Dr slaa siku zote uwempatanishi. Usihukumu mungu baba ametuachia upendo wapatanishe lissu na mbowe. Mbowe pumzika sasa lissu achukue kiti. Huku tukimtaza mungu maana hapa duniani tunapita
Wewe nawe akili zako hazina akili. Yaani huna hata uwezo kabisa kupima logic ya kauli ya mtu. Katika haya anayoongea Dr Slaa kuna chuki yoyote kwa yeyote au anatoa facts tu?
@@romanilyimo ndio aondoke apishe wengine wagombee,kabla yake walikuwa MTEI na MAKANI hawakukaa Miaka 20 kama nao wasingetoka yy angepata nafasi gani 😆😆😆
Mbowe hao machawa kuwa nao makini vinginevyo chadema inaenda kupoteza kabisa integrity kwa wananchi na wapenzi wa chama Mbowe utabaki na hao wanachama machawa Miaka 21 inatosha baki mshauri wa uongozi mpya Staafu kwa heshima kamanda
Kila mwanasiasa huwa na wafuasi sasa kuwazuia wampendao Lisu au Mbowe ni ufinyu wa fikra na kuutambua ukweli mbona kuna waliomfuata Lisu mpaka wakaimba kibwagizo cha CCM
Kwanini hawa waliomfuta Mbowe wanaitwa CHAWA, waliomfuta Lisu ninani wao ? Acheni uchanganishi, wengine nyie ni Viongozi wa Dini, wapatanisheni watu na sio kuwa gawa... Bwana awarehemu..😢
Hujui kama yote yaliyokua ktk ilani ya CHADEMA kipindi slaa anagombea urais na jakaya, ndo magufuri alitembea nayo Na yalionekana kua na uzito sababu ya dr slaa?
Ni sanduku la kura ndiyo linalotakiwa kutoa majibu tuache kuwachonganisha CDM ina katiba ina miongozo na sheria hao walioamua kumfuata ni kama wewe Dr Slaa ulivyoamua kumfuata JPM
Mbowe mhn Yale maandamano alichukua pesa kuigza Mwabukusi aliomba support ya chadema kuandamana kupnga mkataba wa DP world mbowe aligomea kwavile Mwabukusi hakua na pesa yakumlipa kwenye maandamano
Kumbuka UPADRI no sakramenti, haupaswi kuchezewa wala kufedheheshwa. Majungu siyo sofa yake Bora ukae Kimya uchekwe. Achana na ya Lisu na Mbowe himiza uchaguzi huru apatikane anayefaa.Porojo zako ni nyingi,zinatuchanganya.
Hivi ninyi mnaomkarisha Slaa kwenye kutoa maoni kuhusu Mbowe kutetea nafasi ya m //kiti wa cdm mnafikiri kweli atakuwa fair wakati ana hamu ya kulipiza kisasi ya kuondolewa cdm na kugombea urais 2015..Hii inawashusha hadhi diaskora
Lissu ana washabiki wengi ndani na nje ya Chama,lakini akiondoka Chadema haondoki na watu,bali ataondoka kama alivyoondoka Msigwa.Watu wanapenda Chama ndio sababu wamejiunga na wala hawapendi mtu ati ndio sababu wako CHADEMA.
Hapa kinachoonekana ni kuwa ikiwa Lissu hatawenza au hatafanikiwa kumtoa mbowe kwenye uenyekiti wa kudumu wa chadema basi itakuwa ngumu sana kuja kung'oka badaye. Huyo ni mwenyekiti wa kudumu wa chama kinachojiita cha demokrasia. Kweli CDM kazi wanayo
Mbowe kasema, "akiona chama chake kinataka kuharibika, ataingia mzigoni mapambano ya kukinusuru!" Siku zote nyuma akijinasibu kuwa CHADEMA si yake ila ni ya umma! Safari hii kasema CHADEMA chama chake!
CHADEMA...dhabihu inayopitishwa kwenye tanuri la moto mkali....moto wa gesi....ikipita hapa mwisho itakuwa dhahabu ya grade!..ikipita salama...wazee wako wapi?...kuonesha njia sahihi ktk chama...
