ANAPOISHI DIANA KIMARY TANZANIA/NILIFUNGA NDOA MAREKANI/ NAISHI NA MWANANGU TU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 ноя 2024

Комментарии • 231

  • @DianaStar-sz5mb
    @DianaStar-sz5mb 3 дня назад +36

    Nampenda sana Diana kimary jaman mzuri mcheshi yani she is too much beautiful ❤❤

  • @KhadijamussaMachapat
    @KhadijamussaMachapat День назад +6

    Yaani Wazazi wawe wanaacha tu watoto wao, maana kuwabana sana napenyewe ni madhara tu miye naonaga upendo kwa watoto ndo kitu cha mhim lakini uwe mkali ujifanye unajua kulea utaumbuka nimeakaaa pale utakuja kuniambia😂😂😂 nishashuudia vingi sana kwa Umri niliinao huu siyi aba😂😂😂😂, Naipenda sana hii Family kama yakwetu❤❤❤❤❤❤❤🙏🙏

  • @DinazardiMatsawily
    @DinazardiMatsawily 2 дня назад +10

    The way dady is proud of his kids masha Allah❤️

  • @khadjamhozya
    @khadjamhozya 3 дня назад +34

    Binti mzuri sana mwenye akiri, haana mambo yakuongea kingereza, hafeki mayisha haana maringo na mashauzi

    • @hawangunge8104
      @hawangunge8104 День назад

      Kuongea kiingereza n kufake maisha?😂😂😂

    • @nikrahayubu-sz3pw
      @nikrahayubu-sz3pw День назад

      We ufaham wako mby jmn dah ​@@hawangunge8104

    • @SaraMwakapola
      @SaraMwakapola 11 часов назад

      @@hawangunge8104 Kuna mkato kwenye sentensi yake,nikama 1,2,3....

  • @irealyxchamdori596
    @irealyxchamdori596 2 дня назад +16

    Yan nmeangalia mpk raha 😅😅😅 nampenda bure diana❤❤❤

  • @nehemiamartine1435
    @nehemiamartine1435 2 дня назад +8

    daaah mzee amenogesha sana aiseee

  • @barakamwandiga2327
    @barakamwandiga2327 2 дня назад +1

    Interview Kali Sana,Salehe umetisha 🔥

  • @kimwag
    @kimwag 2 дня назад +12

    nime mpenda baba anaongea vizur ila ame piga vyombo 😂😂😂 diana pia love youuu

  • @latifaabdillahi199
    @latifaabdillahi199 2 дня назад +2

    Diana yupo so humble masha Allah

  • @Saripa234-u7g
    @Saripa234-u7g 2 дня назад +5

    Nampenda cn salehe ❤❤❤❤

  • @AnnaBrayson
    @AnnaBrayson 2 дня назад +15

    Diana hana maringo❤ pia huyu kaka nae yuko vizur kwenye utangazaji wake. Nimewapendraaaa

  • @StanslausMrema
    @StanslausMrema 2 дня назад +10

    Mzee kalewa na anapenda Sifa😅😅

  • @josephinesisso6598
    @josephinesisso6598 3 дня назад +5

    ❤❤❤❤❤nice interview

  • @fettiemaganza1484
    @fettiemaganza1484 Час назад

    Mzee kapata kamnywesho kidogo interview ikanoga

  • @Bintimrembo-y1v
    @Bintimrembo-y1v 2 дня назад +20

    Dogo ni tabia mbaya sana kupandisha miguu juu ya viti/sofa za watu. Mbona waandishi hamna simple etiquette! 🙄

    • @koletajeanne8824
      @koletajeanne8824 2 дня назад +1

      Ana uchaba waviti ndomana 😂😂😂😂😂

    • @gloryjimson9831
      @gloryjimson9831 2 дня назад +1

      Ukiona hivo ujue mazoea kwao / kwake kazoea kukaa hivo lakini pia hataki kuwahoji watu kwa kuogopa anawafanya kama familia ndio maana anakuwa huru sana.,.....pia anafanya nao Kazi kwa upendo ndio mkubwa sana.

