Vita vya mabuti na ndege wa🔥🔥🔥🔥 vitaishi lini jaman madonga hiloooooooooooooooooo na bad wamchukia mwezio Kwa roho yako mabya tu lione vile .mganga yup.biz na mazowezi 😂😂😂 sio poa
Hongera sana Dubu upewa ulinzi wa kutosha na Mungu akuongezee ufaham zaidi ,waswahili walisema usimdharau mamba kabla hujavuka mto nimeipenda kazi yako
Kali sana sema nivile2 jama Anachelewesha sanaaa🎉🎉🎉🎉
Dubu naipenda kazi yko kazi nzuri sana pokea ua lako Dubu🌹🌹
Namchukia sana huyu mandonga sana wivu ya nini sasa 😂😂😂
Huwa yachelewa sana mbona mm nacheka hao walimu wa2😂😂😂😂😂❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉mau yenu nyote
Nzr sana ongereni kwa kazi nzuri ila mnachelewesha sana jaman
Jamani nawaombeni muwe hamjeleweshi kazi yenu juu n nzuri sana
Congratulations kwa kutuburudisha Dubu ❤❤❤🎉🎉🎉🎉upewe maua yko tu 😂😂😂🥰🧡😘
Orela sana dubu kwakazi ulio fanya je yati sa lini munachia🎉🎉🎉🎉
Mimi naye siwezi acha kulalamika,, Kiukweli dubu umetuchelewesha sana ,,na shukuru kwa kazi njema😘😘😘😘😘😘😘😘😘❤️💋
Ilikw naisubiri kwa hamu sana hii movie dubu jitahidi usiicheleweshe❤🎉
Kazi nzuri sana😊
Dubu nakuamini umeokoa jobi na kichilondo pia nyie watatu nawapenda sana amna wivu
🥰
@@OfficialDubu_tzmsichelewesheeeee sanaaa jaman
Jamani nimewahi darasani au Mwalimu nyani ngwengwe kashaanza kipindi 😂😂
🔥🔥🔥😍
Nyani ngwengwe ajaingia Bado na ajawai maliza kipindi 😂😂😂😂 ubaya ubwela
@SaidMnachilah 🤣🤣🤣
😂😂😂
Ila mmejitaidi sana hongera sana dubu kwa kazi nzuri tunao mkubari dubu gonga like hapa
🙏
Mnachelew xan xahv kutoa muvi
Excellent
🥰🥰🥰🥰
Vita vya mabuti na ndege wa🔥🔥🔥🔥 vitaishi lini jaman madonga hiloooooooooooooooooo na bad wamchukia mwezio Kwa roho yako mabya tu lione vile .mganga yup.biz na mazowezi 😂😂😂 sio poa
Mpez wangu ❤❤ dubu usicheleweshe sana 🙏🙏
❤️
Uyo chingiii simpendi 😂😂😂😂😂😂😂 na mandongaaaa
Hap Kwa mizimu kuwauwa Hawa Wana haramu wa tutu nimependa San mau 💐💐💐💐 Kwa dubu pamoja na timu yako mabao sasa
Chingi nampenda sana dubu usimuache chingi😂😂😂
🥰
Yan hii move naipenda sanaa jamani ila mnachelewa sana kutoa
Jamn kwann mm tyu sipewi❤
Kazi nzuri Dubu movie nzuri sana😍
Good nice one job brother dubu🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kaz nzuri sana
🎉Movie mzur sana kwa kweli
Dubu 😂nakuaminia bro kwa kujiangusha😂😂😂😂
dubu kawesa mpk kaweza tena hajataka kuzificha nguvu zake kwa mzimu 😂😂😂 ,mshalle shwaaaaaaa
Dubu kazi safi hii,,, twakukaribisha huku Kenya 🇰🇪🇰🇪
😂😂😂jamani mwalimu moto nakukubali sana 😅😅😅😅😊😊😊hongera🎉🎉❤❤❤
😂😂😂😂😂😂😂ila chingi anamambo kweli anafanya movie iwe nzur
🙏
kazi nzuri. sana nimepanda sehemu ya 8 🇰🇪👍
Tamu sana🎉❤ongera dubuu👌
nawapenda tim dubu tz❤❤❤❤
Hongera sana Dubu upewa ulinzi wa kutosha na Mungu akuongezee ufaham zaidi ,waswahili walisema usimdharau mamba kabla hujavuka mto nimeipenda kazi yako
🙏🥰
Kazi nzuri dubu ❤❤🎉🎉🎉
Kazi nzuri sana ❤❤🎉🎉🎉
From Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 Ila mume ichelewesha
mwalim moto😅😅
Kazi safi
Yan movie zako zote dubu nyani ngwengwe na kibabu wasikoseee
Yaani huyo mandongs mm simpendi kwenye hiyo movie namchukia balaa
𝚔𝚊𝚙𝚒𝚖𝚠𝚎 𝚖𝚔𝚘𝚓𝚊 𝚔𝚠𝚊𝚗 𝚊𝚖𝚎𝚔𝚞𝚊𝚖𝚋𝚒𝚊 𝚢𝚢 𝚊𝚗𝚊𝚔𝚞𝚙𝚎𝚗𝚍𝚊 😂😂😂
Hunishindi mimi anaroho mbaya
Watching from Kenya kazi nzuri lakini mnachelewesha sana
