- Видео 76
- Просмотров 645 061
Muslimu Tv
Добавлен 3 янв 2014
Karibu kwenye Channel yetu pendwa hapa utajifunza Mambo mbali mbali juu ya dini yetu ya Uislamu Yakiwa yame andaliwa na mashekh zetu mbali mbali Allah awalipe kheri zaid na zaidi juu ya haya wanayotufikishia.
FOR COPYRIGHT NOTICE CLAIMS
Please if you have any issue with the content used in my channel or you find something that belongs to you, before you claim it to RUclips Kindly send me a direct message through hashimrashidy00@gmail.com and I will delete them right away. Thanks for your understanding .
Tafadhali ikiwa una suala lolote na maudhui yaliyotumiwa kwenye kituo changu au unapata kitu ambacho ni chako, kabla ya kuidai kwa RUclips Nitumie ujumbe wa moja kwa moja kupitia hashimrashidy00@gmail.com na nitafuta mara moja.
Asante kwa uelewa wako.
FOR COPYRIGHT NOTICE CLAIMS
Please if you have any issue with the content used in my channel or you find something that belongs to you, before you claim it to RUclips Kindly send me a direct message through hashimrashidy00@gmail.com and I will delete them right away. Thanks for your understanding .
Tafadhali ikiwa una suala lolote na maudhui yaliyotumiwa kwenye kituo changu au unapata kitu ambacho ni chako, kabla ya kuidai kwa RUclips Nitumie ujumbe wa moja kwa moja kupitia hashimrashidy00@gmail.com na nitafuta mara moja.
Asante kwa uelewa wako.
MOJA KWA KUMI JAWABU LAKE NI NINI....? | Sheikh Nurdin Kishki
ZIMEBAKI SIKU 9 KUELEKEA MASHINDANO MAKUBWA ZAIDI YA QUR'AN TUKUFU AFRIKA YATAKAYOFANYIKA TAREHE 24/03/2024.
#Mashindanoyaquran #mashindanoyaquran2024 #AlhikmaFoundation #SheikhNurdinKishk #nurdinkishki #kishki #quran
#Mashindanoyaquran #mashindanoyaquran2024 #AlhikmaFoundation #SheikhNurdinKishk #nurdinkishki #kishki #quran
Просмотров: 133
Видео
OTHMAN MAALIM - KISA CHA MFALME NAJASH WA ETHIOPIA/HABASH SEHEM YA PILI
Просмотров 4,4 тыс.2 года назад
OTHMAN MAALIM - KISA CHA MFALME NAJASH WA ETHIOPIA/HABASH SEHEM YA PILI Kwa wale wanaofuatilia matukio ya historia ya Uislamu, mfalme huyu ndiye aliyewakaribisha Waislamu wa mwanzo waliokimbia mateso makali ya waabudu masanamu wa Makka. Aliwakaribisha na kuwapa hifadhi na hata alipojiwa na makafiri na kumlaghai kwa rushwa na hongo, hakukubali kuwakabidhi wakimbizi hao kwa watesaji hao wa Makka....
OTHMAN MAALIM - KISA CHA MFALME NAJASH WA ETHIOPIA/HABASH SEHEM YA KWANZA
Просмотров 14 тыс.2 года назад
OTHMAN MAALIM - KISA CHA MFALME NAJASH WA ETHIOPIA/HABASH SEHEM YA KWANZA Kwa wale wanaofuatilia matukio ya historia ya Uislamu, mfalme huyu ndiye aliyewakaribisha Waislamu wa mwanzo waliokimbia mateso makali ya waabudu masanamu wa Makka. Aliwakaribisha na kuwapa hifadhi na hata alipojiwa na makafiri na kumlaghai kwa rushwa na hongo, hakukubali kuwakabidhi wakimbizi hao kwa watesaji hao wa Makk...
SHEIKH BACHU - MWANAMKE KUZUILIWA KUSWALI TARAWEH MSIKITINI
Просмотров 1192 года назад
SHEIKH BACHU - MWANAMKE KUZUILIWA KUSWALI TARAWEH MSIKITINI Sheikh Nassor Abdullah Bachu, ambaye alifariki dunia ja (13.02.2013) baada ya kuugua zaidi ya mwaka mmoja. Sheikh Bachu atakumbukwa kama ulamaa kijana aliyeleta mapinduzi makubwa kwenye mawazo ya dini ya Kiislamu visiwani Zanzibar na katika ukanda mzima wa Afrika Mashariki, akihubiri tapo jipya la dini hiyo lililofahamika kama Ahlu Sun...
