MAGIC SCHOOL | ep 13 |

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 янв 2025

Комментарии • 513

  • @IradukundaEvelyneEvelyne
    @IradukundaEvelyneEvelyne 27 дней назад +27

    Watu WA nampenda Dubu kama Mimi from Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮 tujuwane basi tuache roho mbaya🥰🥰🥰🥰❤️❤️❤️❤️🥰🥰🥰

    • @CheckBobu
      @CheckBobu 27 дней назад

      Mm APA 😊😊

  • @OfficialMaxKing
    @OfficialMaxKing 27 дней назад +78

    Hongera sana Dubu Nimehipenda sana hiyi movie wanaho mkubali dubu gongeni like hapa ❤❤

    • @mejubagu6825
      @mejubagu6825 27 дней назад +1

      Hunishindi naipenda sana

    • @ProtasChuwa
      @ProtasChuwa 27 дней назад +1

      Nakukubal pia

    • @msafilsamson1818
      @msafilsamson1818 8 дней назад +1

      𝚖𝚋𝚘𝚗𝚊 𝚊𝚗𝚊𝚌𝚑𝚎𝚕𝚎𝚠𝚊 𝚜𝚊𝚗𝚊 𝚔𝚞𝚙𝚘𝚜𝚝 𝚜𝚑𝚒𝚍𝚊 𝚗𝚗 𝚖𝚙𝚊𝚔𝚊 𝚖𝚘𝚟𝚒𝚎 𝚒𝚗𝚊𝚔𝚒𝚏𝚞 sasa🙁

  • @salhanassor5201
    @salhanassor5201 27 дней назад +17

    Waoo dubu tena katika ubora wake..pole kwa kuumwa udugu wangu Allah aendelee kukupa siha njema ili tuzidi kuburudika vipenzi vyako❤❤❤❤

  • @Mwathethe-qx3de
    @Mwathethe-qx3de 27 дней назад +23

    Mashabiki wenzangu mungu awabariki muuvuke mwaka Salama 🙏🙏

  • @PrinceJeyfour-f3y
    @PrinceJeyfour-f3y 28 дней назад +50

    Wapili kutoka Kenya 🇰🇪🇰🇪 kama unapenda kitorondo Na dubu npe lke

  • @GetrudaMashaka
    @GetrudaMashaka 27 дней назад +6

    KAZI nzuri sana ,nawatakia nyinyi wote mvuke mwaka sana mungu awabarikia sana ❤❤❤

  • @SamsonFilbert
    @SamsonFilbert 28 дней назад +9

    Good job dubu tz kongole sana nawapenda sana team dubu tz🎉🎉🎉

  • @MowakaMowaka
    @MowakaMowaka 27 дней назад +9

    Kazi nzuri san japokuwa unaweka fupi ongezeni dakika❤❤❤❤❤❤

  • @JohariMakinda
    @JohariMakinda 28 дней назад +10

    Nakupenda sana dubu kazi yako mzuri sanaaa

  • @mohamedlopa8410
    @mohamedlopa8410 28 дней назад +17

    Wa kwanza mm leo jaman utakayesoma hii mungu akubalik uweze kuvuka mwaka salama
    😂❤💙💦💙💦💙💦💙💦💙💦💙💙💦🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲

  • @AntoKiri-n4v
    @AntoKiri-n4v 28 дней назад +9

    Ndubu nakukubali Sana bro kazi suri 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Cheusi_media
    @Cheusi_media 28 дней назад +27

    BIG UP kwa wote ambao tupo pamoja na Ma-Brother DUBU 🎉🎉 M/Mungu atupe nguvu ya kuvuka mwaka 2024-2025 🎉🎉

  • @MelickLinus-m8t
    @MelickLinus-m8t 28 дней назад +7

    Kaka dubu unaweza sema mnakaa muda mrefu sana ila tupo wote mpaka mwisho wa hiki kigongo.......big up sana team dubu