Hakika Mh Mbowe asante kwa utumishi wakko uliotukuka, Lisu ana maono baada yako, Nyerere aliipokea nchi ya wajinga lakini yenye mfumo , na chadema ina mfumo ambao umeusimamia , Acha mambo yaende Lisu anatosha mnooooo
Slaa nakushauri kamuombe Mama akurejeshee wadhifa wa ubalozi huko Canada au Sweden. Acha unafiki Slaa, acha tabia ya uchochezi na uchonganishi. Acha kuhamishia hasira zako kwa Mbowe. Jionee aibu!
chadema haiwez kufa kwa mbowe kugombea nafasi ya mwenyekiti.Lisu anafaa kugombea urais ili asimamie katiba mpya n utawal wa sheria.Lisu hana uwezo wa kumshinda mbowe katika umwenyekiti.Lisu hana uwezo wa kuendesha taasisi imara itameguka.
Kama vipi mbowe awe mwenyekiti wa kudumu ,kama alivyo professor Lipumba ambae Amengangania mda mrefu zaidi ya miaka 30 years sawa sawa na mbowe ambae ametawala miaka 21 years it's not fear
Mbowe tunamheshimu sana na amefanya mengi mazuri sana kwenye chama chetu ila kwenye maridhiano ametufelisha pakubwa tumeumizwa sana. Kwa siasa za sasa hivi tunamuomba kwa heshima kubwa kabisa bado tunamhitaji kabisa lakini apumzike abaki kuwa mshauri.
Mtu aliyekimbia Chama mahali pa kilele kabisa cha Ushindani! Anapata haki ya kuongelea Kujenga CHADEMA. Huyu mzee alikisababishia Chama hiki maumivu Mkakubwa wakati ule! Mbowe na Lisu wasikubali ushauri wa mzee kama huyu tena na CHADEMA wote wamuogope.
Kwani mimi nikisema Chama changu cha CCM nitakilinda mpaka mwisho kuna Kosa gani? Kusema chama changu? Hata tu timu yangu ya Simba kuna kosa gani. Au nikisema Kanisa langu Katoliki kuna kosa gani? Mbowe ni CHADEMA ni chama chake!
Subirini muone kura zitakavyoamua kwenye sanduku, kumshambulia Mbowe.Mbowe wanachama wamemuomba wamtembelee nyumbani kwake,sio kwamba amewaalika, ni vema muelewe hilo.Lissu kawaalika washabiki wake kuja Dar kuhudhuria Press yake,swali je watu hao walijuaje kwamba Lissu ana Press hata waanze safari toka Mikoani?Bila shaka aliwataarifu mapema watu wake.Hivyo ukilanganisha na Mbowe Lissu ndiye aliyealika watu, wala si Mbowe.
Sasa nimeamini kumbe ninyi ni wa Team Lissu,mnamuogopa Mh.Mbowe,wanachama wanamhitaji Mh.Mbowe tena sana tu na ndio sababu wameji-organise kiumoja na kwenda kumuomba agombee nafasi hii adhimu ya uenyekiti.Tunamuhitaji sana Mbowe Chamani.
Hana haki ya kugombea? Si ana uhuru wa kigombea au kuacha.Mnampangia masharti ya ki imla? Japo namtaka Lisu Kwa sasa lakini Hakuna mtu wala Sheria au Katina inayomzuia Mbowe.Sasa asipoingia akashindwa ni wakati gani itaeleweka kwamba Kwa sasa hatoshi?
Wewe mzee pimbi na anayekuhoji ni kitobo iliuwe mgmbea nilazimautangaze Nita ya kugombea au uweumechukuwa fomu mbowe bado siyo mgombea kwa sababu hajachukua fomu na bado hajachukuwa fomu
😂😂Acheni ujinga nyinyi. Kwani mtu akisema TANZANIA NCHI YANGU anakuwa anamaanisha Tanzania ni mali yake? Halafu huyu DR. SLAA si ni mwana CCM? Sasa inakuwaje anakuwa sauti ya CHADEMA leo? CHADEMA jiangalieni. Mnavurugwa na nyinyi mnakubali kuvurugana mnaua chama chenu wenyewe.