Sheikh Othman Maalim - Misingi ya kuchagua mke anayefaa kuoa
Просмотров 4352 года назад
Sheikh Othman Maalim - Misingi ya kuchagua mke anayefaa kuoa Shukrani zetu za dhati kwa swali lako kuhusu sifa zinazohitajika katika kuchagua mke. Uislamu ikiwa ndiyo Dini ya kimaumbile imetupatia muongozo katika kila nyanja ya maisha pamoja na kuchagua mke, ambaye ni mshirika wa mwanaume wa maisha. Miongoni mwa sifa zinazohitajika katika kuchagua mke ni: 1. Mwanamke kuwa na Dini, tabia na maad...
KWANINI MTUME MUHAMMAD S.A.W HAITWI MAREHEMU..???
Просмотров 5003 года назад
Jina lake ni Mohammad bin Abdallah bin Abdul mutwalib bin hashim bin Abdul manaf bin Quswai bin kilaab. Na ukoo wake mtukufu unamalizikia kwa mtume Ibrahiim (A.S) MAMA YAKE. Mama yake ni Amina binti Wahabi bin Abdul manafi bin zuhra bin kilaab. KUNIA YAKE NI: Abul qaasim, pia Abuu Ibrahiim. JINA LAKE MASHUHURI. 1- Mustafa, na anayo majina mengine mengi yaliyo pokelewa ndani ya Qur’ ani tukufu k...
SHEIKH FARID WA UAMSHO ASIMULIA MAZITO | NAHOJIWA UCHI WA MNYAMA
Просмотров 1,5 тыс.3 года назад
Masheikh wa Uamsho waachiliwa huru Masheikh wawili wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI) waliokuwa wanashikiliwa kwa miaka tisa sasa katika magereza ya Ukonga Dar es Salaam hatimaye wameachiwa huru. Mashehe hao waliachiwa huru JUmanne jioni baada ya kesi yao kukamilishwa kwa njia ya kiteknolojia huku wakipewa masharti makubwa katika kuachiwa kwao. Taarifa za kuachiwa M...
MASHEKHE WA UAMSHO WA ACHIWA HURU BAADA YA KESI KUKAMILIKA
Просмотров 2873 года назад
Masheikh wa Jumuiya za Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (Jumiki), waliokuwa gerezani nchini Tanzania kwa zaidi ya miaka saba wameachiwa huru, bada ya mashtaka dhidi yao kufutwa. Kuachiwa kwao kunakuja siku chache baada ya viongozi mbalimbali wa dini akiwemo Mufti mkuu wa Tanzania, Abubakar Zubeir kutaka mamlaka za Tanzania kutenda haki katika kesi dhidi yao. Kwa mujibu wa mkurugenzi wa ...
Yupi Yatima Zaidi Aliyefiwa Na Mama Au Baba?
Просмотров 3963 года назад
Mcheni ALLAH Mtukufu na ikumbukeni kauli yake isemayo : { يَا أَيُّهَا النَّاسُ اتَّقُواْ رَبَّكُمُ الَّذِي خَلَقَكُم مِّن نَّفْسٍ وَاحِدَةٍ وَخَلَقَ مِنْهَا زَوْجَهَا وَبَثَّ مِنْهُمَا رِجَالاً كَثِيراً وَنِسَاءً وَاتَّقُواْ اللّهَ الَّذِي تَسَاءَلُونَ بِهِ وَالأَرْحَامَ إِنَّ اللّهَ كَانَ عَلَيْكُمْ رَقِيباً }النساء 1 “ Enyi watu ! Mcheni Mola wenu ambae amekuumbeni kutokana na nafsi moja. Na...
UCHUNGU ANAOPATA MTU PINDI ANAPOFIKWA NA UMAUTI PART 2
Просмотров 118 тыс.3 года назад
UCHUNGU ANAOPATA MTU PINDI ANAPOFIKWA NA UMAUTI PART 2 Shukrani ni za Allaah (Subhaanahu wa Ta'ala), swala na salamu zimwendee Mtume wetu Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa Sallam) Aali zake, sahaba zake na wote wenye kufuata uongofu na njia yake. Enyi waja wa Mwenyezi Mungu! Mcheni Mwenyezi Mungu na mumuogope, mutii amri zake msimuasi, mumshukuru msimkufuru, mumkumbuke msimsahau. Na...
Mambo matano 5 yenye kuharibu Swaumu (Funga)
Просмотров 1,4 тыс.3 года назад
Kufunga swaumu ni kutokula, kunywa na kutoshiriki kitendo cha ngono katika muda kati ya wakati wa fajr sadiq (adhana ya pili/alfajiri ya kweli; wakati wa mchana kunapokuwa na mwangaza kwenye upeo wa macho kabla ya kuchomoza jua) na kati ya kuchwa kwa jua. Kufunga swaumu pia kunaitwa imsak. Maana ya Imsak ni kuiweka roho/nafsi mbali na inayoyatamani na kutoyafanya. Kinyume cha imsak ni iftar, ya...
