JINSI YA KUJITOFAUTISHA KIBISHARA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 фев 2025
  • Kutokana na maombi mbalimbali ya wadau na watazamaji wa Ngowi TV, Prof: Ngowi, anaamua kurudia kufundisha somo linaloitwa JINSI YA KUJITOFAUTISHA KIBIASHARA, lakini safari hii akitumia mifano zaidi ili lieleweke kwa urahisi. jifunze mbinu za kujitofautisha kibiashara na Prof: Ngowi

Комментарии • 20

  • @ramadhanichuma7925
    @ramadhanichuma7925 2 года назад +1

    Profesa mungunakupe maisha zaidi huko ulipo sisi bado tunakufuatilia mafunzo yako

  • @ericluminator
    @ericluminator 7 лет назад +3

    We really need our Academicians to do the way you are doing hongera Mr. Ngowi, Phd badala ya kukimbilia siasa. You are sharing the kingdom of God to alot of people. Big Thumb Up brother!

  • @gracethomas683
    @gracethomas683 2 года назад

    Poleni sana wana familia ya Ngowi

  • @zabronmapinda5021
    @zabronmapinda5021 7 лет назад +1

    Prof. asante kwa uzalendo wa kujenga nchi. Unatoa mtaji sahihi kwa jamii

  • @japhetkivuyo9424
    @japhetkivuyo9424 3 года назад

    Masomo ni mazuri sana, Asante Prof

  • @AliM-di8dz
    @AliM-di8dz 6 лет назад +1

    Asante baba Kwa Elimu nzuri

  • @kagombaEnok
    @kagombaEnok 6 месяцев назад

    Endelea kupumzika kwa amani prof Ngowi

  • @zulfahassan7111
    @zulfahassan7111 7 лет назад +1

    Asanteeee profesa

  • @malalezengo4405
    @malalezengo4405 5 лет назад

    Kweli mwakimu asanter sana

  • @EricksenJr99tzchannel
    @EricksenJr99tzchannel Год назад

    Endelea kupumzika Prof.

  • @amosbinmahona9947
    @amosbinmahona9947 7 лет назад +6

    Huyu ndiye msomi ambaye kaelimika na elimu yake inasaidia jamii na taifa kwa ujumla

  • @suzanjuma5942
    @suzanjuma5942 6 лет назад +1

    Asante sana kaka

    • @gloriamnzava8910
      @gloriamnzava8910 5 лет назад

      Mwalimu wangu,i feel proud🙌mwalimu mtu akitaka kuwa ana attend seminar zako,tunapataje taarifa

  • @aishaomar4318
    @aishaomar4318 5 лет назад

    Asante kaka

  • @sjvb7121
    @sjvb7121 6 лет назад +1

    Asante sana prof

  • @isabelabomboko4813
    @isabelabomboko4813 5 лет назад

    Nimejifunza mengi

  • @veronicampazi3405
    @veronicampazi3405 2 года назад

    RIP Prof Ngowi

  • @stephanothebig6940
    @stephanothebig6940 6 лет назад +1

    Nahitaji kumiliki mfumo wabiashara (Business System) na sio kumiliki biashara je ni namna gani naweza kufanikisha hilo?

  • @pelegrinichangupa9578
    @pelegrinichangupa9578 5 лет назад

    naomba namba yako kaka