Weusi - Humu Tu (Official Lyric Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 19 дек 2024

Комментарии •

  • @georgeanthony1547
    @georgeanthony1547 11 дней назад +3

    We need CountryWide Weusi Tour

  • @zitongwang6278
    @zitongwang6278 5 месяцев назад +18

    Wow nyeusiii ...., Kama wew NI WA pande za kaskazini gonga like hapa ..., Weusi NI Noma sana

  • @Theone12673
    @Theone12673 5 месяцев назад +14

    Mi ndo yule mjanja naeheshim washamba🎤🎤🎤🎤unyama mwingi

  • @mejakimaro2773
    @mejakimaro2773 5 месяцев назад +12

    Kubali kataa weusi ndio wamiliki wa Rap ya Bongo!!!

  • @Innoveletz
    @Innoveletz 4 месяца назад +6

    Joh makini kubabake🔥

  • @HilaryLoishiye
    @HilaryLoishiye Месяц назад +2

    fire in the hoooolee, weusi haooo

  • @luckybahati96
    @luckybahati96 5 месяцев назад +9

    Ngoma iko na TBS ❤ wapi likes za Gnako 😂😂😂😂

  • @mudywaya328
    @mudywaya328 5 месяцев назад +2

    kubababake 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @reganmmasi1246
    @reganmmasi1246 5 месяцев назад +6

    Sema G nako kauwa sana humu ndani flow tofauti kabisa, ni waya

  • @AsiaMussa-y8b
    @AsiaMussa-y8b 5 месяцев назад +4

    Ila joh... jamaaa nakukubali sana... weusi piga piga

  • @DommyMushi
    @DommyMushi 5 месяцев назад +4

    Huo ndo mziki tulio wazoea, siyo mapiano

  • @amonijajila1218
    @amonijajila1218 4 месяца назад +9

    gnako bwana
    💪 💪

    • @adolphdamas3189
      @adolphdamas3189 4 месяца назад +1

      Hajawahi kuharibu,
      Unique hair-cut,
      Unique wear style za kibaveta flan hv

  • @JacksonLazaro-v4q
    @JacksonLazaro-v4q 14 дней назад

    ni balaa 💥💥

  • @AbilahSalumu-qx1cb
    @AbilahSalumu-qx1cb 2 месяца назад

    Humu Tu Ndo Tunapopataka WEUSI 🔥🔥🔥🔥

  • @Edgar254thekritik
    @Edgar254thekritik 5 месяцев назад +1

    Texas USA watching and listening ❤

  • @dostovan5142
    @dostovan5142 20 дней назад

    The rapper here is joh makin, msela ana tatizo na mwamba, mwamba mwenye ana tatizo na namba