    • @ZubedaHussein-it7nf
      @ZubedaHussein-it7nf 2 дня назад

      ​@@gloryjimson9831umemaliza kbs

    • @tunkuh661
      @tunkuh661 День назад +2

      Binafsi sivutiwi na hii tabia

    • @munirahassan5969
      @munirahassan5969 20 часов назад

      @Bintimrembo_aibu shoboo

  • @zakiamseka9698
    @zakiamseka9698 2 дня назад +2

    Wow baba ana feel proud na binti yake❤

  • @NeemaGrace123
    @NeemaGrace123 2 дня назад +6

    Her dad is very humble and funny

  • @gloryjimson9831
    @gloryjimson9831 3 дня назад +10

    Diana my favorite❤❤❤ nakupenda bure aiiiseeee ila Diana kajinga nyie sasa umetamani ujinga wa Salehe

  • @aishandayishimiye5127
    @aishandayishimiye5127 2 дня назад +2

    Mh 😂😂😂unapenda kula❤❤❤

  • @hellenismail4351
    @hellenismail4351 День назад

    Good interview.....🎉🎉🎉

  • @Ms.Shansha
    @Ms.Shansha День назад

    I like her interviews Kwakwl 💕💕💕

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 3 дня назад +6

    Kafanana na mzeee wake

  • @mamilihagaya8118
    @mamilihagaya8118 День назад +1

    Mama b ni mm mtupu kwa tabia nampenda❤

  • @FattemaFff
    @FattemaFff 22 часа назад

    Mie nakupenda sana salehe sijui kwann

  • @BimHamdi
    @BimHamdi 2 дня назад +1

    Mashallah mzee mchangamfu sana na watoto wake

  • @ChanceAkimana-yt3oo
    @ChanceAkimana-yt3oo 2 дня назад +7

    Baba diana Mungu akupe Maisha marefu kwa kweli nimechek 😅😅

  • @1anastasie
    @1anastasie 2 дня назад +3

    yes she's telling the true about life in USA

    • @Brunn-mh2bq
      @Brunn-mh2bq 2 дня назад

      She is "telling the true" about life USA? What does that mean? Which school taught you this kind of grammar?😢

    • @1anastasie
      @1anastasie 2 дня назад

      @ I have live in USA more than 10 years so, I know what I said.

  • @Tariq_Tryagain
    @Tariq_Tryagain 2 дня назад +1

    Ila Saleh kazi yako ngum kk.. Kupitapita hovyo namna hio wakati mzee yuko seblen🙌😅.. S/O to u broo

  • @TuntuHassan-x1w
    @TuntuHassan-x1w День назад +4

    Maisha ya bongo mazur asikwambie mtu tuulize sisi tunaoishi nje ya Tanzania

  • @fatmahrashidi1533
    @fatmahrashidi1533 2 дня назад

    Salehe tuletee zamarad na Mrs. Kusah🥰🥰

  • @MbaroukKhalfan
    @MbaroukKhalfan 2 дня назад +1

    Nmempenda Diana ajajichubua Ana rang yake 😊

  • @beatricejoseph2784
    @beatricejoseph2784 23 часа назад +1

    Diana nimekupenda ww hadi na familis yako mpo real ❤❤❤

  • @MsNajma-j7e
    @MsNajma-j7e 2 дня назад +9

    Kuna family zingine ma Sha Allah ata ukiwa nje unatuma pesa wanakujengea unarud na furaha..lkn wakina ssi ukiwatumia tu pesa wanakura na unatumiwa nyumba fenki

    • @fettyrashid9042
      @fettyrashid9042 2 дня назад

      😂😂Najma jamani

    • @gloryjimson9831
      @gloryjimson9831 2 дня назад

      Nimelia sana kwakweli😂😂😂😂

    • @ZulekhaSaburi-t6i
      @ZulekhaSaburi-t6i 2 дня назад

      😂😂😂kweli

    • @ZeetwniZz
      @ZeetwniZz 2 дня назад

      Alhamdullih mimi nashukuru wazazi wangu❤❤

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh 2 дня назад

      Pole sana mimi nashukuru ndugu zangu wanenifanyia jambo Alhamdullah siwachi kuwashukuru

  • @FatimaAli-of4gh
    @FatimaAli-of4gh 3 дня назад +5

    Nakupenda saleh kwenye shughuli zetu unajuwa kupendezesha

    • @khadjamhozya
      @khadjamhozya 3 дня назад +1

      Ungesema anapenda kura, na ana mambo yakike

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh 3 дня назад

      @khadjamhozya
      Mambo yakike yamekaaje mimi sijayaona

    • @victoriaferdinand885
      @victoriaferdinand885 2 дня назад

      @@FatimaAli-of4ghlabda bwana ake ndo ana mambo ya kike

    • @salehcllassic2325
      @salehcllassic2325 2 дня назад

      @@khadjamhozyahaya njoo basi tufanye hayo mambo yetu ya kike shoga yangu

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly День назад +1

    Bongo au nchi yoyote ya afrika ni burudani,kikubwa ni pesa tu,
    We kasake pesa urudi bongo