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki 28 дней назад +7

    Imove ninzuri sana Dubu 🎉🎉🎉🎉yako ayo❤

  • @EmmanuelMwachiti
    @EmmanuelMwachiti 27 дней назад +7

    Safi Sana Dubu uyo Mama anakihehere Sana Sasa amekoma🤣🤣🤣

  • @ZZawadi-s5v
    @ZZawadi-s5v 28 дней назад +7

    Waaa jamani mnakawia kutoa sana🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @kingoziMovie
    @kingoziMovie 28 дней назад +25

    Dubu ni mkali sana big up sana kaka

  • @JoyDavid254
    @JoyDavid254 28 дней назад +5

    Hongera sana kwa kazi nzuri🎉🎉🎉

  • @EyecandieDr
    @EyecandieDr 28 дней назад +9

    Dubu my guy, thanks for this amazing creation good work guys Kenyans we love you ❤

  • @EmmanuelWekesa-mm7xp
    @EmmanuelWekesa-mm7xp 27 дней назад +5

    Hogera sana Dubu napenda movie zako kutoka kenya

  • @solomonaden5341
    @solomonaden5341 28 дней назад +35

    Jamani nimechelewa san ila sijawai pewa hata 2 tu naziombeni nijiskie mtu

  • @vdhhhgduue3577
    @vdhhhgduue3577 28 дней назад +8

    Mimi nilisahau kabisa duuuh dubu ubachelewa sana aisee

  • @ThomasWilliam-k5h
    @ThomasWilliam-k5h 27 дней назад +8

    Dubu kazi yako nzuli mzee lakini jalibu kuwahisha maana tunasubiri mpaka tunachoka nakuombea Mungu akupe nguvu zaidi wew pamoja na jopo lako mzidi kufanya vizuli 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @selemanhamoud5239
    @selemanhamoud5239 28 дней назад +9

    Duhh watu mpo fasta, haya one love familia🎉🎉🎉

  • @amohmudy1521
    @amohmudy1521 27 дней назад +10

    Series nzuri sana

  • @Mwana85Mwana85-wz1ol
    @Mwana85Mwana85-wz1ol 24 дня назад +2

    Ching ching kawa moja vile na bwebwe zake hoi mm 😂😂😂 kitorondo cheka tu mama madonga mtu kazi hila dubu ww mchafu kuoga kweli unajifanya kama ujui vile kumbe una akili yako mashallah kk mashallah kitorodo na mpenz wake waooooooo

  • @amanusmilambo
    @amanusmilambo 27 дней назад +7

    Tunaotazama tamsilia hii kwa uwezo wa mwenyezi mungu tuvuke salama dubu unabaya baba

  • @Awoshy
    @Awoshy 28 дней назад +8

    Mbona WEWOO 🔥🔥🤣

  • @isayamwanjoka3958
    @isayamwanjoka3958 27 дней назад +4

    Mko vizuri kinyama hongereni sana

  • @حليمهالبلوشي-ز5ث
    @حليمهالبلوشي-ز5ث 27 дней назад +7

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤❤❤kime waramba mama na watoto wake

  • @LailatAbdallah-x5x
    @LailatAbdallah-x5x 28 дней назад +11

    Leo nimekuwa wakwanza ❤❤❤❤

  • @KelvinDiksoni
    @KelvinDiksoni 28 дней назад +5

    Kazi nzur San Dubu tz ongeraaaa sanaaaaa

  • @EvalineDaniel-l5m
    @EvalineDaniel-l5m 28 дней назад +8

    Naipenda hii movie ila mnachelewesha sana tena sana

  • @AbbudallahSaidi
    @AbbudallahSaidi 28 дней назад +6

    Dub we nomaa dub we ni hatal san

  • @bosskonde-b6k
    @bosskonde-b6k 28 дней назад +8

    Aloo hii muvi natamn Ata nipate yote nimalize hsm nijuwe hatima yake aiisee hii muvi yangu bora ya mwaka we dubu ni makali sana Sema Jina

  • @SelePaulo
    @SelePaulo 28 дней назад +4

    Pamoja Sana ndan ya luhafwe mpanda katav imetufkia🎉🎉🎉

  • @MaimunaNangabo
    @MaimunaNangabo 27 дней назад +2

    😂😂😂Jamani nyani ngweñgwe na mwalimu moto mutanivunja mbavu😅😅😅hongereni😅😅😊😊🎉🎉❤❤❤

  • @Ngigemartoh
    @Ngigemartoh 27 дней назад +2

    Movie tamu sana,kazi nzuri sana dubu,ila episode zilizobaki tunazitamani sana,nazingoja sana,kazi safi mashallah😊❤

