ANAPOISHI PATCHO MWAMBA/ASAHAU IDADI YA VIATU VYAKE/ANA MASHATI ZAIDI YA MIANNE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 30 ноя 2024

Комментарии • 147

  • @hopejohnson7352
    @hopejohnson7352 2 месяца назад +29

    Kiukweli pacho ni mstaarabu sana binafsi nampenda sana❤❤❤

  • @BernardArmel
    @BernardArmel 2 месяца назад +4

    Pacho is very simple, mstaarabu na yupo kabisa transparent.

  • @AzaAzamhmod
    @AzaAzamhmod 2 месяца назад +10

    Ana bint mrembo❤❤❤❤
    Wacongo salute kwa kuvaa

  • @Mimy_keys
    @Mimy_keys 2 месяца назад +4

    Tunakupenda sana Patcho ❤ Wa Congo Kwa Kuvaa na Kunukia Alooo 😊🫡🔥

  • @PienciaKoku
    @PienciaKoku 2 месяца назад +12

    Wa Tz tunakupenda sana ila naomba hivyo viatu punguza kidogo uwagawie watoto yatima na watu wenye uhitaji kama inawezekana.❤️❤️🙏🙏

    • @Chakol123-k7s
      @Chakol123-k7s 2 месяца назад +5

      Mwache ana nia yake msiingilie maisha ya watu

  • @NeemaTosha-u3x
    @NeemaTosha-u3x Месяц назад +1

    Amenenepa sana ❤

  • @ChristianEinstein-t2j
    @ChristianEinstein-t2j 2 месяца назад +4

    Kumbe amezaliwa Belgium/ ubeligiji safiii sana ndio maana mambo Yako ni ya kizungu zungu

  • @sisterblessed-my9jd
    @sisterblessed-my9jd 2 месяца назад +1

    Nacho mstaarabu sana . Big up!!

  • @GloryBernard-j3m
    @GloryBernard-j3m Месяц назад +2

    Me nikiwa na viatu pea nne yani naviangalia kila saa najisemea moyoni daaah nina viatu vingi😂😂😂😂kumbe😢

  • @essiesammy6505
    @essiesammy6505 2 месяца назад +1

    Hongeraa saleeh umenunuaaa gariii

  • @YasminaMkali
    @YasminaMkali 2 месяца назад +2

    Chumba hakina mpangilio kbs.😂😂😂...Nyumba ni mwanamke jmn.

  • @Hapygideon
    @Hapygideon 2 месяца назад +8

    Tunampenda na tunampenda Tena pantcho

    • @hasanipoy3976
      @hasanipoy3976 2 месяца назад

      Hamumupendi tena kiboko ya wachawi

    • @Hapygideon
      @Hapygideon 2 месяца назад

      @@hasanipoy3976 kiboko ya wachawi ameingilia wapi hapo,,nitazidi kumpenda maana kanitendea mambo makubwa sana mtuachie mtumishi wetu

    • @fathiyahmuzney7367
      @fathiyahmuzney7367 2 месяца назад

      ​@@hasanipoy3976😂😂😂😂😂

  • @Chakol123-k7s
    @Chakol123-k7s 2 месяца назад +10

    Suleh siku nyingine mtafute ray kigosi nae tuone maana kitambo

  • @zenasalum2231
    @zenasalum2231 Месяц назад +1

    Umemkuta na muhojiwa mwenyewe anapenda sifa basi weeee mambo yanajipa

  • @HajiMgwami
    @HajiMgwami 2 месяца назад +4

    WAANDISHI WA SIKUHIZI BANA, YAAN LEO UNAENDA KUMUHOJI PATCHO KUHUSU HISTORIA YAKE KWELI, AMESHAHOJIWA MARA NGAPI NAKUSEMA YOTE HAYO, MJITAHIDI KABLA YA KWENDA KUFANYA MAHOJIANO MUWE MNAPITIA KWANZA KUJUA NINI HAJAULIZWA..