  • @itzsnazzyjazzy472
    @itzsnazzyjazzy472 3 дня назад +2

    Momma ake Brianna nakupenda buree from Kenya ❤

  • @anethmshahara8519
    @anethmshahara8519 2 дня назад +4

    Nilikuwagavnajua Diana ni mtoto wa Liama Aly

  • @shanimbaruku2071
    @shanimbaruku2071 2 дня назад +3

    Sawa Saleh nina birthday ya wanangu ln shaa Allah 🎉❤

  • @NashatAhmed-z2t
    @NashatAhmed-z2t 3 дня назад +86

    Why salehe wapenda kupandusha migu kwenye na sofa na viti vya nyumba za watu? Its bad manner tafadhali jirekebishe uache hio tabia pls

    • @ElizabethMbasha
      @ElizabethMbasha 3 дня назад +3

      😂😂😂😂nimechek kwa nguvu

    • @itzsnazzyjazzy472
      @itzsnazzyjazzy472 3 дня назад +4

      Mm ingekuwa kwangu wallah angetoka hapo bila hiyo miguuu 😂😂😂😂😂 fakeni kweli 😂😂😂😂

    • @bertinaafonsorapaz8345
      @bertinaafonsorapaz8345 3 дня назад +11

      Acha awe free ndo ananogesha, yupo kwenye uhalisia wake sio kufake uclassic

    • @khadjamhozya
      @khadjamhozya 3 дня назад

      Huyu ana mambo mengi ya kike kike ,na kishamba na Kura kura

    • @sarahtaste2876
      @sarahtaste2876 3 дня назад +10

      Hajafinywa vizuri alivokua mdogo sisi tuliofinywa kwenye mapaja hatuwezi fanya hivo

  • @FaudhiaWadongo
    @FaudhiaWadongo 2 дня назад

    Nampenda Diana❤❤❤

  • @adamelly6051
    @adamelly6051 3 часа назад

    Hehe kweli huyu dada hazeeeki

  • @winfridapeter9455
    @winfridapeter9455 2 дня назад +4

    Amekua sana yaan hata kuongea anaongea kikubwa❤❤

  • @FATHIYA002
    @FATHIYA002 День назад

    Kupandisha miguu kwny sofa siustaarabu,jirekebisheni.

  • @bennamush4616
    @bennamush4616 2 дня назад +4

    Mzee ana matambo huyu😂

  • @beatricejoseph2784
    @beatricejoseph2784 23 часа назад

    Diana nimekupenda ww hadi na familia yako mpo real ❤❤❤

  • @AishaMwarabu
    @AishaMwarabu 22 часа назад

    Mala pupa Diana nadalee wanapenda na😂😂😂

  • @Iragibarune1.
    @Iragibarune1. 2 дня назад +3

    WoW

  • @adamelly6051
    @adamelly6051 3 часа назад

    Hahahha hyu baba angeendelea kuongea angefichua mengi ame kweli pombe sio maji

  • @zuryabuubakari
    @zuryabuubakari 2 дня назад +2

    mme post show bizz ya jana jumatano ila ya the reality show ya gigi money wiki ya pili hii hajapost huo ni ubaguzi nimeisubiri mpaka nimechoka

  • @paulabelleghe451
    @paulabelleghe451 День назад +1

    Diana nimzuri af kafanana na lulu mwanzoni nlifkiri ni twins

  • @ChadoraMANYENGA
    @ChadoraMANYENGA День назад

    Kitu Cha Kwanza Kabisaaa Ukiingia Marekani Au Kama Unataka Kuja Nikujua Kudrive

  • @charlestobby6031
    @charlestobby6031 3 дня назад +9

    Sasa we nawe unashangaa hazeeki wakati hata miaka 30 bado huyo

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 3 дня назад +1

      Salehe ana maswali ya kitoto, leo katushangaza na mengi tu

    • @zainabuuledi1523
      @zainabuuledi1523 2 дня назад +4

      Kazaliwa 1994 baba ake ameshasema so 30 now

    • @Manuelwinfrida
      @Manuelwinfrida 2 дня назад +2

      ​@@zainabuuledi1523hahah alafu diana kasema kwa uchungu 96 hahahhaha

    • @SilverTaric
      @SilverTaric 2 дня назад

      Nimegundua wanawake hampendani ad miaka mna hoji kw uchungu thijapenda kw uchungu😅😅

