4 месяца назад +3

    Daahh naumwa lakini nmejikuta nacheka kwa saut😂😂

  • @SalumuMtimbinya
    @SalumuMtimbinya 4 месяца назад +1

    Waooh likoma mekuona kwenye umbo lako mefurah

  • @CralaMadete-m2j
    @CralaMadete-m2j 2 месяца назад

    Ninawapenda sana kepi na zebu nikimuona kepi nikamanimemuona mchumba wangu

  • @RainessCleophacy-i1i
    @RainessCleophacy-i1i 16 дней назад

    Zebuu nkupenda cn n kund lako pokea maua ❤❤🎉🎉

  • @RoseNyakarungu-u4b
    @RoseNyakarungu-u4b Месяц назад

    Kp na zebuu wanapendana ❤wapewe Maua yao

  • @FurahaPetro-ly8jc
    @FurahaPetro-ly8jc 3 месяца назад +3

    Jamani mmenifurahisha sana😊😂😂😂

  • @OkwiriSenior-x8k
    @OkwiriSenior-x8k 4 месяца назад +1

    Kp na zebuu kazi mzuri sana nawapenda❤❤❤❤

  • @Josy-cs9mf
    @Josy-cs9mf 3 месяца назад +1

    Zebuu na kp nawakubali sana kazi nzuri😂😂😂❤❤❤❤

  • @mwajumalubuva
    @mwajumalubuva 4 месяца назад +3

    Safi Sana vijana kp unjaja Hana 😂😂😂😂Zebuu

  • @bitishoriziki5585
    @bitishoriziki5585 3 месяца назад +1

    Wow nice movie zako nzuri ❤️🙏🏼

  • @ConsolateKwizerimana-iy2mh
    @ConsolateKwizerimana-iy2mh 4 месяца назад +2

    Wakwanza from Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @zzy5590
    @zzy5590 2 месяца назад

    Zeibuu 😂😂😂punguza kicheko mama weee hpo umeweza deat siz🙌🙌🙌💪💪💪👍👍

  • @shahrayn93
    @shahrayn93 4 месяца назад +4

    Ila KP ZEBUU anakuendesha sna pka umefikia kwa maombi😂😂😂😂fire fire fire shindwe😂😂😂😂😂

    • @GillesiJuma
      @GillesiJuma 3 месяца назад

      Mwana kulitafuta mwanakukipata

    • @GillesiJuma
      @GillesiJuma 3 месяца назад

      Wanaume mjif
      unze

  • @everlynlyn7863
    @everlynlyn7863 4 месяца назад +1

    Congrats dear zebuu kumbe unadawa tamu kweli😂😂😂😂😂 ❤❤❤❤

  • @Ashaherry-e7f
    @Ashaherry-e7f 3 месяца назад +1

    Ila Likoma na kisai nyie....mmeuwa Sana big up sana😂😂😂😂🔥🔥🙌🙌🔥🙌

  • @ThierryNduwayesu
    @ThierryNduwayesu 3 месяца назад +2

    Mr kisai😂😂😂😂 muzee likoma kp na zebuu❤❤❤

  • @LinahUmazi-x4z
    @LinahUmazi-x4z 4 месяца назад +3

    Nawapenda sana 😅😅❤

  • @JasumthaJoseph
    @JasumthaJoseph Месяц назад

    Nawakubali sana yani mmetisha adi so pw yan🎉🎉🎉🎉🎉

  • @ErfEff-k6w
    @ErfEff-k6w 3 месяца назад +1

    Jaman zebuu unasaut nzur Sana nakupenda💕💕💕

  • @DavidMarash-su6eu
    @DavidMarash-su6eu 21 день назад

    Atajua hajui maana wewe kwa mission zako hujawahi kukosea

  • @HassanAhmed-di9jq
    @HassanAhmed-di9jq 4 месяца назад +2

    Mie iyo move yote nilkua siitizami nilikua natizama apo kifuani tuu palivyopendeza duu hatar lakin salama 😂😂😂😂❤❤

  • @WilliamVincent-i8w
    @WilliamVincent-i8w 2 месяца назад +1

    zeb umetisha kwa hiyo plan au mnasemj mselaaa😮😮😮

  • @ramja93
    @ramja93 3 месяца назад +2

    Dawa nzuri kwa wanaochiti

  • @leakeyojiambo1423
    @leakeyojiambo1423 4 месяца назад +3

    The hunter became hunted, ipo sawa

  • @IpindaHealthCentre
    @IpindaHealthCentre 3 месяца назад +1

    nawapenda sana kp na zebuu

  • @mwamwajatv8410
    @mwamwajatv8410 4 месяца назад +2

    Aisee hongera sana jamani

  • @hassantupa
    @hassantupa 2 месяца назад +3

    Daah! Nimecheka yani nimejikuta tu nacheka kama na Mimi nipo na zebuu vile tunacheka kwakweli aisee daah l!😂😂😂😂😂

