TUNAOMBA RADHI KAMA UTAKUMBANA NA TATIZO LA KUKATIKA KWA SAUTI KATIKA VIDEO HII, TUMEREKEBISHA NA WAWEZA KUITAZAMA HAPA .... GUSA LINK HII 👇👇 ruclips.net/video/6nCHIsLmuEc/видео.htmlsi=POXREA1_3ug_rqzw
Kwenye hili mtahusisha shani😂😂😂😂 dhaa mwana dada huyu........kazi nzuru ndugu zangu mungu awazidie na vipaji zenu twawaombea maisha marefu filamu tamu❤❤❤ kutoka Kenya🇰🇪🇰🇪
Mimi sio mshirikina ila hapa palipofikia...huu uchawi WA tz ufike Kenya angalau walimu waisome number maana wanavyoporomosha viboko shuleni sio poa 😅😂mpaka unatamani afe
Kipesile n buda eti bongo lala hatariiii kipesli ana wapeleke 🔥🔥🔥🔥 balaa hum 2 kipesile m vero kazi ipo najikuta nacheka tu wallah hila mast hap kipesli kazi unayooo
Jaman mm mbona kunakit sijakielewa nyoka ni mama ila mbona anasaut ya kiume na huyo dogo wakiume mbona ana vaa kama mtt wakike angecheza t kama wakiume swal nijee isinge faa heb tufanyen kaz kiuhal siya kama inavo takiwa niushaur wang t🎉🎉
TUNAOMBA RADHI KAMA UTAKUMBANA NA TATIZO LA KUKATIKA KWA SAUTI KATIKA VIDEO HII, TUMEREKEBISHA NA WAWEZA KUITAZAMA HAPA .... GUSA LINK HII 👇👇
ruclips.net/video/6nCHIsLmuEc/видео.htmlsi=POXREA1_3ug_rqzw
Kipesile
Sawa kazi nzuri
Cv❤
Ki❤pesilee🎉😢😂
Mbona Kuna seem kama sauti haiskiki kabsa
Kiukweli navutiwa sana na filamu za adery masta mimi niko congo yani mimi ni mkongomani naipenda sana
Wewe kama mm nazpenda sana
Umepata jibu
Today am number one 😂😂😂❤from Kenya 🇰🇪,,Kenya mko wapi❤❤👋👋👋👋🍾🍾🍾🍾🍾🍾🍾🍾nko na mzinga 🍾🍾🍾🍾🍾
Tuko hapa ❤❤
❤️❤️❤️
Tuko
Tupo kama kawa
Nimekam na keg kabisa 🍺nkimaliza mziga pap🤤🤗
Waaoo wa kwanza Leo naombeni like Zang kwa kipesile jaman
Huyu kipesile Ana talent ndani yake bwana director asipotee huyu hakikisha bendera inapepea
kazi nzuri ADERY,KIPESILE NA WOTE MNAOTUBURUDISHA HONGERA SANAAAA❤❤❤❤❤
My favorite people.nawapenda sana na nawakubali nikiwa Kenya 🎉❤❤❤❤❤
X
Xmapenzi
Huyu kipesile nilijua ni WA kiume nikashangaa kusikia sketi unavaa mda mrefu😂😂😂😂
Ht mm nilijua hvo😂😂😂😂😂
@@HildaMgaya-pb8xiKipesl
Na mm nikajua wa kiume
😂😂😂
kipesile nlifkiri wa kiume,sura yake ya kiume
Wooow kazi nzuri sanaa nimeipenda maua yenu kutoka kenya 🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Kwenye hili mtahusisha shani😂😂😂😂 dhaa mwana dada huyu........kazi nzuru ndugu zangu mungu awazidie na vipaji zenu twawaombea maisha marefu filamu tamu❤❤❤ kutoka Kenya🇰🇪🇰🇪
Tunangoja sehemu ya pili haraka tafathali kazi nzuri kipesile
Jamaaaan NDUGU KIPESILE NI MWANAMKE
Nilikua naitafuta hii comment 😊
❤❤❤❤❤love yenyu iko juu ka mnawapenda sana like zenyu hapa tukisonga
NAMUONA KANUMBA MPYA ANAKUJA TZ TENA MUNGU BARIKI KZ ZA ADERY MASTA ...KAZI IPO 🔥 NAMALUZA TU MB SIKU HZ
Wow kazi nzuri mno watching from the greatest country Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤❤
I. Love that word "greatest" just say it again
Hahaha Buda umenifurahisha sana💖💖💖💖
Wa kwanza apa toka Congo 🇨🇩
Dereva bajaji hajaelewa vitu vitatu education, communication na connection 😂😂
Apo sasa nime pata filamu nzuri kabisa, nawa shukuru kwa kazi zenu 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Adery unatoka na hii kipesile sasa...Kama unaamini ni ukweli piga like ..