CHapana,CHADEMA haina nasaba yoyote na CCM,wala msipotoshe Umma.CHADEMA kiko Streat kwenye mapambano ya Demokrasia,na Ukombozi wa kweli wa Watanzania.Acheni kuipakazia na kuidhoofisha. Ili ichukiwe na wananchi,hizo ni propaganda dhaifu,ni sawa mlio wa miiba chini ya sufuria wa haitoboi.
Ukomo wa uongozi kikatiba hauko CHADEMA, hivyo Mh.Mbowe kumtaka asigombee ni kuikosea katiba ya CHADEMA kwani inamruhusu. -Lakini ninyi mnajadili ni kwamba mna Upande mlioegemea ambazo ni Upande wa Lissu.Mimi sioni sababu kwenu ya kumshambulia Mh.Mbowe,mnapotosha ukweli wa yaliyotokea,hotuba yake Mh.Mbowe Iko wazi na imeeleweka vema na Kila Mtu,Tena imesheheni hekima na busara na uzalendo ndani ya Chama anachokiongoza.Kutamka neno "Chama changu" ana haki kwa maana yeye ni M/kiti na ana dhamana ya kukilinda Chama.Hata Mimi Kama mwanachama wa CHADEMA, nikiulizwa Niko Chama gani napaswa kujibu Chama changu ni CHADEMA.Tatizo lenu hamkifahamu vema kiswahili,Hata Mimi nasema "Tanzania ni Nchi yangu" haya kanusheni kwamba si Nchi yangu.
CHADEMA haiwezi kusambaratishwa na wanausalama Iko imara na ngangari kinoma,Wala haiyumbi,Lissu ana agenda yake ya Siri nyuma ya pazia na Kuna Siri Kali nyuma yake "ukiona panya anamkejeli na kumkebehi Paka ,jua Kuna Shimo Ujirani analolitegemea.
Kumbe space ni vurugu tu ambako CLUB ina nguvu ya kuvuruga vyama vya upinzani. Nilitegemea muwape sapoti wote watakaotia niaakiwepo Lisu na Mbowe ili sanduku la Kura litoe majibu? Hii Klabu ni ya chombo maalum kutoka Ikulu?
NAONA Dr. anataka tena Ubalozi. Hivi chama CHETU sio CHANGU? HIVI MALI ZETU SIYO MALI YANGU KWA KIWANGO FULANI? Kwa Nini Dr. asisubiri hadi baada ya 24 hrs? Jumamosi? Hivi huu sio uchonganishi kuvuruga uchaguzi? Kweli Dr. Ni TISS
Kwani wewe.ni Chama Gani kwa sasa mzee. Uteuzi wako unaonyesha hauko kwenye Chama Cha watu Wengine? Usiwagwe Mbowe na Lisu wenye Uchungu na Chama Chao!
Neno alilotamka Mbowe kuwa chama changu halina ubaya wowote .....Hata mm ningekuwa ni Mwanachama wa Chadema ningeweza kusema "chama changu" .....Kila mwanachama anaweza kulitamka neno hilo
"CHAMA CHANGU" hii kauli haijakaa poa Ina maana yeye ni mwanzo na mwisho wa nafasi hiyo,ananikumbusha mbali mbunge wa ndanda aliwahi gombea nafasi hii lkn mwisho wa yote aliachana na chama na kurudi chama kingine hiyo yawezeka katiba ya chama hiiki haijaweka sawa eneo hilo
Nafikiri wanaCHADEMA mmeamua kuicomplicate tu hii kauli kwasababu aidha mna chuki na Mbowe au mna mahaba na Lissu. Kwani wewe ukisema Tanzania nchi yangu inamaanisha Tanzania ni mali yako? Mwanachama wa CCM akisema CCM chama changu anamaanisha CCM ni mali yake?? Fikirini kikubwa. Mnavurugwa na CCM na nyinyi mnakubali kuvurugwa, mnaanza kuvurugana nyinyi kwa nyinyi ili chama kife. Fikirini kikubwa!
