RIYAMA NA MUME WAKE WAFANYA YAO LIVE KWEUPE REDIONI TAZAMA.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 ноя 2024

Комментарии • 1,4 тыс.

  • @fadyaalmansoor7795
    @fadyaalmansoor7795 3 года назад +21

    Wallay nampenda huyu mwanamke yaani anafurahisha😅 MashaAllah na ni mrembo🇰🇪👌👌❤

  • @fahas6779
    @fahas6779 6 лет назад +10

    Mashaa Allah. Napenda maneno yako. Siangalii film nyingine mpaka ni juwe ww Uko. Una maneno ya kuchekesha kweli

  • @ashaibrahim6244
    @ashaibrahim6244 3 месяца назад +3

    Rihama ni mwanamke anayejitambua sana. Nampenda sana yeye pamoja na mume wake. Wallah kuna siku nimewasimamisha barabarani na kwa ambavyo hawana maringo walisimama na kunisikiliza. Ujumbe wangu kwao ilikuwa ni kuwaambia ninavyofurahia mahusiano yao na kwamba nawapenda. Walipokea ujumbe kwa bashasha honi za magari zikatukatisha.
    Mungu awatunze na awadumishie upendo wao biidhin'Allah ❤❤❤

  • @nuruabeidawadh9757
    @nuruabeidawadh9757 4 года назад +1

    Allah atawapa watoto wenye khery barka na neema zake RAHAMANI AMIN YARAB ALWAHUMA AMIN

  • @khadijaalghaithy2485
    @khadijaalghaithy2485 5 лет назад +14

    Riyama unaonesha roho yako safi mashaallah, Mungu akuzidishie ❤️

  • @isharaclarahbeckam3731
    @isharaclarahbeckam3731 6 лет назад +9

    nakupendaje Riyama 😘😘😘😘😘😍😍😍😍😍😍 ndoa yenu idumu mileleeee

  • @aishaibrahim5138
    @aishaibrahim5138 6 лет назад +13

    Nakupenda bure ....wise,funny,talented and beautiful. Mhhh so kwa mapenz hayo,had wivu

  • @muhsinsalum2305
    @muhsinsalum2305 5 лет назад +1

    Mi nimeipenda.
    Ila uongo dhambi dada Riyama hua unanikosha saana moyo pale unapoigiza movie za KIISLAAM ukawa umevaa kisheria ya Kiislaam. Wallahi hua unapendeza saana.
    Namuomba Allah akupe moyo uje uwe ka bi khadija mke wa mtume (s.a.w.) kwa kushika dini in shaa Allah.

  • @wahiduitsverycommentmane5421
    @wahiduitsverycommentmane5421 4 года назад +4

    hahahhh kama umemskia kaka pembeni akitoa msemo mubashara mjusi juu ya gogo dondoshea like twende sawaa 😘😘😘😘😘😘😘😍😍

  • @beatrisiemanueli1583
    @beatrisiemanueli1583 3 года назад

    Jmn mwambieee rihama nampendaaaa san

  • @fortunatemathiasbarabara3686
    @fortunatemathiasbarabara3686 6 лет назад +11

    I love Dada Rihama unajiamini mpaka raha

  • @pichunakichuna2111
    @pichunakichuna2111 5 лет назад +15

    I don’t know this lady but she’s very interesting mrembo kweli kweli uwezi kuboeka naye 💕💕💕💕💕👍🏽

  • @hiltrudashangarai1902
    @hiltrudashangarai1902 6 лет назад +7

    Mko vzr Sana hongereni Rihama na Mr hapo shetani asiwaingilie apite kule maisha yenu na upendo udumu milele!

