Fido Vato ft Rayvanny - Chuga Hio (Official Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 фев 2025

Комментарии • 1,2 тыс.

  • @fidovato
    @fidovato  Год назад +342

    AUDIO HAPA www.boomplay.com/songs/132374258

    • @GUWOP199
      @GUWOP199 Год назад +9

      keep their head ringin 🔥🔥

    • @Hazinamtaalam
      @Hazinamtaalam Год назад +8

      Kaskazini hatokangi fala 🙌👒

    • @adolphmwangoje2887
      @adolphmwangoje2887 Год назад +6

      kunavitu vingi hujavionesha vya swaga ya chuga jpo fresh sana

    • @director-y4mnyama-tz314
      @director-y4mnyama-tz314 Год назад +3

      Nilikua nasubiria dude

    • @AliDiamond68
      @AliDiamond68 Год назад +5

      Fido this song deserve high Quality video please make another video this song is fire

  • @benjaminbenedicto5218
    @benjaminbenedicto5218 Год назад +298

    Rayvany Rayvany kwenye hili ulikunjua sana Kwa mwamba Fido umempigia chorus lakibabe sana hongereni kazi nzuri sana nimeirudia mara nyingi sana aisee bonge la video pia aisee

  • @UsafiMichael-mc8kt
    @UsafiMichael-mc8kt Год назад +77

    Kaskazini hatokagi fala .machalii zangũ wa chũga na Kilimanjaro manyara gonga like hapa

  • @MafuruBM
    @MafuruBM Год назад +29

    Kama unamkubali Fido na rayvany gonga like hapa love from Kenya.

  • @em_vee_josh
    @em_vee_josh Год назад +69

    Tunaouamini uwezo wa Rayvanny kwenye mziki tujuane kwa likes

  • @Suleiman99
    @Suleiman99 Год назад +35

    Jana usiku nilikesha naskiliza hii ngoma vany boy katulia na melody Kali snaa
    I'm proud to be one among the fans of good music from Tanzania.
    #Chuga

  • @Akili820
    @Akili820 7 месяцев назад +25

    Kama uko nasikiliza hi nyimbo leo nipeni like hapa 🇨🇩☝️

  • @crissneyoland
    @crissneyoland Год назад +40

    Heshima kwa vanny boy amesababisha niangalie hii ngoma. Big up sana my brother wimbo ni nzuri🇧🇮❤️

  • @highpriest4372
    @highpriest4372 Год назад +2

    Rayvanny uko peace
    Sana wewe jamaa Jah akubless sana
    Hebu one day tutolee ngoma moja hip-hop ngumu,michano Kama yote halafu uwe na mbabe kama Fido pembeni,tunajua unaweza bro❤

  • @monicamichael656
    @monicamichael656 Год назад +16

    Vanny mungu akubariki..umekunjua roho kwenye hili ngoma...chuga respect vato is Army Nato

  • @mot.tvmsamvu6770
    @mot.tvmsamvu6770 Год назад +5

    moja ha wasanii wanaojitambua Rayvaany Mungu ambariki pia ambariki vido nae aweze kutoka ana moyo

  • @JonhMboya
    @JonhMboya 7 месяцев назад +35

    Kama unamkubali fido gonga like hapo

  • @NtinyariEvalyn
    @NtinyariEvalyn 9 месяцев назад +9

    Fido kuja Kenya upige show unyamazishe hawa wasanii wetu wanaimba usenge, much love kwa Sana Tz munaweza ❤❤❤❤❤❤

  • @mnazitv405
    @mnazitv405 Год назад +139

    Fido vato on trending let's take this to Number 1 trending Tanzania 🇹🇿

  • @excavatorman.2155
    @excavatorman.2155 Год назад +1

    Nomaaaaa🔥🔥🔥🔥🔥

  • @JulesWilondja
    @JulesWilondja Год назад +4

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @manbrapakamli8958
    @manbrapakamli8958 11 месяцев назад +2

    BRO FIDO UMENIBOA SANA KWA HII CHUMA KWA NINI ULIRAP KIPANDE KIDOGO SANAAA DAAAH KAKA UNATISHA SANAA 💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪

  • @icepkilimba
    @icepkilimba Год назад +14

    Noma sana dingi unaiwakilisha Arusha na kuiweka kwenye ramani yetu... Hii imeenda 💪🏿💪🏾💪🏿

