Hatuna muda maalum kipenzi 🙏 Tupo kwenye ukuaji hivyo ni changamoto za ukuaji ndio maana tunachelewa But Inshaallah tukikaa sawa Mtaenjoy kwa wakati🙏🤝❤️
Kaka dubu kazi yko n nzuri sana, kwa kuchelewesha kutuletea movie akuna shida,kitu cha muhimu umetuletea movie na ipo sawa sana pokea ua lako kaka dubu 🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹
Na unaezapata uyu mwalimu moto Hana bibi 😂😂😂sijui vizee kama ivi havitaki kuoa kwa nini Kuna vyengine viwili huku kwetu pia vya kupenda mitani mingi🤣🤣🤣
Yani Dubu kma hii Flm itamliza Halafu Series nyengine ukitoa Ukamuacha Nyani ngwengwe (Baseto) aaaaa Unanikosa mm siiangalii Iyo flm maana utamu wangu kwenye Hii channel ni Nyani Waterman basetoo Ananikosha sana Na huu Msemo Wake wa Basetooo❤
jaman kwan inatok baad ya sk ngap❤❤❤👌
Hatuna muda maalum kipenzi 🙏 Tupo kwenye ukuaji hivyo ni changamoto za ukuaji ndio maana tunachelewa But Inshaallah tukikaa sawa Mtaenjoy kwa wakati🙏🤝❤️
Jitahidini sana
Wazi bro@@OfficialDubu_tz
Allah awafanyie wepesi Aaamiiin
@@OfficialDubu_tz jaman mungu awatunz il mtup vt vzur
Kaka dubu kazi yko n nzuri sana, kwa kuchelewesha kutuletea movie akuna shida,kitu cha muhimu umetuletea movie na ipo sawa sana pokea ua lako kaka dubu 🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹
Nashukuru sana 🙏
Dubu nam nakpenda 😂ntaxubr umalize move zako mungu atujalie jaman nawapenda wote
❤️
Hahahahahaha umetisha sana
Hahahahahaha umetisha sana
Kazi nzuri sana dubu kua unatuletea muendelezo haraka ❤❤
❤️
Kazi nzuri bro dubu sema shida inachelewa kutoka fanyen ata baada ya skumbili🎉🎉
❤❤❤❤ mungu ni mwema kwakila nyakati
Mume wng dubu kazi nzuri sana ❤️💋💋🌹
🥰
Mm apa 4m 🇰🇪🇰🇪 nawapenda Sana dubu kitorondo na chobi Mungu atawasaidia
🙏
@@OfficialDubu_tz Nakupenda pia mm dubu😢❤
Kazi nzuri dubu ila mjitahidi mapema
Kitorondo leo kamua kusema ukweli dubu mm hilo nilijua toka ile siku alikukumbatia kitorondo mashallah bana dubu kazi kwako🎉❤❤
😜
@@OfficialDubu_tzkula chuma icho 😂😂😂
Naipenda sana hii movie natamani iwe inatoka kila siku❤🎉😊
🥰
Dubu mungu akutangulie kwenye mambo yako yote❤❤❤🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Amiin ❤️
Kaz nzur dubu napenda sana kazi zenu ila jitahidn kuwaisha nawapendaa🎉🎉
Waooo move yangu pendwa imetoka❤ pongezi kwa kaka Dubu Mungu akuwekeye wepesi cangamoto ziishe uwe unatuwaishiya jamani🎉🎉🎉🎉🎉
❤️
Wamejionyesha wazi kabisa wabaya
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Mama chingi umenimaliza sema ulikua warusha misele kwa mkuu 😂😂😂
Kanzi nzur sana kaka🎉🎉🎉ila nimefulah kumuona nyani ngwengwe udg wangu😂😂❤❤