KISA CHA BIBI MWENYE KUJIBU MASWALI KWA QUR AN
Просмотров 3,2 тыс.3 года назад
Ewe Muislamu ulipoumbwa na ukaletwa hapa Duniani uliwekewa katiba na mfumo wa kuishi na njia ya kupita mwanzo mpaka mwisho, nzuri na mbaya, yote hayo utayapata kwenye Qur’an ukifundishwa na Bwana Mtume (Swalla Llahu ‘alayhi wasallam). KUISOMA QUR'ANI NA ADABU ZAKE Qur'ani Tukufu ni kitabu ambacho ndio msingi wa kufaulu kwenu, chenye kuwatoa watu kwenye giza,na kuwapeleka kwenye nuru, ndani yake...
Kutolewa Roho Kwa Mtu Muovu Na Kafiri Sehem ya kwanza | Sheikh Nassoro Bachu
Просмотров 24 тыс.3 года назад
Enyi waja wa Mwenyezi Mungu! Mcheni Mwenyezi Mungu na mumuogope, mutii amri zake msimuasi, mumshukuru msimkufuru, mumkumbuke msimsahau. Na mjue kwamba mwanaadamu ameumbwa aishi umri wake, kisha marejeo yake yawe kwenye shimo jembamba akapumzike humo au akaadhibiwe hadi siku ya malipo. Mwanaadamu akiishi maisha haya katika hali ya kutii amri za Mola wake, akitaraji rehma zake na kuogopa adhabu y...
UJUMBE MAALUMU WA RAMADHANI | MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI
Просмотров 3413 года назад
Assalaamu Alaykum Warahmatullah! Ni baada ya siku chache tu kwa msaada wake Allah Karim utakuwa unapumua na kuishi ndani ya mwezi mtukufu wa Ramadhani. Mwezi ambao huwapa waislamu fursa ya kuitekeleza mojawapo ya nguzo tano za Uislamu, swaumu ya Ramadhani. Katika kuuheshimu, kuutukuza na kuuenzi mwezi huu mtukufu. Naam, Ramadhani hiyo mlangoni mwako inabisha hodi. Wewe kama muislamu umejiandaje...
HISTORIA YA KIFO CHA MTUME MUHAMMAD (SAW)
Просмотров 81 тыс.3 года назад
Kifo Cha Muhammad (S.A.W.), Mtume Wa Allah (S.W.T.) MALENGO YA MAISHA YA MUHAMMAD MUSTAFA (s.a.w.), kama Mtume wa Mwisho wa Allah (s.w.t.) katika dunia hii yalikuwa: • Kuangamiza ibada ya masanamu na ushirikina; • Kutangaza rasmi Tauhidi ya Muumba; • Kufikisha Ujumbe wa Muumba kwa wanadamu; • Kukamilisha mfumo wa dini na sheria; • Kutakasa nafsi za wanaume na wanawake; • Kukomesha dhulma, uovu ...
TAMKO LA SHEIKH MKUU WA MKOA DSM DHIDI YA AFANDE SELE NA SHEIKH NURDIN KISHKI
Просмотров 733 года назад
TAMKO LA SHEIKH MKUU WA MKOA DSM DHIDI YA AFANDE SELE NA SHEIKH NURDIN KISHKI
AFANDE SELE - ULIMI ULITELEZA | NAOMBA RADHI | NIMESHA MUOMBA MWENYEZI MUNGU | AMESHANISAMEHE
Просмотров 373 года назад
AFANDE SELE - ULIMI ULITELEZA | NAOMBA RADHI | NIMESHA MUOMBA MWENYEZI MUNGU | AMESHANISAMEHE
Sheikh Hilal Kipozeo - Afande Sele Athari za Bangi | Ni Jeuri Tu | Mpumbavu
Просмотров 2513 года назад
Sheikh Hilal Kipozeo - Afande Sele Athari za Bangi | Ni Jeuri Tu | Mpumbavu
Sheikh Nurdin KIshki - Visa vitano vya watu wema waliopita
Просмотров 2,7 тыс.3 года назад
Sheikh Nurdin KIshki - Visa vitano vya watu wema waliopita
Sheikh Othman Maalim - Misingi ya Kuchagua Mke Anayefaa Kuoa
Просмотров 5 тыс.3 года назад
Sheikh Othman Maalim - Misingi ya Kuchagua Mke Anayefaa Kuoa
SHEIKH YUSUF ABD - MOYO MWEUPE/TUPENDANE NA TUSAMEHANE KAMA WATU WEMA WALIOPITA
Просмотров 6704 года назад
SHEIKH YUSUF ABD - MOYO MWEUPE/TUPENDANE NA TUSAMEHANE KAMA WATU WEMA WALIOPITA
SWALI: Mwanamke anapomaliza EDA ya kufiwa au kuachwa je anatakiwa Afanye nini....???