Dr slaa ni mkweli sana ila kwahapa bongo ukweli auhitajiki dr slaa mung akupe maisha marefu mzee wetu
Mzee njaa anataka apewe ubalozi pumbavu zake,alipokuwa balozi alikuwa kimya
Unamchukia Samia hakukupa ubalozi baada wa magu kuisha
Dr,nakupenda mzee wangu,so good
Dr slaa siku zote uwempatanishi. Usihukumu mungu baba ametuachia upendo wapatanishe lissu na mbowe. Mbowe pumzika sasa lissu achukue kiti. Huku tukimtaza mungu maana hapa duniani tunapita
Mimi naamini mh Mbowe ni makini anajua chadema tunaitaji Nini? Wakati huu
Kwani mbowe na lussu wanagombana??
Huyu jamaa ana chuki ya ndani ya moyo anamchukia Mbowe kwa kumfukuza kwenye chama na anamchukia Samia kwa kumvua ubalozi.
Sawa lakin miaka 20 inamtosha ampe mwingine aongoze😂😂
Kwani mbowe ndio anatoa huenyekiti tumia akili ndg @@gwajimagwajima
Tangu aondoke, chama kimesimama kwa kiwango gani?
Wewe nawe akili zako hazina akili. Yaani huna hata uwezo kabisa kupima logic ya kauli ya mtu. Katika haya anayoongea Dr Slaa kuna chuki yoyote kwa yeyote au anatoa facts tu?
@@romanilyimo ndio aondoke apishe wengine wagombee,kabla yake walikuwa MTEI na MAKANI hawakukaa Miaka 20 kama nao wasingetoka yy angepata nafasi gani 😆😆😆
Mbowe hao machawa kuwa nao makini vinginevyo chadema inaenda kupoteza kabisa integrity kwa wananchi na wapenzi wa chama
Mbowe utabaki na hao wanachama machawa
Miaka 21 inatosha baki mshauri wa uongozi mpya
Staafu kwa heshima kamanda
Kila mwanasiasa huwa na wafuasi sasa kuwazuia wampendao Lisu au Mbowe ni ufinyu wa fikra na kuutambua ukweli mbona kuna waliomfuata Lisu mpaka wakaimba kibwagizo cha CCM
Kwanini hawa waliomfuta Mbowe wanaitwa CHAWA, waliomfuta Lisu ninani wao ?
Acheni uchanganishi, wengine nyie ni Viongozi wa Dini, wapatanisheni watu na sio kuwa gawa...
Bwana awarehemu..😢
Dr Slaa wewe kazi yako ni kulaumu tu.
Umefanya nini cha maana kupambana na CCM?
Hujui kama yote yaliyokua ktk ilani ya CHADEMA kipindi slaa anagombea urais na jakaya, ndo magufuri alitembea nayo
Na yalionekana kua na uzito sababu ya dr slaa?
Atutaki mbowe tunataka lisu.
Ni sanduku la kura ndiyo linalotakiwa kutoa majibu tuache kuwachonganisha CDM ina katiba ina miongozo na sheria hao walioamua kumfuata ni kama wewe Dr Slaa ulivyoamua kumfuata JPM
Mbowe alizuia maandamano? Kweli Dr Slaa ana chuki kubwa kwa Mbowe
Mbowe mhn Yale maandamano alichukua pesa kuigza Mwabukusi aliomba support ya chadema kuandamana kupnga mkataba wa DP world mbowe aligomea kwavile Mwabukusi hakua na pesa yakumlipa kwenye maandamano
Ninyi Suti ya Watanzania mtakuja kuona aibu na sijui wapi mtaficha nyuso zenu ikiwa Lissu atashindwa katika kinyang'anyiro hiki cha Uchaguzi.
Kuna kushinda na kishindwa,hata ww kuna ishu saa nyingine zinafeli ,tuliza mzuka 😂😂😂
Na kumbuka Lissu hakuwa na Nia ya kugombea
Msomi ni yule anayesimamama katikati kuweka mambo sawa chuki itaumbua watu
Kumbuka UPADRI no sakramenti, haupaswi kuchezewa wala kufedheheshwa. Majungu siyo sofa yake Bora ukae Kimya uchekwe. Achana na ya Lisu na Mbowe himiza uchaguzi huru apatikane anayefaa.Porojo zako ni nyingi,zinatuchanganya.