    • @Manuelwinfrida
      @Manuelwinfrida 2 дня назад

      @@SilverTaric hahah em lala bhana sis tumuamini aliyezaa au aliezaliwa alikosea kumpanga mzee mapema hahhaha

  • @dalalimrembo
    @dalalimrembo День назад

    Natamani diana aigize tena katika kipindi hiki yupo likizo
    Maana ni fundi tunamjua vizuri

  • @remiomar7154
    @remiomar7154 2 дня назад +2

    Ww swaleh tafadhali jirekebishe kwa swala la kuvaa vinyasa (short) magoti yapo nje kijana wakiislam

  • @ZuwenaSiwa
    @ZuwenaSiwa 9 часов назад

    Uyu dada nimkweli sana yuko praud na vitu vyake waty wake

  • @UpendoLema-bx9ji
    @UpendoLema-bx9ji 2 дня назад +2

    ❤❤❤

  • @RuthHenzron
    @RuthHenzron 3 дня назад +1

    Nampenda Diana jaman

  • @crecknerz5661
    @crecknerz5661 2 дня назад +1

    Dada ana nywele mbovu atar

  • @meddycr
    @meddycr 2 дня назад +1

    Mwanaume hereni zann

  • @dorahmushi-we6ts
    @dorahmushi-we6ts 2 дня назад

    Ki ukweli, mimi pia nimefurahi kuwa na rais mwanamke,na huwa napenda sana kuona viongozi wanawake, kudhihirisha wanawake tunaweza.

  • @fatmaali4921
    @fatmaali4921 9 часов назад

    Anajichubua saleh mpka anaanza kutisha usoni

  • @Doreenesphor
    @Doreenesphor 3 дня назад +2

    Baba diana❤😂

  • @bintqassimidarous1636
    @bintqassimidarous1636 2 дня назад +4

    Baba sijui kapasha kidogo 😂

  • @AishaMwarabu
    @AishaMwarabu 21 час назад

    Kweli ntafutie ela bdosana kuzeeka😂😂😂

  • @fathma-wp1gt
    @fathma-wp1gt 2 дня назад +1

    Lulu na diana wangafanya kazi kwapamoja tena

  • @irenebeddah6524
    @irenebeddah6524 2 дня назад +1

    I love u diana

  • @missmoona4497
    @missmoona4497 3 дня назад +2

    Na usitoke toke kweli tulia home ili unusurike vinginevyo unatafuta kutekwa au kupotezwa kusiko julikana umuache mtt wako yatima na kuumiza wazaz kuwaacha wakiwa na wakat mgumu

  • @paskaziasholla7471
    @paskaziasholla7471 23 часа назад

    Ila Sarehe bangi eti kwahiyo yeye mdogokwa Diana

  • @sleeprelaxation8431
    @sleeprelaxation8431 3 дня назад +4

    mzee kashapata mambo yake, hahaha anajiachia

  • @aishaibrahim5607
    @aishaibrahim5607 2 дня назад +2

    ckunyingne nenda kwa paula

  • @maryamChumas
    @maryamChumas День назад

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @Ajijji12
    @Ajijji12 2 дня назад +2

    Baba kaongea mwaka wa ukweli wa kuzaliwa ni 94 😅 na sio 96

    • @Yana-o2u
      @Yana-o2u 2 дня назад +1

      Wababa wanachanganyaga trust me…mi nilikuwa 24 babangu akasema nipo 18

    • @ireneisdory3858
      @ireneisdory3858 2 дня назад

      Ni 96 kweli toka zaman baba ake kachanganya

    • @TEDY-MTEMY24
      @TEDY-MTEMY24 2 дня назад +1

      Hapo angesema mama ningeelewa,, mimi nakumbuka ilikuwa tunahesabiwa sensa baba angu alisema nina miaka 26 miaka ya kaka yangu

  • @NasarSaid-z5s
    @NasarSaid-z5s 5 часов назад

    😂😂😂😂 menichekesha

  • @AllyMawazo-ve9qc
    @AllyMawazo-ve9qc 2 дня назад

    Diana ana nyama

  • @enigenjatemba8867
    @enigenjatemba8867 2 дня назад +1

    😂😂😂😂😂Mtani wangu Kimary kajipigia vyombo

  • @Rogathe-Rogathe
    @Rogathe-Rogathe 2 дня назад +2

    😂😂😂😂😂😂Saleh km Diana ulikuwa unamuona kwenye Tv enzi za movie ukiwa shule y msng, basi mm ulikuwa unaniona ukiwa tumboni🤣🤣🤣🤣 joke

