Charles Hilary wa Ikulu Zanzibar afunguka Kuhusu kwao na makuzi yake

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 фев 2025

Комментарии • 213

  • @abelchacha5977
    @abelchacha5977 3 года назад +15

    He is smart good person. Congraturation sir charls. Sio tu uchaguzi ila ni uchaguzi wa mtu sahihi

    • @afualusigi8079
      @afualusigi8079 3 года назад

      Kabisaaa

    • @afualusigi8079
      @afualusigi8079 3 года назад +1

      Yaani nimoja ya watangazaji ninaowanpenda sana.plus the late Nyaisanga

  • @salminasalim5630
    @salminasalim5630 3 года назад +2

    Hongera sana Mashaallah Tabarak Allah. Allah azidi kukupigania na akuwepesie kazi zako utakazo endelea nazo kwenye nafasi yako mpya nakuaminia Charles Hilary. InShaaAllah

  • @yussufhaji3335
    @yussufhaji3335 3 года назад +5

    Hongera sana rais dr Hussein Mwinyi
    Kwakweli maamzi yako nimazuri chazi hilary nikiongozi waukweli mm kama MZANZIBAR nimependa hii mungu akupe kila lahery mwinyi wetu wapekee ZANZIBAR njema

  • @ALIMOHD-bk9lr
    @ALIMOHD-bk9lr 3 года назад +4

    Riziki zote mtoaji ni Mungu. Tuacheni maelezo yasiyo na sababu za maana.

  • @saleheinnocent7636
    @saleheinnocent7636 3 года назад +5

    Unatosha Sana Mzee Hilary

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 3 года назад +9

    Hongera sana charles unaweza mungu ambariki sana Rais Hussein mwinyi hubagui baba yangu Hongera sana

  • @yussufhaji3335
    @yussufhaji3335 3 года назад +3

    Mm nampongeza sana mzee chazi hilary mungu ampe umry mrefu ila tumekosa laza ya matangazo yake mana nikimsikiliza huwa nasikia burudani sanaa kila lahery chazi

  • @ngwanafabian4612
    @ngwanafabian4612 3 года назад +16

    Kinachowaumiza wazanzibar ni jina Charles

  • @mtu.wa3
    @mtu.wa3 3 года назад +6

    Ila Wazanzibar muache ubaguzi mbona sisi hatuhoji mkiteuliwa huku bara? Sijui mkojee!!

    • @abdifaraji2883
      @abdifaraji2883 3 года назад +1

      Huko kuna serikali ya Muungano, siyo ya Tanganyika. Bora iwe serikali 3 tuondoshe mzizi wa fitina.

    • @elizabethmkude9452
      @elizabethmkude9452 Месяц назад

      Tena wabaguzi Sana Kuna wabongo wameenda kufanya kazi Pemba kampuni ya balabala ya kituruki wamewafukuza jikoni na kusema kwamba wabongo kufanya kazi Zanzibar asilimia 10 ila wazanzibar kufanya kazi bala asilimia 99 sababu wao nchi Yao inaendeshwa kiislam hii si sawa

  • @afualusigi8079
    @afualusigi8079 3 года назад +1

    Hakika unastahili Baba!Allah akufanyie wepesi kabisa!unastahili katika majukumu yako mapya.Unastahili Baba nakumbuka enzi zako na Nyaisanga Mungu amrehemu

  • @lusajomwaipopo5042
    @lusajomwaipopo5042 3 года назад +9

    Mwinyi yuko vzuri, ndiyo mara yangu ya Kwanza kusikia jina la kikrsto ktkt serikali ya Zanzibar

    • @abdulrahmanmohammed4449
      @abdulrahmanmohammed4449 3 года назад +2

      Mbona wapo wengi tu wengine makatibu wakuu hasaa

    • @lusajomwaipopo5042
      @lusajomwaipopo5042 3 года назад

      @@abdulrahmanmohammed4449 Ohio but cjawahi kusikia

    • @feiz3180
      @feiz3180 3 года назад +3

      Mbona wapo wengi au hufuatilii. Basi ukilinganisha baina ya bara na visiwani, zanzibar ina viongozi wengi wakristo per capita kuliko bara kuwa na viongozi wa kiislamu.