Hivi ninyi mnaomkarisha Slaa kwenye kutoa maoni kuhusu Mbowe kutetea nafasi ya m
//kiti wa cdm mnafikiri kweli atakuwa fair wakati ana hamu ya kulipiza kisasi ya kuondolewa cdm na kugombea urais 2015..Hii inawashusha hadhi diaskora
Mzee Slaa msije mkasambalatisha Chama kwa maslahi ya matumbo yenu huku wanachama mkitutimlia vumbi
Lissu ana washabiki wengi ndani na nje ya Chama,lakini akiondoka Chadema haondoki na watu,bali ataondoka kama alivyoondoka Msigwa.Watu wanapenda Chama ndio sababu wamejiunga na wala hawapendi mtu ati ndio sababu wako CHADEMA.
Kweli. Hata mbowe ni hivyo hivyo.....akiondoka chama cha wananchi kinabaki salama.
Ndivo unavojidanganya usikalili
Slaa anaonyesha chuki kubwa sana kwa Mbowe, anataka kumgombanisha na Lissu tu.
Hapa kinachoonekana ni kuwa ikiwa Lissu hatawenza au hatafanikiwa kumtoa mbowe kwenye uenyekiti wa kudumu wa chadema basi itakuwa ngumu sana kuja kung'oka badaye.
Huyo ni mwenyekiti wa kudumu wa chama kinachojiita cha demokrasia.
Kweli CDM kazi wanayo
Kweli kabisa
Mbowe kasema, "akiona chama chake kinataka kuharibika, ataingia mzigoni mapambano ya kukinusuru!" Siku zote nyuma akijinasibu kuwa CHADEMA si yake ila ni ya umma! Safari hii kasema CHADEMA chama chake!
Huyu Mvowe haoni aibu?Akae pembeni na wengine wwgombee
ni kweli. mdongo wangu.
CHADEMA...dhabihu inayopitishwa kwenye tanuri la moto mkali....moto wa gesi....ikipita hapa mwisho itakuwa dhahabu ya grade!..ikipita salama...wazee wako wapi?...kuonesha njia sahihi ktk chama...
Hakika Mh Mbowe asante kwa utumishi wakko uliotukuka, Lisu ana maono baada yako, Nyerere aliipokea nchi ya wajinga lakini yenye mfumo , na chadema ina mfumo ambao umeusimamia , Acha mambo yaende Lisu anatosha mnooooo
Slaa nakushauri kamuombe Mama akurejeshee wadhifa wa ubalozi huko Canada au Sweden. Acha unafiki Slaa, acha tabia ya uchochezi na uchonganishi. Acha kuhamishia hasira zako kwa Mbowe. Jionee aibu!
Tutamwaminije lisu kibaraka wawazungu? Aliwatetea wezi wa makinikià kuiba madiini yetu
Viva Lisu Viva❤
chadema haiwez kufa kwa mbowe kugombea nafasi ya mwenyekiti.Lisu anafaa kugombea urais ili asimamie katiba mpya n utawal wa sheria.Lisu hana uwezo wa kumshinda mbowe katika umwenyekiti.Lisu hana uwezo wa kuendesha taasisi imara itameguka.
Mbowe❤❤❤❤❤❤❤❤. Ya congo na chadema wapi na wapi. Nyinyi ndio mnaharibu chama
Hivi yeye Mwamba anafuatilia haya kweli, na toa ushauri kwake, utu wa mtu ni aibu, awe na aibu badi
Lissu Oyeee
Hili kundi la Lissu ni kundi la wahuni watupu, wamejipanga ,kuwapindua wanyong"
Mbowe umefanya mengi mengi Sana sass ni wakati kuwaambia wengine wafanye mengi zaidi ya Yale uliyoyafanya wewe ni hekima Tu toka kwako
Dr Slaa Mungu akubariki sana na akulinde
Mimi nnachokumbuka dk slaa alishatoka chadema akaenda ccm sasa mbona naona anaongelea sana chadema? Au anerudi chadema? Jibu
Dr haeleweki mbona abajadili kama yuko chadema wakt alishasema Hana chama
Ameuzwa yeye na nanj
Acheni unafiki slaa mnafiki
Kama vipi mbowe awe mwenyekiti wa kudumu ,kama alivyo professor Lipumba ambae Amengangania mda mrefu zaidi ya miaka 30 years sawa sawa na mbowe ambae ametawala miaka 21 years it's not fear
Dr Slaa uko sahihi naomba simamia haki yawengi
Mbowe tunamheshimu sana na amefanya mengi mazuri sana kwenye chama chetu ila kwenye maridhiano ametufelisha pakubwa tumeumizwa sana. Kwa siasa za sasa hivi tunamuomba kwa heshima kubwa kabisa bado tunamhitaji kabisa lakini apumzike abaki kuwa mshauri.