Nzuri sana 🎉🎉
Dubu kazii nzuri sanaaa😊
Dubu unafanya kazi nzuri ila unachelewesha sana mpaka najisahau
Ongezea dubu marks haraka iwezekanavyo😂😂🎉❤
Daaah tuleteenni hii kazi aise
Nyie huyu dubu yuwanipunga😂😂more luv 254❤❤❤
Mkoo vizuri sana dubu kazaneni
🙏
Wow naipenda hiyo mungu awabariki na kuwaongoza
Kazi nzuri dubu❤❤❤
Dubu baba Kwa wote kazi nzuri
Ongera Sana dubu nawapendaga bure❤❤❤❤
Yaan DUBU kampa moja nzito shwaa🗡🗡🗡😂😂
Hahha nyani ngwenge jmn na ur fellow ue madE me claiZy😃😃😃😃😃😃
Nakubali sana wanangu ila 2 akuna kama mganga mapiano 😂😂😂🎉
Namchukia huyo mandonga 😊😊😊😊😊 si mpende
😅😅kojo iloo Bado inya😅😅😅Dubu more Love from Kenya 🇰🇪
Kazi ni nzuri kbs lkn nikuchelewesha dude🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kazi nzuri ila inachelewa
Usicheleweshe episode 9 dubu...wale hatubanduki nipeni like😊 🇰🇪
Nawapenda bure ❤❤❤❤🎉🎉
Shabiki yako mnarani one love 💪
🥰
Kazi nzurr dubuu mko vzr ww na timu yako🎉🎉🎉❤❤❤
🥰
Kaz iendelee mwalimu moto na mwenzie wambie kunazawadi zao zinawahusu nimewakubali kinoma from 🇹🇿
🙏
Dugu unaulaza sanaaa
Nilikuwa naingojea xna hii move daaah nawapenda xna kwa kaz nzur jmn❤❤❤❤
🥰
Cobi na kitorondo poleni sana 😢lakini mwisho waubaya niaibu kikubwa nawenyewe wanafeli naroho zao mbaya ,ongera Dubu kwakazi nzuri
🙏
Hello😊
Hello 2
Kwema
😂😂kwema@@MwalimAli-x9e
Kipande chá Léo ni kitam mno waliokuwa wakisubili kwa amu tujuwane kwenye like 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🌹🥀🌺
Kazi safi dubu❤❤❤
Kenya si watching very good comedy
Nawakubal sana pamoja sana ✌️✌️✌️✌️✌️❤❤❤
Safi saana nimependa mwisho jameni Dubu cukuwa mawuwa yako🎉🎉🎉
😂😂😂 ila chingi jamani😅😅
Mnachelewesha sana
Ila uyu mganga 😂😂
Kazi nzurii 🎉🎉 Nawapenda dubu n team yko❤❤
🥰
good job for this episode 8 congratulations
Hongera dubu 🎉🎉🎉kazi mzur sana ❤
🙏
Good work bro,,, keep up, one love from kenya
Chobi maskini🥲dubu basi msaidie rafiki yako kurudisha nguvu zake sipend wanavyomcheka🥺
Dubu tz nakubali sana
Dubu unatusahau San wanao 😂😂😂🎉🎉🎉 honger kaz nzr
Chingi majigambo kibao😂😂😂😂nakubali kazi team yote
Finally imefika ❤
Good work 👏 🎉🎉🎉keep it up bro ❤kutoka kenya 🇰🇪
Asalaamu walekum bwana yesu asifiwe utakayesoma hii coment mungu akupe hitaj la moyo wako❤❤🤲❤🤲❤🤲❤❤🤲❤
Asantee
Amen
Amen
Amina 🔥🙌
Amen naimani leo nitapata ninachoitaji ili nikamilishe moja za ndoto zangu amen
Kazi nzuri Ila munakawa kutupa burudani
🎉🎉🎉❤❤nakupenda sana dubu❤
Ila mume kawiya sana
safi vipi episode 9
Kazi nzuri sf sn
We😂😂😂😂😂Dubuu 😂😂😂we umepigajeeeee 😂😂😂😂hapooo😂😂😂utauaaaa❤❤❤❤❤Dubuuu congratulations for your❤❤❤ movie kaliiiii sanaaa sanaaa❤❤ unastahiliii pongeziiii sanaaaaaq🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
🙏🙏
Kinacho nishangaza nikwamba mwalimu wa uchawi ameshindwa kutambua kuwa huyo chobi kalogwa
Et jmn😂😂
😅😅😅😅Hy kweli ni maigizo😅
Hdi mi pia nasema hvyo hvyo MBNA hajajua kma amerogwa
Haha 😂😂
Kabisa😂
Kazi nzuri bro dubu na hajra big up sana kazi nzuri
hapo kwny mzimu nimecheka balaaa😂😂😂
Kazi mzuli Kaka ongela ww na timu mzima
Jamanii dubuuu mweee🎉🎉🎉❤❤❤❤ clep for hear
Mganga Gani anapiga chuma 😂😂
Wow Dubu nimependa sana ila mwachelewesha
Hongera dubu ila wale wabaya wakijua sijui itakuaje😂😂😂