Mashaallah mashaallah allah afungulie riziki pana apate zaidi na zaidi. Kwani ni wengi wanao pata riziki zao hapo na kutunza familia zao kwa kupitia mgongo wa muheshimiwa.big up sana sana kwako mheshimiwa.
Namna hii inatia moyo mwekezaji akiwa mwananchi kutoka eneo husika atakuwa na uchungu wa mali na nchi wazawa wengi wajitokeze watoto qetu wapate ajira kuliko wakishika wageni
Mashaallah mashaallah allah afungulie riziki pana apate zaidi na zaidi. Kwani ni wengi wanao pata riziki zao hapo na kutunza familia zao kwa kupitia mgongo wa muheshimiwa.big up sana sana kwako mheshimiwa.
Huyu anabarikiwa kwasababu ya utu wake kwetu😍🙌🙌🙌be blessed Mheshimiwa na katibu wako
Nice Touch, Approach Nzuri sana in Digital Marketing ya Migodi yetu
Safi sana hata bongo tunaweza Allah akufanyie wepes uendelee zaidi in shaa Allah keep it up kamanda we ndo mfano wetu
Kabisaaa
Vitu vizuri tena vya maana Sana mnatia fupi kweli, tieni ndefu Ayo
Hongera mheshimiwa kwa kutowa ajira kwa watanzaniya
Big up bro well done
God bless you more bro..
Napataje iyo Ajira
Namna hii inatia moyo mwekezaji akiwa mwananchi kutoka eneo husika atakuwa na uchungu wa mali na nchi wazawa wengi wajitokeze watoto qetu wapate ajira kuliko wakishika wageni
MashaAllah
Nimepeda❤❤👏👏
Hongera sana
MashaAllah!
Duuuh uyu jamaa Kiboko Mungu amueke
Mbunge wangu safe sana
Hivi ndo vitu napenda kuona ndugu millard ayo tuletee watu wengi kama hawa nataka uniletee mgodi wa geita goldmining
Wow home sweet home I like that
Naomba ajira hiyo kwa ajili ya wanangu.
Aisee muendelezo tunahitaji, Huyu jamaa amenihamasisha sana, tengeneza video ndefu zaidi, Wengine hizo ndo hobby zetu za uwekezaji katika migodi
Halo kwemye reflector MOJA na kofia nina mgeni alaf SAWA BOSS😋😋😋😋
Huyu jamaa ni hatari
Every man's dream..
Kiongozi barabara yetu bado sana
Mbona kma sijatosheka na hii interview millard, irudiwe plz...
Duu 🙌
Kweli huyo ni Almas ni expensive
Sikumshangaa mh mbunge nahic ngozi imemsaidia kuwa na akili
We acha ufala we kajichubue uone kama utakua tajiri
Huyu mbunge ni mwelevu sana
Mm n oparetor wa excavator mheshimiwa naomba kazi
Ila kazi ni ngumu jamani
Mmetuwekea fupi jaman,,, hawa ndo wazalendo tunaowataka nchin
Watolewee walee waarushaa pia wanaojiitaa wadudu
Tengeneza barabala mtuwa guleki mbayu zaku bhana aga maisha tu Kuna lelu na shirau balabala ayi gutapita ula gamweni
Mnamuita billionaire wakati sisi raia wa Jimbo letu tunateseka na miundombinu mbalimbali? Huyu jamaa anawaibia raia mawazo yao, Salim miyeyusho sana
Huyo jamaa namkubali sana
Mipango mikali
Marshall
Weken icho kipande kingine bas
Fupi kali
🇹🇿👍
Mmakonde ni Content leo Tanzania...nimeona jina lake nikaskiliza hiyi interview mara3 mpaka najiuliza nna maskio au?Mbona hatajwi ....
Fuatilia interview za nyuma kenge wew😅
Fuatlia interview za nyuma utaelewa
😂😂😂😂😂kwa kwel n content