ILOVEYOUSOMUCH
Kabisa❤🎉
Adery masta tukupe mauwayako kwakazi kali kamahii🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
❤❤❤🎉🎉🎉 humu tu kipesile 💥💥
Wao. Upo vizur mungu akujarie na kipaj chak
Mast kama mast tcha km ticha mwaka huu kapatikn Kwa kipesile najikuta ncheka tu wallah 😂😂😂😂😂 tuache tuzayeeeeee ticha wangu
Movie hiyo kabisa imetoka
Daaayal
Mm wa laki moja nipew like
Naipenda Saaana Tangu kongo 🇨🇩🇨🇩🥰💯🎉🎉🎉
Ya MUNGU MENGI kutoka hapa Burundi Bujumbura 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Haaaa noma sana hii kipesile ATI unasali kazi kuntu inashinda wiki baada ya kifo
Ongera sana kwa kazi nzuri naamini hii itakuwa Bora kama ile ila msichelewee sana kutoa vipande japo atujui.mnayopitia mungu awatie nguvu
Wakwanza mimi for congo❤❤👍
Nawatazama kutoka Mozambique 🇲🇿 nipeni like nipeleke nyumbani msumbiji kama ninyi ni wakarimu
Waoh amazing movie ❤❤❤❤
kipesile kasula kaupoole mwenyw na❤ bure
Nzuri sana andeli👍👍💝💝🙏🙏
Huyu kipasile bila shaka dady's face 😂
Movie nzuri sana watching from kenya❤❤❤❤😂😂😂😂😊😊😊
Simlizi kali sana hii tupe ratiba ya hii kaz masta😊
Kama upo kama mm sijui jinsia ya kipensile like hapa
Mzungu wetu buda amerudi😂😂😂😂 give me the money and go job😂😂😂😂😂nakupenda bure buda🎉🎉🎉🎉
😅😅😅
❤❤🎉🎉 maua ya aderi toka kenya kazi nzuri 🎉🎉❤
Kipesile ni moto wa kuotea mbaliiii
Huyu dogo hatari
😮☠️🦾🧌
Nime sahau lomba like jamani mnipe n'a subiri za aderi n'a kipesile mwenyewe ikiwezekana hâta shani mchawi😂
Siugoje
Kazi n moto adery pongezi sanaaaaaaaa 🎉🎉❤❤
ucjali mve nzur saan
Movie nzuri sana❤❤❤
Mimi sio mshirikina ila hapa palipofikia...huu uchawi WA tz ufike Kenya angalau walimu waisome number maana wanavyoporomosha viboko shuleni sio poa 😅😂mpaka unatamani afe
Napenda sana filamu zenu,kutoka kenya
Hongeren sana mwenyezi mungu awazidishie kazinzuri sana kipesile
Huwa najihuliza sana kuhusu kipesile ni mwanamke Ama mwanahume
Mm nahisi mwanaume
N semenya
Kumbe kipesile ni msichana😂😂😂😂😂😂😂😂naomba likes zangu
😂😂
du! jamani
😂
Kipesile n buda eti bongo lala hatariiii kipesli ana wapeleke 🔥🔥🔥🔥 balaa hum 2 kipesile m vero kazi ipo najikuta nacheka tu wallah hila mast hap kipesli kazi unayooo
Aseee iyo ni mvulana maana anaonekana Kwa mwonekano wa njeeee😮😮😮
Hongera sana kaka umetisha sana bonge la movie🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Sehemu ya pili jamani hii iko mwaaaaah ❤❤❤
Uko vizuri kipesile ongeza bidi
Hongera kwa kazi nzuri
Kenyan fan,,, kazi njema brother,,, utokee kwa wakatii 👏👏👏
254 mko jamani 😂😂😂 ww mtoto kipesile utaniua mie