  • @SetiMBANGU
    @SetiMBANGU 3 месяца назад +1

    Hongera sana zebuu❤❤❤❤

  • @ElizabethkenderiKashi
    @ElizabethkenderiKashi Месяц назад

    Nawapenda bure ❤

  • @ErnestKapaya
    @ErnestKapaya 3 месяца назад +2

    ❤nikupenda Bure dada yangu

  • @ronyalkh
    @ronyalkh 4 месяца назад +2

    Kp kaokoka jaman daah zebuu uko na vituko

  • @FurahaHamisi-s1x
    @FurahaHamisi-s1x 4 месяца назад +5

    Likoma ety nimemic kwenda jela 😂😂

  • @BenjaminBeja-uh5hu
    @BenjaminBeja-uh5hu 3 дня назад

    Zebuu kwakweli unakili ndefu sana

  • @Shuzawairish
    @Shuzawairish 3 месяца назад +2

    mzee likoma anatisha

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 3 месяца назад +1

    Hawa jamaa wana kitu ni waigizaji wazuri sana!

  • @PeterSebastian-o6r
    @PeterSebastian-o6r 3 месяца назад +1

    Waah nawapenda Sana

  • @BahavuPiusmwabilou
    @BahavuPiusmwabilou 2 месяца назад

    Na miye ni pius toka goma Congo drc nawamiss sana kp Na zébu Na kundi yoto

  • @obwanchanitv
    @obwanchanitv 3 месяца назад

    I LOVE THIS , CREATIVITY YENU HEHEHE...NI KALI SANA

  • @NoorEesa
    @NoorEesa 4 месяца назад +2

    😂😂😂😂😂😂😂😂 akiamungu hii nimependa 😂😂😂😂

  • @KatavalyKambale
    @KatavalyKambale 4 месяца назад +4

    Leo likoma amerudi kijana, jamani😅❤😅

    • @liliy-u3n
      @liliy-u3n 4 месяца назад

      😂 likoma si Mzee

  • @clintoneijeji1054
    @clintoneijeji1054 4 месяца назад +1

    Nafurahia Sana Mzee likoma 😂😂😂😂😂😂😂

  • @JelardEbika
    @JelardEbika 3 месяца назад

    Mnafany vizr kpna zebuu big up san

  • @pauloipanga7881
    @pauloipanga7881 3 месяца назад +1

    Hiyo Kali Yao nimecha mbavu zangu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @bitishoriziki5585
    @bitishoriziki5585 3 месяца назад +1

    Mkute nawewe huko 🎉❤❤

  • @user-wh6kv7vf8d
    @user-wh6kv7vf8d 3 месяца назад +1

    Nzuri ongereni sana

  • @JacksoJasson
    @JacksoJasson 4 месяца назад +1

    kp na zebu nawapenda san pamoja na kisai

  • @OkwiriSenior-x8k
    @OkwiriSenior-x8k 4 месяца назад +2

    Kp na zebuu kazi mzuri sana nawapenda❤❤❤❤ 4:20

  • @LucyRafeali
    @LucyRafeali 4 месяца назад +1

    Nyie wwkaka wakali nimewakubali sana

  • @FidèleNibiraba
    @FidèleNibiraba 4 месяца назад +2

    😂😂😂😂😂😂 unanicekesh sana zebu

  • @EvelyneNziavakemuthangi
    @EvelyneNziavakemuthangi 2 месяца назад

    😀😀😀 jameni ina chekecha .na wapenda sana

  • @aishaomar2287
    @aishaomar2287 4 месяца назад +9

    Ila kp🤣🤣 mambo ya mikopo guest! Umalaya tu,maarifa aaa!

    • @Naima-v6x
      @Naima-v6x 3 месяца назад

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @AdamJack-m5d
      @AdamJack-m5d 3 месяца назад +1

      😂😂😂😂😂

  • @KhaizoPleish-hm5td
    @KhaizoPleish-hm5td 2 месяца назад

    Mmmmh hayaa mapenzii twaitazamia😂😂❤❤😂😂

  • @zawadichengokatana4750
    @zawadichengokatana4750 4 месяца назад +2

    Zebuu yani umejua kumukomesha 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @bakarimusa6297
    @bakarimusa6297 4 месяца назад +2

    Zebuu akili nyingi 😂😂😂😂

  • @SharonArusa
    @SharonArusa Месяц назад

    Nzuri sana daaa

  • @YusufuOmari-i2n
    @YusufuOmari-i2n Месяц назад

    hii kali kweli.inafurahishamno.

  • @aminachiziamina
    @aminachiziamina 3 месяца назад +1

    Zebu nmecheka balaa😂😂😂 umemueza