Chingi anapoimba sisi ndio walewale😂😂😂
Ongera saana dubu nakufata vizuri kutokea Sweden 🎉🎉🎉
🙏
Dubu wangu jitahidini muwahi kidogo ndugu yangu, Nawapenda sana na nawafuatilia mno
🥰
Yule mama kwa kuigiza hajambooo😂🤣🤣🤣,naachwa hoi na kauli zake za masimango
Kaka jitahid sana kazi isiwe inachelewe sana paka watu wanaisahau huoni kuwa hapo kuna ya kuwaisha jitahidi kaka kazi ni nzuri sana
🙏
Jamani mnachelewa hadi nilisahau 🎉🎉🎉dubu fanya uwe unatuwaishia basi kaka etu tunaipenda kaziyenu🎉🎉🎉🎉🎉niombituu😢😢
❤️
Kazi nzury dubu
Mashallah ❤❤❤❤❤mungu abaliki sana kazi zenu
❤️
Dubu,kitorondo na chobi mungu awatie nguvu kwa vita dhidi ya madui waliopo pembeni mwenu
🙏
Wowo hongereni🎉🎉 sana this time hamja chelewesha atleast❤❤😊😊
❤️
Kaka jitahid sana kazi isiwe inachelewe sana paka watu wanaisahau huoni kuwa hapo kuna haja ya kuwaisha, jitahidi kaka kazi ni nzuri sana🎉🎉🎉🎉
Mwanamke atangusa hii namtongoza😂😂😂😂😂🎉🎉🎉
😂😂😂 sawa mume
@RrGg-k7t 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ssi wa kike twatulia 😂
@@IsmaelOkongo13kipenzi changu ♥️😂😂
😂😂😂
Nawapenda Sana❤❤
Nyani ngwengwe bhna 😂😂
😂😂😂we mwalimu moto mungu anakuona😅😅😅🎉🎉❤❤❤hiki kizee jamani😅🎉❤❤
😂
😂😂
Jamani inatok baad ya sk ngap🎉🎉
Kutoka Kenya tunakukubali Dubu.kazi safi🎉💯
Dubu huyu mwalimu asikupate jmni bdo mapema sana 😂😂
tunawapenda❤❤❤
Congratulations my friend Dubu and your colleagues kwa kaz nzur
Mnachelewesha sanaa adi tunaanza kuwasahau
Nice one am really enjoying
Next episode plz
Dubu,continue with that spirit 🎉🎉🎉🎉🎉
From Kenya 🇰🇪
Nipeeko hata like 10 tu please 😢😂
Na unaezapata uyu mwalimu moto Hana bibi 😂😂😂sijui vizee kama ivi havitaki kuoa kwa nini Kuna vyengine viwili huku kwetu pia vya kupenda mitani mingi🤣🤣🤣
Ongea ikutoke😂😂😂
@aishaomar2287 ama naongea uongo 🤣😂😂
@SimooYusuf umenichekesha sana ila nkweli, wengi wako ivo
@aishaomar2287 🤣🤣🤣Aya na mm usiniache nikabaki kma mwalimu moto😂😂
Saf nana dubu mungu akutangulie
🤲
Nice dubu kaz nzuri
Jamn mbn inachlew kutoka sn jmn tunaipend muw mnatoa kwa hark jmn ❤❤
Dubu please baba we need ep 16 Mimi shabiki wake sana Niko hapa marekani state ya Ohio
🤝🤝
Nakukubali dubu na mkewako ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉by devdy tz
Dubu kanzi nzuri lakini mnachelewesha sana
Wakwanza frome Kenya 🇰🇪 ❤❤
Hongera sana dubu na wenzako kwa kazi safi munayo ifanya
Tunashukuru sana 🙏
Dubu mambo vipi oya mwanangu unabow tuna sbiri orphan sisi Aya mamboyaki chawi sisi atuelewi Kwanza ongera kwa Kazi❤
❤️
Imeishia patamu sana ❤pls usituchereweshe sana dubu
🥰
Dubu nzuri sana Mungu akuinue asante❤❤❤❤
🙏
Mbona sirii inaenda fichuka kwa wote!