  • @abisaimuhanji3687
    @abisaimuhanji3687 2 месяца назад +7

    Ila steven pamba na swaga za fimbo na koki zilimpendeza sana kwenye filam

  • @AzaAzamhmod
    @AzaAzamhmod 2 месяца назад +2

    Walkua mabest hyu na kanumba❤❤

  • @chani_tayra_official1860
    @chani_tayra_official1860 2 месяца назад +3

    Saleh vip nyumban kwa gigy ??

  • @echikyabu6154
    @echikyabu6154 2 месяца назад +2

    Kweli mama kasafir

  • @moseskulola6913
    @moseskulola6913 2 месяца назад

    Sisi WA Congo sio muzaa mashati more than 400

  • @suleimanjokoro
    @suleimanjokoro 2 месяца назад +2

    La Sapeur ^^^💪🇨🇩🕵️🇹🇿🎼🎸

  • @adijaamur962
    @adijaamur962 2 месяца назад

    Awagawiye maskini wanatembea Migu peau hawana chakula hata sehem ya kulala wanaishikama popo awasaidiye

  • @McT-m1m
    @McT-m1m 2 месяца назад

    Nampenda huyu pacho number mkongo sio mtanzania

  • @SharifaOman-bf1bn
    @SharifaOman-bf1bn 2 месяца назад

    Kanenepa pacho. Madhaallah

  • @fettiemaganza1484
    @fettiemaganza1484 2 месяца назад +1

    Apo kibaka akiingia kajipatia mtaji wa balo lake fresh anaenda kumwaga Karume

  • @nancyg8664
    @nancyg8664 2 месяца назад +10

    kamera man ameingia bila kukaribishwa

    • @RoseeyRoseey
      @RoseeyRoseey 2 месяца назад +2

      Kumbe nawe umeona 😂😂

    • @mtotiimkwizu
      @mtotiimkwizu 2 месяца назад +2

      Nilikua najiuliza nimeona pekeangu au😂😂😂

  • @SaidIddy-k7f
    @SaidIddy-k7f 2 месяца назад

    UNA HARIBU KIPINDI MY GEE SEMAA MITAA KAMA AWALI ULIVYO KUWA UNAFANYA

  • @christaoman8890
    @christaoman8890 2 месяца назад +45

    Hii mambo mtangazaji kuingia kwenye nyumba mpk chumban manachukua vidio vitanda.vya watu sio poa mi sijapenda kabisaa

    • @salehcllassic2325
      @salehcllassic2325 2 месяца назад +2

      Pole utazoea😊

    • @Chakol123-k7s
      @Chakol123-k7s 2 месяца назад +5

      Mnafundishwa usafi kuweni wasafi muda wote 😂😂

    • @zaramuneer3257
      @zaramuneer3257 2 месяца назад +1

      @@salehcllassic2325😂😂

    • @ramadhanwilbard8196
      @ramadhanwilbard8196 2 месяца назад +5

      Mwenye nyumba mwenyewe ndiye anayekubari iwe hivyo;shida yako ni nini?alafu inabidi utambue kuwa watu maarufu wana mambo yao ambayo mengi yanakiyuka mila zetu za imani za dini na tamaduni za asili lazima uyajue hayo,hata mimi kuna mambo yanafanywa na Wasanii yanichefua na sitegemei kuyafanya wala kuyaiga na kama na wewe unachukia basi endelea kuyachukia hivyo hivyo na kukifundisha kizazi chako kisiige !

    • @MilembeLugwila
      @MilembeLugwila 2 месяца назад

      Umenifurahisha​@@salehcllassic2325

  • @btylove1870
    @btylove1870 2 месяца назад

    I like Pacho sana ila huwa najiuliza miaka yote kuishi Tanzania ila kiswahili faswaha wapiii

  • @zebedayokatamaduni9676
    @zebedayokatamaduni9676 2 месяца назад +2

    Kwa hiyo viatu vyake ndiyo habari umeona kwako ina maana , habari za kipuuzi kabisa,, mtu una akili timamu unaongelea viatu vya mwanaume mwenzio