  • @MbayaHamisi-s6g
    @MbayaHamisi-s6g Год назад +2

    Fido umeua sana Sema umepga ves moja rayvan mtu mbaya katulia kaunesha umoja ninguvu now tuzdi kuipeleka Ata no 3 inatosha palee

  • @janjaz
    @janjaz Год назад +8

    Fido sauti yko balaaaa mzee baba..waiting your colabo na Darassa, paaaap...your fan frm Nairobiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii..one love

  • @stevenmeshack467
    @stevenmeshack467 Год назад

    Ngoma kalii sanaaaa. Ilaa karibu kufanya ngoma isiyoo kuwaa na magroup mengii siyoo nzurii kidogoo sanaaa

  • @emmanuelmeena6542
    @emmanuelmeena6542 Год назад +29

    Respect Fido vato 👊🏿 one of the best collaboration aseeeee chuiii uje tukupe uraia wa chuga asee bonga na Fido vizurii tukupe uraia wa huku

  • @JacksonMagina
    @JacksonMagina Год назад +1

    Safi sana Rambo

  • @Millardyao
    @Millardyao Год назад +32

    Hit song from KASKAZINI.. fanya na lingine litoke mkuu hii imeenda,ASAP

  • @BARAKA-xh1bo
    @BARAKA-xh1bo Год назад +1

    Fido Vato mnyama💪💪

  • @seiftanzania5320
    @seiftanzania5320 Год назад +6

    R.I.P FATHER NELLY

  • @omarkapayer1412
    @omarkapayer1412 Год назад +1

    Let's go brother Mungu akusimamie

  • @ITISFADHAKING
    @ITISFADHAKING Год назад +1

    Hii ni hit song kutoka kwa king Fidovato na chuiii hutaki unataka mwamba katishaaa sanaa

  • @JohnKumila
    @JohnKumila 10 месяцев назад +26

    Kama wewe ni chuga gonga like

  • @happymlali7469
    @happymlali7469 Год назад +1

    Umetisha aloooooooo Fido chuga iyoooooo Kama vile nakudekerea

  • @slimmuhabesh2400
    @slimmuhabesh2400 Год назад +3

    Chui chui umetishaaaa

  • @adolphmwangoje2887
    @adolphmwangoje2887 Год назад +1

    Ngoma Kali sana 🎉🎉

  • @alvarobaisama6671
    @alvarobaisama6671 Год назад +8

    Wanangu ni MAMONG’OO na sio wale WAPOLOO 🚨🔥

  • @itsmuoka
    @itsmuoka Год назад +1

    Apo sawa 🎉eish

  • @mahmoudaziz4717
    @mahmoudaziz4717 Год назад +6

    Baada ya interview na milladayo ndo nimeijua hili dude bonge la goma. Big up chui big up fido🙌.

  • @abromo1
    @abromo1 Год назад +1

    Verse moja tu, fido hakatutendea haki.
    Ingekuja remix chid benz ndani.

  • @kiswahilitv
    @kiswahilitv Год назад +6

    ANOTHER ONE👉🏿KARATA MOJA TURUFU SANA MWANANGU

  • @HappyCassettePlayer-tm8vg
    @HappyCassettePlayer-tm8vg 11 месяцев назад +2

    Jamani one love ARUSHA napenda sana mkoa wangu I am proudly to be born Arusha

  • @agnesskimu5591
    @agnesskimu5591 Год назад +7

    Hii ngoma ni kali kinoma🙌🙌🙌 chuga hiooo

  • @francobravotheforester542
    @francobravotheforester542 Год назад +2

    Chugga hiyooooooooo🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌

  • @lucangwiseman
    @lucangwiseman Год назад +3

    Thiz ting iza Firee we proud of our city alafu nyie wakujaaa hatutaki madharau

  • @chazdax_official3013
    @chazdax_official3013 Год назад +2

    Nimezaliwa kuwa fighter 🔥✊

  • @Godmaletz
    @Godmaletz Год назад +4

    Chui mzalendo kukupongeza ciach boss wangu ✍️you know how you do 🔥

  • @haruninenula2237
    @haruninenula2237 Год назад +1

    We chui ni moja tu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @geraldgerrytrump254
    @geraldgerrytrump254 Год назад +15

    It's been long since rayvan anifurahishe. Bt hapa nayo Naina effort na pia kacheza na maneno Sana🔥🔥

