SHEIKH BACHU - MWANAMKE KUZUILIWA KUSWALI TARAWEH MSIKITINI
HTML-код
- Опубликовано: 7 фев 2025
- SHEIKH BACHU - MWANAMKE KUZUILIWA KUSWALI TARAWEH MSIKITINI
Sheikh Nassor Abdullah Bachu, ambaye alifariki dunia ja (13.02.2013) baada ya kuugua zaidi ya mwaka mmoja.
Sheikh Bachu atakumbukwa kama ulamaa kijana aliyeleta mapinduzi makubwa kwenye mawazo ya dini ya Kiislamu visiwani Zanzibar na katika ukanda mzima wa Afrika Mashariki, akihubiri tapo jipya la dini hiyo lililofahamika kama Ahlu Sunna, akiwa na lengo la kurudisha mfumo wa maisha ya Kiislamu kama ulivyoasisiwa na kiongozi wetu, Mtume Muhammad (S.A.W), na pia kuupa Uislamu sura ya kimataifa.
#SHEIKHBACHUMWANAMKEKUZUILIWAUSWALITARAWEHMSIKITINI #SHEIKHBACHUSABABUZAMWANAMKEKUZUILIWAUSWALITARAWEHMSIKITINI
#SHEIKHNASOROBACHUMAWAIDHA
Kutolewa Roho Kwa Mtu Muovu Na Kafiri Sehem ya kwanza | Sheikh Nassoro Bachu
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
ruclips.net/video/VYFKJ0lISGw/видео.html