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 28 дней назад +8

    Kitoronto mrembo mashallah

  • @MuhammadJaffary-uu6zl
    @MuhammadJaffary-uu6zl 28 дней назад +6

    Jamani hakuna kazi rahisi sisi walaji tupishe wandaazi watutengezee kitu kitamu upande wangu nime ridhishwa na umakini walo nao wacha nisubiri sehemu 14 hongereni 🎉🎉🎉🎉❤

  • @Kmpshowpatient
    @Kmpshowpatient 28 дней назад +8

    ASanté kabisa 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🔥🇨🇩🇨🇩🇨🇩☑️

  • @PrinceJeyfour-f3y
    @PrinceJeyfour-f3y 28 дней назад +23

    Ila mnachelewesha Sana Hadi tunasahauuuuu

  • @aishaomar2287
    @aishaomar2287 27 дней назад +3

    Mola Azidi kuwaongoza daima 🙏 ❤❤❤

  • @alikhamis2692
    @alikhamis2692 28 дней назад +9

    Kazi zinachelewa kutoka Hadi tuna sahau ila upo vizur sana

  • @MwasitiMsasu
    @MwasitiMsasu 28 дней назад +9

    Pamoja sana😂❤🎉

  • @hythamshadrack2323
    @hythamshadrack2323 27 дней назад +5

    Kazi nzuri shabiki yako nmb moja hapa
    Ila utuwaishie na orphan kule unatusahau sana

  • @abdallahassan6378
    @abdallahassan6378 28 дней назад +8

    Inachelewa sana ila naipenda Ivo ivo🎉

  • @PerezQuenisha
    @PerezQuenisha 28 дней назад +5

    Kazi nzuri sana❤❤❤🎉🎉🎉

  • @florenceas1263
    @florenceas1263 28 дней назад +7

    Kazi nzuri🎉

  • @LydiaAyieko
    @LydiaAyieko 27 дней назад +2

    Hawa w2 wa nipeni like mnanibore sana😂😂😂😂😂komeni,toeni maono kuhusu movie si kuomba like fyokooooooo,much love frm254

  • @EverGodrick
    @EverGodrick 28 дней назад +8

    Vikolodani vya mtoto na makalio ya paka 😂😂jmn🤭🤭

  • @lizchepkorir2000
    @lizchepkorir2000 28 дней назад +7

    Nzuriii🔥🔥🔥hongera dubu na wenzio❤️🙏

  • @kingmoney-v7u
    @kingmoney-v7u 28 дней назад +7

    kazi nzuri dubu from drc

  • @qaltumsaid3095
    @qaltumsaid3095 27 дней назад +8

    Kama ndiyo kwanza unaangalia huku tukisoma comment tujuane kwa like Ili tuweze kwenda sawa pia tumpe maua yake Dubu🎉🎉🎉🎉🎉 much love from 🇹🇿🇶🇦❤️❤️

  • @TigerGabrielsaint
    @TigerGabrielsaint 27 дней назад +4

    Acheni uchuzi basi mchawigani analalamika kiboya😮😮😮

  • @abuubakarymkumbwa5669
    @abuubakarymkumbwa5669 28 дней назад +5

    Tup pamoj naww dubu kaz nzur tumeisubir kwa ham ngoj niendelee kuangalia kwanz

  • @Professor.Irene95
    @Professor.Irene95 27 дней назад +2

    Hongereni kwakua mnamaliza mwaka na tukiwa salama kabisa na wazima wa afya mungu ni mwema sana tuko pamoja tunawapenda sana ila ayo misondo anafujo sana na ilo abaya lake 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 much love from dubai 🇦🇪💝

  • @williamnyangaga7767
    @williamnyangaga7767 28 дней назад +6

    Dubuque master, umechelewa kuleta video hila nmefurahi kuwacheki tena.

