SAUTI KAMA YA JAIVAH, NAJUA KUIGIZA, NAUZA VIFAA VYA UMEME - HELLO MR. RIGHT

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 янв 2025

Комментарии • 76

  • @Muhamed_mazba
    @Muhamed_mazba 10 месяцев назад +7

    Mr right kachangamka sanaa😂😂

  • @MaryanMaryam-lc1et
    @MaryanMaryam-lc1et 14 дней назад

    Lulu kapendez😂❤

  • @FélixRaphael-r5k
    @FélixRaphael-r5k 10 месяцев назад +4

    Mimi nawafatilia ninyi Mr Right sasa naona mala nyingi ninyi wa simamizi hua mnachangia kikubwa mtu kukosa mwenza Kwa sababu mnauliza maswali ata mengine hayana mSingi unamuliza mtu et wewe ni muongo Wana wake ata akijibu cy muongo hawawezi kuamini

  • @NelinaRichar
    @NelinaRichar 10 месяцев назад +1

    Eliza anabowaaaa😊

  • @NamaromeSharon
    @NamaromeSharon 10 месяцев назад +11

    Nikekuwa mm hello mr tight niketoa eliza kwa stages maana hana qualities anataka kwa mwanaume ni kasolo tu anatafuta na kuanika kwamba ni mchafu na story zingine

  • @AmanJosephat
    @AmanJosephat 10 месяцев назад +2

    Nakubar san mwanang mabut ataaar saan mkiwa na chumvi nying GAn

  • @EsterNdalu
    @EsterNdalu 10 месяцев назад

    Dada lulu big up

  • @sockyaisha
    @sockyaisha 8 месяцев назад +1

    Eric mwenye tranic zake 😂😂😂ila garab nyie 😂😂

  • @chidyobey10
    @chidyobey10 10 месяцев назад +1

    Huyu c Madundoooo, mabuutiii WA Chumvinying

  • @PrincessHellen-pg1oy
    @PrincessHellen-pg1oy 10 месяцев назад +1

    Lulu wewe 😅😅 eti nimekuchoka baba mwenye nyumba 😂😂😂😂😂 ila mkaka yupo poa sana nimempenda bure

  • @shushungenishushu3259
    @shushungenishushu3259 10 месяцев назад

    Mumpeeeee sen ya. Ugai gai😂😂😂😂❤❤

  • @engineerismael2186
    @engineerismael2186 10 месяцев назад +2

    Hiv mwez wa Ramadhan ndo mnavaa nguo za eshima ukiisha mnalud kweny mavaz yen ya nus uchi

  • @erickngullo5473
    @erickngullo5473 10 месяцев назад +3

    Tumuombee Eliza adumu kwenye podium 😅😅 anachangamsha kijiwe ad raha 😅😅

  • @Chakol123-k7s
    @Chakol123-k7s 10 месяцев назад +7

    Yani wanaume wengi humu mr right wanatokea sinza au Kinondoni mh htr 😂😂 hamna mbagala,mabibo,manzese,masaki,ububungo 😂😂😂

    • @jamesmasunyiro8733
      @jamesmasunyiro8733 10 месяцев назад

      Bado mm tu watabata niingie hapo thn niweke prf kuw nimetok sinza

  • @preceenosent6324
    @preceenosent6324 9 месяцев назад

    Doctor ukolofi kingeleza kigumu

  • @Amina-i4r
    @Amina-i4r 10 месяцев назад +2

    Ila mumependeza ssna mumejistiri vizuri ama ni hii Ramadhani 2 ndio hamtaki kumkosea mungu

  • @janemartine5967
    @janemartine5967 10 месяцев назад

    Kwa Sasa hivi Wana mungu mufungo ukiisha hawako nae

  • @ZainabKhalfan-qo2bs
    @ZainabKhalfan-qo2bs 8 месяцев назад

    Ila Eliza😂😂😂

  • @salmaabdallah9598
    @salmaabdallah9598 7 месяцев назад +1

    Me naboreka kuona azifik mwisho au ili uone ad mwisho tufanyeje tuwaongeze bando au

  • @JenniferAndrew-u6v
    @JenniferAndrew-u6v Месяц назад

    Maboti

  • @MariamMpanga
    @MariamMpanga 10 месяцев назад +2

    Arya eti wangindo watu wa Tanga 😂😂😂
    Eeeeeh sisi wangindo Ni watu wa LINDI

  • @FEBRONIABUKHAY
    @FEBRONIABUKHAY 10 месяцев назад +1

    Tunashindwa kuenjoi kwa maana mna maongezi mengi kuliko Maelezo

  • @Aishaawadhimsloki
    @Aishaawadhimsloki 10 месяцев назад +2

    Eliza hawez kutoka hapo kwasabu akitoka eliza patapooza sana

  • @AidahMarashi
    @AidahMarashi 10 месяцев назад +1

    ELiza had lini jmn

  • @cimpayeriziki6680
    @cimpayeriziki6680 10 месяцев назад

    Lulu alia ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @shushungenishushu3259
    @shushungenishushu3259 10 месяцев назад