  • @ashashabani4210
    @ashashabani4210 6 лет назад +1

    khaki ya mungu riyama nakupenda sana 😍😍😍😍 nimecheka cheko kama loteee hivi

  • @judymangi4582
    @judymangi4582 5 лет назад +27

    Ryama mama nkupenda bure love kenya from qatar

  • @rosemarysimon5914
    @rosemarysimon5914 6 лет назад +1

    nimeipenda nimekupenda sana riama hongera kwa kujiamini Mungu aibariki ndoa yako

  • @carolinetalimo8088
    @carolinetalimo8088 6 лет назад +3

    uko vizuri sana sister riyama,,,nakupendaga bureee

  • @ummamne2558
    @ummamne2558 6 лет назад

    Nakupenda dda riyama yani hadi rahaa wallah nawaangalia ntamani kilacku thu muwe apo hhaaa mapenzi rahaa moto motoo ila nakuomba kitu ddangu riyama we ni muislam tafadhali naomba uctiri kichwa chako kwani haifai kabxa katk dini yetu mwanamke kuonekana hta unywele mmoja mie mkenya njo qatar ..i luv u so much nawatakia kila la kheri ktk ndoa yenu muendelee kua pamoja leo duniani mpk kesho akhera Insha Allah muzdi kufanikiwa😍😍😍😍😘😘😘

  • @jonaselias7729
    @jonaselias7729 6 лет назад +67

    sijawahi malizaga hizi clip ila sio kwa Rihama Ally very funny nampenda

  • @alimuhamad8267
    @alimuhamad8267 6 лет назад +1

    Hongereni sana Allah awabarikie ktk ndoa yenu.ila kwahilo sasa Riama chukuwa tahadhari

  • @uwamberimfurapascaline1073
    @uwamberimfurapascaline1073 6 лет назад +3

    wallah riyama ata Rwanda tunamupenda sanaaaa munoo

  • @LeylaFadhil
    @LeylaFadhil 4 года назад +1

    Dini mwaijuwa mashallah basi riyama dada jitande haifai kujiacha ivyo

  • @susans.s4609
    @susans.s4609 5 лет назад +9

    Love is blind... But mostly I would say age is just a number.. kudos great couple!

  • @husnangapu502
    @husnangapu502 6 лет назад

    Kiukweli napenda sana unavyojiamini Riyama yani ulishatia pamba masikio safi sanaaa Mashaallah Mungu akujalieni mdumu kwenye ndoa yenu

  • @meggyshukia8715
    @meggyshukia8715 6 лет назад +10

    Weraaaa nimeipendaa hongera mama, inapendeza sana

  • @lilikazinyongi54
    @lilikazinyongi54 4 года назад

    nakupenda liyama natamani tuongee ana kwa ana cku moja nitafurahi sana una maneno ya busara na hekma mashaallah

  • @aishamrembo6769
    @aishamrembo6769 6 лет назад +55

    Sijui kwann imeisha hii interview jamani huyu riama nampenda jaman khaa😂😂😂si kwa kicheko icho😂😂😂😂

  • @willychipukisi7096
    @willychipukisi7096 6 лет назад

    Riyama nakupenda sana kwa kilakitu ufanyalo,mafunzo yako yana mafunzo tele Yafanaka,Mungu Akubariki abariki nayo kazi yako.

  • @issahdaless8265
    @issahdaless8265 5 лет назад +137

    Huyu mwanamke mpaka rahaaaaa gonga like nyingi sijawah pata like ma friends

  • @abdulchauchau890
    @abdulchauchau890 6 лет назад +1

    Riyama family ya mzee chauchau pamoja na me abdul chauchau tunakupenda sanaaa

  • @esterlyova3203
    @esterlyova3203 6 лет назад +4

    hii video natamani kuangalia kila saa yaani lihama nakupenda bule😘😘😘

  • @art139
    @art139 3 года назад

    Dr Kumbuku ingependeza sana mkifanya kazi pamoja na Rihama.

  • @justineirakiza3894
    @justineirakiza3894 6 лет назад +15

    Nampenda sana Rihama 😚😚😚😍😍😍

  • @salimsaiba7710
    @salimsaiba7710 6 лет назад

    mashallah twawatakia kila la kheri muwe na ndoa yenye baraka kwakufata mwendo wa mtume amin

  • @dianadiva6378
    @dianadiva6378 6 лет назад +21

    Wow i love her... That's real love dear.. Your so pretty... You make me laugh... It ain't about age!!! Love this couple..