  • @zaidiakagambo6100
    @zaidiakagambo6100 2 месяца назад

    Humu anaweza kujificha nyoka akazaa Na akapata wajukuu 😂

  • @AshaRamadhani-px9ov
    @AshaRamadhani-px9ov 2 месяца назад +4

    Mstaarabu sana patcho issue ni usafi😂😂😂😂

  • @Hapygideon
    @Hapygideon 2 месяца назад +1

    Tunampenda na tunampenda tena

    • @hasanipoy3976
      @hasanipoy3976 2 месяца назад

      sasa koboko ya wachawi naye hahaha😅

    • @Hapygideon
      @Hapygideon 2 месяца назад

      @@hasanipoy3976 masikini wewe kumbe hata kiboko ya wachawi humjui 🤔🤔

  • @McT-m1m
    @McT-m1m 2 месяца назад

    Sasa kwa nini hujajemga mpaka Leo pacho si kwa ubaya

  • @AzaAzamhmod
    @AzaAzamhmod 2 месяца назад

    Patcho mwamba❤❤❤❤

  • @ChoroTesla
    @ChoroTesla 2 месяца назад

    Meona kichupa cha mkongo😅😅😅😅😅

  • @FredrickMatiku-xf2uk
    @FredrickMatiku-xf2uk 2 месяца назад +12

    Yaani wakongo wanajua kuvaaa tu wasafi ila nyumbaaa zao aaaaah zimechoka

    • @ziadasalimu1730
      @ziadasalimu1730 2 месяца назад

      Haswa

    • @Taito-brand
      @Taito-brand 2 месяца назад

      Brother yy anaish kwak na hy ndio hela yak kwahy ww kausha sana

    • @SuleimanKhdija
      @SuleimanKhdija 2 месяца назад

      Kwani hii nyumba ina ubaya gani 😮ao unapenda wanao force maisha anesha nyumba yako

    • @ukhtyrayyan7884
      @ukhtyrayyan7884 2 месяца назад

      Mmmmm ufisadi huo kwani hiyo nyumba imechoka au wer ndio umechoka hasidi weer😅😅

    • @FredrickMatiku-xf2uk
      @FredrickMatiku-xf2uk 2 месяца назад +1

      @@SuleimanKhdija yangu najenga kigamboni ikkiiiisha njooo uone au utaona kipindi cha showbizz zamaradi tv

  • @zeloterisasi141
    @zeloterisasi141 2 месяца назад

    Jamaa ana lorry tatu za nguo na viatu

  • @chunahbeivy3761
    @chunahbeivy3761 2 месяца назад

    Seth bosco alikufa😳??

  • @ndorobo205
    @ndorobo205 2 месяца назад +4

    Pacho mjengo mbona wakawaida tofaut na madogo wa 2000

  • @AllySalum-j9y
    @AllySalum-j9y 2 месяца назад

    Anamtotooo mzuriii antakuaaa mkweweeeeeeee

  • @lilianwaflotina1288
    @lilianwaflotina1288 2 месяца назад

    Waoo jirani yangu pua na mdomo sinza E

  • @BeatriceMassawe-qy6bs
    @BeatriceMassawe-qy6bs 2 месяца назад

    Ivi mpiga picha aliingilia wapi

  • @viatorykashabizi2538
    @viatorykashabizi2538 2 месяца назад +1

    Kwasababu tu anakujua,lakini kiswahili chako hakina tofauti na mbongo,manyema wa Kigoma. Unaongea kiswahili safi na fasihi kabisa. Vinginenyo,yeyote aliyeathirika na lugha yake mama aongeapo hutofautishwa na mwingine kwa lafudhi yake.

  • @johnmwalwembe3036
    @johnmwalwembe3036 2 месяца назад

    Nimejifunza kitu kwako pacho .mwamba kwenye mpanjilio wa kuza nguo na viatu ni mevutiwa sana

  • @rehemayona2223
    @rehemayona2223 2 месяца назад

    Kwani Hana mke au dada wa Kaz mbona pachafu sana jaman

  • @beatricerobert8985
    @beatricerobert8985 2 месяца назад +3

    Ana utulivu wa kifamilia na wanapenda watoto ❤❤

  • @Tuu2019
    @Tuu2019 2 месяца назад +2

    Pacho 10
    Nyoshi 3.