    Mr right chumvinyingi njooo umuone mwanao mabuti😂😂😂

  • @JanethMwakanyamale
    @JanethMwakanyamale 10 месяцев назад

    😂kazi kweli jamani

  • @LeylaHamisi-qh3kb
    @LeylaHamisi-qh3kb 8 месяцев назад +1

    Mr right kaa anaigiza kwenye gang la chumvi nyingi

  • @rachelmuhehe7789
    @rachelmuhehe7789 10 месяцев назад +1

    Kujiuza mchana kweupe kwa lugha ya kuhalalisha dhambi

  • @leemakonnengava9866
    @leemakonnengava9866 10 месяцев назад

    Lulu Leo wapendeza na dada yako Leo....Uislamu ni tamu

  • @نجمةكينيا
    @نجمةكينيا 10 месяцев назад +1

    Eliza alikosa nongo 😮😮😮

  • @ZUHURASEIF-v1j
    @ZUHURASEIF-v1j 10 месяцев назад +2

    Mm Niko na swali huyu garabi acheka ivyo amaniku waijoi akina msta raigh.ana Cheka kama muugurumo wa gr😂

  • @PrincessHellen-pg1oy
    @PrincessHellen-pg1oy 10 месяцев назад

    Gara B eti I am sorry 😂😂😂😂

  • @festopetro2702
    @festopetro2702 10 месяцев назад

    Wote na Mr light😂

  • @MonicaJoseph-eu2ke
    @MonicaJoseph-eu2ke 10 месяцев назад +1

    Elizabeth bado yuko

  • @LucknessPeter
    @LucknessPeter Месяц назад

    eliza kashachokwa hapo ajiongeze tu

  • @JacqDaniels-hu5xj
    @JacqDaniels-hu5xj 10 месяцев назад +3

    Majaji ckuiz mmekua na maneno mengi kama waswahili em kueni serious

  • @musichealsTz
    @musichealsTz 10 месяцев назад

    mfungo ukiisha tunarudi kuvaa mavazi yetu ya uchi uchi sa sijui Mungu amekuwa best yetu. 😂😂

    • @HawaSadock
      @HawaSadock 10 месяцев назад

      😂😂😂😂😂😂

  • @ramadhaniharidi1682
    @ramadhaniharidi1682 10 месяцев назад +1

    Mbn kama msanii wa chumvi nyingi gang uyu

  • @AishaGor
    @AishaGor 3 месяца назад

    Miwan Yann kujihalibu tu

  • @mcraphelkyumba
    @mcraphelkyumba 10 месяцев назад

    Sag sana

  • @festopetro2702
    @festopetro2702 10 месяцев назад

    Lulu umenifurahisha san😂

  • @gracekayumba-z9l
    @gracekayumba-z9l 10 месяцев назад

    Wajina Grace kampenda mabuti

  • @shushungenishushu3259
    @shushungenishushu3259 10 месяцев назад

    Weeeeee mabuti wetuuuu

  • @StevenSimba-l8b
    @StevenSimba-l8b 10 месяцев назад

    Chumvi njoo umuone mabuti😢😢

  • @SamiaButoyi
    @SamiaButoyi 10 месяцев назад +1

    Yan uy Eliza atazehekey kweny podium kbx

    • @lilianeerica3318
      @lilianeerica3318 10 месяцев назад +1

      Ķumbe bado yupo😅😅😅😅😅😅😅

  • @SadaChowo
    @SadaChowo Месяц назад

    Mbn kama barut wa chumvi ngingi

  • @theodorachaki5174
    @theodorachaki5174 10 месяцев назад

    hiki kipindi nakipenda sana lakini mnaweka fupi

  • @onesmomwakasege5215
    @onesmomwakasege5215 10 месяцев назад

    Acheni kuwaongopea watu wangindo siyo wa2 watanga wangindo niwatu wakusini wanapatikana lindi na mtwara

  • @charlesnyagabona1729
    @charlesnyagabona1729 10 месяцев назад

    Eliza huyu demu atazidi kuzeeka kwa kuchagua

  • @salamarashid3687
    @salamarashid3687 10 месяцев назад

    Hayo maswala y vipato mm siyapendi..Haina haja kuwauliza ma Mr right

  • @prosianswai9435
    @prosianswai9435 10 месяцев назад

    eliza simzee

  • @FrncMukwinka
    @FrncMukwinka 10 месяцев назад

    Elisa Pol Basi umechoka kiufupi

  • @gracekayumba-z9l
    @gracekayumba-z9l 10 месяцев назад

    Si mwigizaji wa chumvi nyingi

  • @EddaPeter-yn3nk
    @EddaPeter-yn3nk 9 месяцев назад

    Apo akuna mwanaume kama kweli mtu unaitaji wamaisha uyu kazidi machejo mengi akuna mume kabsaaaaaa😂😂😂😂

  • @Lushinge27
    @Lushinge27 10 месяцев назад

    Eliza kapotelea wapi?

  • @christainc.5217
    @christainc.5217 10 месяцев назад

    😂😂😂

  • @lareineminah1353
    @lareineminah1353 10 месяцев назад

    Eliza si alisemaga ni mu islam...

  • @theresareed8537
    @theresareed8537 10 месяцев назад

    Hu yo mama no??wewe tena

    • @theresareed8537
      @theresareed8537 10 месяцев назад

      LuLu ni Mimi Michael kutoka America Arizona