  • @TyTannick
    @TyTannick Год назад +1

    Kali sana

  • @laurentabel1287
    @laurentabel1287 Год назад +12

    Sijawahi kusikiliza nyimbo zako Ila hii umeua broo nimeludia Mara saba

  • @damiano9377
    @damiano9377 Год назад +1

    Daah rayvanny poaaa sanaaa

  • @victormbugobola802
    @victormbugobola802 Год назад +3

    ❤❤❤niacha kumshabuikia Ali kiba nitakuwa shabiki wa Rayvan❤❤❤ imeisha iyo ngoma Kali Sana so amazing niseme tu Mmeua

  • @sahidymassoudysahidy8776
    @sahidymassoudysahidy8776 Год назад +1

    Ujawai niangusha 🔥🔥🔥💯

  • @najashdawood9680
    @najashdawood9680 Год назад +3

    Salute kwenu....nakubali siku zote ...baada ya Marekani...njoo Arusha...utaipata really hip hop......One love

  • @nurayare4602
    @nurayare4602 Год назад +2

    Fido tunamukubali from kenya,ololo ya Nairobi 👊👊

  • @MAnDOty_
    @MAnDOty_ Год назад +5

    Nimekaa mda mfupi lkn nime exprience vitu vingi sana 🔥🔥🔥🔥shout out to chuga ppol✊

  • @issasaidi2571
    @issasaidi2571 Год назад +2

    Hii imeeenda chugaaa

  • @nochytv5279
    @nochytv5279 Год назад +4

    Respect Fido🔥🔥🔥🔥umezaliwa kuwa fighter💪💪🔥🔥... Great hit

  • @mkuluwaukae2221
    @mkuluwaukae2221 Год назад +1

    Fiiiiiiiiiiiddddddooooooooooooohhhhhh,
    Sisi ndio hahaaaaaaapaaa

  • @Gastornprofession
    @Gastornprofession 9 месяцев назад +6

    tulio ludi kwa ajili ya makonda tujuane

    • @fidovato
      @fidovato  9 месяцев назад

      💯💯💯🎯

  • @kassiannyamba805
    @kassiannyamba805 7 месяцев назад +2

    Vanboy ka over do, yani kama wimbo wake vile much respect.

  • @RAYVOHOFFICIAL
    @RAYVOHOFFICIAL Год назад +18

    You did the chorus braza 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 respect RAYVANNY

  • @ZainabuIddy-r1o
    @ZainabuIddy-r1o Год назад +1

    Yaan hii Ngoma Kali sana asa kwenye Colours imekaa vzur pongez Kwa Raivvany pamoja na Vd❤🎉🎉

  • @Henryphd355
    @Henryphd355 Год назад +3

    Rayvanny Hii ngoma umeimba balaaa

  • @Samwelmagita-jb1so
    @Samwelmagita-jb1so Год назад +1

    Sema Fido hiyo sauti ya kibabe mkuu💪💪💪

  • @kabamedestrong3917
    @kabamedestrong3917 Год назад +4

    Our broo taking A town at top again like we are
    Ngoma kubwaaaa sana

  • @Ringopatrizio
    @Ringopatrizio Год назад +1

    Hii inataka live band itaketi vizuri top

  • @Bob-kz2ql
    @Bob-kz2ql Год назад +3

    VANNY BOI NI ANOTHER LEVEL KATIKA MELODY KATIKA HICHI KIZAZI WALAHI

  • @stopatherhymecca8996
    @stopatherhymecca8996 Год назад +9

    💥💥💥 Noiz Arachugaaaa

  • @johnjay6408
    @johnjay6408 Год назад +1

    Ndani ya Mwezi Hii ngoma Nimestream sio chini ya 20x. Kibao moja ya nguvu🙌🚬

  • @JWENVTV
    @JWENVTV Год назад +16

    Kenya representing ❤‍🔥

  • @hassanimapanga7024
    @hassanimapanga7024 Год назад

    Ngoma qali sana @fidovato ndo arusha yenyewe

  • @faithnanjala636
    @faithnanjala636 Год назад +41

    I love the music ,the beat and everything ❤

  • @THETHIRDTV_
    @THETHIRDTV_ Год назад

    OYA WEE FIDO VATO MOTO MWINGINE HUU💥💥💥🗯🗯💥💥💥💥

  • @slimflows
    @slimflows Год назад +5

    🇰🇪 🇰🇪 tuko on legendary fido na vanny

  • @petergideon3458
    @petergideon3458 Год назад +1

    SASA WANYAKYUSA CHUGA KAMA NYUMBANI, FIDO VATO MBEYA TUMEMPA JIMBO LA UYOLE, YEYE NDIYO PRESIDENT. KIROHO SAFI, UMWAISA MWINGI HUMU, UCHUGA SHAZI SANA