    • @nadhraabdulaziz9193
      @nadhraabdulaziz9193 3 года назад +2

      Wapo labda hujafatilia Ila wapo

    • @lusajomwaipopo5042
      @lusajomwaipopo5042 3 года назад

      @@nadhraabdulaziz9193 okay

  • @salimharrasy7047
    @salimharrasy7047 3 года назад +4

    Binaadam wote ni Mwenyezi Mungu.
    Popote atapojaaliwa kuishi ni ardhi ya Mwenyezi Mungu. Tuwache ubaguzi wa kitaifa, rangi na dini.

  • @sophiesadick5510
    @sophiesadick5510 3 года назад +4

    Hongera sana. We believe wewe ni mmoja was respectable journalist. Allah akusimamie katika majukumu yako.

  • @kaipapalai4566
    @kaipapalai4566 3 года назад +1

    Ameen hongera sana

  • @nassirzungu3827
    @nassirzungu3827 3 года назад

    Hongeeraa Sana Rais mwinyi kwa uteuzii wakoo

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 3 года назад +3

    Ni chaguo sahihi!!

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 3 года назад

    Napenda sana kampany yenu hilary na kamutu

  • @salehabri6957
    @salehabri6957 3 года назад +2

    Kila la kheri mzee Charles,nakumbuka ulivyokua unatangaza soka

  • @AhmedSeif-il1xx
    @AhmedSeif-il1xx Год назад +2

    Zanzibar hakuna asili yaukafiri mikafiri tanganyika sio hapa

    • @gracethomas683
      @gracethomas683 Месяц назад

      Mmmmh wewe kaka hii tu ni comment uhalisia wako itakuaje
      Yesu akusaidie akuondolee chuki kwa jina la Yesu

  • @fredrickmgavilenzi6678
    @fredrickmgavilenzi6678 3 года назад +4

    Kwan mafundisho ya Mtume yanafundisha kubagua wenzenu? Mana hakuna hoja ya mana mnayoongea hapo zaidi ya kuonyesha ubaguzi ulio jaa mioyoni mwenu,poleni na hiyo zambi ya ubaguzi itawatafuna sana na bado.

    • @ramadhanwilbard8196
      @ramadhanwilbard8196 3 года назад

      Kwani kapewa kazi ya msikiti ?

    • @salehkhamis8653
      @salehkhamis8653 3 года назад +1

      @@ramadhanwilbard8196 kapewa ya kanisa

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 3 года назад

      @@salehkhamis8653 😂

    • @DuuSaid
      @DuuSaid 2 месяца назад

      Nyinyi wenyewe mumejibagua tayari Kama hamja jibagua mungekua hamna mmakonde na makabila tele uwo ndio ubaguzi😎

    • @DohaQatar-w4t
      @DohaQatar-w4t Месяц назад

      Zanzibar freee from tanganyika

  • @nikkimbishiunju2402
    @nikkimbishiunju2402 3 года назад +3

    Comments zinaonesha jinsi watu wa visiwani walivyo

  • @shamsakiobia6421
    @shamsakiobia6421 3 года назад +2

    Acheni ubaguzi nyinyi wazanzibar mbona nyie mmejaa kwetu

  • @AminaJuma-zb7xs
    @AminaJuma-zb7xs 8 месяцев назад

    Mashaallah

  • @abdulazizmohamed2805
    @abdulazizmohamed2805 3 года назад

    Chazi hilari ni mtangazi wa siku nyingi Sana ni mta tz hambaye Hana Juha kisw vizuri Sana,

  • @mgongolwajoseph6901
    @mgongolwajoseph6901 3 года назад +2

    vijana niwahuni wanafiki wanajioendekwza pendekeza mwinyi hataki chawa

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 3 года назад

    Ni mtu mzuri sana charles hillal

  • @eyabdimaha3698
    @eyabdimaha3698 3 года назад +1

    Nampenda sana nimeanza kumsikia nikiwa mdogo yeye ndio alikua kijana anatangaza redio one kipindi chake cha Sunday kilikuwa Hakinipiti charanga

    • @afualusigi8079
      @afualusigi8079 3 года назад

      Yaaah plus Mareham Nyaisanga.I wish angekuwepo.apumzike kwa amani

    • @eyabdimaha3698
      @eyabdimaha3698 3 года назад +1

      @@afualusigi8079 babisa na kina amina saleh na Abubakar sadiq

  • @khamisBaharia
    @khamisBaharia Месяц назад

    HAKUNA MZANZIBAR MKIRISTO.HUYO NI MZANZIBARA.WAZANZINARA WAPO WENGI TU ZANZIBAR.