  • @hamidajuma7804
    @hamidajuma7804 6 лет назад +1

    Mashaallah Allah awatangulie katika maisha yenu mzeeheshane Inshaallah

  • @shantelshanty4061
    @shantelshanty4061 6 лет назад +45

    Kiswahili cha bongo hatari 😍😍🖒🖒🖒🖒👊❤

    • @jamillahmasoud2401
      @jamillahmasoud2401 5 лет назад +2

      Huuu Dada nampenda sana mana ananifurahisha sana aiise mungu amzidishie cku 10000000000000000

  • @خيراتعباس
    @خيراتعباس 6 лет назад +2

    Love this woman....mafumbo nayoo😘😘😘

  • @marymbombwe9253
    @marymbombwe9253 6 лет назад +5

    Riyamaaaa uko juu mamy huwa nakupenda tu na maneno yako

  • @maryamathman4073
    @maryamathman4073 6 лет назад

    MashaAllah Allah awajalie kila la kheri na awaepushie ya Shari jomoni nakupenda buree riyama

  • @sophyann4443
    @sophyann4443 6 лет назад +3

    Wow...may God bless your marriage

  • @aisha.tofautini5mdogoakeat833
    @aisha.tofautini5mdogoakeat833 6 лет назад +1

    Nakupenda bure dada Riyama dada wa mineno ila inaelimisha inaburudisha na kufurahisha mashaallah 😘😘😘😘😘

  • @asmahabiyambere2518
    @asmahabiyambere2518 6 лет назад +10

    Masha Allah may Allah keep protect your Nikka.

  • @annastephen50
    @annastephen50 6 лет назад

    Mungu awalinde msijaribu hata kufikiria kuachana mapenzi yenu yawe ya milele daima

  • @zulfahhussein505
    @zulfahhussein505 6 лет назад +4

    MashaAllaah my dearlove Riyana Ally nakupenda sana my dada wamie😍😍

  • @faridabakari8511
    @faridabakari8511 6 лет назад

    mashaAlah .....nic ndoa riana umeseme kweli ....lov u mama

  • @gurnihal6732
    @gurnihal6732 6 лет назад +12

    Teyyyyyynaaaaa kabisaaaaaa hujakoseaaaa maashaallah riamaaaa sadaktaa

  • @WaridawaridaWarida
    @WaridawaridaWarida 4 года назад +1

    Leo nimefurahi kuwaona kumbuka na dida kumbe mlikua fresh tuu nawaomba muendelee kama zamani

  • @shantelshanty4061
    @shantelshanty4061 6 лет назад +7

    Waa mdada nakupenda😍😍😍😁😂😂😂

  • @ahlamverynice.3605
    @ahlamverynice.3605 6 лет назад +1

    Nakupenda sana riyama damwani umenifurahishaje😘

  • @ashurakimbisa3628
    @ashurakimbisa3628 6 лет назад +48

    Ninavyokupenda Riyama hta cjaelewa hii interview imeishahe wallah😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @victoriamkilya928
    @victoriamkilya928 4 года назад +1

    Riyama huchoshi mpenzi, nakupenda sana! Umri namba tu, all the best darling!

  • @dorcasroma6715
    @dorcasroma6715 5 лет назад +3

    God bless riyama unajimama lakini sio mamako love tht

  • @euniceivayo8437
    @euniceivayo8437 6 лет назад

    Nice..l wish nipate wa kunipenda ka huyu baba

  • @neziali6992
    @neziali6992 6 лет назад +84

    Naona salon imehamia studio hahaaaaa niache mbavu zngu mie riyama nakupenda bureeeeee

  • @mgykaboza5601
    @mgykaboza5601 6 лет назад +1

    Unamambo we Dada.mungu akulinde nakupenda bule uko vizury

  • @peterpeter7855
    @peterpeter7855 5 лет назад +281

    Apewe kipindi cha ushauri kwa wanawake .Kama unaniunga mkono henu nione kutoka Mombasa

  • @yvonnely7010
    @yvonnely7010 6 лет назад

    Riyama nakupenda bureee💓💓💖💖mm nikia burundi

  • @priscambwambo1030
    @priscambwambo1030 5 лет назад +9

    Riama una hekima sana .jiheshima uheshimiwe ukweli kabisaa

  • @victormwanza8920
    @victormwanza8920 4 года назад +1

    Keep my sister age is just numbers my dear, what is important is respect, trust, honest etc...

  • @lovenesshumphrey4604
    @lovenesshumphrey4604 6 лет назад +3

    Uko vzr riyama nakupenda bure mamaaaa😍😍😍😍😍

  • @ummimohammed1856
    @ummimohammed1856 6 лет назад +1

    Mapenzi hayana fomula .riama sabah kaimba , usimsifie mwanamme muombee dua tu Allah akujaalie uishi nae miaka yote mpk kufa na asibadilike.

