UTASHANGAA HAYA MADINI YANAPATIKANA TANGA, BILIONEA AMWAGA AJIRA NYINGINE, YEYE ANAISHI KWENYE HEMA.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 янв 2025

Комментарии • 36

  • @MauFundiElectronics
    @MauFundiElectronics Год назад +9

    Mtangazaji upo vizuri sana KAZI mzuri sana mungu akubariki sana .

  • @abdulshakulahmed7903
    @abdulshakulahmed7903 Год назад +5

    Mungu akutangulie yeye ndiye anagawa ridhiki amina

  • @twalebleboss9687
    @twalebleboss9687 Год назад

    Maashaallah.... Siku zote akili kubwa na imani kwa MUUMBA...Huleta mafanikio kwa WANAOJITUMA NA KUJIELEWA....GOD BLESS YOU BRO....

  • @mussaluhwago8829
    @mussaluhwago8829 Год назад +3

    Kaka hakika mungu atakubariki katika hili unalofanya kuwezesha watu kupata ajira ,kuwezesha familia zao kupata chochote kulingana na uhaba wa ajira

  • @wolframmwalo2432
    @wolframmwalo2432 Год назад

    Naku admire mkuu kwa uwekezaji unaofanya mungu akulinde maana hadi kufika hapo changamoto unazopitia sio kidogo

  • @moyogems
    @moyogems Год назад

    Hongera mzawa zamani wanaomiliki vifaa ni wazungu watai umethubutu maisha ni safari ndefu jamani karibu morogoro vjjn uweke keze kwa babu tale njoo kwangu naitwa mh mary mkuyuni

  • @peninanicodemus2703
    @peninanicodemus2703 Год назад +2

    He is the best ever

  • @Winfridankalupia-t8d
    @Winfridankalupia-t8d 6 месяцев назад

    Mtua nyagu nikupa hongela sana ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @andrewemmanuel1861
    @andrewemmanuel1861 Год назад +2

    Kaziiii yangu pendwaa Sana'a nitaiishiii although nimesomea kitu kingine

  • @daudikatanga6064
    @daudikatanga6064 Год назад

    Mungu akutie nguvu boss

  • @MauFundiElectronics
    @MauFundiElectronics Год назад +2

    Kazi mzuri mtangazi

  • @hamishalidy5696
    @hamishalidy5696 Год назад +6

    Watu wa mwakijembe tujuane hapa

  • @nandyadam72
    @nandyadam72 Год назад +1

    Mwakijembee...wao kwaktuu babu

  • @InnohubGroup
    @InnohubGroup Год назад

    Kama tungekuwa wazalendo, huyu angekuwa ametuzwa na kupewa motisha kama vile Forbes 400 na Bloomberg index wanavyofanya. Tatizo la media zetu zinazingatia sana kwa ngono na wasanii.
    Ningependa kuwahimiza wazingatie kwa maswala ya kujenga nchi kama haya na umaskini utakuwa jambo la sahau.

  • @warren-zs6vv
    @warren-zs6vv Год назад +1

    Hiyo Echo tent ni kama around 50 million + hongera mbunge

  • @michaelsamson9663
    @michaelsamson9663 Год назад

    Vijana mpunguze kujaza namba zawadada kwenye sm zenu anzeni kufanya kazi naku fanya ujasiliamali

  • @salumjrsaidjr7150
    @salumjrsaidjr7150 Год назад

    Bungeni haonekani yupo bize na Mgodi Tz nchi ya Ahadi

  • @asiamerey9081
    @asiamerey9081 Год назад +3

    Haya umeshaajiri watu 70 mgodini namimi niajiri nyumbani kwako lakini hyo ajira ninayoitaka mimi Mh!!😂😂😂😂 Nikicheko

  • @emmanuelfari8924
    @emmanuelfari8924 Год назад

    +MUNGU+ akutunze na UBARIKIWE ZAIDI brother YOHANA 14:14🙏

  • @benjo_brighter
    @benjo_brighter Год назад +1

    Hizo ajira tunapataje kaka 🤔

  • @yusufuzuberi9884
    @yusufuzuberi9884 8 месяцев назад

    Naomba namba ya mkurugenzi fafadhali

  • @raphaeljickson9476
    @raphaeljickson9476 Год назад +1

    ❤❤❤

  • @manchumaiddi766
    @manchumaiddi766 Год назад

    Big deal big boss

  • @abdullayahya8717
    @abdullayahya8717 Год назад +1

    Kuna swali naona mtangazaji hujauliza kuhusu Mazingira eneo husika baada ya kuharibu kwa uchimbaji nini kitaendelea kuweka mazingira rafiki eneo liloharibiwa kwa baruti?

    • @chacha-255
      @chacha-255 Год назад

      hili ndilo ilibidi liwe swali kuu la kufungia interview

  • @sennybrown8588
    @sennybrown8588 Год назад

    Sorry boss , Point of correction, its not mobilizations, The technical mining term is the Development stage

  • @OLDSCHOOL-if7mi
    @OLDSCHOOL-if7mi Год назад +1

    Asalam aleykum kka huku kizenge ukipata muda njoo tomalini ipo hayo madini yamechongoka kama pensel?

  • @JosephBWAGIZO-fs5ig
    @JosephBWAGIZO-fs5ig Год назад

    MUNGU akubariki kiongoz tabu yako sio bure utavuna zaid na zaid

    • @JosephBWAGIZO-fs5ig
      @JosephBWAGIZO-fs5ig Год назад

      Pia hongera sana Miladiayo kwa kazi nzuri MUNGU awabariki wote mzidi na kuzidi katika kila lililo jema