  • @christophermrema5277
    @christophermrema5277 3 года назад +3

    Rais ameangalia uwezo wake Charles Hilary anaweza nafasi hiyo

  • @kassimjigge4727
    @kassimjigge4727 Месяц назад

    Ikulu ni makazi ya mkuu wa nchi kwani Zanziba kuna mkuu wa nchi nijuavyo ipo tofauti kati ya mkuu wa serikali na mkuu wa nchi ni vema mambo haya yakawa wazi

  • @sulymansalymaly3859
    @sulymansalymaly3859 3 года назад

    Duhhh!!! Ubaguzi sio kweli mbona wspo wengi Zanzibar wenye majina hayo na yeye anasema amezaliwa Zanzibar.
    Wakina Modulin Castiko, Suzan Kunambi, Lando Mabula Masarboko wengi akina Msangi wote wapo kule na hakuna ubaguzi wowote na wanapiga kazi fresh labda hilo la vijana maana huku hata mawazir wengi ni vijana angalau

    • @afualusigi8079
      @afualusigi8079 3 года назад +1

      Hapa.nimipango ya Mungu.niwakati wake. Anastahili

  • @DavidSemu-gu6wp
    @DavidSemu-gu6wp 2 месяца назад

    Uelewe unayoongea sasa Marehemu mzee Karume ana asili ya wapi kama sio Malawi, Eddington kisasi alikua mtu wa wapi? Kama si mchaga Brigadier Mwakyanjuki alikuwa na asili ya wapi? Kama si Mbeya Jina la Makame asili yake ni wapi kama si Wamakonde? Ila nina ndoto siku flani isiyo na jina tuta watoa mkuku bara mtaivuka bahari kwa mbio endeleeni na ufedhuli wenu.

  • @allyalsubhy6899
    @allyalsubhy6899 Месяц назад

    Kunampaka mawaziri tokea miaka ya ,60, Antoni Kisasi, mchaga alikuwa waziri, na familiayake ipo mtoni, kibeni Aizam Sepetu, baba yake Wema Sepetu,,

  • @abdulazizmohamed2805
    @abdulazizmohamed2805 3 года назад

    Mzee. Ali mwinyi, ndiyo. Mzee,

  • @SefrozaMafuru
    @SefrozaMafuru 3 года назад +3

    Comment section imejaa ubaguzi kuliko uhalisia wa neno lenyewe🙌

  • @KuruthumBilali
    @KuruthumBilali Месяц назад +1

    Tabaraka Allah ALLAH AKBAR mashallah

  • @alimohdissa4022
    @alimohdissa4022 3 года назад +1

    Mpogoro alie kulia ZANZIBAR

  • @AhmedSeif-il1xx
    @AhmedSeif-il1xx Год назад

    Just kma Nyerere

  • @Binfuad
    @Binfuad 3 года назад +1

    Kafiri tu hili hana hata chembe ya uzanzibari wazazi wake ni wale walio letwa waje wauwe watu wakati wa hayo mavamizi ya 1994

    • @carrenkapia7841
      @carrenkapia7841 3 года назад +1

      Kafil ni wewe unaehukumu , mwenye kuhukumu ni Allah pekee ,acha roho mbaya na chuki no one is perfect 😏

  • @abdulazizmohamed2805
    @abdulazizmohamed2805 3 года назад

    Yana Hana kiwango cha kwanza kujuha kisw, na mbiri Salim. Kikeke, zuhura yunusi wa bbc UK,

  • @royaltourspemba7301
    @royaltourspemba7301 3 года назад

    Hongera

  • @AthanaseKiyoja
    @AthanaseKiyoja Месяц назад

    Viongozi wetu hawako makini na teuzi zao.Kama analalamikiwa kuna namna .Tido Muhando naye alileta maneno na kuna zuhura.Viongozi fanyeni kazi zenu kwenye.mwanga watu.msiwakwaze,mnafan6a nini hulo kwenye giza !? Mpaka muaibishwe,mtu amekuwa kikongwe unampa uteuzozi ili hali vijana wapo,Nyie ndiyo maana vijana wameamua kuwa watekaji.Ccm ya hovyo mno.