    • @suhaylaswai1311
      @suhaylaswai1311 4 года назад

      Kma hajawah kumfanyia mambo ya ajabu asisemee kuna wanaume na migume gumee hajapat gume gume huy na mtu aomb mabaya anaomba mema ila ad alipofikia anahak ya kumaifia miak mi 4 ming mnoo wengne waume zetu sim paswd kila sehemu

  • @najma3268
    @najma3268 6 лет назад +18

    Aisee nakupenda sana tu dada nafurahi sana yaan

  • @esternzumbi1888
    @esternzumbi1888 6 лет назад

    Duuuuh mungu awabariki zaidi katika ndoa yenu

  • @jmaboyi
    @jmaboyi 5 лет назад +3

    Sweetest actress ever😘

  • @mwanaishajuma5613
    @mwanaishajuma5613 6 лет назад

    mashaalaa Munyezi mungu awalindie mapenzi yeni nawapenda sana

  • @hollynationproductions6326
    @hollynationproductions6326 6 лет назад +10

    hata mie jaman mwaka wanne huu sijaona msg zamapenz wala msg haijawah potea njia nampenda sana pevius mwakyaka wangu najiamin kwakwel

    • @jumakigulu5190
      @jumakigulu5190 6 лет назад

      niama fyuzi moja imelegea kua makin kjana utakuja kujutia maamuz yako

  • @ireneshawa7496
    @ireneshawa7496 4 года назад +1

    Nakupenda sana mamiloo😘😘

  • @bettiejoy-mtotowamama
    @bettiejoy-mtotowamama 6 лет назад +4

    Mapenzi raha kweli ukipata akupendae 😜

  • @omarisarai7699
    @omarisarai7699 2 месяца назад

    Mashallah, azidi kuwapa upendo na utulivu inshallah

  • @marymarwa8428
    @marymarwa8428 6 лет назад +3

    Hahahahahaaaa mbavu zinauma rihama uwiiiiii! Karibu tena!

  • @agelpatrick3025
    @agelpatrick3025 5 лет назад +2

    Mapenz ayan umri komaa mwaya riyam nakukubali sana sana nasio Kwa cheko hilo

  • @Blandine81
    @Blandine81 6 лет назад +51

    jinsi ninavyo mupenda huyu dada. jamani MUNGU nilindiye naye, azidi kuwa nanifurahisha kwenye Movie zake

  • @leokadiajuma1272
    @leokadiajuma1272 6 лет назад

    Allah awafunike baraka tele nshallah kheri nawapenda bule

  • @rahmahamidu6589
    @rahmahamidu6589 6 лет назад +43

    hahahahaha Mashaallah uyo dada namkubali hatar mungu awalinde na ndoa yao

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 6 лет назад +1

    Ongelen sana kamanda Rio kaanae upo very very Mr&mrs

  • @nimrodmareges3131
    @nimrodmareges3131 6 лет назад +7

    Riyama napenda sana maneno yake si mtu wa kujisikia

  • @zaitunithabit2295
    @zaitunithabit2295 6 лет назад

    Nikweri uyu Dada analoho nzury mkalim nampenda MWenyezimungu awazidishie maishahayenu yawe ya baaraka

  • @zenasaid1752
    @zenasaid1752 6 лет назад +42

    nimewapenda bureeeee jomon raha kupendana nami naomba mungu nimpate wakunipenda tupendane turidhiane yasiwe mapenzi ya video

    • @barnabamwai5077
      @barnabamwai5077 6 лет назад

      Zena Said kuja kwangu mama

    • @abduldully564
      @abduldully564 6 лет назад

      Zena Said ushanipata Mm tayar njoo bas

    • @davidmaginga9562
      @davidmaginga9562 6 лет назад +3

      Nipo jamani natafuta mwaminifu wa maisha

    • @Basagamp4
      @Basagamp4 6 лет назад +1

      Zena Said
      Utapata tuuu OMBA MUNGU

    • @chidykiboko3769
      @chidykiboko3769 6 лет назад

      Zena Said yaan mpak rahaaa ila karnee hii kumpat mwanaume wa hiv mwenye upendo wa dhati dooh!si kazi ndogo wallah watu wahiv washakufa vit vya pili😀😀😀😀😀😀😀sahiv ni bahat 2 kumpat wa hivi hongera momy riyaama Alliy

  • @amaninaupendo.3539
    @amaninaupendo.3539 5 лет назад

    Amen amen. . Mungu akusaidie . Amen.