Chedema ni chama kinachofuate democracy na kila mwanachama ana haki ya kugombea na kushiriki kwenye uchaguzi
Mzee huyu kwa Nini mnamuomba ushauri nchi hawezi inatafuta mifano ya kubomokaa kwa vyama vingine na iliyokuwa na history mbovu,hii kwangu si sawa,
Lisu anauza nchi anauza madini
Mtu aliyekimbia Chama mahali pa kilele kabisa cha Ushindani! Anapata haki ya kuongelea Kujenga CHADEMA. Huyu mzee alikisababishia Chama hiki maumivu Mkakubwa wakati ule! Mbowe na Lisu wasikubali ushauri wa mzee kama huyu tena na CHADEMA wote wamuogope.
Tunatalka Katina Mpya ambayo haitaruhusu UBAGUZI wa raia kukosa haki za kisiasa Kwa kuwa soup mwanachama wa chama cho chote.
Sasa we were slaa ulikuwa CCM ukapewa ubalozi Leo unarudije kuzungumzia chadema na kuponda CCM njaa
Lisu baba nakuelewa Santa kulingana na maono ulionao,tunakuombea uyasimamie vema
Silaha uko wapi baba uokoe hili jahazi,maana linaenda kuzamishwa na madereva wasiojuwa kucheza na upepo was baharini
CCM wanamuogopa Lisu kama watu walivyoogopa ile Korona ya kwanza. Ni mtu wa misimamo migumu wameshindwa kumnunua na hainunuliki.
Slaa nimekuelewa hakika wewe huwa sio ndumila kuwili wewe husimamia ukweli kabisa
Lisu atapigwa zaidi asilimia 80
Kwani mimi nikisema Chama changu cha CCM nitakilinda mpaka mwisho kuna Kosa gani? Kusema chama changu? Hata tu timu yangu ya Simba kuna kosa gani. Au nikisema Kanisa langu Katoliki kuna kosa gani? Mbowe ni CHADEMA ni chama chake!
Slaa una jipya kafungueni chenu
Huyu mzee anatumika vibaya.
WEWE BABU HUNAMAWAZO YEYOTE KUHUSU MASLAHI NCHI ILA WEWE UNATUMIA UCHAWA WAKO ACHA ACHA NJAA MPUUZI MTUPU
Mim napita tuu ila mpaka apatikane mtu ambae hata akipitia magumu hataweza kwenda kuunga mkono juhudi kama msigwa
Zito kabwe alipotea kitambo.siasa za bongo.
Slaa amedata kikwelikweli yaani anatamani apae,yaani Mbowe endapo akishinda,dingi lai atasambaratika na timu yake😂😂😂😂😂
Subirini muone kura zitakavyoamua kwenye sanduku, kumshambulia Mbowe.Mbowe wanachama wamemuomba wamtembelee nyumbani kwake,sio kwamba amewaalika, ni vema muelewe hilo.Lissu kawaalika washabiki wake kuja Dar kuhudhuria Press yake,swali je watu hao walijuaje kwamba Lissu ana Press hata waanze safari toka Mikoani?Bila shaka aliwataarifu mapema watu wake.Hivyo ukilanganisha na Mbowe Lissu ndiye aliyealika watu, wala si Mbowe.
Sasa nimeamini kumbe ninyi ni wa Team Lissu,mnamuogopa Mh.Mbowe,wanachama wanamhitaji Mh.Mbowe tena sana tu na ndio sababu wameji-organise kiumoja na kwenda kumuomba agombee nafasi hii adhimu ya uenyekiti.Tunamuhitaji sana Mbowe Chamani.
Chama kinakufa hicho. ACT atachukua usukani.