  • @renekokokabidu7127
    @renekokokabidu7127 2 месяца назад

    Mr Charles, mtangazaji wa bbc

  • @AllyHamran
    @AllyHamran 2 месяца назад

    Wakoloni wa kitanganyika wameekeza katika kile kinachoitwa mpango wa kale ambao sasa ndo umefikia kilele chake cha mafanikio.

  • @MsAggie5
    @MsAggie5 3 года назад +1

    He kumbe mpaka uwe Manzabar ndo upewe nafasi kama hiyo?

  • @nailamohd7693
    @nailamohd7693 3 года назад +5

    Babake alikua police zanzibar alikua mtu wa Tanganyika

  • @loshipangoipa5810
    @loshipangoipa5810 3 года назад +2

    Ogerasa Rass. Monyi

    • @ebisollili6646
      @ebisollili6646 3 года назад

      Wazee wake walikuja. Kutoka mrogoro ila yy kazaliwa zanzibar baadae akakulia Tanganyika kwa mda mrefu kwahivyo unaweza kumwita mzanzibara

  • @dorahmushi-we6ts
    @dorahmushi-we6ts 2 месяца назад

    64!! Ulikua na akili!
    Huzeeki kaka!
    Mungu azidi kukutunza

  • @gloriamichael7935
    @gloriamichael7935 3 года назад +1

    😭 ulipona kifo uwiiii

  • @alijuma9536
    @alijuma9536 2 года назад

    Mbona hatuoni kuelezea Charles kuelezea kwao na hayo makuzi yake Zanzibar ?
    Hapa anazungumzia alivyokoswa risasi !

  • @alialabry7548
    @alialabry7548 Месяц назад

    Kichwa cha habari cha video ya Charles Hillary ni tofauti kabisa na aliyooeleza !
    namna gani gani nyie !!

  • @abdulazizmohamed2805
    @abdulazizmohamed2805 3 года назад

    Kwa mimi katika mtazamu wangu chazi Hana Juha kisw sijuhi kwa wengine,

    • @mamachris6811
      @mamachris6811 3 года назад

      Hana ❌ ana ✅ juha ❌ jua ✅ sijuhi ❌ sijui ✅
      Kwa Mimi mtazamo wangu Charse ana jua kiswahili sijui kwa wengine ✅😁😁😁

  • @fathiyasalim3946
    @fathiyasalim3946 3 года назад +1

    Walikuwa Tanganyika.mihemko ya kimaisha tu

  • @ramadhanzengwe3876
    @ramadhanzengwe3876 3 года назад

    Ndio kwanza najuwa leo kuwa huyu ni mzanzibar

    • @khamisBaharia
      @khamisBaharia Месяц назад

      hakuna mzanzibar mkiristo ,huyo ni mzanzibara

  • @muhammadkipangatv2674
    @muhammadkipangatv2674 3 года назад

    Jifunze quran kusom kuandika gusa picha yangu hapo kama hautojali

  • @abdulazizmohamed2805
    @abdulazizmohamed2805 3 года назад

    Chazi hilari. Sio mzee ni mtu. Wamakamo,

  • @abubakarsuleman1983
    @abubakarsuleman1983 3 года назад

    Ayo maneno yakua sio mzanzibar munabambika nyinyi watanganyika sisi hatuko ivo ni watu wakarimu na wapenda wageni, Mr Hilary analijua hilo fika na mwenyewe anajua kua znz ni nyumbani kwao kabisa na anamarafiki wakarubu kuliko hata bara, so musitugawe kwa uchochezi wa kijinga.