Watching from Kenya 🇰🇪
Pamoja sana naikubali sana hi move
Hila napenda sazi yako adery hila sema nini nakupenda sana ♥️
kipeseli na dereva wa bajaji nimependa mko vizuri kazi nzuri
Ivi kipesile mschana au mvulana😮😮😮
muv nzuri sana asantee kaka adery
hv kipesire wakike au wakiume msha nichanganyu mm
Sasa hapa mnavundi shamitoto iwe nakibuli kinoma🤣🤣
Mnazingua sana kwenye sauti bhana
Habari andika KIPESILE full movie episode 1 mpka 11 iko poa
Jaman mm mbona kunakit sijakielewa nyoka ni mama ila mbona anasaut ya kiume na huyo dogo wakiume mbona ana vaa kama mtt wakike angecheza t kama wakiume swal nijee isinge faa heb tufanyen kaz kiuhal siya kama inavo takiwa niushaur wang t🎉🎉
Nimeikubar sana ❤❤❤ noma kipesile
Tushakalibia kijana Leo nimechelewa kutoka🇧🇷🇧🇷🇧🇷🇧🇷🇧🇷🇧🇷🇧🇷 stak like yamtu Tuchek kwanza unyama huu hapa
Kazi nzuli sana
Verysoon apa nakubali movie jama subway kuliko
Kipesile mtoto mdogo mwenye confidence
Nzuli sana inafunzo kubwa nam naomba nijiunge na nyie
Wale wametoka TikTok tujuane kwa like
Pia mm niko hapa😅😅😅
Okay
😅😅Mimi hapa
Mimi hapa
😂😂😂
Hii movie n nzur sana nimeipenda❤❤
😂😂😂😂😂😂haki hyu mtoto aaaa anamsonya bbko mdgo surely 😅😅😅😅😅
Nimechelewa xana jamn lakini nawapenda xana ❤️❤❤🙏🙏
Uuuu😢😢😢 kipesile mbona umekuja na moto❤❤🎉
Kutoka Kenya ❤❤ nawapenda Sana
Mm sioni sehem ya 3na kwendelea
Kumbe kiensile mwana mke 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅naombeni like zangu
Ata me nlikua nathani n dume😢😢😢
❤@@Jacklinendungekimeu-sm9vi
Bsr hariyako?
Hata mm nilijua kidumee😂😂
Ndi silaiki
Sema saut unazingua na mov zetu za kibongo ni saut bila saut uchaw
Habari TUMEREKEBISHA tatizo la sauti KUKATA ..... Bonyeza link hii kutazama 👇👇ruclips.net/video/6nCHIsLmuEc/видео.htmlsi=u0PjhVavg2oGzV9G
Daaaah kipesileeee😂😂 mfanye muwe mnawahishaaa
Mbona huyu
Mwanafunzi anasura ya Baba na niwakike au iyo shule wanavaa kikike ata kama wakiume
Léo kipesil ni mujinga😮😮😮😮😮😮
Kipesile ni ya motooo
Nziri sana na mfutilia nikiwa Nairobi Kenya
Mmmh kipesile moto🔥 wakuotea mbali ,hatariiiiii😅😅😅😅😅😅😅😅
Maashallah 1.3M views ❤
Shukran
Kiukweli kaigz vzl san kipesile adii lah jmn alafu jasili
Kipesile ya moto sanaa🔥🔥😂😂😂😂👏👏❤️
Dogo kipesile 😂😂 seller show them the color of the snake
Gaiii manyoka tena vile naogopa na napenda kuagalia😢
Kipesile ukosawa 🎉🎉🎉🎉😂❤❤❤
Nimependa confidence ya
Kipesile😂😂😂😂😂
Mbn majina yote umeliita bila ubini ila la kipesile unataja na ubini wake
Kipesile ana tuchuchu kwa mbaliiii😂😂😂😂😂
😂 anaelekea kuivaaa
Huy kipesile wakike ama wakiume ila kanajua kuekt kipo serious