Просмотров 1,3 тыс.4 года назад
SWALI: Mwanamke anapomaliza EDA ya kufiwa au kuachwa je anatakiwa Afanye nini....???
SHEIKH HAMZA - MAUTI YA MTUME MUHAMMAD (S.A.W)
Просмотров 4 тыс.4 года назад
SHEIKH HAMZA - MAUTI YA MTUME MUHAMMAD (S.A.W)
SHEIKH YUSUF ABDI - KISA CHA MLEVI ALIYEINGIA PEPONI / MWISHO MWEMA
Просмотров 32 тыс.4 года назад
SHEIKH YUSUF ABDI - KISA CHA MLEVI ALIYEINGIA PEPONI / MWISHO MWEMA
Sheikh Hashim Rusaganya - UMEKUFA BILA KUSWALI UTAJIBU VIPI..???
Просмотров 2714 года назад
Sheikh Hashim Rusaganya - UMEKUFA BILA KUSWALI UTAJIBU VIPI..???
Sheikh Othman Maalim - Kisa cha Israi na Miraji
Просмотров 3884 года назад
Sheikh Othman Maalim - Kisa cha Israi na Miraji
Hakika mwenyezimungu ni mkubwa
Yallabii tujalie mwisho mwema😢
Yaah allah utujalie mwisho mwema ustadh umeongea
Mungu akubariki ustadh kwa maneno ya allah na nikafaidika nayo.
mungu akuondoshee azabu za kabri shekh
Ya Allah tujaliwe mwisho mwema
Hakika logo ni mtihani mkubwa kwetu binadam
Allah akulipe mema sheikh
Thanks a lot
❤❤❤❤❤ allah ampunzikishe kwa Amani kiombe bora ❤❤❤❤😊😊😊
Mashaallah Allah akuzidishie kila la kheri
Allah akbar
❤🎉
Mashaallah subhanallah
Innallahi wainallahi rajuum
Samahan sheikh anaitwa Nan please
Mashallah ninesikiliza nikiwa kenya 🇰🇪 28/10/2024
Mashallah kisa thabit
Manshallah
Asante shehe wetu,Tunampenda Mtume wetu
Rehema na Amani zimfikie mtume wetu Muhammad SAW,historia hii imenigusa saana
Mm nalia sana mpaka moyo waniuma 😢😢😢😢😢😢😢😢😢S❤A❤W❤😢😢😢
Allahu akibar
Mwenyezi.mungu.atupe Mwisho.mwama Oman
many people trust that issa is a god but they mistaken issa is not god is a prophet as other prophet of Allah(S.W) so do not trust this mistaken please Allah is one and is one who made the each and every thing which surround us and those which are not surrounded us which we know and which does'nt know which we saw and all those we does'nt saw so all of as we must say ALLAHU AKBAR
Yarb tujalie mwisho mwema
Habibul Mustafa (S.A.W)
Ya Rahman tujaalie mwisho mwema🙏🙏🙏🙏
Alla atufanyie wepes
Eee Mwenyezi Mungu nisamehe madhambi yangu nijaalie mwisho mwema
Mashaa Allah
MaashaAllah
Mashallah
Thanks❤❤❤❤❤
Ya Rabby tujaalie husnul khatima
Hakika allah akulipe kila lililo la kheri shekhe
Allahu akbar
Shukran
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Nabii issa siyo yesu acheni kupotosha
Yesu si kazaliwa na mama tu ambaye nyie mnamuita Maria huyo huyo ndo nabii Issa A.S njoo kwenye dini ya haki Fabian
❤❤❤❤❤❤
ya rrabbi tunusuru na adhabu ya kaburi
Àllahuma aamina
Doh
ALLAH atuongoze na atusame zambizetu😂
Allha akujalie afyanjema
Yarabi nakuomba mwisho mwema
Allah tujalie mwisho mwema insha Allah!!
Safar nzito tunayoenda .Allah tupe mwisho mwema🤲🤲🤲
Allah sw atupeh mwisho mwemah 🙏🙏🙏
ALLAHUMA HUSNUL HATIMA WA AUDHUBIKA MINAL ADHABUL QABR 🙏
Allahuma khusnil hatima🙏