  • @smeena3447
    @smeena3447 3 месяца назад

    Anayefanya landscaping Znz aende Dodoma akasaidiye

  • @aliyussuf7048
    @aliyussuf7048 3 года назад

    NILIKUWA NAIPENDA TAARIFA HABARI YA AZAM TV KWA UTANGAZAJI WAKE YEYE NA IVONA KAMUNTU

  • @salehkhamis8653
    @salehkhamis8653 3 года назад

    Hivi mi nauliza Zanzibar Kuna jina la Charles sjawah kuliskia

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 3 года назад +2

      Kwani ni lazima awe mzanzibar kufanya kazi hiyo? Kuwa wazanzibar wangapi kwenye ofisi nyeti huku bara? Hadi raisi ni wa huko! Lol sikujua kama mko hivyo

    • @lwitikophilipopelela1891
      @lwitikophilipopelela1891 3 года назад +1

      @@MsAggie5 wabaguzi vibaya mno hawa watu. Yaani chetu Chao, Chao si chetu🚮🚮

  • @nak3477
    @nak3477 3 года назад +3

    Wavamiz hawa waliokuja kufanya mapinduz...xx wanalipwa fadhila zao na mtanganyika mwinyi ndio analipa

  • @renekokokabidu7127
    @renekokokabidu7127 2 месяца назад

    Yupo bado mzizma ?

  • @aminamussa2662
    @aminamussa2662 2 года назад +1

    ubaguzi upo nchi zote duniani ndio wakaeka passport zao ili wajuane..huyu mtanganyika safi ukimuona tu unajua wazi huyo km nyerere.

  • @ahmedkitubi1682
    @ahmedkitubi1682 2 года назад

    ulienda kusoma

  • @AhmedSeif-il1xx
    @AhmedSeif-il1xx Год назад

    Twana kutoka tanganyika kamleta kafiri kutoka kwao

  • @abdullahihussein6836
    @abdullahihussein6836 3 года назад +5

    Wavamizi hawa wanakula ngawira zao

    • @ndukulusudikucho_
      @ndukulusudikucho_ 3 года назад +4

      Wote wanyamwezi nyie ,wavamivi Ni waarabu tu wote asili yenu huku acheni maneno,chuki na choyo

    • @abdullahihussein6836
      @abdullahihussein6836 3 года назад

      @@ndukulusudikucho_ mnyamwezi gani anaongea ni kojani, kimakunduchi, kitumbatu nk

  • @allyhassan5664
    @allyhassan5664 3 года назад +2

    Mawazo ya kiutumwa angelikua anaasili ya Oman angeambiwa mzanzibari

    • @khamisBaharia
      @khamisBaharia Месяц назад

      wewe kuma ubaguzi dunia nzima upo.ndio maana kumewekwa passport.fala wewe

  • @muebraniamuebrania145
    @muebraniamuebrania145 3 года назад

    Charles kutumwa ikilu ya Zanzibar povu linawatoka
    Sijuwi huyu mwantumu anaetutaabisha huku? acheni urojo unawaregeza fikra!!!

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 3 года назад

      Hawaoni tuna ongozwa na mwanamke aliyetoka kwao na ukiangalia sisi tuko wengi kuliko wao mala elfu? Na kila kukicha michambo tu lol

    • @hassanmsingiri6216
      @hassanmsingiri6216 3 года назад

      We umekalia chuki tu bila ata ya kujua kwamba hii ni serikali ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania so ata raisi kutoka zanzibar akiongoza hakuna ubaya ndugu.

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 3 года назад

      @@hassanmsingiri6216 chuki ni zenu sisi tumelidhia kuwa na raisi toka Zanzibar si mala ya Kwanza Ila Kwa nini hii post ya Charles inawatoa roho?

    • @hassanmsingiri6216
      @hassanmsingiri6216 3 года назад

      @@MsAggie5 sio kuridhia nyinyi ni sheria hiyo ndugu alaf hao wanao sema kuhusu charls hawajui kama ulivyo kua hujui wewe maana charls ni mzanzibar na nawajua kwao karibia wote so hao wanaosema ivyo hawamjui ndio mana

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 3 года назад

      @@hassanmsingiri6216 Baba ake Charles Mpogoro nadhani toka Morogoro so Mimi sijui Sheria yenu ikoje iwapo mtoto akizaliwa anapewa Cheti cha Zanzibar sio Tanzania, nachojua Baba ake nibara alikuwa anafanya kazi ya polisi au Askari Zanzibar sijui huo uzanzibar kaupataje na pia nashangaa kuona hao wenzio wanahamaaki Kwa kipi? Kama si mzanzibar Sheria haruhusiwi kuteuliwa na raisi? Basi kosa si lake ni la raisi aliyemteua!