  • @johnrichard5482
    @johnrichard5482 5 месяцев назад +2

    itifaki imezingatia G-NAKO Ni Wa MOTO 🔥 Hakuna Pang'ang'a ni HUMU TUUUU 🤜💥🤛

  • @basicstech7265
    @basicstech7265 3 месяца назад +3

    LORD EYES AMEUA SANA 🔥🔥🔥🔥

    • @jostamzxkaole3113
      @jostamzxkaole3113 3 месяца назад +1

      Tunaaribu lakini hatuaribikiwi😂😂,,
      @👍POINT

  • @VictorJohn-fu7ch
    @VictorJohn-fu7ch 5 месяцев назад +4

    Mbarikiwe watumish wa Mungu humu Tu uwiiiiiiiii

  • @alfredlaurent1728
    @alfredlaurent1728 4 месяца назад

    Mi ndo yule mjanja naeheshimu washamba!! Anayewaweza weusi kwa mistari ajitokeze

  • @mweusyfamily6843
    @mweusyfamily6843 5 месяцев назад +4

    Lody eyes kaua sana humu

  • @AhmadAlly-r9z
    @AhmadAlly-r9z 5 месяцев назад +23

    Mm ndo wa kwanza weka like apo kam zote

  • @AnthonyKibona-e5b
    @AnthonyKibona-e5b Месяц назад

    Ni noma ❤❤

  • @SalimuMwashehemu
    @SalimuMwashehemu 3 месяца назад

    Joh Makin ameua sanaa muamba wa kazi kazin

  • @philemonalex8089
    @philemonalex8089 3 месяца назад

    Humu tu kubababakee🎉🎉

  • @Fredwaah19
    @Fredwaah19 5 месяцев назад +3

    Ngoma kali video kali big up bros🎉🎉

  • @Kenifamily-Music
    @Kenifamily-Music 4 месяца назад

    Saf,sana. Nikalibishe na mimi ata Ngoma moja tu bro 🎸

  • @dinyoabeli9028
    @dinyoabeli9028 5 месяцев назад

    Unyamaaa 🎉🎉🎉

  • @kelvinwilbroad8706
    @kelvinwilbroad8706 5 месяцев назад +2

    Ila G nako🎉🎉🎉

  • @RehemaLucas-e6l
    @RehemaLucas-e6l 4 месяца назад

    Weusi mpo vizure nakupenda sana

  • @MartinPatrick-g6c
    @MartinPatrick-g6c 4 месяца назад +2

    Weusi is fire 🔥 big up

  • @MansabSalum
    @MansabSalum 5 месяцев назад

    Hakuna zaidi yako bro much love Rasta

  • @oscarkibet1344
    @oscarkibet1344 5 месяцев назад +2

    Shukran sana weusi kambuni 🙏🙏

  • @christopherngonyani8148
    @christopherngonyani8148 4 месяца назад

    Umetishaaaa sanaaaa ❤️❤️❤️❤️

  • @simonmwanganya
    @simonmwanganya 5 месяцев назад +1

    iko poa weusi on the top thisbis hip hop

  • @AmeryAgape
    @AmeryAgape 3 месяца назад

    GOMA KALI SANAAAAAAAAAAAA

  • @bagenihuduma1569
    @bagenihuduma1569 5 месяцев назад

    Big up weusi. Mtu tatu with no DC kwa sasa

  • @Beuuysanga
    @Beuuysanga 4 месяца назад +12

    Itifaki imezingatiwa niite kinana, Michongo inakumbatiwa aka king'ang'a .
    Daraja mbili ololoo paka kijenge mwanama, kula piano kula michano hakuna Pang'ang'a.
    Kipazani ni kukaza kama napiga mikasi.
    Sisomi naenda mbele kama napiga reverse.
    Mchezoni tukifika mnachapwa redunducy .
    Na ngoma zetu mbele ya wazazi hazina ma ukakasi.

  • @ChingaKenboy-fz8yr
    @ChingaKenboy-fz8yr 5 месяцев назад

    Ngoma kali sana🎉🎉big up weusi

  • @JofreyKimaro-x1t
    @JofreyKimaro-x1t 4 месяца назад

    Kwisha sanaa.mugger la hapa

  • @arabgandaempire
    @arabgandaempire 5 месяцев назад +2

    *Let us all express ourselves through the power of Love peace and Music.*

  • @UsingiziBoy-ki4ee
    @UsingiziBoy-ki4ee 5 месяцев назад +1

    Weusiiii humu tu🎼🎼

  • @abdallahamad4682
    @abdallahamad4682 5 месяцев назад +5

    G Nako ni nani.. He's always 💥

    • @gladyrobbin
      @gladyrobbin 4 месяца назад

      Humjui jaman .. aliye rap verse ya mwishoni

  • @Lugusikidy
    @Lugusikidy 5 месяцев назад

    Karii sana ii karibuni na kwanguu mchiztv

  • @nicksonurio7319
    @nicksonurio7319 4 месяца назад

    Maarifa,hapa tungojee Chupa lingine after 10yrs

  • @saidkikuji9958
    @saidkikuji9958 5 месяцев назад

    Weusi familia kabisaaaaa

  • @robertlary6007
    @robertlary6007 5 месяцев назад

    WEUSI 🔥🔥🔥 Humu tuu💪🇹🇿

  • @Tanganyika-w5p
    @Tanganyika-w5p 5 месяцев назад +1

    Nice Track from Weusi...