  • @JulyKay-u8u
    @JulyKay-u8u 27 дней назад +2

    Jamani ❤ nawapenda sana 🙏 mimi Niko Congo 🇨🇩 Lubumbashi

  • @Kashatanas
    @Kashatanas 28 дней назад +8

    Duuh nilijua mm ndo wakwanz

  • @VeryniceAlly
    @VeryniceAlly 27 дней назад +2

    Dubu nakupenda mno Allah akujalie kwa pamoj tuuone mwaka nakupend dubu nakutakia mwaka mpya mwem ukafany vizur zaid

    • @OfficialDubu_tz
      @OfficialDubu_tz  27 дней назад +1

      🙏🥰

    • @VeryniceAlly
      @VeryniceAlly 26 дней назад

      ​@@OfficialDubu_tz Poleh my niliona clip kua umepata tatz kidg nakupend mno

  • @MwanamicKamudzo
    @MwanamicKamudzo 27 дней назад +5

    Kazi nzuri sana wanawapenda nyote,,,but hua mwachelewa sana si mtuletee Episode mbili mbili

  • @HILLAXSTAR
    @HILLAXSTAR 28 дней назад +17

    Let's move support dubu together with one heart kazi ni safi❤❤❤ #hillaxstar

  • @AminaDibwe
    @AminaDibwe 27 дней назад +17

    Timu dubu na kitorondo tujuane Kwa like hapa ❤❤

  • @Ekerenga045
    @Ekerenga045 27 дней назад +2

    Kazi Safi lakini unatuweka Sana walai,,,,,,,, from Kisii KENYA 🇰🇪 Tuko pamoja

  • @AliMunga-c8n
    @AliMunga-c8n 27 дней назад +2

    Kazi nzuri bro dubu hajra big up sana kazi nzuri

  • @johnmuia1820
    @johnmuia1820 28 дней назад +5

    Kazi safi kaka

  • @ngalaawadhi
    @ngalaawadhi 28 дней назад +11

    Wakwanza ndo mm hapa wapi like zangu

  • @ZaiLilanje
    @ZaiLilanje 26 дней назад +3

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉 kazi mzuli Kaka naimani kua unaendelea vzr kaka

  • @Sayd-pi5lq
    @Sayd-pi5lq 27 дней назад +3

    Hii kazi ni ataree bg up sana wadau

  • @mwanamisi1808
    @mwanamisi1808 27 дней назад +4

    Good job Dubu always on tpp keep going

  • @LumumbaMinister
    @LumumbaMinister 27 дней назад +8

    Tatizo mnakawiza san kutowa episode

  • @Mainatongwe
    @Mainatongwe 26 дней назад +2

    Ongela sana dubu kazi nzur ila nimefurah kumuona nyani ngwengwe udg wangu pamoja na jini moto😂 😂

  • @ggfwtgg1652
    @ggfwtgg1652 28 дней назад +3

    Kazi nzuri sana kka yangu ❤❤❤

  • @AmaniNangerembe
    @AmaniNangerembe 26 дней назад +2

    Good nice one job brother dubu 🎉🎉🎉🎉

  • @DeborahK-iw4ek
    @DeborahK-iw4ek 27 дней назад +2

    Mnachelewa sana basi nili kuwa naitafuta kila siku,❤❤

  • @GambaShadrack
    @GambaShadrack 27 дней назад +3

    Mnao tuombea mbarikiwe sanaaa!!