  • @cyprianmachibula7122
    @cyprianmachibula7122 3 года назад

    HIVI NI KWANINI VISIWANI BARAZA

    • @cyprianmachibula7122
      @cyprianmachibula7122 3 года назад

      HIVI NI KWANINI BARAZA LA WAWAKIRISHI WALA MAWAZIRI WAKRISTU HAWATEULIWI ?

  • @muradiseifhumoud7880
    @muradiseifhumoud7880 3 года назад +3

    Mtanganyika wewe Charles Hilary wacha kutudanganya Wazanzibari tunajuana

    • @samsonmwakikuti5318
      @samsonmwakikuti5318 3 года назад +6

      Mbona wanzanzibari wengi sana wanafanyakazi bara? Acha ubaguzi

    • @rahmaabdallah4514
      @rahmaabdallah4514 3 года назад +2

      Huyu mzanzibar kwao makadara jamani wana nyumba yako kule....

  • @sumaisabu9816
    @sumaisabu9816 3 года назад +1

    Mhh

  • @fatmas7338
    @fatmas7338 3 года назад +3

    Hatutaki Habari za mapinduzi tunataka kujua historia yake kwa ujumla ili.tumjue zaidi

    • @kshdbzjnxksksw6567
      @kshdbzjnxksksw6567 3 года назад +1

      Umjue.zaid ili iweje

    • @kshdbzjnxksksw6567
      @kshdbzjnxksksw6567 3 года назад +2

      Huachi kwani samia kazaliwa tanganyika mbona rais Tanganyika hamuachi

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 3 года назад +2

      Ukisha mjua what next! Sikujua kama bado kuna ubaguzi wa jinsi hii 😝

    • @japhetmevoroo113
      @japhetmevoroo113 3 года назад

      Samia mbona mzanzibari anatuongoza watanganyika na hatuna shida?

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 3 года назад

      @@japhetmevoroo113 kwao ni furaha lakini wa bara kwenda kule mbinde. Lakini leo nimeona kuna mkuu wa polisi Pemba mkristu na ana jina la bara, sijui kwa nini hii ya Charles Hilary limekuwa topic

  • @fathiyasalim3946
    @fathiyasalim3946 3 года назад +1

    Ni mzanzibari huyu. Hao ni Uladi wakristo/waislaam wa Kikwajuni. Mjomba wake ni marehemu Mr. Harbert Al marjebi.

    • @feiz3180
      @feiz3180 3 года назад

      Kina Tippu Tipp. Mtipura

  • @ahmedkitubi1682
    @ahmedkitubi1682 2 года назад

    Kafiri wakitanganyika

  • @ismailjuma3692
    @ismailjuma3692 3 года назад +1

    Zanziber ni njema atakae na aje.

  • @pastoryconrad7042
    @pastoryconrad7042 3 года назад +1

    1964?? then bado mtu ni mgeni tu Zanzibar?? what a shame!!

    • @khamisBaharia
      @khamisBaharia Месяц назад

      skia wewe mjinga ,kuishi ama kuzaliwa Zanzibar,hakutosholezi kukufanya uwe mzanzibar.jua hilo

  • @fatimasaid9469
    @fatimasaid9469 3 года назад

    Charles.unastahili. toka nisikie. Hujawahi kuvaa cheo juu. Kulijo dhamana yako ndio maana kila mtu kwako ni sawa na wewe. But ubarikiwe zaid na kumbuka cheo cheo cheo ni mapito tu dhamana yko ulioanza nayo toka mfereji wa wima na utiifu. Ilikupeleka ulaya but kwenu wanakutaka .kma ulivyo ipenda tasnia yako ipende na nchi yako. Dhamana kwanza cheo baadae. Tunakupenda sana ila huyu. Uyahe na uami uuweke kando yeshapitwa hayo . Shukran

    • @zakwani885
      @zakwani885 3 года назад

      Tueleze unatoka wapi umezaliwa wapi sio hayo yalopita unayo tueleza hatufah hayo tunataka ujitaarifu uzuri

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 3 года назад +1

      Kimsingi, huyu bwana ni Mtanzania... Anatoka wapi, amezaliwa wapi, itakusaidia nini, jamaani ?!