  • @CarolinaFranciMushi
    @CarolinaFranciMushi 2 дня назад

    Kaka huyó mshamba sana hastahili kuingia nyumba Za watu wastarabu.anakanya viti ,yaya anaonaje hivyo vitu ,sio ghetto kwako kaka.shusha mijiguuu yakooo😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢

    • @LucyKapinga-fg4dk
      @LucyKapinga-fg4dk 2 дня назад

      Muangalie tuu hapo kitandani alivyo kaa na Pensi yake Kujimanua siheshima

  • @AishaHamisi-s1b
    @AishaHamisi-s1b 3 дня назад +2

    mkaka kachangamka 😂😂

  • @KizaIbrahim-bh4tf
    @KizaIbrahim-bh4tf 3 дня назад +2

    Diana Umepowa na bills za marekani kabisa, marekani nyumba zilizo jengwa vichakani kodi ni million tano za Tanzania. noma sana Cogradulation sana Diana Kimary marekani pasikie brother salehe, Salehe walioko marekani wanatamani kurudi zao bongo. Eti Huwezi kurudi bongo 😂😂😂.

    • @KizaIbrahim-bh4tf
      @KizaIbrahim-bh4tf 2 дня назад

      Kipindi nilipofika marekani bro😅apartment zimemejengwa maporini😢 United States is jungle🌲.

    • @salehcllassic2325
      @salehcllassic2325 2 дня назад +2

      Hebu nitafute basi insta tuongeee mm nije huko marekani nishuhudie😂😂😂

    • @tumarey3894
      @tumarey3894 2 дня назад

      Ushuhudie😅 mim nimekod sio apartment ni kijichumba tu kidogo mno nalipia milio 3 yaani looh

    • @TEDY-MTEMY24
      @TEDY-MTEMY24 2 дня назад

      ​@@salehcllassic2325Salehe acha kuweka miguu juu ya sofa za watu na unajua umevaa kaptula, bora ungekuwa unavaa suruali basi

  • @ZulfaJuma-yv2vg
    @ZulfaJuma-yv2vg 3 часа назад

    😂😂😂😂😂mbavu zangu jamani

  • @RechoAhmed
    @RechoAhmed 2 дня назад +1

    😊salehe kuna watu wana impact uyu weng awamjui muhoji mtu kama Salam ask itakuwa bonge la pind au ushaur watu wa kuwaoiji tunawajua ao wengin sio maarufu kabisa

    • @jasmineatiffuh3870
      @jasmineatiffuh3870 2 дня назад +4

      Wewe ndo utakuwa umjui ila wanaofatilia bongo movie wanamjuaa,, hata huyo salam sk kuna watu hawamjui kabisa coz kazi zake sio za kuonekana kwenye media kifup hata salam ajulikan maybe ungeshauri awe anawafanyia mahojian wasani wakubwa

    • @verobecamfipa8655
      @verobecamfipa8655 2 дня назад +1

      Make kwanza nicheke😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @hamisaally968
      @hamisaally968 2 дня назад

      Sema wewe umjui bwanaaa😂😂😂

    • @delightdelight-m4w
      @delightdelight-m4w День назад

      Yuko sawq sio lazima watu wale wale bwana

  • @mwanaidytaifa3329
    @mwanaidytaifa3329 День назад

    Diana anaonekana mstaharabu sn.

  • @JUSTxYAMMY
    @JUSTxYAMMY 3 дня назад +4

    Yeye mwenyewe alikuwa yuko shule anaigiza huku anasoma

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 3 дня назад

    Wa kwanza

  • @jescalutegonsombnambyakoda6719
    @jescalutegonsombnambyakoda6719 2 дня назад

    Salehe 94😂😂😂😂mhmm

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 3 дня назад

    Kwahy Wan ishi kwenye Apntment

  • @fatmafatu1128
    @fatmafatu1128 2 дня назад

    Kwani kaja leo mbona kaja mda tu

  • @NayMatinga
    @NayMatinga День назад

    Kwahy ni muhehe au ni mchag mnatuchanganya

  • @tamarmwaipopo9204
    @tamarmwaipopo9204 2 дня назад

    Brianna mtulivu huyoo mpk raha

  • @AishaMwarabu
    @AishaMwarabu 22 часа назад

    Salee 😂😂😂 kajiachia kitandani kwawatu 😅😅

  • @SaidAli-ti1lm
    @SaidAli-ti1lm 3 дня назад +4

    Salehe mi mshamba hajui kukaa wala kuvaa akikaa nyumba za watu anajiachia achia hana ustarabu

  • @فاطمهفاطمه-ش2ز9ج
    @فاطمهفاطمه-ش2ز9ج 2 дня назад +4

    Mie nawabiaga WAtu hakuna kama Tanzània yaan nje ya nchi hapanogi kabisa siyo chakula Wala raiana ovyo KBS .