  • @نجمةموبيبي
    @نجمةموبيبي 2 месяца назад +2

    Minguo yote na mi pafyum lakin kitu cha maana ndani sijakiona zaidi ya viatu nguo na pafyum, hata makabati ya kuweka hizo nguo na viatu hakuna zaid ya kutupatupa to, analala stoo😢

  • @Mjuni3
    @Mjuni3 2 месяца назад

    Nguo zote hizo si uwape wahitaji ?

  • @GloriaNikiza
    @GloriaNikiza 2 месяца назад +1

    Pacho mwamba mwana mboka

  • @MariamIbrahim-h7p
    @MariamIbrahim-h7p 2 месяца назад +1

    Pachiw amezeheka kweliw

  • @yunisimaiko
    @yunisimaiko 2 месяца назад

    Hizo nguo na miviatu yote Hy si uwape tu wasiojiweza jmn kunamayatima hat kiatu hawana jmn

  • @zuwenaabdallah7748
    @zuwenaabdallah7748 2 месяца назад +1

    Nampenda Patcho hana tambo za kicongo kama wenzie hajichubui

  • @wilbatnyato4679
    @wilbatnyato4679 2 месяца назад

    Enzi za Kanumba niliambiwa anamiliki ghorofa la kufa mtu ambalo wanaigizia movie yaani ukienda mbele na nyuma ni km nyumba mbili tofauti kumbe sio kweli

    • @ChoroTesla
      @ChoroTesla 2 месяца назад

      Mamae na ww ukaaamini

  • @abdulnasuma9729
    @abdulnasuma9729 2 месяца назад +1

    Tajiriii

  • @peterdeus6093
    @peterdeus6093 2 месяца назад +13

    Hamjui hata kudanganya, yaani wew ndo kwanza umefika uko nje, lakin camera man tayari kashaingia ndani kuchukua video ya mwenyeji wako anaekufungulia geti 😂

    • @lirastanley390
      @lirastanley390 2 месяца назад +3

      Wehu hao hawajui uongo

    • @Chakol123-k7s
      @Chakol123-k7s 2 месяца назад +5

      Wewe Ni mshamba mjini nn😅😅 hiyo video isharekodiwa wanachukua vipande wanaviweka tuu

    • @xyz-v6d
      @xyz-v6d 2 месяца назад +3

      Ni editing jamani.wakimaliza kitu producer anaunganisha vipande kupata mtiririko wa anachokisema mtangazaji

    • @peterdeus6093
      @peterdeus6093 2 месяца назад

      @@Chakol123-k7s unaangalia video na bado hujui kinachoendele we si kichwa maji kabisa kama kweli una akili jaribu ku establish timeline utaelewa

    • @lirastanley390
      @lirastanley390 2 месяца назад +1

      @@xyz-v6d weeeeee kwahyo uunganishaji Wa vipande kupata mtiririko sahihi ndio inapigwa hodi halafu mtu anonekana anatoka ndani mpk anafungua mlango na kumkaribisha mtu??? Kwahyo unaona wapo sahihi au wamekosea? Kama kamera man kaweza kuingia ndani ambaye ndio kafika nae eneo la tukio sasa hodi ilikua na faida gani?