  • @Whitegsm
    @Whitegsm 5 месяцев назад +1

    G nako 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @P4Principle
    @P4Principle 5 месяцев назад

    Noma sana mazee cham iko ngori 🔥🔥

  • @ManothoRhymes
    @ManothoRhymes 4 месяца назад

    Hii comment ni ya 200 na niyatofauti sana Humu tuu ni bonge la ngoma ila alie uwa zaidi ya wote Ni Producer Stino One.. naombeni like zangu...

  • @DanielSumuni-mh4hn
    @DanielSumuni-mh4hn 5 месяцев назад +1

    G amenifulahisha sana jinsi ame change 🙏

  • @diclopar4687
    @diclopar4687 5 месяцев назад

    Weusi awana baya 🎉🎉🎉

  • @mozeekamana
    @mozeekamana 5 месяцев назад +3

    Ubunifu 🙌🙌

  • @k.moneytv9053
    @k.moneytv9053 5 месяцев назад

    hatariii sana 🔥🔥🔥

  • @BigTownTV_Rwanda
    @BigTownTV_Rwanda 5 месяцев назад

    Kali sana 🎉

  • @InnocentPeter-o6z
    @InnocentPeter-o6z 5 месяцев назад +1

    Tunaharbu lakin hatuaribikiw" King izzzzz

  • @erikmayeku7003
    @erikmayeku7003 Месяц назад

    Kubababake got me laughing I heard this first while shopping yesterday in the evening ,I was almost rolling on the floor of the hypermarket.

  • @brianamani557
    @brianamani557 4 месяца назад

    Great job for weusi family

  • @ROOTNOTE-k1t
    @ROOTNOTE-k1t Месяц назад

    Kubabake ...bonge la track c utani...

  • @adamsengo1869
    @adamsengo1869 3 месяца назад +1

    Joh na macho ya bwana wameuwa

  • @Chida
    @Chida 5 месяцев назад +2

    Tumekutana humu tu mazee

  • @TegnusTimothy
    @TegnusTimothy 5 месяцев назад

    Humu tuu ni bonge la movie weusi 👊👊 👊 East Africa ni ya weusi na Africa nzimaaa ni humu tuu kuba'babaake 👊👊 whoouuuffff

  • @husseinkaoneka5834
    @husseinkaoneka5834 5 месяцев назад

    SHAYO IN IDEAS, humu tu

  • @sabrinasabrina3974
    @sabrinasabrina3974 3 месяца назад

    home swety homee❤❤😊😊😊

  • @lusyff7230
    @lusyff7230 5 месяцев назад +1

    With weusi Kila kitu ni freshy..aty mjanja anaeheshimu washamba😂😂

  • @Thearifs254
    @Thearifs254 5 месяцев назад +2

    weusi ft wakadinali from kenya

  • @GoodluckModest-l3y
    @GoodluckModest-l3y Месяц назад

    Mmetsha balaa

  • @noahnzelu-yp7ky
    @noahnzelu-yp7ky 5 месяцев назад

    Karibu ,khalighaph jones ,umejibiwa sasaaa😂😂😂😂🎉🎉🎉

  • @NurudinZuberi
    @NurudinZuberi 5 месяцев назад +2

    Lord umefunika

  • @renatuskimarokimaro6720
    @renatuskimarokimaro6720 5 месяцев назад

    Humu tuuuuu kubababajeeeee sema sijamsikia dxapo aiseee

  • @erqmusic5973
    @erqmusic5973 4 месяца назад

    Eh bwana daaah 🔥🔥🔥💯🎉❤

  • @GoodluckModest-l3y
    @GoodluckModest-l3y Месяц назад

    H noma sana

  • @godfrayadam
    @godfrayadam 5 месяцев назад

    Mjanja tunaheshim washamba❤

  • @ramsonramson8320
    @ramsonramson8320 5 месяцев назад

    ❤ kubaba bakeee🎉

  • @KisagaJohn
    @KisagaJohn 5 месяцев назад

    Tunahalib lakn hatuhalibikiw ...hahaahàha nimefulah sana hapo ...weusi si ndo chama tawalaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa❤

  • @alfredjoseph5592
    @alfredjoseph5592 5 месяцев назад +2

    Lord eyes🏆

  • @totojinga2795
    @totojinga2795 5 месяцев назад +1

    Nikki amenikosea sana.....