  • @FatmaAhmad-y1k
    @FatmaAhmad-y1k 2 дня назад +1

    Haya mumemsema kapandisha miguu kwenye sofa haya sasa kalala mpaka kitandani na mwenye kitanda kuumia munaumia nyie sasa

  • @khadjamhozya
    @khadjamhozya 3 дня назад +7

    Sarehe reo kakosa chakura, amejitahidi , kujitegesha jikoni rakini amegonga mwamba reo ataondoka nanjaa🤣🤣

  • @FatimaAli-of4gh
    @FatimaAli-of4gh 3 дня назад +2

    Watt wa ulaya wote wanavyumba vyao kwa hilo wazungu wametushinda

    • @RitbayRitbay
      @RitbayRitbay 3 дня назад +3

      Lkn mm naona sio kitu kizur mtoto mdg kumlaza peke yke mambo mengi yanafanyika anaweza akakohoa kumpandia puani mtoto kuumwa hafla ww huna habar kupata kushtuka hafla kunajenga maradhi.

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh 3 дня назад

      @RitbayRitbay
      Akiwa mchanga unaweza ukalala nae chumba kimoja mtt kwenye kitanda chake na mama kwenye kitanda chako

    • @kibouttv7148
      @kibouttv7148 2 дня назад

      Ndo mana kuna camera zinawekwa kwenye vyumba vya watoto na pia kuna alarm akikohoa tu unamsikia na unamuona kwenye camera ni normal dear huku kwa wenzetu bongo sio kitu cha kawaida ndo mana ​@@RitbayRitbay

    • @ZainabMustafaIbrahim
      @ZainabMustafaIbrahim 2 дня назад

      @@FatimaAli-of4ghkwel kabisa huku mtoto akiwa mchanga analala na mama ake chumba kimoja but different bed

    • @RamlahNassoro
      @RamlahNassoro 2 дня назад

      Mama mama mama mtoto mchanga analala kitanda cha peke ake binafsi siwezi hata usingizi sitapata huyo wa miaka sita saba niamie usiku niwatizame wako salama au vipi vipi kitoto kichanga kilale peke yake khaaa

  • @SadaHashimhadoswa
    @SadaHashimhadoswa День назад

    Baba kachangamka hatar😂😂😂😂

  • @aairraahseif5648
    @aairraahseif5648 3 дня назад +4

    Salehe hauko professional, unauliza maswali ya ajabu ajabu kamashamba hivi aibu yani,na kwanini mpaka uingie vyumbani?pia ukaweka miguu juu ya makochi ya watu tabia mbaya

    • @rahimaaaaa5682
      @rahimaaaaa5682 2 дня назад

      😂😂😂😂😂

    • @FocasYakuza-q4s
      @FocasYakuza-q4s 2 дня назад +1

      Ndio kazi yake hizi ni show bizz wanacheki maisha ya mastaaa

    • @RayyanRayyan-rt9cg
      @RayyanRayyan-rt9cg День назад

      We unahasira tu ebu tuuambie alitakiwa kuulizaje

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 День назад

      @@RayyanRayyan-rt9cg 😜😜ati hasira,kinaongoa kama kajinga hivi' muandishi yeyote huwa ana mipaka na maadili ya uandishi!hata awe muandishi wa habari za mavi na funza chooni lazima awe na maadili huko chooni!wee vipi?kama kataahira flani hivi

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 День назад

      @@FocasYakuza-q4s anacheeck maisha ya mastaa😛😛🤭🤭

  • @FatimaAli-of4gh
    @FatimaAli-of4gh 3 дня назад

    Kama mimi hapa nafanyakazi jumamosi na jumapili

  • @فاطمهفاطمه-ش2ز9ج
    @فاطمهفاطمه-ش2ز9ج 2 дня назад +2

    😂😂😂baba hajui mwanae kazaliwa lin,,,dina ukubwa hautak et WA tisini na nne kafarik mie WA tisini na Sita.

  • @Bmsecret
    @Bmsecret 2 дня назад

    Huyo demu kavaa bikini ya pink nimeiyona 😂