  • @agustinoapolinar1623
    @agustinoapolinar1623 2 месяца назад

    Uwe unasemaga na lacation

  • @Fredymwanzo
    @Fredymwanzo 2 месяца назад

    Hu jama Ako naviatu bana

  • @Chakol123-k7s
    @Chakol123-k7s 2 месяца назад +6

    Suleh Leo hamna ubweche 😂😂 piga story kula kwenu 😂

  • @Mariam-fm8vq
    @Mariam-fm8vq 2 месяца назад

    Jamaa amepotea sana

  • @mawlodafarida
    @mawlodafarida 2 месяца назад +1

    Nampnda❤❤❤

  • @SimonSimon-w1s
    @SimonSimon-w1s 2 месяца назад

    Wakongomani kwakijisifu amnarorota jaatu

  • @barretobacca9754
    @barretobacca9754 2 месяца назад

    Duh! Noma sana

  • @MikidadiKambinda-tr6rl
    @MikidadiKambinda-tr6rl 2 месяца назад

    Pacho. Wewe. Tunakupenda. Sana. Sisi. Wabongo. Ila. Tukuombe. Usije. Ukawa. Kama. Ndugu. Yako. Kiboko. Ya. Wachawi. Kwani. Sasa. Amebaki. Kutuchamba. Watanzania

    • @صالحالصوافي-غ5و
      @صالحالصوافي-غ5و Месяц назад

      Hawezi pacho anajitambua angekua mupenda sifa tungekua tunamuona yeye yuko busy namaisha yake

  • @machinefannatic99
    @machinefannatic99 2 месяца назад +1

    uko nje ya geti ila camera man yupo ndani🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @hezronjoseph405
    @hezronjoseph405 2 месяца назад +2

    Minajuaga tajili htari

  • @MariamIbrahim-h7p
    @MariamIbrahim-h7p 2 месяца назад

    Oza bien ni bistro heeee

  • @DelightfulMacawBird-tl5hf
    @DelightfulMacawBird-tl5hf 2 месяца назад +2

    Wakong maridadi mabishoo

  • @TreyCarlos-p2i
    @TreyCarlos-p2i 2 месяца назад

    Mbona pa kawaida sana mbaya zaidi n anapanga nilijua kuna AÇ kumbe pana nyavu

  • @mrafm7285
    @mrafm7285 2 месяца назад +1

    Rais anaishi uswazi ila wabongo Bwana

  • @ClassicUsed-jg6ri
    @ClassicUsed-jg6ri 2 месяца назад

    Hiyo anatafuya kiki

  • @othumanlorenzo260
    @othumanlorenzo260 2 месяца назад

    patcho ametisha mnoo humu

  • @alsam4881
    @alsam4881 2 месяца назад

    Ni bora hivyo viatu na mashati angepunguza na angegawa sadaka kwa watu masikini kuliko kujaza makorokoro ndani ya nyumba.

  • @franktimoth9786
    @franktimoth9786 2 месяца назад

    Du kila mtu na starehe yake pafyum na viatu duu

  • @NtiruvakureRenovat
    @NtiruvakureRenovat 2 месяца назад

    Uchafu mno…

  • @ramadhantahila9131
    @ramadhantahila9131 2 месяца назад

    amefananiana na Dude ama yahaya unaishi wapii

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 2 месяца назад

    Kitambo sana enzi izo miaka 2009 bongo movie ilikuwa ya moto nilikuwa silali Mbak nimuone huyu mwamba

  • @nasibusaid4161
    @nasibusaid4161 2 месяца назад +3

    Hamna mtangazaji hapo,

    • @salehcllassic2325
      @salehcllassic2325 2 месяца назад +4

      Karibu utangaze wewe

    • @HadiaAme-x5f
      @HadiaAme-x5f 2 месяца назад +2

      Lkn ndo anatangaza hadi leo nawe uko kwenu uko

  • @SalumuMandemla
    @SalumuMandemla 2 месяца назад

    Uwo nao ushamba watu kibao awana una manguo ambao uya tumii

    • @ukhutfatumah1154
      @ukhutfatumah1154 2 месяца назад +2

      Jina lenyewe user hapo ulipo uwe unasikiliza interview mbaka mwisho ndugu usiwe unakurupuka

    • @Chakol123-k7s
      @Chakol123-k7s 2 месяца назад

      Wape wewe nguo zako

    • @hasanipoy3976
      @hasanipoy3976 2 месяца назад

      Mbona wasanii wanazo nyingi hawatumii na hawagawi