Hapa naiona chadema inazama taratibu siasa bwana
Akina mdee na mbowe lao moja wanajuana cc wa🇹🇿ndio a2jui ila mwisho wa ubaya ni aibu
LISU SAFII
NANI KAMA LISSU?HAKUNA
Mzee upo sahihi,mbowe anaendesha chama kidikteta
Tunamtaka lisu
Hana haki ya kugombea? Si ana uhuru wa kigombea au kuacha.Mnampangia masharti ya ki imla? Japo namtaka Lisu Kwa sasa lakini Hakuna mtu wala Sheria au Katina inayomzuia Mbowe.Sasa asipoingia akashindwa ni wakati gani itaeleweka kwamba Kwa sasa hatoshi?
Lisu nambowe watauana
Mwenyekiti gani ambae hawaonei huluma wachama wake hadi inafikia unakula kondoo wako mzee mbowe
Wewe mzee pimbi na anayekuhoji ni kitobo iliuwe mgmbea nilazimautangaze Nita ya kugombea au uweumechukuwa fomu mbowe bado siyo mgombea kwa sababu hajachukua fomu na bado hajachukuwa fomu
😂😂Acheni ujinga nyinyi. Kwani mtu akisema TANZANIA NCHI YANGU anakuwa anamaanisha Tanzania ni mali yake?
Halafu huyu DR. SLAA si ni mwana CCM? Sasa inakuwaje anakuwa sauti ya CHADEMA leo?
CHADEMA jiangalieni. Mnavurugwa na nyinyi mnakubali kuvurugana mnaua chama chenu wenyewe.
Nikiona chama changu kinaenda kuanguka!Kamanda wenu nitaingia kati!!!
Chizi lingine la taifa ilo
Kweli kabisa yeye aliwasaliti wenzie kwa kipande cha mkate
CHapana,CHADEMA haina nasaba yoyote na CCM,wala msipotoshe Umma.CHADEMA kiko Streat kwenye mapambano ya Demokrasia,na Ukombozi wa kweli wa Watanzania.Acheni kuipakazia na kuidhoofisha. Ili ichukiwe na wananchi,hizo ni propaganda dhaifu,ni sawa mlio wa miiba chini ya sufuria wa haitoboi.
Dr Slaa ni muongo mchana kweupe.
Unadhani Mbowe sio mwenyekiti wa CHADEMA kwa sasa?
Dr Slaa umekuwa mtu wa hila na husuda sana
Ukomo wa uongozi kikatiba hauko CHADEMA, hivyo Mh.Mbowe kumtaka asigombee ni kuikosea katiba ya CHADEMA kwani inamruhusu. -Lakini ninyi mnajadili ni kwamba mna Upande mlioegemea ambazo ni Upande wa Lissu.Mimi sioni sababu kwenu ya kumshambulia Mh.Mbowe,mnapotosha ukweli wa yaliyotokea,hotuba yake Mh.Mbowe Iko wazi na imeeleweka vema na Kila Mtu,Tena imesheheni hekima na busara na uzalendo ndani ya Chama anachokiongoza.Kutamka neno "Chama changu" ana haki kwa maana yeye ni M/kiti na ana dhamana ya kukilinda Chama.Hata Mimi Kama mwanachama wa CHADEMA, nikiulizwa Niko Chama gani napaswa kujibu Chama changu ni CHADEMA.Tatizo lenu hamkifahamu vema kiswahili,Hata Mimi nasema "Tanzania ni Nchi yangu" haya kanusheni kwamba si Nchi yangu.
Kama uenyekiti wa chama tu ni ngumu kuachia je akiingia ikulu?
Mbowe must go
Ulitaka kuuawa Waziri????
Wewe silaha ilikuwa unataka waziri wamambo ya ndani auliwe kwenye msiba kama sio mboe aliokoa Hilo tatizo
Meowed siyo mgombea ajachukua fomu dk Slaa elewa
Naona watu wanaonyeshana ujuaji sauti ya watanzania imejaa watu wenye chuki kwanini msianzishe chama chenu. Achaneni na chadema!!!...
CHADEMA haiwezi kusambaratishwa na wanausalama Iko imara na ngangari kinoma,Wala haiyumbi,Lissu ana agenda yake ya Siri nyuma ya pazia na Kuna Siri Kali nyuma yake "ukiona panya anamkejeli na kumkebehi Paka ,jua Kuna Shimo Ujirani analolitegemea.