  • @joshuakinabo6861
    @joshuakinabo6861 4 месяца назад

    Bonge la ngomaa

  • @sevenmdendu
    @sevenmdendu 5 месяцев назад

    Song la hatari sna sema video dance choreography ime miss hpo karibia na mwisho jamaa wame dance vizuri kama muziki wenyewe 👌🏾🔥🔥

    • @noahb2009
      @noahb2009 5 месяцев назад +1

      Unajua Kwann wamewekwa mwisho? Sababu ilikuwa beat tupu hamna maneno. Na context ya hiyo video ni maneno (lyrics) utatoa maana ya lyrics video. So subiri official video utaviona.

    • @sevenmdendu
      @sevenmdendu 5 месяцев назад

      @noahb2009 Okay hapo i have got the picture man, my vote is 8/10 🔥🔥🤜🏾🤛🏾

  • @edwardlesian9318
    @edwardlesian9318 5 месяцев назад

    Home boyz❤❤❤❤

  • @therevengers379
    @therevengers379 5 месяцев назад

    KUBA'BABAAKE🔥🔥🔥🔥

  • @johnsonwilliam3504
    @johnsonwilliam3504 4 месяца назад

    Kazi nzuri

  • @CornelioMsangi-ui7dq
    @CornelioMsangi-ui7dq 5 месяцев назад

    Weusi 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @176tlr
    @176tlr 5 месяцев назад

    #WEUSI an underrated group 🔥🔥🔥

  • @OmarSamganga
    @OmarSamganga 2 месяца назад +1

    HUMU 2 HUMU 2

  • @AliSaidKuwewa
    @AliSaidKuwewa 4 месяца назад

    Umu umu tunaskuma gurudumu iko sawa.jeshi inasound ki uko flani

  • @JacksonGeorge-g7o
    @JacksonGeorge-g7o 4 месяца назад

    All verses killed so fire

  • @bigc5729
    @bigc5729 5 месяцев назад +1

    Weusi 🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿

  • @BHALEEALI
    @BHALEEALI 3 месяца назад +1

    kwanini isiwe EP flani hivi kati ya JUX & DIAMOND?? aisey mna hatari nyie mtaua na mtafanya wenzenu waache muzik 🙌🙌

  • @emmanuelmeena6542
    @emmanuelmeena6542 5 месяцев назад +1

    Kubababakee 👊🏿

  • @JoramMollel-h8i
    @JoramMollel-h8i 5 месяцев назад +1

    Nooooma sana kaskazini bendera juuuuuuu Viamba ya R chuuuuga

  • @LindasonmaresiLindason-cw8gp
    @LindasonmaresiLindason-cw8gp 5 месяцев назад

    Nawakubali sana

  • @MjoliOfficial
    @MjoliOfficial 4 месяца назад

    Hamjambo vijana wa Mungu, embu mnipe maana ya neno humu tu 🤔

  • @kivuyo_john
    @kivuyo_john 5 месяцев назад +5

    Kama umewa #SUBSCRIBE hawa #Weusi mnipe like zangu 🎉

  • @noahnzelu-yp7ky
    @noahnzelu-yp7ky 5 месяцев назад

    Nawaza kuna vato ilitangaza vita Kwa weusi kwishaaaa habari yake kubababakeeeeeeeee

  • @elitwazambwambo2222
    @elitwazambwambo2222 4 месяца назад

    MOTOOO🔥🔥🔥🔥

  • @MtajiriCartel-g3x
    @MtajiriCartel-g3x 5 месяцев назад

    Maninjaaa wa hip hop 🎉🎉🎉

  • @Tellaaxis
    @Tellaaxis 5 месяцев назад

    Noma sana❤

  • @official_dyzzy2949
    @official_dyzzy2949 5 месяцев назад

    Nomaaaah🌏🌏