  • @NeemaNeema-d8z
    @NeemaNeema-d8z 27 дней назад +2

    Nazipenda Sana move zako dubu japo vinachelewa kutoka vipande

  • @CrisantoLourenço
    @CrisantoLourenço 27 дней назад +2

    Atali sana kaka❤❤❤ Tunaipenda uku Kwetu Ntamba

  • @ALIMOHD-bk9lr
    @ALIMOHD-bk9lr 27 дней назад +4

    Dubu !!!! Why wiki mara moja badala ya TATU !!? Tunasahau ujuw😢😢😢😢😢😢

  • @UwiringiyeKethia
    @UwiringiyeKethia 28 дней назад +5

    Leo kutoka 🇨🇩🇨🇩 courage Dubu 🎉

  • @amanusmilambo
    @amanusmilambo 27 дней назад +4

    Tunaompenda mzee gwegwe like kwake❤❤❤❤

  • @Kingramp265
    @Kingramp265 28 дней назад +8

    Jaman shushen episode 14 alaka😊

  • @MWANAISHAMTENGO
    @MWANAISHAMTENGO 27 дней назад +1

    Kazi nzuri sana Mungu awazidishie kipaji❤🎉

  • @hanceedward3243
    @hanceedward3243 28 дней назад +6

    Hapana udugu wangu

  • @NeliusPeter-e6q
    @NeliusPeter-e6q 27 дней назад +2

    Amen kaz nzur sana hiii

  • @JoaomarcelinoRumba-sz3ql
    @JoaomarcelinoRumba-sz3ql 28 дней назад +117

    Jamani kama utaisoma hi coment naomba mungu akubariki uvuke mwaka SALAMA 🙏🙏 uwe na afia njema 🎉🎉🎉

    • @Swabrina-
      @Swabrina- 28 дней назад +2

      Nawe pia kipenzi cha dubu🥰

    • @DanieliLaizer-y3b
      @DanieliLaizer-y3b 28 дней назад +1

      Amen 🙏 nawe pia

    • @ShamteTindwa
      @ShamteTindwa 28 дней назад +1

      Nawe pia

    • @RaimamomedSaide
      @RaimamomedSaide 28 дней назад +1

      @@Swabrina- amin 🤲 tupo wengi vipenzi vya dubu ❤️💯💪 angefanya ikaisha hii movi kabla mwaka mpya 😂atuletee bonge la movi la mwaka mpya maana uchawi wao unafrahisha sana nasio kutowa sadaka au kafara

    • @Swabrina-
      @Swabrina- 28 дней назад +2

      ​@@RaimamomedSaideonaone ee..afadhali amalize

  • @AdijaJuma-b6e
    @AdijaJuma-b6e 27 дней назад +2

    Mna chelewesha sana lla movie nzur❤❤

  • @FredPatrick-r8s
    @FredPatrick-r8s 27 дней назад +2

    Mwachelewa sana baan🎉🎉

  • @ZawadiClaudine
    @ZawadiClaudine 28 дней назад +7

    Wa pili jamani nipeni like zangu

  • @AdamIssa-w3t
    @AdamIssa-w3t 27 дней назад +2

    napenda movie zako dubu tz tatizo mwachelewa sana changamoto Nini dubu tz

    • @OfficialDubu_tz
      @OfficialDubu_tz  26 дней назад

      We acha tu ndugu yangu me mwenyewe naumizwa mno ila kuna mengi napitia ndugu ila ndio maisha Naomba tu mnivumilie🙏

  • @geoffreymaingi6088
    @geoffreymaingi6088 27 дней назад +2

    Kazi zuri sana dubu🎉🎉🎉

  • @FatumaChizi-m2n
    @FatumaChizi-m2n 25 дней назад +2

    Napenda kazi yko dubu

  • @MarKarim-km2yh
    @MarKarim-km2yh 27 дней назад +4

    Mama misondo 1 anaiyongeza sifuri anafosi iwe mia tafut njia ya kuwa saidia wanao co kujip matokeo dhaifu

  • @SophiaMabula
    @SophiaMabula 28 дней назад +3

    Kiukwel dubu napenda Kaz yako axant xna nimefurah xna et❤❤❤

  • @mbodzemasha3590
    @mbodzemasha3590 27 дней назад +3

    Napenda sana kazi yako dubu

  • @JaphetRaulent
    @JaphetRaulent 28 дней назад +8

    Mnachelewa kutoa mpaka tunasahau tulipo ishia

  • @AmosPeter-xn4vj
    @AmosPeter-xn4vj 27 дней назад +2

    Kazi nzuri🎉 sana pita na likes 🎉🎉

  • @JoyceJoseph-k8v
    @JoyceJoseph-k8v 27 дней назад +2

    Kazi kazi dubu🙌🔥🔥🔥

  • @DesiratteMuhizi
    @DesiratteMuhizi 28 дней назад +5

    jamani warundi tujuane ❤❤