  • @jiongezetv6896
    @jiongezetv6896 6 лет назад +15

    kila lakheri nimeipenda

    • @saramchomvu1418
      @saramchomvu1418 5 лет назад

      Wachawe madm riym umetish nakupend mmwaaaaaaaa???

  • @ezramassawe639
    @ezramassawe639 5 лет назад +1

    riana nakukubali. mno kwa mada zako apo studio duu

  • @gurnihal6732
    @gurnihal6732 6 лет назад +5

    Sadaktaaaa ukiheshim utaheshimiwaaa❤

  • @maryjackton6954
    @maryjackton6954 6 лет назад +2

    Hahaaaaaa dadaaaeeeee nakupenda bure 😍😍😍😍😍😘more love from kenya

  • @teclaaugust829
    @teclaaugust829 6 лет назад +3

    hahahaaa nimeipenda hioo...Mwana wa mwenzio kizuka ..akizuka zuka naee!!

  • @oscarcharles9624
    @oscarcharles9624 3 месяца назад +1

    nampenda sana ana maneno mazuri muwazi mno had raha

  • @glorytwanga1611
    @glorytwanga1611 6 лет назад +7

    Nakupenda riyama

  • @naimaalkiyumi2273
    @naimaalkiyumi2273 4 года назад +1

    Nakupenda bure dada Riyama 😘 penzi/ndoa yenu idumu

  • @ilishiramzah4488
    @ilishiramzah4488 6 лет назад +27

    Riyama💕💕💕💕Miaka mia lov u....👌😂

    • @ayadddd6040
      @ayadddd6040 6 лет назад

      Ilishi Ramzah 😂😂😂😂

  • @fatmababaz6573
    @fatmababaz6573 6 лет назад +2

    Hehee Riyama bana,Eti mjusi juu ya gogo kwa raha zenu,nawapenda.

  • @neemamichael4141
    @neemamichael4141 6 лет назад +3

    namupenda san rihama nimuche shi san

  • @mkomatembo
    @mkomatembo 6 лет назад +2

    Riyama Unanivunda mbavu , unanifurahisha hadi natokwa mathizi. nawapenda sana na Ndugu yangu. Maashaallah True Love.

  • @prinsecdayana2143
    @prinsecdayana2143 6 лет назад +4

    Hahaha riyama.. Mbavu zangu mimi.
    Mama na mwana 😂😂😂😂😂

  • @syliviasimon8415
    @syliviasimon8415 3 месяца назад

    Mpaka nimeona wivuuuu.Mwenyezi Mungu nijalie na mie nipate wakunipenda

  • @milimomashini9432
    @milimomashini9432 6 лет назад +8

    Duuh riyama una manenoo balaaaa

  • @judysnasambu3349
    @judysnasambu3349 4 года назад

    Riyama oyee hongera from🇰🇪

  • @leyxon_delee
    @leyxon_delee 6 лет назад +17

    Nampenda riyama.. Anajua kuongea wife material

    • @erumanpaulo4023
      @erumanpaulo4023 6 лет назад

      nyie watu wa studio leteni mdomo muone mtachambwa

    • @dianajames8292
      @dianajames8292 6 лет назад

      hahahahaha maneno kuntuuu

    • @dianajames8292
      @dianajames8292 6 лет назад

      hahahahahaha napendwa kama mtoto mng'aaaaaa jamani nampenda huyu Dada anaongea ukweli

  • @khdj-x3w
    @khdj-x3w Месяц назад

    nampenda huyu mama jamani riyama nakupenda balaaa❤❤❤❤❤ kicheko cheket nakipenda bure

  • @danielmrombo
    @danielmrombo 3 года назад +5

    Dah hiyo make up hamalizi😀😀😀😀

  • @asiakafana636
    @asiakafana636 6 лет назад +1

    riyama unanifurahisha sana wallah nakupendaga buuureeee.