Mbowe sio maskini kama nyie regardless
Dr. nakupongeza Kwa kauli yako yenye hekima na busara wastahili pongezi
LISU NI MKWELI
Uzur n kwmba ,,wachaga wote wanamkataa nkurunzinza
Chairperson has executive power otherwise ni boya tu
Hakuna anae vuluga Chadema Chadema anaivuga mbowe mwenyewe na wapambe wake wachaga
Tuache ulitukimbia
Mtashangaa maaumuzi ya hekima,ya Mbowe hiyo Jumamosi.
Paka leo chadema haina akaunti ya chadema utamkubalije kiongozi wahivyo mzee wa kunjagumi kamanda pumzika bwana
Ukiwekwa Wakfu Kwa makosa lazima uwe mtu wa ajabu ulimwenguni. Mbaya Zaidi ukiwa umeshauvuruga ubongo Kwa philosophy psychology na theology.
Pole na chuki zako.
Kumbe space ni vurugu tu ambako CLUB ina nguvu ya kuvuruga vyama vya upinzani. Nilitegemea muwape sapoti wote watakaotia niaakiwepo Lisu na Mbowe ili sanduku la Kura litoe majibu? Hii Klabu ni ya chombo maalum kutoka Ikulu?
NAONA Dr. anataka tena Ubalozi. Hivi chama CHETU sio CHANGU? HIVI MALI ZETU SIYO MALI YANGU KWA KIWANGO FULANI? Kwa Nini Dr. asisubiri hadi baada ya 24 hrs? Jumamosi? Hivi huu sio uchonganishi kuvuruga uchaguzi? Kweli Dr. Ni TISS
Slaa ulitupiwa bag nje na mwanamke
Kila mtu achukue fom haina haja ya kulumbana
KWELI KABISA
RC na chadema nn maanake jmn?????
Kwani wewe.ni Chama Gani kwa sasa mzee. Uteuzi wako unaonyesha hauko kwenye Chama Cha watu Wengine? Usiwagwe Mbowe na Lisu wenye Uchungu na Chama Chao!
Neno alilotamka Mbowe kuwa chama changu halina ubaya wowote .....Hata mm ningekuwa ni Mwanachama wa Chadema ningeweza kusema "chama changu" .....Kila mwanachama anaweza kulitamka neno hilo
Hivi slaa ulivyokuwa balozi ulikuwa na Mapenzi na CCM au chadema? Umepitwa na wakati huna kura yoyote upadri umekushinda mwisho wako umefika
"CHAMA CHANGU"
hii kauli haijakaa poa
Ina maana yeye ni mwanzo na mwisho wa nafasi hiyo,ananikumbusha mbali mbunge wa ndanda aliwahi gombea nafasi hii lkn mwisho wa yote aliachana na chama na kurudi chama kingine hiyo yawezeka katiba ya chama hiiki haijaweka sawa eneo hilo
Nafikiri wanaCHADEMA mmeamua kuicomplicate tu hii kauli kwasababu aidha mna chuki na Mbowe au mna mahaba na Lissu. Kwani wewe ukisema Tanzania nchi yangu inamaanisha Tanzania ni mali yako? Mwanachama wa CCM akisema CCM chama changu anamaanisha CCM ni mali yake??
Fikirini kikubwa. Mnavurugwa na CCM na nyinyi mnakubali kuvurugwa, mnaanza kuvurugana nyinyi kwa nyinyi ili chama kife.
Fikirini kikubwa!
mbowe acha uwongo Mzee wangu mariziano yako wapo yako wapi sema au ni mariziano ya kuwa watu na kupoteza watu na kuwa Teka watu nyara eti mariziano ww
Bila Mbowe kuijenga Chadema wote nyingi msinge ijua Chadema! Pambano I muigawanye Chadema kisha mtaikumbuka
Tunataka mbowe
Mbowe kichaa sio ndio alie wapeleka covid 19 bungeni uyo mbowe awzi kutuvusha popote bola lisu mzarendo🇹🇿❤️✌️✌️✌️✌️🚣♂️🚣♂️🚣♂️🚣♂️🚣♂️🚣♂️🚣♂️🚣♂️
Hawa watauana sikumoja