  • @abuuqatada9791
    @abuuqatada9791 3 года назад

    Mhmmm haya ndio Yale aliyoyasema maalim SEIF ( rahmahullah) , Zanzibar hakuna jina la CHARLES tusidanganyane

  • @solomonadams6337
    @solomonadams6337 3 года назад +2

    Wazanzibar wanauliza kwanini uchaguliwa kwanda kufanya kazi katika Serekali ya Watu wa Zanzibar je Wewe ni Mzanzibar?kwasababu katiba ya Zanzibar haimruhusu Mgeni wa Aina yoyote ile hata kutoka Tanganyika kufanya kazi katika Idara yoyote ile ya Serekali ya Wazanzibar wa Zanzibar sawa¿huu ni ukiukwaji wa katiba ya Zanzibar na sivyo alivyosema Sheikh Abeid Amani Karume sawa¿thanks

    • @omarmsuya2459
      @omarmsuya2459 3 года назад

      Kazaliwa wapi someni history jaman mnakurupuka sana huyo kwa znz na mkijisoma nyie kwenu mnakujua ndo mana nasema watu wote ni wageni piga kz ukijua ukristo ulikuja lini znz bc mamaake kwa utajua wapi

    • @omarmsuya2459
      @omarmsuya2459 3 года назад

      Piga kz Anko

    • @ndukulusudikucho_
      @ndukulusudikucho_ 3 года назад +4

      Mlichobakia cheo tu kwisha habari yenu , Zanzibar ilikuwa kitovu cha Elimu duniani sasa Ni kitovu cha ufuska na utalii, na linalonihuzunisha mnalifurahia hilo, Akija mgeni hata afanye ufuska hamkasikiriki ila Charles kuchaguliwa kuwa msemaji wa ikulu hamlali

    • @abdullahihussein6836
      @abdullahihussein6836 3 года назад

      Kwani vile huyo Mwinyi ni sheria ipi ilimruhusu agombee uraisi ZNZ , labda sheria za kivamizi

    • @iddijumaali7192
      @iddijumaali7192 3 года назад

      @@ndukulusudikucho_ amos weye dini gani samahani

  • @chandechande9642
    @chandechande9642 3 года назад

    angalieni wazanzibar musiwe wabaguzi
    huyu babayake alikua police zanzibar
    unasemaje kua sio mzanzibari?huyu ni mzanzibari tena kwenye mapinduzi babayake alishiriki

    • @SHEIKHMWAIPOPOTV
      @SHEIKHMWAIPOPOTV 3 года назад +2

      Anayo haki ya kufanya kazi Zanzibar huyo ni mzanzibar kma wengine acheni uyahudi kwani Zanzibar ni peponi

    • @salehkhamis8653
      @salehkhamis8653 3 года назад

      Tatizo jina hivi nikuulize umeskia wapi Zanzibar kuwa na jina Charles hamna mzanzibar mkristo tusidanganyane

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 3 года назад +1

      @@salehkhamis8653 kina ndo linalofanya kazi au unawachikia wakristu kiasi kikubwa unakosa usingizi? Lile kanisa pale Zanzibar mbona ni la siku nyingi sana hapakuwepo wenye jina Charles humo kanisani? Unasokotwa na roho hadi nakuogopa, kuwa na roho ya binadamu wote tumeumbwa na mwenyezi Mungu then utakaa sawa

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 3 года назад +1

      @@salma0000 siasa za Zanzibar zinakataa jina Charles lakini zinakubali Samia awe raisi wa Tanzania 🇹🇿! Makubwa hayo. Najua sana kama hilo kanisa lilijengwa na wakoloni kwa hiyo walilijenga kama maonyesho? Si kulikuwa na waumini? Sasa kama ni hivyo hawakuwa na jina Charles? Ok nini kitokee sasa kasha chaguliwa na raisi mwenyewe ndo mtafanyaje sasa na siasa zenu lol

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 3 года назад

      @@salma0000 kama kichwani kwako