But nawaombea mungu awapatie wesi mfike adi seasone 6
🙏
Mwisho mwema sana dubu nawapenda sana team dubu kutoka kenya jamani dubu naomba ureply comment yangu💓💓💓
❤️
Aaah Leo mapemaaa tu m wa Kwanzaa🎉🎉🎉🎉❤
Mamkubwa .ujipange.maaan mwabya kaenda kuogeza ngovu Tena je dubu mtatombo p Moja na m mkubwa
😂😂😂na mwedo huu hata nikichelewa ila nimuda wakushenyeta tu😂😂
Napenda mnavyocheza pongezi mwanipa roho ya kuwa mwigiizaji
Mama mtu jaman😂😂 et kafanana na pakome,na uzur unachangia😅
Mimi nitakua nawatch saa saba za usiku sasa muwe mkitoa hayo masaa ju ya bundle
Duh chuma kikali sana yan kila ukikiangalia unahisi hamu ya kuendelea kukiangalia... Ila ttzo mnachelewesha sana.
Hahaahaha na enjoy saana
Kuwafatilia 🎉
Dubu big up sana kazi nzuri bro
Hii movie n nzuri jamani sitamani iishe🥰❤❤
🥰
Great job much❤❤❤❤❤
Good nice one story brother dubu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
🙏
Oa izo izo salutes kwake
Hongera kwa kazi nzur dubu
🙏
Safi sana kwa kazi nzuri 🎉🎉🎉❤❤
Dubu me nampenda sana kitorondo,
🥰
@OfficialDubu_tz hivi anatumia jina gani Instagram, naomba uniambie kaka niwe naona hata picha zake, please
Kitoronto🎉🎉🎉 nimefrahi kumueleza dubu ukweli
Team Bubu ni noma, kweli kazi zenu ni nzuri sana 🇨🇩
Sijui namii nikasomee uchawi maana kuna watu wananitafuta au unasemajee dubu nije unifunze😊😊❤
Nikuuzie wa Buku😜
@@OfficialDubu_tz😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
@OfficialDubu_tz ndio tuma namba ya kupokea pesaa
@@OfficialDubu_tznina kipaji chakuigiza 👏👏
Jmn mnachelewa xna et 2naxubili mpka 2naxahau duuuuh❤❤❤
Pamoja sana dubu lkn usicheleweshe ivoh ❤❤
Kazi zenu mnzchelewa Sana. Munayumba
Noma well 🎉🎉😂🎉😂
😂😂😂😂😂😂😂😂nyani ngwengwe leo kimekuramba 😂😂😂😂😂😂😂
Kazi nzur kaka dubu,,,,, Mungu yu nawe ❤
Tunae mkibali mama mkubwa wake na dubu gonga like hapa ❤
Jamen ❤❤❤❤simuogeze dakika🎉🎉🎉🎉 bon ni fupi san na munachelewesha san
Usijali sana dada dakika zitaongezeka
@JaphetKarisa-d4g sawsaw
Incredible, jamani episode 16 ikuje
Mwalimu 😂 kikulacho upo nacho hap umjui tu pole San dubu inqzigua San mchafu kuoga ww nilikuwa Kwa manyanaya mm na nyau saa.saba ya kijiji
Wakwanza mimi hapa from Mozambique
Ila mwarimu moto jamani
Punguza matani
M natka episode 17 jamani c n poa
Mh dubu asikamatwe haitakua poa
Dubu mjitaid kutoa hii movie kwa wakati 🎉🎉🎉
Safi sana Dubu bac usicheleweshe next episode ❤
Mi nikajua imeisha kumba inaendelea, tatzo mnachelewesha sana.
Dubu ataokorewa na tk mikononi mwake mukuu❤❤❤❤❤ anay Amin like
Ya moto kweli 🔥🔥🔥
Walete 🎉🎉🎉❤❤❤
Yani Dubu kma hii Flm itamliza Halafu Series nyengine ukitoa Ukamuacha Nyani ngwengwe (Baseto) aaaaa Unanikosa mm siiangalii Iyo flm maana utamu wangu kwenye Hii channel ni Nyani Waterman basetoo Ananikosha sana Na huu Msemo Wake wa Basetooo❤
Ngoja kikurambe dubu😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤
Dubu hii inaenda paka ngap final❤
Tondoke 🔥 🔥 🔥
Nlikuw nakudangany ap nakutaaaania 😂😂😂
Vraiment dubu 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤
From Kenya well represented 😮
Nimependa Chingi anavyomtukuza Mungu na ni mchawi 😅😅😅😅