  • @philljombs1151
    @philljombs1151 Год назад +8

    Return Of Fido Vato..Ololooo in the House.Chuga Hoyee🎉

  • @sulleymernmannarah7930
    @sulleymernmannarah7930 Год назад +1

    Baada ya Wasafi festival nd nmeijua hii ngoma shout out to Wasafi Festival 2023 🔥🔥# Vany boy ✊☠️

  • @منهج_الرسل
    @منهج_الرسل Год назад +5

    Ukimhonga dem anunue benzi ananunua IST abaki na chenchi, sio poa😂😂😂

  • @barakamotto1454
    @barakamotto1454 Год назад +1

    van boy ni mwana sana ngoma kasimamia kila kitu halafu kalipiga kwenye page ya FIDO ,ishi sana mwana

  • @kennykonde9722
    @kennykonde9722 Год назад +3

    Nakubali bro uko juu mzki wako✌️

  • @isackmbade3181
    @isackmbade3181 Год назад +2

    Team Chuga hiii Imeeendaaaa....!

  • @ik3934
    @ik3934 Год назад +58

    This is very good sound.
    Commercial but gangster and reality content.
    Salute master Vato!

    • @rashidsuleiman1531
      @rashidsuleiman1531 Год назад

      Video imeanzia arusha mjini mtaa wa kaloleni picnic Ethiopian road

  • @lyimoej7198
    @lyimoej7198 Год назад

    Wwoooorrrraaaaaa, arawizzagga ni sekenembwe lefwe lefwe teterena mangulo pachinoufede, reiwizzagga ameniaje mazafaga, nyombuloko mpefe mpefe aseee,,

  • @vinchystyles1675
    @vinchystyles1675 Год назад +23

    Voice of R chuga Fido vato killed it!

  • @yungcrazy43
    @yungcrazy43 3 месяца назад +1

    Chugaaa 🔥🔥🔥🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪

  • @devisfrank6637
    @devisfrank6637 Год назад +31

    You killed it OmBoe Vido Vat en Rayvanny🔥🔥🔥💪

  • @kambiyusufu2776
    @kambiyusufu2776 Год назад +1

    Oya weeee

  • @afterx3172
    @afterx3172 Год назад +16

    No doubt CHUGA on map ❤‍🔥

  • @anthonymsapalla4596
    @anthonymsapalla4596 Год назад +1

    Respect papah✊🏾 fido ahsant Kwa kuwakilisha chuga

  • @ngasikajoel9576
    @ngasikajoel9576 Год назад +21

    Ray fit in every style of music big up you know how to match with the game and family chuga is my mother land.. Unga limited...

  • @lucasmganga9187
    @lucasmganga9187 6 месяцев назад +1

    Gomaaaaa kaliiiiiii sana Nahisi hii ndo ngoma Kali Chuga Yote @FidoVato Mwamba

  • @kakacharlesofficial1241
    @kakacharlesofficial1241 Год назад +14

    Rayvany you kill it my brother

  • @MosesPyramid
    @MosesPyramid Год назад +1

    Chuga namba 1

  • @Ollachuga_OG
    @Ollachuga_OG Год назад +3

    Chuga hio ....Noooma sana 🔥🔥🔥

  • @leahmedard1849
    @leahmedard1849 Год назад +1

    Mazee fido na vanny ni kwere

  • @RahmaiddyRahmaiddy
    @RahmaiddyRahmaiddy Год назад +3

    Rayvan katisha ile mbaya arifu

  • @djwilliams_
    @djwilliams_ Год назад +2

    RayVanny Katisha Hatari 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @AdamsonWeez-sg5pq
    @AdamsonWeez-sg5pq Год назад +22

    Vanny Boy Is another Level No doubt 🙌

  • @sboytz7934
    @sboytz7934 Год назад +1

    Chuga iyoo
    Dude noma sana ani apo
    AKIKA NI KUBWA 💫

  • @siamejerry9239
    @siamejerry9239 Год назад +18

    Ray is the masterpiece

  • @Real_Star.256
    @Real_Star.256 Год назад +1

    Ug is watching
    Bg Banger🔥🔥🇺🇬🇹🇿

  • @salumumohamed4532
    @salumumohamed4532 Год назад +45

    Fido Vato, the Hip Hop icon. You made it brother