KAFANANA NA ZUCHU, ILA MI SIJAMPENDA, NIKABIDHI TU MOYO WAKO - HELLO MR. RIGHT

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 янв 2025

Комментарии • 32

  • @florahyma975
    @florahyma975 9 месяцев назад +4

    Majaji mnaanza kukosa sifa kabisamnawa discourage sana mr. Right, ulimu hauna mfupa na sio kila mtu ana confidence ya kusimama na kuongea mbele za watu, mnaharibu kipindi

  • @meckitridamagogo
    @meckitridamagogo 9 месяцев назад +1

    Naomba tuwe tunajua na warembo wenu wanaingiza kipato ch kiasi gani maan wanapenda pesa si watafute zao

  • @mbwaralali5049
    @mbwaralali5049 9 месяцев назад +7

    mr right ya kenya iko sawa coz hakuna maswali mengi sana na pia hawataki kujua kipato chako ila hapa kwetu tz😢

  • @ANAMARYRUNYORO
    @ANAMARYRUNYORO 9 месяцев назад

    Majaj someni comment plz, mmetoka kwny misingi w kipindi angalieni wenzenu wa Kenya au Nigeria wanavoendesha very professional

  • @marthasonia5005
    @marthasonia5005 9 месяцев назад +2

    Nice

  • @agriparose3942
    @agriparose3942 9 месяцев назад +7

    Majaji sijui elimu ya kazi yao wanauyo au waliulizwa tu kua wanaweza kukaa mbele ya camera na kubwabwanya tu mpaka huya aliyah kawa mswahili hovyo hovyo kama diva si mumuige Diana marua alivyo serious na kazi yake

  • @oscarcharles9624
    @oscarcharles9624 Месяц назад

    hao wadada wanauliza wanaume wanafanya kazi gan je wao nanafanya kazi jmn waseme tu

  • @AmosSniper
    @AmosSniper 9 месяцев назад

    Mpo kichoko sana! Mnakiharbu kipindi kw kuzindisha midomo

  • @cathyjb4339
    @cathyjb4339 9 месяцев назад

    Si muangalie hizo za Kenya na Nigeria.

  • @YusufHassan-tf1iw
    @YusufHassan-tf1iw 8 месяцев назад

    hey mdada ni amesha wahi kuwa namahusiyan au anaaza ss Kwan kweny mahusiyano hayahita umri Bali mahusiyan nii uwaminf 2😅

  • @IddaJovent
    @IddaJovent 4 месяца назад

    Mabint wengne wamekauk kam vle wanamenyw kwa panga dah, lakn yanajkut kam nn

  • @JuliasTibenda-d7v
    @JuliasTibenda-d7v 9 месяцев назад

    haujui

  • @elinapetro7136
    @elinapetro7136 9 месяцев назад

    Mmeniuzi majaji Leo fyuuuuuuu mnamsema mtu ilihali hajaondoka hakuna aliekamilika 😢😢ni

  • @magreciousthomas3527
    @magreciousthomas3527 9 месяцев назад

    Nyie ni wanafki

  • @jackjoseph759
    @jackjoseph759 9 месяцев назад +2

    Jamn nyie majaj msiuliz maswal kam huyo diva maswal anayo uliza wanatakiwa kuuliz hao warembo ndo maan wap hapo sasa nyie mkiuliz maswal mnakuwa mnakosea(achane hayo mambo ya kuwa sema wakiwa wamekosa mtu)

  • @mwajumashabani92
    @mwajumashabani92 9 месяцев назад

    Jamni zarish mbona km cjamuona ivi

  • @mamboDeusMalando-d9p
    @mamboDeusMalando-d9p 9 месяцев назад

    Nasoma comment tuuuu

  • @mwajabudegwa
    @mwajabudegwa 9 месяцев назад

    Tatzo kiukwel hawa majaji hasa lulu na gara b n km wamekua wanaanza wao kwanza kuwakosoa hao ma Mr kabla ya warembo

  • @ScolaJoseph-b8z
    @ScolaJoseph-b8z 9 месяцев назад +1

    Jamni huyu kaka kaoaa hukoo kiteto manyaraa

    • @Fessie28
      @Fessie28 9 месяцев назад

      Jamani anaitwa nani? Mimi nipo kiteto 😂😂😂

    • @SashaOscar
      @SashaOscar 9 месяцев назад

      😂😂😂😂😂😂😂

    • @ramangido3134
      @ramangido3134 9 месяцев назад

      Hach man

    • @gracemlay
      @gracemlay 9 месяцев назад

      Hahahahahahaa

    • @SmilingCorgi-pr9bn
      @SmilingCorgi-pr9bn 9 месяцев назад

      Kiteto wako warembo tuje ivoo😅

  • @umranim5854
    @umranim5854 9 месяцев назад

    Kasema laki tatu na alibaini hamna mbil ameongeza na nyinyi mna mambo mengi

  • @RoseKesi-zj4yy
    @RoseKesi-zj4yy 9 месяцев назад

    Muongo huyu kijana

  • @musaogira8375
    @musaogira8375 9 месяцев назад

    majaji mnaboa sana mnamchambua sana Mr right punguzeni maneno mnaaibisha watu huo sio ungwana

  • @joycehaule9717
    @joycehaule9717 9 месяцев назад

    Majaji this time mmeboa mnoo